-21-
Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
24 - ذو الحجة - 1442 هـ
03 - 08 - 2021 مـ
11:28 صباحًا
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
____



الحلُّ لقارعةِ حربِ كورونا والمناخ..
Suluhisho Ya Peke Ya Mtingisho Wa Vita Va Corona Na Hali Ya Hewa


Kutoka kwa Khalifa wa Allah Al’Mahdi Kwa Raisi wa Marekani (Jo Baidan) Na Raisi wa Chaina (Shi Jin) Na Wote Ma Raisi Wa Ulimwengu Na Ma Taifa Yao Yote, Kuweni mashahidi ju ya nafsi zenu na ju ya ma taifa yenu kwamba mimi nime wa balighisha kutoka miyaka kumi na sita kwamba hakika dunia yenu imeisha na imewajieni akhera yenu na imekaribia hisabu yenu na nyinyi muko kwenye mughafala mwakanusha, Na nimewajulisha kua mimi ni khalifa wa Allah Al’Mahdi Ju Yenu, Ameniteua Allah yeye ndio Mfalme wa Ufalme ambae anampa ufalme amtakae na anamondoshea ufalme kwa anae mtaka Huyo kwenu ni Allah Mola wangu mlezi na Mola wenu Mlezi basi mumabudu yeye pekeyake hana mshirika nae, Na munitii mimi ili niwaongoze kwa njia Ya Allah Mwenye Utukufu mwenye kuhimidiwa kwa basira kujua kutoka kwa Allah kitabu cha Allah Al’quran Al3adhim ambao imeteremka ju ya alio khitimisha ma Nabi Na Mitumie Nabi ambae sio msomi Muhammad Mtume wa Allah kwa Al’Quran Al3adhim kwa watu wote kwamba mumabudu Allah pekeyake hana mshirika wala rafiki mwanamke wala mtoto wala hakua nae moja yoyote.


Na enye ma3ashara ya wa’islamu na wa cristo na ma yahudi na wasio amini Mungu na watu wote, Mimi namshuhudisha Allah ju yenu kua nime wajulisha kuhusu syari ya adhabu ambao ilikua iko ndani ya anga kaskazini mwa sayari ya ardhi, Na imeanza kukaribia kwa ardhi yenu kutoka pahala mbali na itawapambazukia kutoka upeo kusini mwa ardhi na itafinika upepo wa ardhi kusini wakati wa kupambazuka kwake, Na hasa kutoka kusini mashariki kwenda kusini magharibi kwa usahihi usio na mwisho wa kueleza, Ndio utume kwa wanao maasi Allah na ma aduwi wa Mtume wake na ma aduwi wa khalifa wake Al’Mahdi naizaki ya moto, Hakika sisemi ju ya Allah ispokua haki na nani alio dhulumu kuliko yule alio mzulia Allah urongo?! Na najilinda kwa Allah niwe katika majahili ama katika wale wanao sema ju ya Allah wasio yajua.


Na namshuhudisha Allah Al’Wahid Al’Qahar mimi ni Khalifa wa Allah Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Natangaza kukufuru kabisa kwa mtazamo wa ongezeko la joto duniani, Na imetangulia fatwa ya Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’yamani kutoka miyaka kumi na sita kwamba walimwengu pindi wakikanusha ulinganizi wa Khalifa wa Allah Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani kwamba Allah Atatangaza vita ju yenu, Kuanzia vita va mvutano ya sayari ya adhabu kutoka pahala mbali na imekua karibu zaidi kuliko ilipo kua kabla ya miyaka kumi na sita na miyezi ya kuhisabu nayo hivi sasa inavutana na jua na mwezi na ardhi, Alinua kiwango cha mtingisho wa vita va Allah va ungezeko ya hali ya joto duniani angani na baharini na bara na kuongezea adhabu ya mbu fulani ambao hamuna ujuzi nae hio kwenu ni mbu wa damu enyi binadamu hio kwenu munao ita coronavirus wala sio corona bali viumbe viko hai ambazo ni smart zimelekezwa kwa maneno ya Allah waishi wenyewe katika bara na baharini na angani, Eee hakika ya corona ni katika mitingisho ya adhabu ya chini huwenda walimwengu wataregea kwa Allah na wa amini kwa Allah pekeyake na wamwabudu pekeyake hana mshirika nae na wa mtii Allah na Khalifa wake Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani, Lakini kwa maskitiko haikuowaongezea adhabu ya Allah ya chini mpaka sasa ispokua kuzidi kufanya il7had kwa Allah Mola Mlezi wa Ulimwengu, Kama kwamba Allah hajakua kitu kipo - Subhanahu kwa yale wanao mshirikisha Ametukuka wa Ta3ala 3Uluwan Kabiran- Na kama kwamba nyinyi ndio mnao tawala ju ya ufalme wa mbingu na ardhi ili musmamishe mtingisho wa vita va Allah va ongezeko la hali ya joto duniani- Subhana Allah Al’3adhim- Basi Wallahi Kisha Wallahi hamutoweza kutawala ju ya ma askari wa Allh wadogo kabisa katika kitabu (mbu wa damu na kizazi chake chote) Na hapana na wala haitowafa quarantine baada ya leo! ispokua ametosheka mwanzo wa jambo kwa kuwafunga na kukata rizki yenu, Ama mwadhani kua nyinyi mutarudi tena quarantine na kufunga ndio awakhafifishie Allah ju yenu kama alivo fanya mara ya kwanza?! Na imetangulia nimewafahamisha kuwapa fatwa kwamba vita va kizazi ya mbu wa damu yule munao mwita corona nae anaongozwa na Allah moja kwa moja wanachukua amri kutoka kwa Mola Mlezi wao ndio watekeleza yale walio amirishwa, Na nawabashiri kua chanjo zenu hakika zitafeli kabisa bila ya faida yoyote na mutatupa chanjo zenu kwenye mapipa ya taka kwakua kwa urahisi sana hamtupata kwenu kutokana na adhabu ya Allah msaidizi awakinge wala kuzuwia kutokana na adhabu yake.


