Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
22 - 09 - 1430 هـ
12 - 09 - 2009 مـ
12:35 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=1775
ــــــــــــــــــــ

المقصود من معنى رياح المقابر..
Kinacho Kusudiwa Kwa Upepo Wa Makaburi..

Alsalam Ju Ya Atakae Fwata Uongofu Na Ju Ya Atakae Kimbilia msamaha kutoka Kwa Allah Na Ridhwan
imamu Wetu Al'Habib , Je kuna njia ili kuishinda upepo wa makaburi na kumtoa shetani?
Tufaidishe nayo Akusaidie Allah na Akukitishe Katika nji ilio nyoka Na Asalam Alekom Wa Rahmtu Allah Wa Barakatuhu.
Abid Ridhwan Allah.

Bismillah Al'Rahamn Al'Rahim
Nduguyangu Mkarimu, Asalam Alekom Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu.
Na kuhusu akikuchochea uchechezi shetani, Amesema Allah Ta3ala:
{وَإِمَّا يَنزَغَنَّكَ مِنَ الشَّيْطَانِ نَزْغٌ فَاسْتَعِذْ بِاللَّهِ ۖ إِنَّهُ هُوَ السَّمِيعُ الْعَلِيمُ} صدق الله العظيم [فصلت:36].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na Shet'ani akikuchochea kwa uchochezi wewe jikinge kwa Mwenyezi Mungu. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia, Mwenye kujua} Sadaqa Allah Al3adhm [Fusilat:36].

lakini isipokua Upepo wa makaburi basi nayo ni moja katika aina ya uchawi wa kuwaza, Na Amelani Allah Wachwi lana kubwa ila atakae kutubu Na Kuregea, Ispokua lengo lao kutokana na hayo kulingania kwenye shirki kwa njia ya kunyenyekea Watu Wa Makaburi,
Basi Usiwafwate Ma kafirk mafajir wala usimshirikishe Allah Hakika ya shirki ni dhulma kuu.

Na Salam Ju Ya Mitume, Walhamdulillah Rabil3alamin..
Nduguyenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله رب العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ـــــــــــــــــــــــ