Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
Bayana hi imeandikwa kabla ikanukuliwa kwa Tuvoti Ya Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani badae Kwa Tarehe: (22-05-2010)
Wakati: 06:55PM


(Kurudisha Jibu Kwa Ashraf)
( الردّ على أشرف )
{ وَرَفَعْنَاهُ مَكَانًا عَلِيًّا ﴿٥٧﴾ } صدق الله العظيم..


Bismillah Arahman Arahim, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


Ndugu yangu mtukufu, Mungu hakusema kuwa amempandisha mbinguni Nabii wake Idris; Bali Amesema Allah Ta3ala:
{وَاذْكُرْ فِي الْكِتَابِ إِدْرِيسَ ۚ إِنَّهُ كَانَ صِدِّيقًا نَّبِيًّا ﴿٥٦﴾ وَرَفَعْنَاهُ مَكَانًا عَلِيًّا ﴿٥٧﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Maryam].


Kwa maana hakika Idris ameinuliwa hadi mahali pa juu katika ardhi hii katika sehemu ya juu kabisa katika eneo la kati Katika ulimwengu; Nayo ni kisiwa cha uwarabuni, Na katika Eneo la juu kabisa katika Kisiwa ya Arabia ni Uwanda wa Yemen. Na Eneo la juu kabisa nchini Yemen ni eneo la Dhamar. Na mahali pa juu kabisa katika mkoa wa Dhamar ni kijiji cha Al-Aqmar, na hapo ndio pahali pa juu kabisa Ndio ameinuliw Nabii wa Mwenyezi Mungu, Idris, pamoja na ndugu zake Elias, Alyasa3, na Al-Raqeem; Masihi Isa Mwana wa Maryam ambae alinuliwa kwao baadae, Na Akasema Allah Ta3ala:
{إِذْ قَالَ اللَّـهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Imran].


Na Ama Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِذْ قَالَ اللَّـهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ}
Maana yake ni kunyanyua roho ya Masihi Isa bin Maryamu kwa Muumba wake, kama vile anawafisha wanao lala. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{اللَّـهُ يَتَوَفَّى الْأَنفُسَ حِينَ مَوْتِهَا وَالَّتِي لَمْ تَمُتْ فِي مَنَامِهَا ۖ فَيُمْسِكُ الَّتِي قَضَىٰ عَلَيْهَا الْمَوْتَ وَيُرْسِلُ الْأُخْرَىٰ إِلَىٰ أَجَلٍ مُّسَمًّى ۚ إِنَّ فِي ذَٰلِكَ لَآيَاتٍ لِّقَوْمٍ يَتَفَكَّرُونَ ﴿٤٢﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Zumur].


Kwa hiyo mauti yaliyokusudiwa hapa ni kama vile Mwenyezi Mungu anavyozichukua roho za watu katika kulala kwao. Akasema Allah Ta3ala:
{وَهُوَ الَّذِي يَتَوَفَّاكُم بِاللَّيْلِ وَيَعْلَمُ مَا جَرَحْتُم بِالنَّهَارِ}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Al-Annam].
Na vile vile Anapozichukua roho za wafu, kisha anazienua Kwake, kisha Anazishikilia zile alizozihukumu mauti, na anazituma nyingine kwa muda maalumu.


Na sasa tumejua inao kusudiwa Kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِذْ قَالَ اللَّـهُ يَا عِيسَىٰ إِنِّي مُتَوَفِّيكَ وَرَافِعُكَ إِلَيَّ}
Sadaqa Allah Al’3adhim,
Ni Kuwa Yeye anakusudia kuinua roho bila kiwiliwili, Na ama mwili basi inahusuiana Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمُطَهِّرُكَ مِنَ الَّذِينَ كَفَرُوا}
Sadaqa Allah Al’3adhim,
Kwa maana ya kwamba wale ambao waliokufuru hawakupata kutoka kwa mwili wa Masihi Isa mwana wa Mariamu - amani na baraka ziwe juu yake - na hawakumuwa na hawakumsulubu, lakini Mungu alimuunga mkono na Roho Mtakatifu Gabriel na malaika na Mungu aliinua roho ya Masihi Isa mwana wa Mariamu, Na Roho Mtakatifu na wale walio pamoja naye waliinua mwili wa Masih Isa, Mwana wa Mariamu, na wakamtakasa na kumfanya kuwa “Araqim”nambari iliyoongezwa kwa ”As’hab Alkahf” watu wa pango. Ilifananishwa na wale ambao waliokufuru mwili mwingine kwa kudra ya Mungu, lakini Wakristo walidhani kwamba Wayahudi walimuua Masihi Isa, Mwana wa Mariamu, lakini hawakumua na wala hawakumsulubisha. Lakini Wakristo ambao walisema kwamba Mungu ana Mwana, Subhanahu utukufu kwake, hawakuwa na ufahamu wa mwili wa Masihi Isa, Mwana wa Mariamu. Hawajui kuwa Mungu alimtakasa kutoka kwa wale ambao waliokufuru na hawakumgusa na akaongezwa kwa watu wa pango, na Mungu Alikubainishieni hayo katika aya kumi za kwanza za Surat al-Kahf, Akasema Allah Ta3ala:
{الْحَمْدُ لِلَّـهِ الَّذِي أَنزَلَ عَلَىٰ عَبْدِهِ الْكِتَابَ وَلَمْ يَجْعَل لَّهُ عِوَجًا ۜ ﴿١﴾ قَيِّمًا لِّيُنذِرَ بَأْسًا شَدِيدًا مِّن لَّدُنْهُ وَيُبَشِّرَ الْمُؤْمِنِينَ الَّذِينَ يَعْمَلُونَ الصَّالِحَاتِ أَنَّ لَهُمْ أَجْرًا حَسَنًا ﴿٢﴾ مَّاكِثِينَ فِيهِ أَبَدًا ﴿٣﴾ وَيُنذِرَ الَّذِينَ قَالُوا اتَّخَذَ اللَّـهُ وَلَدًا ﴿٤﴾ مَّا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ وَلَا لِآبَائِهِمْ ۚ كَبُرَتْ كَلِمَةً تَخْرُجُ مِنْ أَفْوَاهِهِمْ ۚ إِن يَقُولُونَ إِلَّا كَذِبًا ﴿٥﴾ فَلَعَلَّكَ بَاخِعٌ نَّفْسَكَ عَلَىٰ آثَارِهِمْ إِن لَّمْ يُؤْمِنُوا بِهَـٰذَا الْحَدِيثِ أَسَفًا ﴿٦﴾ إِنَّا جَعَلْنَا مَا عَلَى الْأَرْضِ زِينَةً لَّهَا لِنَبْلُوَهُمْ أَيُّهُمْ أَحْسَنُ عَمَلًا ﴿٧﴾ وَإِنَّا لَجَاعِلُونَ مَا عَلَيْهَا صَعِيدًا جُرُزًا ﴿٨﴾ أَمْ حَسِبْتَ أَنَّ أَصْحَابَ الْكَهْفِ وَالرَّقِيمِ كَانُوا مِنْ آيَاتِنَا عَجَبًا ﴿٩﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim: [Sura:Al-Kahf].
Na huyo ni Masihi Isa, Mwana wa Mariamu, “Araqim” idadi iliyoongezwa kwa watu wa pango,
Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
{أَمْ حَسِبْتَ أَنَّ أَصْحَابَ الْكَهْفِ وَالرَّقِيمِ كَانُوا مِنْ آيَاتِنَا عَجَبًا ﴿٩﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim.


