Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ
14 - رمضان - 1444 هـ
05 - 04 - 2023 مـ
12:02 مساءً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التّقويم الرّسميّ لأم القُرى)


[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية لبيان]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=411950

______


Basi kumbusha, kwani ukumbusho huwafaa Waumini. Hakika Mwenyezi Mungu amenichagua mimi kuwa Khalifa wake juu ya walimwengu, basi mcheni Mwenyezi Mungu na wala msijisikie salama kutokana na Mbinu Yake, na jueni kwamba Mwenyezi Mungu anatekeleza amri yake.
فَذَكِّر فإنَّ الذِّكرَى تَنفعُ المُؤمنين؛ فَقَد اختارَني الله خليفَتهُ على العالَمين،
فاتَّقوا الله ولا تأمَنوا مَكرَه واعلَموا أنّ الله بالِغُ أمرِه ..





Bismillah Arahman Arahim,
Na Sala Na Salam Ju Ya Muhammad Mtume Wa Allah Na Ma Nabii Wote Na Mitume Kabla Yake Na Ju Ya Wale Walio Wafwata Katika Wa Kwanza Na Wa Mwisho Na Walio Ju Mpaka Siku Ya Kiyama.


Wapenzi wangu katika mapenzi ya Mwenyezi Mungu, enyi wafuasi wema waliotangulia, Shahar Mubaraka mwezi uliobarikiwa juu yenu na juu yetu pamoja nanyi na Waislamu wote kwa Mola wa walimwengu wote.


Enyi Waislamu wapenzi wangu kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, mnapaswa kujua ujuzi wa hakika kwamba mimi sisemi hadithi za Qur'ani Tukufu kutoka kwangu, wala wahyi mpya wa Qur'ani isipokuwa maelezo ya haki ya Qur'ani Tukufu. Enyi Waislamu wapenzi Wangu katika mapenzi ya Mwenyezi Mungu, Allah Ta3ala Asema:
{يَا دَاوُودُ إِنَّا جَعَلْنَاكَ خَلِيفَةً فِي الْأَرْضِ فَاحْكُم بَيْنَ النَّاسِ بِالْحَقِّ وَلَا تَتَّبِعِ الْهَوَىٰ فَيُضِلَّكَ عَن سَبِيلِ اللَّهِ ۚ إِنَّ الَّذِينَ يَضِلُّونَ عَن سَبِيلِ اللَّهِ لَهُمْ عَذَابٌ شَدِيدٌ بِمَا نَسُوا يَوْمَ الْحِسَابِ ‎﴿٢٦﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim [Sura:Swad 26].


