Bayana Ambao Ni Dhahiri Na Ilimu Ya Undani Katika Ma Aya Za Al’Quran Al’Karim..

Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
12 - 07 - 1430 هـ
05 - 07 - 2009 مـ
01:49 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=1789

ــــــــــــــــــــ

البيانُ الظاهريُّ والعلمُ الباطني في آيات القرآن الكريم..
Bayana Ambao Ni Dhahiri Na Ilimu Ya Undani Katika Ma Aya Za Al’Quran Al’Karim..

Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Dadangu Mkarimu, Iko katika Kitabu Ma Aya Nyingi Inao Bayana Dahiri na ilimu ya ndani, Kama mfano Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَوْ أَنَّمَا فِي الْأَرْضِ مِن شَجَرَةٍ أَقْلَامٌ وَالْبَحْرُ يَمُدُّهُ مِن بَعْدِهِ سَبْعَةُ أَبْحُرٍ مَّا نَفِدَتْ كَلِمَاتُ اللَّهِ ۗ إِنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ} صدق الله العظيم [لقمان:27].
Allah Ta3ala Asema:
{Na lau kuwa miti yote iliyomo duniani ikawa ni kalamu, na bahari (ikawa wino), na ikaongezewa baada ya hi juu yake bahari nyengine saba, maneno ya Mwenyezi Mungu yasingeli kwisha. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu, Mwenye hikima } Sadaqa Allah Al3adhim [Luqman:27].

Basi Dhahiri Ya Aya nayo yazungumzia kuhusu Maneo Kudra za Allah Kamili (كن) (Kua)
Na inakua kutokana na harufu Mbili pekeyake (كن)
(kua)
, Lakini hakuna mwisho ya maneno ya kudra yake kua na inakua hata kama itakua miti yote ya Ardhi ni kalamu kwa jili ya maneno na bahari yake ambao ni pamoja katika uso wa ardhi ni wino ya ma kalamu basi haingekwisha maneno ya Allah hata kama itaongezwa bahari bada ya hi bahari saba hivo hivo haingisha maneno ya Allah,

Na Bayana hi tunaichukua kwa dhahiri yake.

Na Ama ilimu Ya Undani wake Basi tunapata ma Ardhi Saba kwamba nazo ni baada ya Ardhi ya Watu, Na Kwajili ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:

{وَالْبَحْرُ يَمُدُّهُ مِن بَعْدِهِ سَبْعَةُ أَبْحُرٍ مَّا نَفِدَتْ كَلِمَاتُ اللَّهِ} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema: {na bahari ikaongezewa juu yake baada ya hi bahari nyengine saba maneno ya Mwenyezi Mungu yasingeli kwisha} Sadaqa Allah Al3adhim,


Na Anakusudia Kwamba Ardhi Saba Baada Ya Ardhi Ya Watu Kwamba Hakika Lau Akaongeza Bahari Saba Mfano Ya Bahari Ya Hi Ardhi Basi Zingeisha Zote Na Wala Haingeisha Maneno Ya Allah Kitu.

Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله رب العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــ