Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
04 - 08 - 1428 هـ
18 - 08 - 2007 مـ
12:38 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=1261

ـــــــــــــــــــــ


المهدي المُنتظر ينفي حداً موضوعاً يهودياً يُخالف القُرآن العظيم..
Al’Mahdi Al’Muntadhar Akanakunusha 7hadi Imewekwa Ya Kiyahudi Inakhalifu Al’Quran Al3adhim..


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim
Kutoka kwa Al’Mahdi Al’Muntadhar Khalifa Wa Allah Katika Ardhi Abdul’Na3im Al’A3dham Al’Imam Nasser Muhammd Al’Yamani Kwa Waote Wanazuoni Wa Dini Ya Kislamu Al’Hanif, Al’Salam Alekom Wa Rahmatu Allah Wa Barakatuhu, Al’Salam Ju yetu na ju ya waislamu wote katika wa Mwanzo na katika wa mwisho na katika anga ju Mpaka Siku ya Dini, Na Salam Ju ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin, Alafu Baada ya Hapo..


Enyi Ma3ashara ya wanazuoni wa dini ya kislamu Al’Hanif, Hakika Amenifaya Allah Imamu Wa Umma ili atowe kwangu mwangaza na nitowe watu Kutoka madhulma kiza kwende kwenye Nur mwangaza ispokua mashetani katika majini na watu mpaka waonje maovu walioyafanya, Na niwafanye wlio kando na hawo kwa Idhini ya Allah umma mmoja Twamwabudu Allah Kama inavo paswa kuabudiwa hatumshirikishi Nae kitu wala tusichukuwe kufanya baadhi yetu ju ya badhi yetu miungu pasi na Allah wala tusiombe pamoja na Allah yoyote.


Na enyi ma3ashara ya wanazuoni wa Waislamu, Na TA’llah Sitaki Muwe wajinga musadiki kwamba Mimi Ni Al’Mahdi Al’Muntadhar kama sijanyamazishe ndimi zenu kwa haki kwa mantik ya hi Al'Quran Al3adhim kitabu kilio barikiwa kilio hifadhiwa ambacho haiji ndani yake batil baina ya mikiono yake katika ahdi ya Mtume Wa Allah ili iharerufishwe kuongezwa ma herufu wala nyuma yake baada kufa kwake basi hawatoweza kwamba waongeze ama kupunguza maherufu hata neno moja katika hadithi ya Allah Al'Quran Al3adhim, Na hivo ili iwe Al'Quran Hoja Ya Allah ju yenu ikiwa mutafata hadithi inakhalifu hadithi Ya Allah kijumla na ufafanuzi, Na hakika Ameifanya Allah Kitabu chake kilio hifadhiwa Al'Quran Al3adhim ni hoja yangu ju yenu ama hoja yenu ju yangu basi ama niwabomowe kwa hakika ya ushuhuda ulio wazi ambao ni baini kutoka kwa Al'Quran kuwabomoa ndio niyamazishe ndimi zenu kwa mantik ya haki na hoja za kuqahirisha majadiliano anaijua menye akili na wanae ifahamu ni ulilalbab wenye akili wale ambao hawakatizi na wanasikiza kauli mpaka mwisho alafu wanafwata ilio bora wala haiwachukuwi utukufu kwe dhambi ikiwa watagundua kwamba walikuwa kwenye upotevu ulio wazi, Na ndio watajua kwamba mimi ni haki kutoka Kwa Mola Mlezi wao Al'imam ambae anaengojewa Rahma Ya Allah Ambao imetosheleza kila kitu ispokua walio kata tama na Raham Ya Allah kama walivo kata tama makafiri na watu walio makaburini na hawo ndio mublisun walio kata tama wanamini kama anavo amini shetani rajim kwamba Allah haki na kukusanywa ni haki na pepo ni haki na moto ni haki lakini wanamkufuru Mola Mlezi wo na wao wajua kwamba Yeye ni Haki na kwa Haki wanachukia, Na Wamijua njia ya haki basi hawaichukui ni njia na wakijua njia ya batil wanaichukua ni njia, Na wanamfanya yule anae mzulia Allah ndio rafiki, Wamelaniwa popote walipo wanavamiwa wakauliwa kuliwa ispokua kidogo miongoni mwao katika wale ambao hawajuwi kwamba wakisadiki kwa haki Allah Atawapa kutoka kwake ujira mkuu na Atawaongoza njia ilio nyoka, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَوْ أَنَّا كَتَبْنَا عَلَيْهِمْ أَنِ اقْتُلُوا أَنفُسَكُمْ أَوِ اخْرُجُوا مِن دِيَارِكُم مَّا فَعَلُوهُ إِلَّا قَلِيلٌ مِّنْهُمْ ۖ وَلَوْ أَنَّهُمْ فَعَلُوا مَا يُوعَظُونَ بِهِ لَكَانَ خَيْرًا لَّهُمْ وَأَشَدَّ تَثْبِيتًا ﴿66﴾ وَإِذًا لَّآتَيْنَاهُم مِّن لَّدُنَّا أَجْرًا عَظِيمًا ﴿67﴾ وَلَهَدَيْنَاهُمْ صِرَاطًا مُستقيماً ﴿68﴾} صدق الله العظيم [النساء].
Allah Ta3ala Asema: { Na lau kwamba Sisi Tumewandikia kwamba uweni nafsi zenu na mutoke kwa nyumba zenu hawangifanya ispokua kidogo miongoni mwao na lau kua wangitekeleza yale wanao waidhiwa nayo ingekua kheri kwao na zaidi kukita kwao (66) Basi Tungewapa Kutoka Kwetu ujira mkuu (67) Na Tungeli waongoza njia ilio nyoka (68)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Na k
adhalika atakae tubu katika mashetani wote ma jini na binadamu basi atakuta kwamba Rahma Ya Allah imetosheleza kila kitu, Hata iblisi ambae shetani rajim aduwi wa Allah mkubwa lau yunib atarejea kulekea kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu ametubu na ikhlas basi aje amesujudu kwa Khalifa Wa Allah katika Ardhi kwa kutwii Kusujudia Amri Ya Allah Basi hakika atakuta kwamba Rahma Ya Mola Mlezi wangu imetosheleza kila kitu na kwamba Allah Anasamehe madhambi yote hakika Yeye Ni Ghafur Rahim, Na hivo ni kwajili shetani ni mja miongoni mwa waja Wa Allah katika wale walio fanya israfu ju ya nafsi zao na wakakata tama kutokana na Rahma Ya Allah na inamwigiza kauli ya Allah ilio kusanya kuwaingiza kwenye kauli hio Ambao imelekezwa katika nassi Ya Al'Quran Al3dhim kwa waja Wake wote wale ambao wamefanya israfu ju ya nafsi zao katika kila ya aina ya jinsi kwa ma umma wote kinacho tembea na kinacho ruk, Akasema Allah Ta3ala:
{قُلْ يَا عِبَادِيَ الَّذِينَ أَسْرَفُوا عَلَىٰ أَنفُسِهِمْ لَا تَقْنَطُوا مِن رَّحْمَةِ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ يَغْفِرُ الذُّنُوبَ جَمِيعًا ۚ إِنَّهُ هُوَ الْغَفُورُ الرَّحِيمُ ﴿53﴾ وَأَنِيبُوا إِلَىٰ رَبِّكُمْ وَأَسْلِمُوا لَهُ مِن قَبْلِ أَن يَأْتِيَكُمُ الْعَذَابُ ثُمَّ لَا تُنصَرُونَ ﴿54﴾ وَاتَّبِعُوا أَحْسَنَ مَا أُنزِلَ إِلَيْكُم مِّن رَّبِّكُم مِّن قَبْلِ أَن يَأْتِيَكُمُ الْعَذَابُ بَغْتَةً وَأَنتُمْ لَا تَشْعُرُونَ ﴿55﴾ أَن تَقُولَ نَفْسٌ يَا حَسْرَتَا عَلَىٰ مَا فَرَّطتُ فِي جَنبِ اللَّهِ وَإِن كُنتُ لَمِنَ السَّاخِرِينَ ﴿56﴾ أَوْ تَقُولَ لَوْ أَنَّ اللَّهَ هَدَانِي لَكُنتُ مِنَ الْمُتَّقِينَ ﴿57﴾ أَوْ تَقُولَ حِينَ تَرَى الْعَذَابَ لَوْ أَنَّ لِي كَرَّةً فَأَكُونَ مِنَ الْمُحْسِنِينَ ﴿58﴾ بَلَىٰ قَدْ جَاءَتْكَ آيَاتِي فَكَذَّبْتَ بِهَا وَاسْتَكْبَرْتَ وَكُنتَ مِنَ الْكَافِرِينَ ﴿59﴾} صدق الله العظيم [الزمر].
Allah Ta3ala Asema: { Sema: Enyi waja wangu walio jidhulumu nafsi zao! Msikate tamaa na rehema ya Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu husamehe dhambi zote. Hakika Yeye ni Mwenye kusamehe, Mwenye kurehemu (53) Na rejeeni kwa Mola wenu Mlezi, na silimuni kwake, kabla ya kukujieni adhabu. Kisha hapo hamtanusuriwa (54) Na fuateni yaliyo bora kabisa katika yale yaliyo teremshwa kwenu kutoka kwa Mola wenu Mlezi, kabla haijakujieni adhabu kwa ghafla, na hali hamtambui (55) Isije ikasema nafsi: Ee majuto yangu kwa yale niliyo poteza upande wa Mwenyezi Mungu, na hakika nilikuwa miongoni mwa wanao fanya maskhara (56) Au ikasema: Ingeli kuwa Mwenyezi Mungu ameniongoa, bila ya shaka ningeli kuwa miongoni mwa wenye kumchamngu (57) Au ikasema inapo ona adhabu: Lau kuwa ningeli pata fursa nyengine, ningeli kuwa miongoni mwa wafanya mema (58) Wapi! Bila ya shaka zilikujia Ishara zangu, nawe ukazikadhibisha, na ukajivuna, na ukawa miongoni mwa makafiri (59)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].