Na lau kua Allah Ameinua kwake mwili wa Isa ibnu Maryam; Basi mbona Ameifisha kwake roho yake - Ju Yake Sala Na Salam - Angekua Ameinua Kiwiliwili na Roho lau ingekua munatafakari? Lakini Ameifisha Allah Kwake roho ya masihi isa mwana wa Maryamu na ikatimu kuinuliwa mwili wake kwnye pahala pako ju katika kisiwa cha warabu, Napo ni pahala hio hio yenyewe ambao Allah Amewahifadhi ndani Yake watu wa pango “As’hab Alkahf”, Na bado wanazali wako Katika pango wote, Na Allah Atawafufuwa Kwenu wote Ndio watakua katika ma aya za Allah za ajabu kwa watu lau ingekua munajua. Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin.


Na ama kuhusu maombelezi “Shafa3a” Nitakujibu kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَىٰ رَبِّهِمْ ۙ لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ ﴿٥١﴾}
Sadaqa Allah Al3adhim[Sura:Al-Annam].


Ikiwa utaona kwamba Imam al-Mahdi Naseer Muhammad al-Yamani ni mwenye huruma zaidi kuliko Mungu, basi uko kwenye upotevu dhahiri. Na ikiwa unajua na kuamini kuwa Mungu ni mwenye huruma zaidi kuliko Muhammad, Mjumbe wa Mungu - sala za Mungu na amani iwe juu yake na ahli yake - na akuhurumie kuliko Nasser Muhammad, umeshinda ushindi mkubwa Na umesimamisha hoja mbele ya Mikono ya Mola wako siku ambayo kila roho itajadili juu ya nafsi yake, kwa hivyo utamhoji Mola wako kwa Sifa ya rehema, basi Mungu hatokanusha imani yako katika ukweli kwamba Yeye ndiye mwenye rehema zaidi, Na kwa rehema zake, atakuingiza kwa waja wake wema. Na ikiwa utauliza mwombezi badala ya Mungu, maombezi ya waombezi hayitokufaidisha Na wewe hauko kwenye njia iliyonyooka mpaka ujue na uamini moyoni mwako kwamba Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema kwako kuliko mama yako na baba yako na kuliko Muhammad Mtume wa Mwenyezi Mungu -Swalah na salamu zimshukie yeye na Aali zake. na kuliko Nasser Muhammad Al-Yemeni na kuliko watu wote. Basi ukajitoa kwa uombezi wa waja wake kwa rehema ya Mwenyezi Mungu, Mwingi wa rehema kuliko wanaorehemu, mbali na wao, na hukuhitaji uombezi wao bila ya rehema ya Mwenyezi Mungu. Na kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
{وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَىٰ رَبِّهِمْ ۙ لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ ﴿٥١﴾}
Sadaqa Allah Al’3adhim.


Je, umejitosheleza kwa rehema ya Mwenyezi Mungu Kutokana na Rehema ya Mahdi anaengojewa ambae Rehema yake ni duni kwako kutokana na Rehema ya Mwenyezi Mungu ni mwingi wa rehema kuliko wanaorehemu ewe Ashraf Al-Masri? Na ulikuwa hujui, na sasa unajua kwamba wale wanaotaraji uombezi miongoni mwa waja Wake badala yake Mungu wamepotea upotofu wa mbali.
Na Mwenyezi Mungu Akuongoze, Na akukitishe akakufanyeni wewe na ndugu zako kuwa imara juu ya haki, na akakuondolea uchafu wa shetani, na Mwenyezi Mungu akakutakasa utakaso kamili kwa rehema yake, na ahadi yake ni ya kweli, naye ni Mwingi wa kurehemu. mwenye rehema.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Nduguyako Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
______
======== اقتباس =========