Na mukiwa mwataka suluhisho ambalo iwakinge kutokana na mtingisho wa vita va Allah ya ongezeko la joto duniani na mtingisho wa vita va ma askari wa Allah mmbu wa damu corona; Basi Mumtii Allah na Khalifa wake Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani muitikie mlinganizi wa Allah kwa kumwabudu Allah pekeyake hana mshirika nae ju ya kujua kutoka kwa Allah Al’quran Al3adhim basi musiombe pamoja na Allah yoyote, Na yule ambae anae Mola Pasi na Allah basi amombe pasi na Allah ili awaondoshe maafa ya corona ikiwa nyinyi ni wakweli, Na wala hwatonufaisha ma Nabi wote wa Allah na ma imamu wa kitabu wala Khalifa wa Allah Al’mahdi kusadikisha Katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُلِ ادْعُوا الَّذِينَ زَعَمْتُم مِّن دُونِهِ فَلَا يَمْلِكُونَ كَشْفَ الضُّرِّ عَنكُمْ وَلَا تَحْوِيلًا ‎﴿٥٦﴾‏ أُولَٰئِكَ الَّذِينَ يَدْعُونَ يَبْتَغُونَ إِلَىٰ رَبِّهِمُ الْوَسِيلَةَ أَيُّهُمْ أَقْرَبُ وَيَرْجُونَ رَحْمَتَهُ وَيَخَافُونَ عَذَابَهُ ۚ إِنَّ عَذَابَ رَبِّكَ كَانَ مَحْذُورًا ‎﴿٥٧﴾‏ وَإِن مِّن قَرْيَةٍ إِلَّا نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا ۚ كَانَ ذَٰلِكَ فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا ‎﴿٥٨﴾‏} صدق الله العظيم [الإسراء].


Enye watu mcheni Allah na muamini kua jua kweli limefikilia mwezi kama vile imetokea katika mwezi wa dhi alhija ya mwaka wenu hu 1442 kabla ya kutangulia usiku mchana kwa sababu ya kupita sayari ya saqar, Na je aya ya kufikia jua kwa mwezi ispokua ni onyo kwa watu kwa sababu ya kukaribia sayari ya saqar kwa yule atakae miongoni mwenu kutangulia ama kuchelewa?!


Na enyi ma3ashara ya wana sayansi wa falaki wale ambao wanao zuwia ma ishara ya kufikiliwa ya ki ulimwengu ambao ni onyo kwa wanadamu kuzuwia pakubwa basi hakika ju yenu laana ya Allah ama ju y Nasser Muhammad Al’yamani ikiwa ni katika warongo.