Na wakisisitiza ju ya yale walio nayo wamekata tama na Rahma Ya Mola Mlezi wangu Basi hakika Atawazidishia Allah kwa Al'Quran Al3adhim Uchafu ju ya uchafu wao alfu itawasibu adhabu kutoka kwake basi awangamize kuangamiza ama kwa mikono yetu basi tuwauwe kuwauwa, Sunna Ya Allah ju ya wale walio tangulia na wala hutopata kwa Sunna Ya Allah kubadilika.


Na enyi ma m3ashara ya wanazuoni, Hakika wamewatoweni nyinyi kipoti katika ma yahudi kutoka kwa Nur mwangaza kwenda kwa dhulumat makgiza basi wakawatowa kutoka Al'Quran bali kutokana na ma Aya ambazo ni muhakamat ziko wazi maana yake na mukafwata yanao khalifu muhakam ilio wazi maana yake ndani yake na nyinyi hamujuwi, Na lau mungeli kua bado muko kwenye uongofu haingekuja mazazi yangu na zama zangu na kadara ya kudhihirika kwangu ili niwatowe kutoka magiza kwenda kwenye Mwangaza kwa Al'Quran Al:adhim kwa yule atakae miongoni mwenu kunyoka ametubia amerejea kwa Allah, Basi hakika Atamshika Allah Mikono Yake Amtimizie yeye matakwa yake kwa kitendo na amali kwenye njia Ya Al3aziz Al'Hamid, Na Anamongoa Allah anae taka uongofu katika waja Wake na Yuwaongoa Allah kwake mwenye kutaka katika waja wake uongofu na anawaongoa kwake mwenye kurejea katika waja wake, Na wala Hadhulumu Mola wako Mlezi youote basi amongoe huyu na ampoteze huyu bali Anaongoa anae taka uongofu katika waja Wake na An


awacha wale ambao hawataki uongofu kwenye upotevu wao wakiwa hawaoni.
{إِنَّ اللَّهَ لَا يَظْلِمُ النَّاسَ شَيْئًا وَلَٰكِنَّ النَّاسَ أَنفُسَهُمْ يَظْلِمُونَ ﴿44﴾} صدق الله العظيم [يونس].
{ Hakika Allah Hadhulumu watu kitu lakini watu wao wenyewe wanadhulumu (44)} Sdaqa Allah Al3adhim [Yunus].


Na wale wanajitahidi katika kutafuta kuhusu ukwli na wao wanataka haki wala sio ila haki hakika ju ya Allah kwamba Awaongoe kwenye njia ya haki. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالَّذِينَ جَاهَدُوا فِينَا لَنَهْدِيَنَّهُمْ سُبُلَنَا ۚ وَإِنَّ اللَّهَ لَمَعَ الْمُحْسِنِينَ ﴿69﴾} صدق الله العظيم [العنكبوت].
Allah Ta3ala Asema: { Na wale walijitahidi Kwetu Hakika Tutawaongoa Njia Zetu Na Allah hakika yuko na Wema (69)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alankabut].


Na Tallahi Hamutoamini kwa jambo langu kama hamutoskitika ndani ya nafsi zenu basi muogope kwamba mimi labda huwenda Nikawa Al'Mahdi Al'Muntadhaf na nyinyi kwa jambo langu munakanusha, Alafu haiwachukuwi utukufu kwa dhambi alafu mutadabar melezo kutoka mwanzo wake mpaka mwisho wake na nyinyi kwa Allah khashi'in Hali wanyenyekevu mwaogopa, Basi Museme:" Allahuma ikiwa huyu ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli basi tuoneshe jambo lake na utufanye katika walio tangulia kwake, Na akiwa ni mzuwaji kama wazuaji wenzake katika Ma mahdi walio tangulia basi Fanya tuwe na hoja ju yake tumbomoe kutoka kwa Al'Quran Kumbomoa, Na akitubomoa kwa Al'Quran Akanyamazisha ndimi zetu basi hakika atakua ameleta ushuhuda na ametujulisha kwamba Wewe Umemchagua yeye imamu wetu na ukamzidisha ukunjufu zaidi katika ilimu ju yetu na umemfanya ni katika ulilamri kati yetu katika wale Ulio Tuamuru kuwa'tii Baada Ya Allah Na Mtume Wake, Na Ukawafundisha vipi watachunguza hukmu ya haki kutoka Al'Quran kwa yale walikua wanakhitilifiana ndani yake wanazuoni wa hadithi".
Basi Atakae Kusema hivi akiwa mkweli Atamsadiki Allah na atakae kata na akafanya kiburi na wala hakupeleleza na hakuzungumza basi yule Hakumjalia Allah kwake Nur basi hana yeye pakupata Nur.


Na imeisha utangulizi ya maelezo kwa Bayana Ya Haki ya Al'Quran Na Nawaletea kwenu ushuhuda wa kukanusha Kupura mawe kwa mzinifu mwanamume na mzinifu mwanamke Alio olewa ambao Hajateremsha Allah nayo utawala, Na Akateremsha Allah 7hadi Ya Zina katika Al'Quran Akaifanya ni katika Ma Aya za faradhi zilio wazi ambazo ni muhakamat zilio wazi maana yake baini nazo ni msingi wa kitabu, Lakini nyinyi mumeitupa nyuma ya migongo yenu enyi ma3ashara ya wanazuoni wa umma na mukafwata 7hadi wameiweka ma yahudi ili musiweze kuhukumu na mukihukumu mumeiangamiza nafsi, Na Hakuwamuru Allah muiuwe bila ya haki; Bali Amewamuru muwapige mijeledi mzinifu mwanamume na mzinifu mwanamke mijeledi mia moja iwe sawa mzinifu awe ameowa Ama bado haja owa, Basi muwapige mijeledi kila moja wao mijeledi mia moja na wala isiwachukuwe kuwasikitikia katika dini ya Allah na washuhudie adhabu yao kipoti katika waumini kwajili ya wadhi na mazingatio, Na kwa hayo kheze adhimu kwa mzinifu mumini na angetaka lau mumuwe na mufanye kumuwa kwa vizuri kuliko adhabu ya kheze kwa mijeledi mia moja mbele ya kipoti katika waumini, Basi hakika hivo sio kidogo enyi kaumu na tosha nayo 7hdi kwa wale wanao tenda zina hakika hio imekua ni machafu fahisha na amepotea njia.


