Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - 10 - 1436 هـ
20 - 07 - 2015 مـ
07:31 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=23483

ــــــــــــــــــ


{ ادْعُوهُمْ لِآبَائِهِمْ هُوَ أَقْسَطُ عِندَ اللَّـهِ ۚ }
صدق الله العظيــــم ..
{ Waiteni kwa baba zao, maana huo ndio uadilifu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu }
Sadaqa Allah Al3adhim ..


اقتباس المشاركة :
"Asili ya mchango imeandikwa kwa njia ya Albakari"
Asalam Alekom Wa Rahamatullah
Sala Na Salam Ju Ya Imamu alio chaguliwa na familia yake waliotwahirika na ma ansar walio tangulia walio bora ama baada ya hapo: Nimemuliza moja katika jama zangu wa karibu na yeye ni katika ma sunni kuhusu mtoto amezaliwa amekuja kwa njia ambao sio ya ki sharia baadae wakaowana wazazi wake kwa sunna ya Allah na Mtume Wake, Nikamuliza je atarithi mtoto wa kiume babake akifa akanijibu harithi vipi hivo nahitaji nifahamu je imenipita kitu sikijuwi nikamwambia yeye haiwezekani hayo hio ni dhulma, Naomba jibu kutoka kwa kitabu na ihakikishwe hi hukmu ni kutoka kwa kitabu na shukran na jazakum Allah kwetu kila kheri.
انتهى الاقتباس


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Wote ma Nabi na Mitume na ma Ansar wao walio tangulia kabla ya kupata madaraka na ukombozi baini na mpaka siku ya dini ..


Na ewe amabe unae uliza, Hakika amekujibu kwa haki ansari abadi, Madamu anajulikana babake basi yeye ni babake na anabeba jina lake. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ Waiteni kwa baba zao, maana huo ndio uadilifu zaidi mbele ya Mwenyezi Mungu }
Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab:5].


Na madamu imethubutu nasaba yake ni mtoto wa nani yeye, Basi Hapo imethubutu sehemu yake katika mirathi wala hadhilumu Mola Mlezi wako yoyote, Na salam ju ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabilalami, Wa Kul aam wa antum tayibun na ju ya haki mumekita mpaka siku ya dini ..


Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
____