Na ewe Daktari (Jad Alkadhi) Mkurugenzi wa kituo cha utafiti ya kifalaki na kijiofizikia ya ki Egyptian ambae amesubutu kukanusha ishara ya badr kukamilika ya Al’imam Al’mahdi ya mwezi wa dhi alhija ya mwaka hu 1442 na yule ambae kama yeye katika wana sayansi wa falaki katika wanadamu na dini wanao kanusha na wao wajua kua ni haki kutoka kwa Mola wao Mlezi hakika Atawateremshia ju yenu Allah lana yake na malaika wake na watu wote kwa sababu kuwazuwia waislamu kutoamini alama ya kufikiliwa ya ki ulimwengu, Fa Wallahi Thuma Wallahi hakika nyinyi mwajua kwamba haiwezekani kua usiku wa mwezi kua kamili “Albadr” wa mwezi wa dhi alhija ya mwaka wenu hu 1442 jioni ya siku ya juma usiku wa juma mosi kama mfano wa usowezekana kuona mwandamo wa dhi alhija jioni wa siku ya ijuma usiku wa juma mosi kwa watu wa kuchunguza mwandamo wa dhi alhija wa ufalme wa kiarabu saudia, Na sababu kwa urahisi sana kwakua wanasayansi wote wa falaki katika binadamu wanajua kwa yakini kua mwezi utazama kabla kuzama jua siku ya ijuma usiku wa juma mosi kabla tokeo la kushikana kituo cha kati ambao inafanyika katika sehemu ya kupotea kabisa ambao inakua giza kwa kumalizika mwangaza ilio bakia wa dhi alqaida ambao wanajua Wote wana sayansi wa falaki katika binadamu kua itafanyika sa kumi na dakika kumi na saba alfajiri ya juma mosi thalathini ya dhi alqaida kwa wakati wa makaa almukarama na baada kuwachana mwezi mashariki inaanza unywele wa mwangaza wa dhi alhija kubunika mpaka iwe mwandamo wa mwanzo wa mwezi ki falaki jioni ya siku ya juma mosi usiku wa juma pili (Basi hio ni mwanzo wa kutokezea dhi alhija ki falaki kifiziki jioni ya siku ya juma mosi usiku wa juma pili ) Basi hio ni kwa upande wa kifiziki ki falaki hawatafautiani ju yake wawili katika wana sayansi wa kifalaki katika binadamu wote kwamba mwanzo wa kubunika wa dhi alhija kifalaki ni jioni ya jumamosi usiku wa juma pili kulingana na kufanyika kushikana kituoni alfajiri ya juma mosi na kuzama mwandamo wa dhi alhija baada kuzama jua la siku ya juma mosi usiku wa juma pili kulingana na ilimu yenu, Na kwa kila hali yule ambae atafuta haki atakiwa ahakikishe mwenyewe kutokana na hi habari ya kifalaki kuhusu mwanzo wa kubunika dhi alhija ya kwanza kifalaki je nayo imekamilika sharti yake jioni ya siku ya juma usiku wa juma mosi ama jioni ya juma mosi usiku wa juma pili? Na mutaenda kukuta kisowezekana ki sayansi kwa ma hisabu ya falaki ya kifiziki kua haiwezekani katu jioni ya juma 29 dhi alhija usiku wa juma mosi yani kujulisha kutowezekana kua usiku wa juma mosi ni mwanzo wa mwezi wa dhi alhija kwa upande zote haiwezekani kwakua usiku wa juma mosi bado inahisabika ni miongoni mwa hisabu ya dhi alqaida kulingana na hisabu ya kifiziki ya falaki sawa muhakam kabisa.


Kwa hivo enyi ma3ashara ya binadamu natoa qasam kwa Allah Al’wahid Al’qahar haitakiwi iwe kukamilika mwezi “Badr” ya dhi alhija ya mwaka wenu hu 1442 jioni ya siku ya ijuma usiku wa jumaa mosi ispokua ipatikane tokeo la miujiza aya ishara ya kiulimwengu kwa amri ya Allah Mola Mlezi wa ulimwengu! Na nimetangaza ishara ya badar kutimia ya Al’imam Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani kwa amri kutoka kwa Allah kwenye bayana ya kwanza kutokea kufwatana na dhi alqaida ya mwaka hu na ni kawajulisha kua ishara ya badar Al’imama Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani itakua jioni ya siku ya jumaa usiku wa juma mosi (Usiku wa nusu wa mwezi wa dhi alhija) kulingana Alivo nifundisha Molaa wangu Mlezi kwa hisabu ya ishara ya kufikiliwa ya kiulimwengu, Mpaka pindi ikija ahdi yake na ikawa ju ya pua zao wanadamu wote na kwa wanasayansi wa falaki basi hakika hawatoweza kukanusha alama ya kutimia kikamilifu “Badar Atamam” jioni ya siku ya juma usiku wa juma mosi pamoja ya kua kwenye usiku wa juma mosi ilikua ni wakati wa kiabatisho na kukutana kituo cha kati, Kisha wakanza kupiga chenga wakachezea akili za watu wakawafanya wachanganyikiwe kufahu kuwa hili jambo la kawaida na wao wajua kabla na kwamba hakuna ihitilafu ya kifalaki wala hom ya7hzanun, Bali ju yao duwara la huzuni na maovu na akawalani Allah kwa kukufuru kwao na ghadhabu ya Allah ju yao na Amewandalia adhabu chungu.


