Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
10 - ذو الحجّة - 1439 هـ
21 - 08 - 2018 مـ
01:22 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ili kufwatilia cha bayana asili]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=35676
ــــــــــــــــــــــــ


مباركةٌ لجميع الأنصار في العالمين ولكافة شعوب المسلمين المتّقين وبشارةٌ لقاداتهم وعلمائهم المعرضين أجمعين ..
Baraka Kwa Wote Ma Anssar Katika Ulimwengu Na Wote Watu Waislamu Wacha Mungu Na Bishara Kwa Viongozi Wao Na Wanazuoni Wao Wanao
Kanusha Wote ..


Bismillah Al'Rahmani Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Ma Nabi Na Mitume Wote Katika Majini Na Binadamu Wote kuanzia Kwa Baba yetu Adam Mpaka Alio Khitimisha Ma Khalifa Wa Allah Wote Wala Hakumfanya Allah Ni Nambi Wala Mtume Bali Nassera Muhammaen, Na Sifa Ya kutumilizwa kwangu kwenye jina langu "Nasseran" Mnusura kwa yale alio waletea nayo Muhammad Mtume Wa Allah ikiwa munaamini kwa yale yalio teremka ju ya Nabi ambae ni ummi ambae ni mwarabu ambao ilio andikwa katika Taurati na injili na Al'Quran Al3adhim, Na hakufanya Allah Ushuhuda wake katika majina yake; Bali kwenye Ma Bayana utawala wa ilimu yake Al'Quran Al3adhim inao tawala ju ya Taurati Na Injili Na Mahadithi Al'Sunna Al'Nabawia, Na Natoa shahada kwa Allah Shahada Nahisabiwa ju yake baina ya Mikono ya Allah ikiwa mimi ni katika warongo kwamba atakae kushikilia kwa yale yamekuja yamekhalifu ma Aya Muhakamat zilio wazi maana yake ambazo baini katika Al'Quran Al3adhim Kwa waislamu wa kawaida na wanazuoni wao basi atakae kushikilia kwa yale yalio khalifu ma Aya ambazo ni msingi wa kitabu Ambazo ni muhakamat zilio wazi maana yake akashikilia kwa yale ambao inakhalifu katika Taurati na Injili na ma hadithi zilio shindiliwa katika sunna basi hakika amekadhibu Maneno Ya Allah na hakufungamana kwa kamba ya Allah Al'Quran Al3adhim; Bali amejifunga kwa yale yamekuja kutoka kwa sio Allah yani ni kutoka shetani maluni, Na hatimai atamshirikisha Allah, Na atakae kumshirikisha Allah ni kama kwamba ameshikiliea uzi ya nyumba ya popo imeangikwa katika mbingo ya Dunia, Basi imkatikie nae basi aka'anguka kama kwamba ameanguka kutoka mbinguni ndio wamnyafure ndege ama impeperushe upepo katika pahali pabaya katika moto wa jahanam ambao unakurubia kwa Ardhi yenu ndio ipite ju ya Ardhi yenu kwa mbali na Ardhi yenu karibu kuliko jua kwa sana, Basi mutaiona kwa jicho la yakini, Alafu ita'angalia ndani ya nyoyo zenu, Basi itaona nyonyo zilio nawiri na nyoyo zilio na giza zimekufa kwa kumtaja Allah ndio itawarushia kwa tete inapiga katika kichwa na inatoka sehemu yake ya nyuma kwa yule ambae alikua amesimama, Ama alikua amejibwaga ndio itampata kwa tete nyingi, Na yule atakae kujificha kwenye nyumba yake inapeynya tete zake nyumba yake ndio imfikie mauti kutokana nayo hata kama angekua yuko katika majumba yenye ngome zilio dhibitiwa kwa chuma na smiti basi hakuna kuepukana na adhabu Ya Allah, Basi kimbieni kukimbia kutokana na Allah Al'Wa7hid Al'Qahar Kulekea kwake kwa kutubu na kutaka na kumfwata mlinganizi kwa njia ilio nyoka kwa yule anae taka kufwata njia ilio nyoka kwa yule atakae kufwata njia ilio nyoka basi ajuwe hakika Mola Mlezi wangu Yuko Katika Niia ilio nyoka.
Kusadikisha Kwa Kauli Ya Mola Mlezi wangu Hapana Mola Ila Yeye, Amesema Allah Ta3ala:
{إِنِّي تَوَكَّلْتُ عَلَى اللَّـهِ رَبِّي وَرَبِّكُم ۚ مَّا مِن دَابَّةٍ إِلَّا هُوَ آخِذٌ بِنَاصِيَتِهَا ۚ إِنَّ رَبِّي عَلَىٰ صِرَاطٍ مُّسْتَقِيمٍ ﴿٥٦﴾} صدق الله العظيم [هود].

Allah Ta3ala Asema: {Hakika mimi nimemtegemea Mwenyezi Mungu, Mola Mlezi wangu na Mola Mlezi wenu. Hapana kiumbe yeyote ila Yeye anamwendesha atakavyo. Hakika Mola wangu Mlezi yuko juu ya Njia Iliyo Nyooka(56)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].

Basi Ambae anataka kufwata njia kwa Al3aziz Al'Hamid Basi na afwate Bayana Ya Al'Quran Kwa Bayana Ya Al'Quran Al'Majid Ndio aongoke kwa njia ya Al3aziz Al'Hamid. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{الر ۚ كِتَابٌ أَنزَلْنَاهُ إِلَيْكَ لِتُخْرِجَ النَّاسَ مِنَ الظُّلُمَاتِ إِلَى النُّورِ بِإِذْنِ رَبِّهِمْ إِلَىٰ صِرَاطِ الْعَزِيزِ الْحَمِيدِ ﴿١﴾ اللَّـهِ الَّذِي لَهُ مَا فِي السَّمَاوَاتِ وَمَا فِي الْأَرْضِ ۗ وَوَيْلٌ لِّلْكَافِرِينَ مِنْ عَذَابٍ شَدِيدٍ ﴿٢﴾} صدق الله العظيم [إِبراهيم].


Allah Ta3ala Asema: {Alif Lam Ra. (A. L. R.) Hichi ni Kitabu tulicho kiteremsha kwako ili uwatowe watu kwenye giza uwapeleke kwenye muwangaza, kwa idhini ya Mola wao Mlezi, uwafikishe kwenye Njia ya Mwenye nguvu, Msifiwa (1) Naye ni Mwenyezi Mungu ambaye ni vyake Yeye vyote viliomo katika mbingu na ardhi. Na ole wao makafiri kwa adhabu kali (2)} Sadaqa Allah Al3adhim [Ibrahim].
Akasema Allah Ta3ala:
{فَإِنْ أَعْرَضُوا فَقُلْ أَنذَرْتُكُمْ صَاعِقَةً مِّثْلَ صَاعِقَةِ عَادٍ وَثَمُودَ ﴿١٣﴾} صدق الله العظيم [فصلت].

{ Basi wakipuuza wewe sema: Nakuhadharisheni adhabu mfano wa adhabu ya A'di na Thamudi (13)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat].

Ala Wallah Aladhi La Ilaha Gheyrahu hakika atakae kunikhalifu nilio ya hukumu baina yenu katika Dini Ya Allah kwa yale mulikua munakhitilifiana ndani yake basi hakika yeye ashakhalifu hukmu ya Allah Al'Wahid Al'Qahar katika muhakam ya ukumbusho, Na je nilikua na sharti ju yenu ispokua sharti moja nayo mukubali Allah Ndio Anahukumu baina yenu kwa yale mulikua munakhitilifiana ndani yake? Na Je Ju ya Al'Yamani Al'Muntadhar Ambae yeye ndio Dhati yake Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ispokua awachunguzie nyinyi ma hukmu ya Allah kwenye Ma Aya katika Al'Quran Ambazo baini na zinazo bainisha kwa waislamu wote na wanazuoni wao? Na wala hakufuru kwa hukumu ya Allah ndani yake ila ma fasiki ambao ni wanafik wakanushaji wale ambao wanafurahia kwa ile ilimu walio nayo ya batil wakatosheka nayo kuhusu Maneno ya Allah basi Akatosheka Nawo Allah Akafanya katika nyoyo zao kinga kutoifahamu nayo ni upofu ju yao hakika wao hapana wala hawato'ona haki kutoka Kwa Mola Mlezi wao itakavo kua wazi uwazi wa jua, Na je anakua sawa kipofu na mwenye kuona? Na Wala Hakuwadhulumu Allah; Bali walikua wao nafsi zao wadhulumu, Kwakua hawafwati yale Alio Teremsha Allah katika muhakam ilio wazi maana yake katika kitabu chake kwasababu imekuja inakhalifu yale walio nayo katika ma hadithi za shetan rajim ni kutoka kwa sio Allah na Mtume Wake, Lakini pindi wakipata Aya inawapa mkono kwa yale walio nayo katika ma hadithi za kweli ambazo ni kutoka kwa Allah na Mtume Wake basi haraka wanajahidiana na watu jihadi kubwa, Lakini pindi zikija ma Aya kumi kumi zinakhalifu ma hadithi ambazo zimenasibishwa Urongo ju Ya Allah na Mtume Wake basi hapo waniacha Al'Quran na wasema:" Kwani wewe ndio una ilimu ama asalaf asaleh?"! Hawo mfano wao kama mfano wa mayahudi wanamini baadhi ya kitabu na wanaiacha baadhi, Na jaza yao ni kheze katika maisha ya dunia, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{أَفَتُؤْمِنُونَ بِبَعْضِ الْكِتَابِ وَتَكْفُرُونَ بِبَعْضٍ ۚ فَمَا جَزَاءُ مَن يَفْعَلُ ذَٰلِكَ مِنكُمْ إِلَّا خِزْيٌ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يُرَدُّونَ إِلَىٰ أَشَدِّ الْعَذَابِ ۗ وَمَا اللَّـهُ بِغَافِلٍ عَمَّا تَعْمَلُونَ ﴿٨٥﴾} صدق الله العظيم [البقرة].

Allah Ta3ala Asema: {Je! Mnaamini baadhi ya Kitabu na mnakataa baadhi yake? Basi hana malipo mwenye kutenda hayo miongoni mwenu ila hizaya katika maisha ya duniani, na Siku ya Kiyama watapelekwa kwenye adhabu kali kabisa. Na Mwenyezi Mungu si mwenye kughafilika na yale mnayo yatenda(85)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].


Eee hakika wote ma shia na ma sunni wote wao ni ma sunni hawafwati kwenye kitabu ispokua yalio kuja yanawafikiana na yale walio nayo katika ma hadithi na ma riwaya na yatakae kuja yamekhalifu kwa yale walio nayo wanawacha ma Aya ya kitabu ambazo ziko baini ambazo zimekhalifu kwa yale walio nayo na wakajifunga kwa yale yanao khalifu kwa muhakam iko wazi maana yake kitabu cha Allah, Na Vipi wanahisabu kwamba wao wameongoka? Bali kama kwamba Allah na Mtume wake Amewambia wao kwamba wafanye ma hadithi katika sunna ndio ni maregeo kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim na kwamba inaokuja katika Al'Quran imekhalifu kwa hadithi yoyote basi waiwache Al'Quran na wachukuwe hadithi ambae imeikhalifu ne!! Lakini Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani nasema mumedangaya kwa kikanyagio cha kiatu cha mgu wangu, Wala Hakasema Allah hivo wala Mtume Wake; Bali kinyume ju ya yale mulio nayo ambao mumejifunga nayo, Amewamuru Allah na Akawamuru ma yahudi na ma nassara kwamba iwe muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran ndio inao wazidi ju yao na ni maregeo kwakua imehifadhiwa kutokana na kuongeza maherufu tahrif, Na wala Hakuwahidi Allah kuhifadhi Taurat na injil na mahadithi ya sunna sawa iwe kutoka kwa ma sahaba kwa jumla ama kutoka kwa Ma imamu wa Ahlu'lbeyt kutoka kwa Mtume Wa Allah, Basi itakao khalifu kwa muhakam kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim basi sio kutoka kwa Mtume Wa Allah Wala Hakuisema Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam.


Na Id Mubark, Na Baada Yake Nawabashiri wakanushaji kwa adhabu ya siku ya moshi wakati Atakapo Allah katika mwezi wowote na katika milele yoyote asa iwe karibu, Na nyinyi kwa mlinganizi wa haki munakanusha, Na wala sijuwi nini niwabashiri nayo! Na jee Kwa Kimbunga Adhimu? Ama kwa kijisayari cha (naizak) Adhabu ya siku uchungu? Ama kwa adhabu ya mvua ya majabali ya barafu kama mawe? Ama kwa adhabu ya tofan ju yenu? Ama kwa adhabu ya zilzala kutoka chini ya migu yenu? Na tanuri limefura na ikapanda daraja ya harara ya jua na nyinyi munajua, Ama tuwahadhirishe kwa ma tete kutoka kwa syari ya Moto, Basi mvua mbaya mvua ya tete kutokana na moto hio kwenu ni adhabu ya siku ya moshi?


Na lini mutaamini kwamba hakika Allah Al'Wahid Al'Qahar Yeye Ndio Mubaji na Anae endesha enyi ma3ashara wanao abudu mazingara asili? Fawallah Thuma Wallah Haifanyi zilzala Ardhi yenyewe ila kwamba Aipe Wa7hu kuiambia Allah Ambae ndio Mundeshaji ju ya ufalme wa mbingu na Ardhi. Awauweni Allah enyi Watu Wa maafa ya ki Asili, Fawallah hakika ya wanyama wana Akili kuliko nyinyi; Bali nyinyi mumepotea zaidi kwa njia kwakua Allah amewatafautisha kwa Akili lakini nyinyi mumehama kutafakari kwa akili yenu kwa yale Alio teremsha kama kuhama kwenu kwa Al'Quran Al3adhim, Mukapendekeza inao nukuliwa ilio danganywa ju ya Allah na Mtume Wake ju ya ile ambao Amewahidi Allah kuihifadhi, Basi Kuanzia miyaka Alfu na mia inne haikutimu kuherufishwa wala kuzaifishwa ispokua nyinyi mumeweza kuiherufisha peke kwa njia ya kufasiri kwa maneno kutoka kwa nafsi zenu na kwa maoni yenu, Ala Wallah lau mutangalia kwa utafauti baina ya Bayana Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ya Al'Quran Kwa Al'Quran na baina ya ma tafsiri zenu ambazo ziko mbele ya mikono yenu mungepata tafauti ni kubwa baina ya haki na batil ambao imekhalifu kama baina ya mwangaza na giza, Basi Baraka ju yenu ya Idi!

Na nawabashiri wakanushaji kwa adhabu adhimu hakika imezidi Ghadhabu za Allah ju ya kitabu chake kwa sababu ya kuzuwia kwenu kwa ma Aya Zake na kwa sababu ya kukanusha kwenu kwa Mlinganizi wa haki Al'Imam Al'Mahdi kwa njia ilio nyoka, Basi muabuduni Allah Mola Mlezi wangu na Mola Mlezi wenu wala musimshirikishe nae kitu na mufwate kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim na sunna za Mtume Wake na muwache yalio kuja yamekhalifu kwa muhakam ilio wazi maana yake kitabu cha Allah katika ma hadithi ya sunna basi sio kutoka kwa Nabi Wa Allah Muhammad Sala Allahu Aleyhi wa Ala Alihi walio Wazuri na wote waumini kwa ma Aya za Mola Mlezi wao na Mitume Wake katika kila zama na mahali na nasalimu Salamu.

Na Baraka Ju yenu idi! Na nawabashiri baada yake kwa adhabu ya kumiza wakati Atakapo Allah basi sina mimi wala nyinyi katika jambo kitu na kwa Allah yanarudi mambo, Na imekurubia kudhihiri Atakae mwenye kutaka Na Akatae mwenye kukata, Basi hamuna uwezo kwenu kwa Allah Mola Mlezi wangu na Mola Mlezi wenu; Neema ya Mola na Neema ya Mnusura.

Na imefikilia Jua Mwezi ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf Eclipse na ikakutana nae jua nayo ni mwandamo, Na je kuna wa kukumbuka kabla haijatangulia usiku mchana kwa sababu ya kutukezea jua kutoka kwa magharibi yake ama adhabu chini ya hio?
Lakini wengi wa watu hawajuwi.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Katika Ardhi Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
خليفة الله في الأرض وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
________________