Lakini Mwenyezi Mungu alimfanya Daudi, rehema na amani ziwe juu yake, kuwa Khalifa katika miji ya Shamu, lakini Nabii wa Mwenyezi Mungu Daudi haizunguki Yemeni - mji mzuri - kwa elimu hata kidogo, Kadhalika mrithi wa ufalme baada yake - Nabii wa Mwenyezi Mungu Sulaiman - hakuwa na ujuzi wa ufalme wa Yemen, mji mwema, basi Mwenyezi Mungu alimfunulia Ndege hud hud - waziri wa Suleiman juu ya ndege - Kufanya safari ya uchunguzi katika mji mzuri - Ufalme wa Yemeni wa”Saba” Sheba - Na kwa vile amri inatoka kwa Mwenyezi Mungu moja kwa moja kwenda kwa ndege hud hud, haijuzu kwa ndege hud hud kuomba ruhusa kwa Mtume wa Mwenyezi Mungu Suleiman aende katika msafara yake ya ufumbuzi; Hilo ndilo lililomkasirisha Nabii wa Mwenyezi Mungu, Sulaiman, kwa sababu alikuwa hayupo bila ya kuchukua ruhusa katika msafara wake wa uchunguzi. Kwa vile Ndege Hud hud ameamrishwa kutoka kwa Mola wake Mlezi, vipi aombe ruhusa kutoka kwa Nabii wa Mwenyezi Mungu Sulaiman rehema na amani ziwe juu yake? Lakini nabii wa Mungu Sulemani hajui mwanzoni kwamba ndege hud hud alipokea amri kutoka kwa Mungu moja kwa moja, Na kwa vile Hud hud ameamrishwa na Mola wake Mlezi ili kumfundisha Suleiman yale ambayo Nabii wa Mwenyezi Mungu Sulaiman wala baba yake Daudi hawakuweza kuyafahamu juu ya ufalme mkubwa wa “Saba” ambao in Sheba. Akasema Allah Ta3ala:
{وَتَفَقَّدَ الطَّيْرَ فَقَالَ مَا لِيَ لَا أَرَى الْهُدْهُدَ أَمْ كَانَ مِنَ الْغَائِبِينَ ‎﴿٢٠﴾‏ لَأُعَذِّبَنَّهُ عَذَابًا شَدِيدًا أَوْ لَأَذْبَحَنَّهُ أَوْ لَيَأْتِيَنِّي بِسُلْطَانٍ مُّبِينٍ ‎﴿٢١﴾‏ فَمَكَثَ غَيْرَ بَعِيدٍ فَقَالَ أَحَطتُ بِمَا لَمْ تُحِطْ بِهِ وَجِئْتُكَ مِن سَبَإٍ بِنَبَإٍ يَقِينٍ ‎﴿٢٢﴾‏ إِنِّي وَجَدتُّ امْرَأَةً تَمْلِكُهُمْ وَأُوتِيَتْ مِن كُلِّ شَيْءٍ وَلَهَا عَرْشٌ عَظِيمٌ ‎﴿٢٣﴾‏ وَجَدتُّهَا وَقَوْمَهَا يَسْجُدُونَ لِلشَّمْسِ مِن دُونِ اللَّهِ وَزَيَّنَ لَهُمُ الشَّيْطَانُ أَعْمَالَهُمْ فَصَدَّهُمْ عَنِ السَّبِيلِ فَهُمْ لَا يَهْتَدُونَ ‎﴿٢٤﴾‏ أَلَّا يَسْجُدُوا لِلَّهِ الَّذِي يُخْرِجُ الْخَبْءَ فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَيَعْلَمُ مَا تُخْفُونَ وَمَا تُعْلِنُونَ ‎﴿٢٥﴾‏ اللَّهُ لَا إِلَٰهَ إِلَّا هُوَ رَبُّ الْعَرْشِ الْعَظِيمِ ۩ ‎﴿٢٦﴾‏ ۞ قَالَ سَنَنظُرُ أَصَدَقْتَ أَمْ كُنتَ مِنَ الْكَاذِبِينَ ‎﴿٢٧﴾‏ اذْهَب بِّكِتَابِي هَٰذَا فَأَلْقِهْ إِلَيْهِمْ ثُمَّ تَوَلَّ عَنْهُمْ فَانظُرْ مَاذَا يَرْجِعُونَ ‎﴿٢٨﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim [Sura:Al-Namli 20-28].


Kwa hiyo tunachunguza kwa undani kwamba hata Kama Mungu atamweka Khalifa katika ardhi, basi kila khilafa ina daraja tafauti;


Basi ilipita zama za khalifa wa Mwenyezi Mungu Daudi, swala na salamu zimshukie mpaka akakutana na Mola wake, na Mwenyezi Mungu hakumjumuisha katika ufalme wa Yemen wa Saba “Sheba”, ingawa uko karibu naye katika Bara Arabu, na hali kadhalika mrithi baada yake, Nabii wa Mwenyezi Mungu Sulaiman – Swalah na salamu zimshukie – mpaka Nabii wa Mwenyezi Mungu Sulaiman alipomjulisha Sulaiman ni ndege HUD hud Akasema;
{أَحَطتُ بِمَا لَمْ تُحِطْ بِهِ وَجِئْتُكَ مِن سَبَإٍ بِنَبَإٍ يَقِينٍ ‎﴿٢٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al3adhim [Sura:Al-Namli 22].


Na Mungu anapochagua Khalifa duniani, Basi Khilafa ni digrii mbali mbali katika ufalme, lakini Mungu alinifanya Khalifa juu ya ulimwengu wote (ardhi na bahari).


Swali linalojitokeza: Je, Nasser Muhammad Al-Yamani ni mwendawazimu kiasi cha kutamani kufanikiwa katika ufalme wa kimataifa?! Bali Ambaye Mungu atafanya Ju y a ufalme wa dunia nzima uonekane kama rehema kwa walimwengu. Na wale wasiojua bayana za Imam Mahdi Nasser Muhammad Al-Yamani kwa AlQuran Al’3adhim wanadhani kuwa Nasser Muhammad Al-Yamani si chochote ila ni kujitafutia riziki kutokana na madai yake kuwa yeye ni Imam Mahdi, khalifa wa Mwenyezi Mungu juu ya dunia nzima, Na najikinga kwa Mwenyezi Mungu ili niwe miongoni mwa wajinga. Basi ni nani anayedai kuwa Mwenyezi Mungu amemteua kuwa Khalifa wake juu ya ufalme wa walimwengu na hali yeye ni miongoni mwa waongo?! Laana ya Mungu, Malaika na watu wote iko juu yake.