Na hakika mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar imamu ambae wakila kitu kwa waislamu nasema eee ajabu yangu kwa wanazuoni wa dini ya kislamu hanif wale wajua kwamba kijakazi alio zini ju yake nusu ya alio jihifadhi ambae huru katika adhabu, Na alafu anasema:" Ispokua anakusudia mijeledi mia moja kwa mwanamke huru ambae hajaolewa kwamba apigwe kijakazi ambae ameolewa nusu ya adhabu ya yule ambae mwanamke huru hajaolewa, Na ama mwanamume huru alio owa ama mwanamke huru alio ulewa basi hakuna 7hadi ju yao ispokua kupurwa mawe mpaka kufa" Basi Billah ju yenu je hi ni hukmu ya uwadilifu katika mtazamo wenu enyi ma3ashara ya wanazuoni wa umma? Basi vipi kwamba nyinyi munawapiga mijeledi kijakazi mwanamke ameolewa na mwanamume kijakazi ameoa nusu ya wale huru katika adhabu? Na Alafu munaifanya mijeledi mia moja peke ni ya wale huru wanawake ama wan


aume ambao hawajaowa. Basi muna nini mwahukumu vipi? Hivi hamukupata hukmu iko wazi imejitokeza katika Al'Quran Al3adhim? Na Akasema Allah Ta3ala:
{فَإِنْ أَتَيْنَ بِفَاحِشَةٍ فَعَلَيْهِنَّ نِصْفُ مَا عَلَى الْمُحْصَنَاتِ مِنَ الْعَذَابِ} صدق الله العظيم [النساء:25]؛
Allah Ta3ala Asema: { kisha wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo wekewa waungwana } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:25].
Kwa maana kwamba ju yao nusu ya wale waliojihifadhi katika wanawake huru katika wanawake wawaislamu iwe sawa mwanamke huru ameolewa ama hajaolewa, Basi 7hadi ya zina katika kitabu cha Allah {مِائَةَ جلدة}
{Mijeledi mia moja} Kwa mwanamke huru ama mwanamume huru, Na hivo hivo alio zini katia wajakazi mwanamke ama mwanamune basi kila moja wao nusu ya adhabu ambao ju ya huru mwanamke awu mwanamume katika adhabu iewe sawa kijakazi awe ameoa ama hajaowa, Na hivo hivo kijakazi mwanamke mijeledi hamsini iwe sawa kijakazi ameolewa ama hajaolewa, Basi ju yake nusu ya yule aliojihifadhi kwa dini ambao ni huru waumini wanawake iwe sawa mwanamke huru ameolewa ama hajaolewa basi adhabu yake mijeledi mia moja.


Na mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nalekeza Sulai kwa wanazuoni wa dini ya kislamu hanif nalo ni:" Vipi munapata 7hadi ya zina kwa amah kijakazi wakike katika nassi Ya Al'Quran Al3adhim kwamba 7hadi yake mijeldi hamsini pamoja yakwamba yeye ameolewa, Na Hakuwamuru Allah kwamba mumpige mijeledi mia moja 7hadi ya mwanamke huru mwislamu? Bali Amesema Allah Ta3ala:
{فَإِنْ أَتَيْنَ بِفَاحِشَةٍ فَعَلَيْهِنَّ نِصْفُ مَا عَلَى الْمُحْصَنَاتِ مِنَ الْعَذَابِ} صدق الله العظيم [النساء:25].
Allah Ta3ala Asema: { kisha wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo wekewa waungwana } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:25].


Pamoja ya kua huyu ni amah kijakazi ameolewa alafu munafanya kwa yule mwenzake ambae ni huru alio'olewa kupurwa mawe mpaka kufa! Na je hi ni hukmu ya uwadilifu kwenye mtazamo wenu, Kwani wote si wameolewa kijakazi na alio huru? Basi yule Amah kijakazi mwanamke hamukupata ju yake 7hadi kamili mijeledi mia moja pamoja ya kwamba ameolewa; Bali mijeledi hamsini kwa nassi ya Al'Quran Al3adhim mukasma hio ni nusu ya yule hajaolewa ni mijeledi mia moja ni 7hadi ya yule huru mwanamke ambae hajaolewa! Basi tunasema si huyu mwanamke huru amezini ambae hajaolewa wala hana mume na huyu kijakazi ameolewa akenda akafanya zina basi vipi mutadhani kwamba mijeledi mia moja kwa mwanamke huru hajaolewa! Na ama alio zini mwanamke huru ameolewa basi ni kupurwa mwae mpaka kufa, Kiasi ya kwamba mwanamke Huru na kijakazi wote wameolewa alfu munapata 7hadi ya zina ya kijakazi ameolewa sio ila mijeledi hamsini pekeyake! Na vipi mutafanya kwa mwenzake alio olewa ambae ni huru kupurwa mawe mpaka kufa! Muna nini munahukumu vipi? Basi hakika Allah Ameharamisha Ju Ya Nafsi Yake kudhulumu basi vipi Atawamuru mumpige mijeledi kijakazi alio olewa mijeledi hamsini alafu Awamuru mumpige amahti mja wake mwanamke ambae ni huru alio olewa mupure mawe mpaka kufa subhana Allah kwa yale munayo yasifu! Basi nileteni ushuhuda kwa hi 7hadi kutoka kwa Al'Quran kwa kupura mawe mpaka kufa kwa alio zini mwanamume ama alio zini mwanamke wale ambao ni huru katika waislamu ikiwa nyinyi ni wakweli?
Basi njoni tuhukumu kwa Al'Quran Al3adhim Maregeo ya haki kwa yale wanao khitilifiana ndani yake wanazuoni wa ma hadithi katika sunna mutaenda kupata 7hadi ya zina ni katika inao bainika kua wazi zaidi katika ma Aya Ya Al'Quran Al3adhim ambazo baini na zaidi kuwa wazi, Na hivo ni kwajili ya 7hadi ya zina ni katika ma Aya ambazo ni muhakamat zilio wazi maana yake ambazo Amezifanya Allah ni msingi wa kitabu katika hukmu ya hi Dini ya kislamu ambao ni hanif basi pelelezeni kabla ya ghuna na qalqala Ndio mukafanya hamu yenu kuu kwa Ghuna na qalqala na mukapoteza maana mukawa munahifadhi yale hamuyafahamu kama mfano wa punda anabeba mzigo lakini hafahamu yalioko katika chombo ambao abeba kwa mngongo wake! Na hivo hivi anae soma Al'Quran ili kuhifadhi kabla kutadabar inatabikiana kwake hu mfano, Na hivo ni kwajili Allah Aliwamuru kwa Nassi ya hi Al'Qura


n Al3adhim kutadabar katika ma Aya ya hichi kitabu kilio barikiwa mpaka pindi mukifahamh hadithi ya Mola Mlezi wenu basi hapo itakua kuhifadhi ni sahali kwenu baada ya kufahamu na hamutoisahau kabisa, Na hivi ni kwajili mumeifahamu ikawa nypesi kwenu kuhifadhi kwa wingi ikiwa nyinyi munajua, Basi pelelezeni Surat Al Nur hueenda Allah Akawajalia Nur na yule ambae hakumjalia Allah Nur basi hana pakupata Nur. Akasema Allah Ta3ala:
بِسْمِ اللَّهِ الرَّحْمَٰنِ الرَّحِيمِ {سُورَةٌ أَنزَلْنَاهَا وَفَرَضْنَاهَا وَأَنزَلْنَا فِيهَا آيَاتٍ بَيِّنَاتٍ لَّعَلَّكُمْ تَذَكَّرُونَ ﴿1﴾ الزَّانِيَةُ وَالزَّانِي فَاجْلِدُوا كُلَّ وَاحِدٍ مِّنْهُمَا مِائَةَ جلدة ۖ وَلَا تَأْخُذْكُم بِهِمَا رَأْفَةٌ فِي دِينِ اللَّهِ إِن كُنتُمْ تُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ ۖ وَلْيَشْهَدْ عَذَابَهُمَا طَائِفَةٌ مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ ﴿2﴾} صدق الله العظيم [النور].
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim { HII NI SURA Tuliyo iteremsha na tukailazimisha; tukateremsha ndani yake Aya zilizo wazi ili mkumbuke (1) Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao mijeledi mia moja. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini (2)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].