Na toa Qasam kwa Allah kua wao wajua kua wao ni warongo na mutaona yale Atakayo Wafanyia Allah na Awalani laana kuu ispokua kwa wale walio tubu na wakabainisha ukweli kutoka kwa Mola wao Mlezi na wala hawakuficha aya ya kusadikisha ya kiulimwengu ya khalifa wa Allah Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani basi hakika Allah ni tawaab Mwenye Huruma, Na ama wenye kiburi katika wana sayansi wa falaki awu wale wanao ficha ukweli (Kuonekana mwandamo wa mwezi nao uko katika hali ya kufikiliwa) Basi hakika ameumia mwenye kuifinika na akaificha kwa walimwengu ili Asiokoe Allah walimwengu kwa kusadikisha kwa adhabu ya kudhalilisha hawo Atawalani Allah na watalaniwa na wenye kulani kwakua wao wanakadhibisha ukweli na ilhali wao wajuwa.


Na ala kuli hali enyi ma3ashara ya binadamu njoni ili ni waoneshe ju ya aya ingine itafanyika mwisho wa mwezi wa dhi alhija ya mwezi wenu hu kwa idhini ya Allah, Kwa vile jua limefikia mwezi kufikia pakubwa sana kwenye mwanzo wa mwezi wa dhi alhija ukazaliwa mwandamo wa dhi alhija wa mwaka wenu hu 1442 usiku wa juma ikakutana nae jua nae ni mwandamo usiku wa juma mosi; Basi hatimai kwa -idhini ya Allah- itafinika ki angazo cha unywele wa juma mosi shirini na nane dhi alhija basi aufute Allah kabisa ndio awufanye Allah kama uso za wakanushaji wa aya ya kiulimwengu ipambazuke mwezi umefichika mweusi! Kiasi ya wote wana sayansi wa falaki katika binadamu kwa nyumba ya shirini na nane ya dhi alhija juma mosi na kulingana na ilimu yao kabla kufikia jua mwezi kua mwandamo wa shirini na nane usiku wa juma mosi ya mwezi wa dhi alhija ya mwaka wenu hu 1442 ilio na punguzi bado itatokea kwenye wakati wa kuchelewa katika usiku sana alfajiri ya juma mosi na wajua kua bado wataona wote wanao angalia kutokezea kwake mwandamo umepungua kwa jicho la kawaida, Na hayo ndio mutaykuta katika kalenda zote za wana sayansi wa falaki na ju yao ni kalenda ya kituo cha falaki cha kimataifa kwa kuongozwa na muhandisi (Muhammad Shawukat Uda) Wanajua kwa ma hisabu ya kifalaki sahihi sana kua nyumba ya juma mosi shirini na nane dhi alhija bado itatokea mwandamo ambao inapunguwani usiku sana alfajiri ya juma mosi itaonekana kwa jicho la kawaida kote mashariki mwa ardhi ulimwenguni.


Lakini nipeni ruhusa enyi ma3ashara ya binadamu ambao ni watafiti wa ukweli wote kua nitangaze changamoto kwa uwezo wake Allah Mwenye Utukufu Mwenye Hikima kwa kiambatisho kumalizika uso wa mwezi kabla wakati wake ndio ipambazuke ikiwa haionekani kiza kabla kufikia kukutana kituo cha kati basi hakika hamutowona kwa idhini ya Allah alfajiri ya juma mosi pamoja ya kwamba mwezi utapambazuka mbele ya wanao angalia.


Lakini vipi mutaona mwandamo wa uso wa mwezi ambao umepotea kabla wakati wake hata kama wakati wa kupambazuka kwake uko kwenye kiza kabla kupambazuka jua? Basi vipi mutaona mwezi mweusi umefichika kutokana na mwangaza wa nuru ya miyandamo?! Ama mwadhani hilo ni tokeo la kawaida?! haihat haihat bali hio ni katika ma sharti ya kufikiwa ambao ni hususi ya aya ya Al’imam Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani nayo ni ifichike kizani mwandamo wa mwisho wa mwezi kabla wakati wake na izaliwe kabla wakati wake na ikutane nae jua nao ni mwandamo, Na hukumu ni ya Allah mbora wa kufafanua ikiwa hakumzulia Allah Al’Imam Al’mahdi Nasser Muhammad Al’yamani kua awatangazie wanadamu kua jua limefikia mwezi ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf ikakutana nae ni mwandamo basi hakika Hatokhalifu Allah Ahdi Yake kwa Mja wake Hakika Yeye ni mwenye kusamehe Mrahimu.




Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin ..
Khalifa Wa Allah Ju Ya Ulimwengu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المُرسَلين، والحمد لله ربّ العالمين ..
خليفة الله على العالمين الإمام المهديّ ناصر محمد اليمانيّ.
___

======== اقتباس =========