Lakini balaa kubwa ni kwamba Nasser Muhammad Al-Yemeni ni miongoni mwa wakweli;
Kwa hiyo hakika Mwenyezi Mungu bila Shaka anatekeleza amri yake, na mliyomo ndani ya vita vya Mwenyezi Mungu vya ulimwengu na va ki corona, hakuna kurudi nyuma mpaka ije amri ya Mwenyezi Mungu kwa kumtii khalifa wake, basi Mwenyezi Mungu anazitiisha shingo za walimwengu kwa Khalifa wa Mwenyezi Mungu, Mahdi. , Imam wa kimataifa, wa kiulimwengu, Basi mnamwonaje Mola Mlezi wa walimwengu ikiwa Nasser Muhammad Al-Yamani ni miongoni mwa wasemao kweli na nyinyi mnajiepusha na khalifa wa Mwenyezi Mungu? Hivi Mungu si atalitiza jambo lake?! Basi mnadhani Mwenyezi Mungu atawafanyia nini walimwengu, hasa wale wanaotakabari miongoni mwao? Lau wangemshukuru Mungu - viongozi wa ulimwengu wa Waarabu na wasio Waarabu - Mungu asingewavua ufalme wao. Badala yake, ataongeza heshima yao kwa utukufu wao na nguvu ju ya nguvu zao. Unaonaje nguvu za watu “Iram dhatil imad” wenye majumba marefu ambazo mfano wake haukuumbwa nchini? Na hapakuwa na mwenye nguvu kuliko wao juu ya uso wa ardhi isipokuwa Mwenyezi Mungu. Kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{فَأَمَّا عَادٌ فَاسْتَكْبَرُوا فِي الْأَرْضِ بِغَيْرِ الْحَقِّ وَقَالُوا مَنْ أَشَدُّ مِنَّا قُوَّةً ۖ أَوَلَمْ يَرَوْا أَنَّ اللَّهَ الَّذِي خَلَقَهُمْ هُوَ أَشَدُّ مِنْهُمْ قُوَّةً ۖ وَكَانُوا بِآيَاتِنَا يَجْحَدُونَ ‎﴿١٥﴾‏ فَأَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ رِيحًا صَرْصَرًا فِي أَيَّامٍ نَّحِسَاتٍ لِّنُذِيقَهُمْ عَذَابَ الْخِزْيِ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا ۖ وَلَعَذَابُ الْآخِرَةِ أَخْزَىٰ ۖ وَهُمْ لَا يُنصَرُونَ ‎﴿١٦﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim[Sura:Fusilat].



Na ijapokuwa adhabu katika kitabu ni kilio kimoja, basi wamelala, isipokuwa wamiliki wa “Iram dhatil imad” wenye majumba marefu ambazo mfano wake haukuumbwa nchini; Kwa hiyo naona kwamba Mungu aliwaua vifo elfu moja vya polepole kwa sababu ya baridi kali ya upepo mkali usio zulika , Alio wapelekea masiku saba, na siku nane, mfululizo bila ya kusita. ,kwa hiyo walikufa katika nyumba zao za dhahabu, za kimadini .Zinazo nyonya sana baridi; kwa hivo aliwapelekea upepo usio na kizuwizi Utaona watu wamepinduka kama kwamba ni magongo ya mitende yalio anguka Kwa sababu hawakumshukuru Mungu kwa kile kilichowawezesha katika ufalme Wa nguvu zao, hivyo walijidhulumu nafsi zao. Lakini ikiwa watamshukuru Mwenyezi Mungu na wakamtii Mtume wa Mola wao Mlezi; Licha ya ukweli kwamba wao ndio wenye nguvu zaidi katika ulimwengu, kama wangeshukuru, Mungu angewazidishia heshima na nguvu kwa nguvu zao. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:


{وَإِلَىٰ عَادٍ أَخَاهُمْ هُودًا ۚ قَالَ يَا قَوْمِ اعْبُدُوا اللَّهَ مَا لَكُم مِّنْ إِلَٰهٍ غَيْرُهُ ۖ إِنْ أَنتُمْ إِلَّا مُفْتَرُونَ ‎﴿٥٠﴾‏ يَا قَوْمِ لَا أَسْأَلُكُمْ عَلَيْهِ أَجْرًا ۖ إِنْ أَجْرِيَ إِلَّا عَلَى الَّذِي فَطَرَنِي ۚ أَفَلَا تَعْقِلُونَ ‎﴿٥١﴾‏ وَيَا قَوْمِ اسْتَغْفِرُوا رَبَّكُمْ ثُمَّ تُوبُوا إِلَيْهِ يُرْسِلِ السَّمَاءَ عَلَيْكُم مِّدْرَارًا وَيَزِدْكُمْ قُوَّةً إِلَىٰ قُوَّتِكُمْ وَلَا تَتَوَلَّوْا مُجْرِمِينَ ‎﴿٥٢﴾‏}
[ 50-52 Sura:Hud].


Wa Ya Subhana Allah Eee Utukufu ni wake Ametakasika Mwenyezi Mungu! Basi wanataka nini baada ya ahadi hii kwao kutoka kwa Mola wao Mlezi ya kuwazidishia utukufu wao na nguvu Ju ya nguvu yao? Basi wakamkataa mwitaji wa Mwenyezi Mungu, na wakafuata amri ya kila jeuri mwenye inda miongoni mwa wazee wa watu wao, na wakamwambia mlinganiaji wa Mwenyezi Mungu (Mtume wake Hud):
{إِن نَّقُولُ إِلَّا اعْتَرَاكَ بَعْضُ آلِهَتِنَا بِسُوءٍ ۗ قَالَ إِنِّي أُشْهِدُ اللَّهَ وَاشْهَدُوا أَنِّي بَرِيءٌ مِّمَّا تُشْرِكُونَ ‎﴿٥٤﴾‏ مِن دُونِهِ ۖ فَكِيدُونِي جَمِيعًا ثُمَّ لَا تُنظِرُونِ ‎﴿٥٥﴾‏ إِنِّي تَوَكَّلْتُ عَلَى اللَّهِ رَبِّي وَرَبِّكُم ۚ مَّا مِن دَابَّةٍ إِلَّا هُوَ آخِذٌ بِنَاصِيَتِهَا ۚ إِنَّ رَبِّي عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ‎﴿٥٦﴾‏ فَإِن تَوَلَّوْا فَقَدْ أَبْلَغْتُكُم مَّا أُرْسِلْتُ بِهِ إِلَيْكُمْ ۚ وَيَسْتَخْلِفُ رَبِّي قَوْمًا غَيْرَكُمْ وَلَا تَضُرُّونَهُ شَيْئًا ۚ إِنَّ رَبِّي عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ حَفِيظٌ ‎﴿٥٧﴾‏ وَلَمَّا جَاءَ أَمْرُنَا نَجَّيْنَا هُودًا وَالَّذِينَ آمَنُوا مَعَهُ بِرَحْمَةٍ مِّنَّا وَنَجَّيْنَاهُم مِّنْ عَذَابٍ غَلِيظٍ ‎﴿٥٨﴾‏ وَتِلْكَ عَادٌ ۖ جَحَدُوا بِآيَاتِ رَبِّهِمْ وَعَصَوْا رُسُلَهُ وَاتَّبَعُوا أَمْرَ كُلِّ جَبَّارٍ عَنِيدٍ ‎﴿٥٩﴾‏ وَأُتْبِعُوا فِي هَٰذِهِ الدُّنْيَا لَعْنَةً وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ ۗ أَلَا إِنَّ عَادًا كَفَرُوا رَبَّهُمْ ۗ أَلَا بُعْدًا لِّعَادٍ قَوْمِ هُودٍ ‎﴿٦٠﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Hud 54-60 ].


Basi nikiyasi gani niliwanasihi Waarabu hasa na wasiokuwa Waarabu kwa ujumla, lakini nyinyi hamuwapendi wanao toa nasahai.


Ewe Mola hawatoridhika na uliyemchagua kuwa khalifa wa Mwenyezi Mungu juu ya dunia nzima Basi utafanya nini? Ee Mwenyezi Mungu, wamejitenga na ukumbusho wako na wakaamini mbinu yako, basi fungua baina yangu na waja wako wanaotakabari kwa uwezo wako na nguvu zako - waja wako wote wanaochukia radhi yako - kwamba unazunguka yaliyomo vifuani. wa walimwengu, Na uongoze yaliyo duni kuliko hayo kwa rehema yako, kwani wewe ni muweza wa kila kitu, bwana bora na msaidizi bora.


Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Wote; Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
خليفة الله على العالم بأسرِه؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ.
______
======== اقتباس =========