Na hi ndio 7hadi ya zina ambae Ameiteremsha Allah katika Al'Quran Al3adhim Kwa alio zini mwanamume na alio zini mwanamke katika waislamu ambao ni huru sawa awe alio zini mwanamume ameowa ama bado hajaowa basi 7hadi yao ni sawa mijeledi mia moja katika Al'Quran Al3adhim, Na hakika Amebainisha Allah kwenu kwamba 7hadi sawa ju ya walio huru waislamu mijeledi mia moja kwa alio zini mwanamume ama alio zini mwanamke, Na Akabainisha Allah Kwenu katika sura hio hio Al'Nur kwamba iwe sawa kwa mwanamke huru alio olewa na ambae hajaolewa, Basi endeleni kufwatilia Aya ya Surat Alnur.
{وَالَّذِينَ يَرْمُونَ أَزْوَاجَهُمْ وَلَمْ يَكُن لَّهُمْ شُهَدَاءُ إِلَّا أَنفُسُهُمْ فَشَهَادَةُ أَحَدِهِمْ أَرْبَعُ شَهَادَاتٍ بِاللَّهِ ۙ إِنَّهُ لَمِنَ الصَّادِقِينَ ﴿6﴾ وَالْخَامِسَةُ أَنَّ لَعْنَتَ اللَّهِ عَلَيْهِ إِن كَانَ مِنَ الْكَاذِبِينَ ﴿7﴾ وَيَدْرَأُ عَنْهَا الْعَذَابَ أَن تَشْهَدَ أَرْبَعَ شَهَادَاتٍ بِاللَّهِ ۙ إِنَّهُ لَمِنَ الْكَاذِبِينَ ﴿8﴾ وَالْخَامِسَةَ أَنَّ غَضَبَ اللَّهِ عَلَيْهَا إِن كَانَ مِنَ الصَّادِقِينَ ﴿9﴾ وَلَوْلَا فَضْلُ اللَّهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُ وَأَنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ حَكِيمٌ ﴿10﴾} صدق الله العظيم [النور].
Allah Ta3ala Asema:{ Na wale wanao wasingizia wake zao na hawana mashahidi ila nafsi zao, basi ushahidi wa mmoja wao utakuwa kushuhudilia mara nne kwa kiapo cha Mwenyezi Mungu ya kwamba hakika yeye ni katika wasema kweli (6) Na mara ya tano kwamba laana ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake ikiwa ni miongoni mwa waongo (7) Na mke itamwondokea adhabu kwa kutoa shahada mara nne kwa kiapo cha Mwenyezi Mungu ya kwamba huyu mume ni miongoni mwa waongo (8) Na mara ya tano ya kwamba ghadhabu ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake kama mumewe yu miongoni mwa wanao sema kweli (9) Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yenu na rehema yake, na ya kuwa Mwenyezi Mungu ni Mpokeaji toba (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].


Na je mwataka enyi ma3ashara ya wanazuoni wa umma ataje Allah kwenu adhabu ya zina mara ingine katika Sura Hio hio? Hivi Hakuifafanua kwenu ufafanuzi katika mwanzo wa Sura?
{سُورَةٌ أَنزَلْنَاهَا وَفَرَضْنَاهَا وَأَنزَلْنَا فِيهَا آيَاتٍ بَيِّنَاتٍ لَّعَلَّكُمْ تَذَكَّرُونَ ﴿1﴾ الزَّانِيَةُ وَالزَّانِي فَاجْلِدُوا كُلَّ وَاحِدٍ مِّنْهُمَا مِائَةَ جلدة ۖ وَلَا تَأْخُذْكُم بِهِمَا رَأْفَةٌ فِي دِينِ اللَّهِ إِن كُنتُمْ تُؤْمِنُونَ بِاللَّهِ وَالْيَوْمِ الْآخِرِ ۖ وَلْيَشْهَدْ عَذَابَهُمَا طَائِفَةٌ مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ ﴿2﴾} صدق الله العظيم [النور].
Allah Ta3ala Asema: { HII NI SURA Tuliyo iteremsha na tukailazimisha; tukateremsha ndani yake Aya zilizo wazi ili mkumbuke (1) Mzinifu mwanamke na mzinifu mwanamume, mtandikeni kila mmoja katika wao mijeledi mia moja. Wala isikushikeni huruma kwa ajili yao katika hukumu ya Mwenyezi Mungu, ikiwa nyinyi mnamuamini Mwenyezi Mungu na Siku ya Mwisho. Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini (2)} Sadaqa All


ah Al3adhim [Alnur].


Alafu ikaja kutaja wale ambao wanawasigizia wake zao na hawakua na ushuhuda ispokua wao wenyewe, Akataja 7hadi mara ingine kwa mwanamke alio ulewa. Akasema Allah Ta3ala:
{وَيَدْرَأُ عَنْهَا الْعَذَابَ أَن تَشْهَدَ أَرْبَعَ شَهَادَاتٍ بِاللَّهِ ۙ إِنَّهُ لَمِنَ الْكَاذِبِينَ ﴿8﴾ وَالْخَامِسَةَ أَنَّ غَضَبَ اللَّهِ عَلَيْهَا إِن كَانَ مِنَ الصَّادِقِينَ ﴿9﴾ وَلَوْلَا فَضْلُ اللَّهِ عَلَيْكُمْ وَرَحْمَتُهُ وَأَنَّ اللَّهَ تَوَّابٌ حَكِيمٌ ﴿10﴾} صدق الله العظيم [النور].
Allah Ta3ala Asema: { Na mke itamwondokea adhabu kwa kutoa shahada mara nne kwa kiapo cha Mwenyezi Mungu ya kwamba huyu mume ni miongoni mwa waongo (8) Na mara ya tano ya kwamba ghadhabu ya Mwenyezi Mungu iwe juu yake kama mumewe yu miongoni mwa wanao sema kweli (9) Na lau kuwa si fadhila ya Mwenyezi Mungu juu yenu na rehema yake, na ya kuwa Mwenyezi Mungu ni Mpokeaji toba (10)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur].


Na nini hio adhabu ambao itamondokea yeye mwanamke? Nayo ni 7hadi ya Zina ilio tajwa na imefafanuliwa katika mwanzo wa Sura
{وَلْيَشْهَدْ عَذَابَهُمَا طَائِفَةٌ مِّنَ الْمُؤْمِنِينَ}،
{Na lishuhudie adhabu yao kundi la Waumini}
, Na Hivo ndio adhabu ambao etamondokea yeye mwanamke, Ama mwataka Al'Quran itaje kwenu mara ingine katika Sura hio hio? Akatosheka Kwa kauli Yake:
{وَيَدْرَأُ عَنْهَا الْعَذَابَ}
{ Na mke itamwondokea adhabu }
Nayo ni adhabu ilio tajwa katika mwanzo wa sura enyi ma3ashara ya wanazuoni wa Umma.


Na Labda anataka moja ya wanazuoni kutaka kunikatiza Aseme:" Vipi utafanya hadi ya zina ya mwanamke alio olewa kama 7hadi ya alio zini ambae hajaolewa hana mume? Bali 7hadi ya zina ya mwanamke hajaolewa ni
{مِائَةَ جلدة }
{ Mijeledi mia moja }
Kwajili yeye ana udhuru basi yeye mwanamke amezini kulingana yeye hajaolewa ikamlazimu shahawa yake kwa kuzini, Na ama mwanamke alio olewa basi yeye hana udhuru na 7hadi yake ni kupurwa mawe mpaka kufa". Na alafu anarudisha jibu kwake Al'Mahdi Al'Muntadhar wa kweli Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Akisema: Madamu umempa udhuru kuzini yule ambae hajaolewa basi nini udhru uliompa kwa mwanamke kijakazi alio olewa ambae hapigwi mijeledi ispokua hamsini peke pamoja kwamba yeye ameolewa katika nassi ya Al'Quran hakika wewe ni hakimu mongofu! Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَمَن لَّمْ يَسْتَطِعْ مِنكُمْ طَوْلًا أَن يَنكِحَ الْمُحْصَنَاتِ الْمُؤْمِنَاتِ فَمِن مَّا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُم مِّن فَتَيَاتِكُمُ الْمُؤْمِنَاتِ ۚ وَاللَّهُ أَعْلَمُ بِإِيمَانِكُم ۚ بَعْضُكُم مِّن بَعْضٍ ۚ فَانكِحُوهُنَّ بِإِذْنِ أَهْلِهِنَّ وَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ بِالْمَعْرُوفِ مُحْصَنَاتٍ غَيْرَ مُسَافِحَاتٍ وَلَا مُتَّخِذَاتِ أَخْدَانٍ ۚ فَإِذَا أُحْصِنَّ فَإِنْ أَتَيْنَ بِفَاحِشَةٍ فَعَلَيْهِنَّ نِصْفُ مَا عَلَى الْمُحْصَنَاتِ مِنَ الْعَذَابِ} صدق الله العظيم [النساء:25].
Allah Ta3ala Asema: { Na asiyeweza kati yenu kupata mali ya kuolea wanawake wa kiungwana Waumini, na aoe katika vijakazi Waumini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa imani yenu. Nyinyi mmetokana wenyewe kwa wenyewe. Basi waoeni kwa idhini ya watu wao, na wapeni mahari yao kama ada, wawe wanawake wema, si makahaba wala si mahawara. Na wanapo olewa kisha wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo wekewa waungwana. Hayo ni kwa yule miongoni mwenu anaye ogopa kuingia katika zina. Na mkisubiri ndio bora kwenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa].


Na je imebainika kwenu kwamba 7hadi ya zina ni mijeledi mia moja kw mzinifu mwanamume ama mzinifu mwanamke sawa iwe walikua wameowa ama hawajaowa katika waislamu wanaume ama wanawake wale wako huru? Na ama waja kazi wanaume ama wanawake basi ju yao nusu ya adhabu ya waislamu wanaume ama wanawake ambao huru sawa iwe kijakazi mwanamke hajaolewa ama ameolewa basi 7hadi yake ni mijeledi hamsini katika nassi ya Al'Quran Al3adhim:
{فَانكِحُوهُنَّ بِإِذْنِ أَهْلِهِنَّ وَآتُوهُنَّ أُجُورَهُنَّ بِالْمَعْرُوفِ مُحْصَنَاتٍ غَيْرَ مُسَافِحَاتٍ وَلَا مُتَّخِذَاتِ أَخْدَانٍ ۚ فَإِذَا أُحْصِنَّ فَإِنْ أَتَيْنَ بِفَاحِشَةٍ فَعَلَيْهِنَّ نِصْفُ مَا عَلَى الْمُحْصَنَاتِ مِنَ الْعَذَابِ} صدق الله العظيم [النساء:25].
Allah Ta3ala Asema: { Basi waoeni kwa idhini ya watu wao, na wapeni mahari yao kama ada, wawe wanawake wema, si makahaba wala si mahawara. Na wanapo olewa kisha wakafanya uchafu basi adhabu yao itakuwa ni nusu ya adhabu waliyo wekewa waungwana. Hayo ni kwa yule miongoni mwenu anaye ogopa kuingia katika zina. Na mkisubiri ndio bora kwenu. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kusamehe na Mwenye kurehemu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:25].


Na labda huwenda kutoa sauti ju yetu mwanachuoni mwengine na anazidisha na anatoa povu kama ngamia ambae ameshikwa na wazimu vipi utakanusha Sunna ilio muakada basi hakika amepura Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Yule mwanamke kwa mawe ambae amekuja akakiri baina ya mikono yake kwamba yeye amezini na ametubu kwa Allah kutubu, Na anataka amtakase ndio ampure mawe mpaka kufa?" . Na alafu narudisha jibu kwake kutoka kwa Al'Quran Al3adhim na nibatilishe hu uzushi wa ki yahudi ilio wekwa ju ya Mtume Wa Allah na haikua kutoka kwake kitu na wala haitakiwi kwa Mtume Wa Allah kwamba akhalifu amri ya Mola Mlezi wake Katika Al'Quran Al3adhim kwamba atakae tubu kabla hujaweza kumpata kumtia nguvuni ewe Muhammad Mtume Wa Allah na waislamu basi haitakiwi kwenu musmamishe kwao 7hadi hata kama ni wafisidifu katika Ardhi, Hata kama kua ufisadi katika Ardhi na ikawa 7hadi yake ni kusulubiwa ndio ikatwe kichwa kutoka kwa mwili wake na hajuwi mtu yoyote kwamba ameuwa wala hakuweza kumpata yoyote wala hakujulikana kwamba ameuwa ni yeye ispokua Yule Anae Jua Siri na kilio fichika Yule Ambae Anajua ukhaini wa macho na kinacho ficha vifua lakini yeye amejuta kwa hayo majuto makuu akatubu kwa Allah kutubia alafu akaja kwa hakimu akasema: Mimi ndio nilio muwa fulani ambao hawajuwi watu wake na watu wote katika mijj ambae alie mua na wala sikuwa natafutwa na yoyote wala sio kukiri kwangu ispokua nimetubu kwa Mola Mlezi Wangu basi ikiwa munaona kwamba hukmu ni kunisulubu ndio kikatwe kichwa kutoka kwa mwili basi sijali madamu hio itakua Ameridhika Mola Mlezi Wangu, Alafu hakimu anarudi kwa Al'Quran Al3adhim nini 7hadi ya huyu mwanamume ambae amekuja na kukiri mbele ya mikono yetu kabla hatujampata kumtia nguvuni wala kumshuku wala hatumtafuti Basi atapata Allah Anampa Fatwa katika Al'Quran Al3adhim Aseme: Musimuwe Hakika Tumeinua kwake 7hadi ya Kusulubiwa Ama 7hadi ya kujeruhiwa mikono yake na migu yake kinyume, Na hivi kwajili yeye ametubu kwetu na hakujuwa yoyote kwa tendo lake ispokua Sisi, Akatubu kwa Allah Kutubu akaja kwenu kabla hamujampata basi hakuna 7hadi ju yake baada ya tauba, Na lau angetubu wakati mumempata na ikamjia mauti Hatungekubali tuba yake, Kwajili imemjia mauti na amejua kwamba mutamsulubu kichwa chake Akasema: Mimi Nimetubu sasa. Basi hana toba kwake kwa Mola Mlezi wake wala wale ambao wanakufa na wao makafiri. Akasema Allah Ta3ala:
{إِنَّمَا جَزَاءُ الَّذِينَ يُحَارِبُونَ اللَّهَ وَرَسُولَهُ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا أَن يُقَتَّلُوا أَوْ يُصَلَّبُوا أَوْ تُقَطَّعَ أَيْدِيهِمْ وَأَرْجُلُهُم مِّنْ خِلَافٍ أَوْ يُنفَوْا مِنَ الْأَرْضِ ۚ ذَٰلِكَ لَهُمْ خِزْيٌ فِي الدُّنْيَا ۖ وَلَهُمْ فِي الْآخِرَةِ عَذَابٌ عَظِيمٌ ﴿33﴾ إِلَّا الَّذِينَ تَابُوا مِن قَبْلِ أَن تَقْدِرُوا عَلَيْهِمْ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ غَفُورٌ رَّحِيمٌ ﴿34﴾} صدق الله العظيم [المائدة].
Allah Ta3ala Asema: { Basi malipo ya wale wanao mpiga vita Mwenyezi Mungu na Mtume wake na wakawania kufanya uchafuzi katika nchi, ni kuuwawa, au kusalibiwa, au kukatwa mikono yao na miguu yao kwa mabadilisho, au kutolewa nchi. Hii ndiyo hizaya yao katika dunia; na katika Akhera watapata adhabu kubwa (33) Isipo kuwa wale walio tubu kabla hamjawatia nguvuni. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu (34)} Sadaqa Allah A3adhim [Almaida].


Na nakariri kwa yule atakae kwamba apeleleze Kauli Yake:
{إِلَّا الَّذِينَ تَابُوا مِنْ قَبْلِ أَنْ تَقْدِرُوا عَلَيْهِمْ ۖ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ غَفُورٌ رَحِيمٌ ﴿٣٤﴾} صدق الله العظيم
[المائدة].
{ Isipo kuwa wale walio tubu kabla hamjawatia nguvuni. Na jueni kwamba Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira na Mwenye kurehemu (34)} Sadaqa Allah A3adhim [Almaida],
Alafu hahukumu ju yake ila kwa diya ya kusudi ikiwa ni mauwajii analipa kwa watu wake alio uliwa, Ama arudishe kilio ibwa ama kilio nyanganywa kwa nguvu ama uporaji kwa watu wake basi atakua amekua bari dhima yake na Amekubali Allah tuba yake bamoja ya kwamba yeye ameuwa, Pamoja yakwamba kua nafsi bila ya haki dhambi yake sio kama dhambi kama mfano wake hio dhambi malipo yake na kuhuisha nafsi sio malipo yake kwa kumi mfano wake pekeyake; Bali idadi yake kwa idadi ya kizazi cha Adam kuanzia mzaliwa wa kwanza mpaka mzaliwa wa mwisho, Na dhambi la ku'ua na jema la kuhuisha kwa kuafu hizo pekeyake ndio ziko sawa katika kitabu kwa kulipwa uvu na mema. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَن قَتَلَ نَفْسًا بِغَيْرِ نَفْسٍ أَوْ فَسَادٍ فِي الْأَرْضِ فَكَأَنَّمَا قَتَلَ النَّاسَ جَمِيعًا وَمَنْ أَحْيَاهَا فَكَأَنَّمَا أَحْيَا النَّاسَ جَمِيعًا} صدق الله العظيم [المائدة:32].
Allah Ta3ala Asema: { Atakae uwa Nafsi bila ya nafsi ama fasadi kwenye Ardhi basi ni kama alio uwa watu wote na atakae huisha basi ni kama amehuisha watu wote } Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Maida:].


Na vipi atasubutu Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kwamba Akhalifu Amri Ya Mola Mlezi Wake basi Asmame kumpura Mwanamke amekuja baina ya mikono yake kabla hajamtia nguvuoni Muhammad Mtume Wa Allah (S) Na maswahaba wake na hakujuwa kwa zina yake yoyote akatubu kwa Allah Kutubia, Na amekuja akiwa anatangaza tawuba yake ambao ni ya kweli mbele ya mikono ya Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Alafu Aseme nenda mpaka umzae mtoto, Alafu arudi tena mwanamke kwake mara ingine baada alipo mza mtoto, Alafu Amwambie nenda ukamnyonyeshe alafu amnyonyeshe hauli mbili kamili myaka miwili, Alafu arudi mwanamke alafu amchukuwe mtoto wake kutoka kwa mikono yake Alafu achukuwe mawe yeye na maswahaba wake alafu wamuwe kwa kumpura mawe? Awauweni Allah mbona mwazua! Basi kiyasi gani Wamewachafua Mayahudi Dini yenu mukawafwata kwa kudai kwenu kwamba nyinyi mumeshikilia Sunna ya Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Na nyinyi hamuko katika kitabu cha Allah wala Sunna ya Mtume Wake; Bali mumeshikilia Sunna ya ma yahudi Ambazo zinakhalifu yale yalio kuja katika kitabu cha Allah kwa jumla na ufafanuzi, Alafu munatupa kitabu cha Allah nyuma ya mgongo wenu kwa hoja hajuwi taawil yake ila Allah, ispokua Anakusudia Zilo fanana ndani yake, Thakalatkum umahatukum, Lakini ma yahudi wamewatoweni kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake na iko baini Yaonekana, Na ambao nawapa changamoto nayo na nawabomoa kuwabomoa na naitetea Sunna ya Muhammad Mtume Wa Allah za kweli kwa mantik ya hi Al'Quran Al3adhim Ambao Ameifanya Allah ni maregeo ya Sunna Ya Mtume Wake, Na itakao kua katika sunna kutoka sio Allah wala sio kutoka kwa Allah na Mtume Wake basi tutapata baina yake na baina ya hi Al'Quran ikhitilafu nyingi kwa jumla na ufafanuzi, Na hakika tumebainisha Ma Aya pamoja ya uwazi wake na tukaifafanua kutoka kwa Al'Quran Al3adhim ufafanuzi kwa kaumu wanamini kwa kitabu cha Allah na Sunna za Mtume Wake za kweli ambazo hazikhalifu hi Al'Quran bali inazidisha kuibaini na kufafanua kwa Waislamu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الذِّكْرَ لِتُبَيِّنَ لِلنَّاسِ مَا نُزِّلَ إِلَيْهِمْ} صدق الله العظيم [النحل:44].
Allah Ta3ala Asema: { Nasi tumekuteremshia wewe Ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao, wapate kufikiri } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl:44].


Basi Vipi itakuja Bayana imekhalifu kwa ma Aya ambazo ni muhakamat zilio wazi maana yake katika Al'Quran Al3adhim? Muna nini mwahukumu vipi? Basi nisadikini kwamba mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar na mukikata kunitambua kwa jambo langu enye m3ashara ya wanazuoni wa umma basi hakika mimi nawaita kwajili ya Mubahala kulaniana basi asonge katika tuvoti yangu yule ambae ni zaidi kukufuru kwa hili jambo alafu tufanye ibtihal tufanye lana ya Allah ju ya wahalifu, Basi hakika imezidi mezani kutokana na nyinyi na kutokana na ukimya wenu kutokana na haki na kifua changu kimedhikika ju yenu enye ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu wale ambao


wamechungulia kwa jambo langu katika entarent ya ulimwengu wala hawakutingisha kilio tulia wala hawakuwaeleza wanazuoni wa waislamu kuhusu huyu anae dai Naseer Muhammad Al'Yamani Basi waseme kwamba yuwadai kwamba yeye ni Al'Mahdi Al'Muntadhar basi njoni tuzungumze nae tumbomoe kutka kwa Al'Quran kubomoa ikiwa yuko katika batil tuwakinge wtu kutokana na shari lake ili asipoteze yoyote katika waislamu ikiwa yuko kwenye upotevu ulio wazi, Ama Atubomoe kwa Al'Quran Al3adhim kwa haki alafu tutajua kwamba yeye ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar kabla haijatupata itakao kuwapata makafiri kutokana na sayari ya adhabu ambayo itanyesha mvua ya mawe ya moto basi nisadikini huwenda mukafaulu na mukufuru kwa ma hadithi ya ma yahudi na mariwaya zao zilio wekwa baina ya sunna za Mtume Wa Allah za haki Sala Allahu Aleyhi Wa Alhi Wa Salam, Basi atakae kua na pingamizi kwa khutba yangu hi basi aje kwa mazungumzo na anashukuriwa sharti iwe mazungumzo yetu peke kutoka kwa Al'Quran Al3adhim na hivo nigesema na katika sunna mugeshikilea kwa mahadithi zilio wekwa na ma riwaya zilio shindiliwa na mutajadili nazo hadithi ya Allah amabo iko wazi imebainika na nani mkweli kuliko Hadithi Ya Allah? Alafu munadai kwa hi Al'Quran munaiamini wala haikubaki ila mandishi yake baina ya mikono yenu, Na Atakae kushikilia ameokoka na ameongoka katika njia ilio nyoka, Na atakae kuikata ameanguka akapotea kama kwamba ameanguka kutoka mbinguni wakamnyafura ndege ama ikamtupa upepo pahala pabaya.


Na eee ajabu yangu kwa jambo lenu enye ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu na kila mwenye ulimi wa kiarabu miongoni mwenu anajua maana ya neno
(محصنة لغة وشرعاً) ( Muhsana ki luga na kisharia ): Kwamba Al'muhsana ni yule ambae ameolewa na hivo hivo inasemwa neno la muhsana alio jihifadhi tupu yake kutokana na zina. Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَالَّتِي أَحْصَنَتْ فَرْجَهَا فَنَفَخْنَا فِيهَا مِن رُّوحِنَا وَجَعَلْنَاهَا وَابْنَهَا آيَةً لِّلْعَالَمِينَ} صدق الله العظيم [الأنبياء:91].
Allah Ta3ala Asema: { Na mwanamke aliye linda uke wake, na tukampulizia katika roho yetu, na tukamfanya yeye na mwanawe kuwa ni Ishara kwa walimwengu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbia:91].


Na mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Sijuwi kwa maana ya tatu kwa hili neno katika sharia ya dini ya kislamu ambao ni hanif na almuhsana ni amiolewa na hivo hivo anaitwa ju ya wale walo jihifadhi uke wao katika wanawake waumini. Na Alasema Allah Ta3ala:
{وَمَن لَّمْ يَسْتَطِعْ مِنكُمْ طَوْلاً أَن يَنكِحَ الْمُحْصَنَاتِ الْمُؤْمِنَاتِ فَمِن مِّا مَلَكَتْ أَيْمَانُكُم مِّن فَتَيَاتِكُمُ الْمُؤْمِنَاتِ} صدق الله العظيم [النساء:25].
Allah Ta3ala Asema: { Na asiyeweza kati yenu kupata mali ya kuolea wanawake wa waongwana Waumini, na aoe katika vijakazi Waumini iliyo wamiliki mikono yenu ya kulia } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnissa:25].


Na Awausia Allah waumini kuowa walio jihifadhi uke wao kwajili wao ndio walio na Dini kusadikisha hadithi ya Muhammad Mtume Wa Allah katika kuowa:
[فأظفر بذات الدين تربت يداك] صدق عليه الصلاة والسلام وآله.
[ Basi mchague mwenye Dini utakukuta mchanga mikono yako] Sadaqa Aleyhi Asalat wa Asalam na Alihi.


Na miongoni mwenu anae herufisha Maneno Ya Allah kutokana na pahala pake kwa kufanya taawil na dhambi lake kama dhambi la kumzulia Allah Mola Mlezi wa Ulimwengu na taawil nayo ni msingi basi ikiwa itageuka taawil bila ya haki basi hio ni tahrif kwa Al'Quran kwa njia ya taawil basi museme ju ya Allah yale musoyajua, Na Yeye Amewakataza kwamba museme ju ya Allah yale muso yajua, Na atakae sema ju ya Allah yale asio yajua basi ameasi Amri Ya Al'Rahman na akatii amri ya shetan. Akasema Allah Ta3ala:
{وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُبِينٌ (168) إِنَّمَا يَأْمُرُكُمْ بِالسُّوءِ وَالْفَحْشَاءِ وَأَنْ تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ (169)} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema: { Na wala musifwate khatua za shetani hakika yeye ni aduwi alio baini (168) isopkua anawamuru kwenye ubaya na machafu na kwamba museme ju ya Allah yale musio ya jua(169)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].


Lakini Allah Ameharamisha Kwenu enye ma3ashara ya waislamu kw


amba museme ju ya Allah yale muso yajua. Akasema Allah Ta3ala:
{قُلْ إِنَّمَا حَرَّمَ رَبِّيَ الْفَوَاحِشَ مَا ظَهَرَ مِنْهَا وَمَا بَطَنَ وَالْإِثْمَ وَالْبَغْيَ بغير الحقّ وَأَن تُشْرِكُوا بِاللَّهِ مَا لَمْ يُنَزِّلْ بِهِ سُلْطَانًا وَأَن تَقُولُوا عَلَى اللَّهِ مَا لَا تَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [الأعراف:33].
Allah Ta3ala Asema: { Sema: Mola Mlezi wangu ameharimisha mambo machafu ya dhaahiri na ya siri, na dhambi, na uasi bila ya haki, na kumshirikisha Mwenyezi Mungu na asicho kiletea uthibitisho, na kumzulia Mwenyezi Mungu msiyo yajua } Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:33].


Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَلَا تَقُولُوا لِمَا تَصِفُ أَلْسِنَتُكُمُ الْكَذِبَ هَذَا حَلَالٌ وَهَذَا حَرَامٌ لِتَفْتَرُوا عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ إِنَّ الَّذِينَ يَفْتَرُونَ عَلَى اللَّهِ الْكَذِبَ لَا يُفْلِحُونَ (116) مَتَاعٌ قَلِيلٌ وَلَهُمْ عَذَابٌ أَلِيمٌ (117)} صدق الله العظيم [النحل].
Allah Ta3ala Asema:{ Wala msiseme uwongo, kwa kuropokwa na ndimi zenu: Hichi halali, na hichi haramu - mkimzulia uwongo Mwenyezi Mungu. Hakika wanao mzulia uwongo Mwenyezi Mungu hawatafanikiwa (116) Ni starehe ndogo, nao watapata adhabu chungu (117)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].


Na enye ma3ashara ya waislamu, ispokua amenitumilza Allah ili kuitetea Sunna ya Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kulingana na Uzushi ulio patikana kutoka kwa ma wali wa batil katika sunna almuhammadia ambazo ni za kweli na Wala Haku'wahidi Allah kulinda kuhifadhi Sunna ya uongofu kutokana na uzushi, Na Alasema Allah Ta3ala:
{وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِنْدِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ وَاللَّهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ وَكَفَى بِاللَّهِ وَكِيلًا (81)} صدق الله العظيم [النساء: 81].
{ Na wanasema tunati'i na wanapo toka kwako wanalaza kundi miongoni mwao yale sio ambao umesema na Allah Anaandika wanayo yalaza basi wachilie mbali na umtegeme Allah na tosha Allah kua Wakili (81)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Nissa:81].


Lakini Allah Hakufanya muwe na hoja ju Yake Subhanahu bali ni Ya Allah hoja ambao iliofika kubaligisha basi hakika Amewahidi Allah Kuhifadi kuilinda Al'Quran Kutokamna na uzushi ili iwe Al'Quran ambao ni muhkam ilio wazi maana yake ndio maregeo kwa yale walio khitilifiana ndani yake wanazuoni wa hadithi na hivo ni kua Al'Quran na Sunna ya Bayana Ambao ni Al'Muhumudia Na zote ni Kutoka Kwa Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الذِّكْرَ لِتُبَيِّنَ لِلنَّاسِ مَا نُزِّلَ إِلَيْهِمْ وَلَعَلَّهُمْ يَتَفَكَّرُونَ} صدق الله العظيم [النحل:44].
Allah Ta3ala Asema: { Nasi tumekuteremshia wewe Ukumbusho ili uwabainishie watu yaliyo teremshwa kwao, wapate kufikiri } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl:44].


Na lakini Bayana Ya Al'Quran kwenye Sunna Ya Al'Muhumudia Hatamki nayo Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Kutoka Kwake; Bali Hivo hivo Bayana Ya Al'Quran Katika Sunna Ni Kutoka Kwa Allah. Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{فَإِذَا قَرَأْنَاهُ فَاتَّبِعْ قُرْآَنَهُ (18) ثُمَّ إِنَّ عَلَيْنَا بَيَانَهُ (19)} صدق الله العظيم [القيامه].
Allah Ta3ala Assma: {Tunapo usoma, basi nawe fuatiliza kusoma kwake (18) Kisha ni juu yetu kuubainisha (19)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Qiyama].


Kwahivo enyi Ma3ashara ya waislamu, Hakika imebainika kwetu kwamba Sunna Al'Muhummudia ispokua imekuja kutoka kwa Allah ili izidishe Al'Quran kubainika na kufafanua, Basi hakika haitakiwi kwa Bayana kwamba izidishe Al'Quran ispokua Kuzidi kuifafanua, Na Wala Haitakiwi iwe baina ya Kitabu Cba Allah na Sunna za Mtume Wake ikhitilafu yoyote, Na kwa hakika Amewajulisha Allah kwamba ma hadithi ambazo munakhitilifiana ju yake basi kwamba musmame kupeleleza Katika Ma Aya ya Al'Quran ambazo muhakamat ilio wazi maana yake ambazo ziko wazi baini, Basi ikiwa hi hadithi ambao ni ya kussuni ni kutoka kwa sio Allah hakika nyinyi mutaikuta baina yake na baina ya Kitabu Cha Allah ikhitilafu nyingi.


Na hivo ni kwajili Allah Hakuwaahidi kuhifadhi Sunna ya AlMuhumudia Bali Amewaahidi kuhifadhi Al'Quran na ama Sunna basi Hakuwaahidi kuhifadi Na Akawae


leza kwamba ma aduwi Wa Allah wanalaza mbinu kuu kwa njia ya Sunna Al'Muhummudia lakini Allah hakufanya hayo ni hoja yenu ikiwa watawapotea katika njia ilio nyoka, Bali ni Ya Allah Hoja ilio fikisha Basi Hakika Amewahifadhia nyinyi Al'Quran Kutokana na uzushi Alafu Akawamuru Kwamba iwe Al'Quran ni maregeo kwa yale mulio khitilifiana ndani yake katika Ma Hadithi ya Sunna. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
: {وَيَقُولُونَ طَاعَةٌ فَإِذَا بَرَزُوا مِنْ عِنْدِكَ بَيَّتَ طَائِفَةٌ مِنْهُمْ غَيْرَ الَّذِي تَقُولُ وَاللَّهُ يَكْتُبُ مَا يُبَيِّتُونَ فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ وَكَفَى بِاللَّهِ وَكِيلًا (81)} صدق الله العظيم [النساء].
{ Na wanasema tunati'i na wanapo toka kwako wanalaza kundi miongoni mwao yale sio ambao umesema na Allah Anaandika wanayo yalaza basi wachilie mbali na umtegeme Allah na tosha Allah kua Wakili (81)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Nissa].


Na Enyi Ma3ashara ya mataifa ya Al'islamia kuweni ma shahidi ju ya wanazuoni wenu kwa haki na hi Bayana ni Bayana Ya Haki na tosha nayo kua ni ushuhuda kutoka kwa Al'Quran kwamba wazushi ju Ya Allah Na Mtume Wake katika wanazuoni wa mayahudi
hakika wamewatoeni kutokana na haki na wakawapotezeni kutoka kwa Njia ilio Nyoka, Na hakika wakinibomoa wanazuoni wa Umma kwa ilimu nayo ina uongofu kuliko hi basi imebainika kwa waislamu kwamba Naseer Muhammad Al'Yamani yuko katika upotevu baini basi asimfwate yoyote katika waislamu ndio ampoteze kwa njia ilio nyoka ikiwa Naseer Muhammad Al'Yamani yuko katika upotefu ulio baini, Lakini mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar wa kweli Kutoka Kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu ikiwa sikuwafinika kuwazidi ju ya wote wanazuoni wa waislamu kwa utawala wa ilimu kutoka kwa Al'Quran Al3adhim basi hakika iwe ju yangu lana ya Allah kama alivo mlani Allah ibilisi mpaka siku ya Dini Na atakae kubainika kwake kua ni haki katika Bayana ya haki alafu asinusuru haki ama kuitambua na akanyamaza kutokana na haki basi atakae kunyamaza kwa haki ni shetani bubu, Na hakika lana ya Allah ju ya wahalifu.


Na Enyi Ma3ashara Ya Wanazuoni Wa Waislamu, Hamuna Khiari kwenu ama mukiri kwa haki kwa kusadikisha basi nidhihirike kwajili ya kunipa beyaa kwenye Nyumba Ya Zamani ikiwa nyinyi munaniona ju ya Haki na naongoa nayo kwa njia ilio nyoka na ikiwa mawaniona niko ju ya batil na upotevu baini basi nileteni ilimu nayo ina uongofu kuliko hi ikiwa nyinyi ni wakweli! Na Natoa Qasam kiapo Kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu Kiapo kimetangulia hakika nitawanyamazisha ndimi zenu kwa haki mpaka iwe kwenu hamuna khiyari ispokua kuamini na kukiri kutambua haki ili nidhihirike ama kukanusha na kukufuru kwa Al'Quran Al3adhim Naalafu Awangamize Allah pamoja Na Wale Walio Vuka mipaka katika miji wakazidisha ndani yake ufisadi ndio awamiminie Allah ju yeny na ju yao Sauti ya Adhabu kwa mawe kutokana na moto wa sijil yamelekezwa kutoka kwa Mola Mlezi Wako nayo haiko mbali kwa wahalifu, Na hio ni kutoka kwa Sayari ya Sijil iko chini ya Ardhi saba baada ya Ardhi Yenu nayo ni ile wanaoita Sayari ya kumi nibros ndio wanavo ita wamagharibi basi mukikadhibisha Atanidhihirisha Allah kwa Sayari (Planet X ) Adabu Chungu Ju yenu na ju yao kwenye usiku na wewe ni katika wanyonge, Na hivo ni sharti katika ma sharti ya Saa kuu Ameifanya Allah ni ishara katika ma Alama ya kumsadikisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli yule ambae wamemkanusha Waislamu wote na wote watu na yeye ni Khalifa Wa Allah Ju yao katika Ardhi amemtumiliza Allah Kwa Bayana Ya Kweli Ya Al'Quran kutoka kwa Nafsi ya Al'Quran ili iwe ni ushuhuda wake kwamba Allah Amemfanya Khalifa ju yao basi hawakunisadiki ispokua kidogo, Na Atakae mkadhibisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ambae anawahoji watu kwa Al'Quran basi hakika amekadhibu Al'Quran na akakanusha na hukumu ni ya Allah na Yeye Ni Mwepesi Wa Kufanya Hisabu, Na hakika nimesimamisha ju yenu hoja kwa ulinganizi kwa Allah ju ya basira kujuwa kutoka kwa Mola wangu Mlezi na wakwanza walio ni kadhibu wao ni waislamu! Basi kwa haki gani munanikadhibu na nini hio huja yenu ju yangu ikiwa nyinyi ni wakweli? Basi muna jambo gani hamunisikizi kama kwmba mimi nawait


a viziwi hawasiki mabubu kwa nyuma yao basi hawakusikia mwito Ama nyinyi kwa Ma Aya Ya Al'Quran Al3adhim Hamuamini enyi ma3ashara ya waislamu Akasema Allah Ta3ala:
{فَإِنَّكَ لَا تُسْمِعُ الْمَوْتَى وَلَا تُسْمِعُ الصُّمَّ الدُّعَاءَ إِذَا وَلَّوْا مُدْبِرِينَ (52) وَمَا أَنْتَ بِهَادِي الْعُمْيِ عَنْ ضَلَالَتِهِمْ إِنْ تُسْمِعُ إِلَّا مَنْ يُؤْمِنُ بِآَيَاتِنَا فَهُمْ مُسْلِمُونَ (53)} صدق الله العظيم [الروم].
Allah Ta3ala Asema: { Kwani wewe hakika huwafanyi maiti wakasikia, wala viziwi wakasikia wito wakisha geuka kukupa mgongo (52) Wala wewe huwaongoi vipofu na upotovu wao. Huwasikilizishi ila wanao ziamini Aya zetu. Hao ndio Waislamu, walio nyenyekea (53)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alrum].


Na imeanza Dini haijulikani mgeni katika zama za kuteremshwa alafu akashtaki Muhammad Mtume Wa Allah kaumu yake kwa Mola Mlezi wake. Akasema Allah Ta3ala:
{وَقَالَ الرَّسُولُ يَا رَبِّ إِنَّ قَوْمِي اتَّخَذُوا هَٰذَا الْقُرْآنَ مَهْجُورًا} صدق الله العظيم [الفرقان:30].
{ Akasema Mtume Ewe Mola Mlezi Wangu hakika kaumu yangu wameifanya hi Al'Quran ni kihamo} Sadaqa Allah Al3adhim [Alfurqan:30].


Na kadhalika Nashtaki kwa Mola Mlezi Wangu Katika Zama Za Taawil Na Nasema Kama Alivo Sema Babu Yangu:
{يَا رَبِّ إِنَّ قَوْمِي اتَّخَذُوا هَٰذَا الْقُرْآنَ مَهْجُورًا} صدق الله العظيم .
{ Ewe Mola Mlezi Wangu hakika kaumu yangu wameifanya hi Al'Quran ni kihamo} Sadaqa Allah Al3adhim.


Al'Nasser Wa Kitabu Cha Allah Na Sunna Za Mtume Wake Za Haki; Al'Imam Naseer Muhammad Al'Yamani.
الناصر لكتاب الله وسنة رسوله الحقّ؛ الإمام ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــــ