الأربعاء، 11 ديسمبر 201
Jumatano 11 - 12 -2013

أين التقى النبي صلى الله عليه وسلم بجميع الأنبياء والمرسلين ليلة الإسراء والمعراج؟
Wapi Amekutana Al’ Nabi Sala Allahu Aleyhi Wa Salam Na Ma Nabi Na Mitume Wote Usiku Wa Al’Israa Na Al’Mi3raj?



Wapi Amekutana Al’ Nabi Sala Allahu Aleyhi Wa Salam Na Ma Nabi Na Mitume Wote Usiku Wa Al’Israa Na Al’Mi3raj?
Na Jibu Kwa Wenye Akili:
Hakika Ame’mwamuru Allah Khatimu Wa Ma Nabi Na Mitume Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kwamba Awaulize Wote Wale Ambao Amewatuma Allah Kabla Yake Katika Ma Nabi Na Mitume kwamba Jee Amefanya Al’Rahmani Chini Yake Miyungu Wabudiwe Akasema Allah Ta3ala:

{وَاسْأَلْ مَنْ أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رُّسُلِنَا أَجَعَلْنَا مِن دُونِ الرَّحْمَنِ آلِهَةً يُعْبَدُونَ }
صدق الله العظيم

Allah Ta3ala Asema: {Na Waulize Wale Tulio Watumiliza Kabla Yako Katika Mitume Wetu Jee hivi Tumefanya Chini Ya Al’Rahman Miungu Wa’abudiwe} Sadaqa Allah Al3adhim
Alfu aliwauliza wote Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Juu Yake Na Juu Yao wa Usalim Tasliman usiku alipo kutana na wao katika Janat Al’Naeem Peponi kwa sidratulmuntaha usiku wa Al’Israa Wa Al’Mi3raj
Akawambia wao enyi ma3ashara ya Mitume: Hivi Jee Amefanya Al’Rahmani Chini yake miungu waabudiwe?
Wakasema: Subhanahu Ametukuka kwa yale wanao mshirikisha Ta3ala Uluwan Kabira
Alafu Akawaeleza kwamba watu wa ardhi wanaabudu asie ALLAH Wakasema Subhana Ametukuka Mola Mlezi Wetu kwa yale wanao mshirikisha Wa Ta3ala Uluwan Kabira Hatukuwamuru ila yale alio tuamuru Allah nayo kwamba mumabudu Allah Mola Mlezi Wetu Na Mola Mlezi Wenu Na Tulikua Ma Shihidi Juu Yao tulipo kua na wao na Pindi Alipo Tufisha Alikua Allah Yeye Ndio Mwenye Kuwangalia Na Yeye Kwa Kila Kitu Anaona Basi Usifwate Matamanio Yao wakakupoteze kwa Njia Ya Al3aziz Al’Hamid Na Hio Ndio Bayana Ya Haki Ya Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَاسْأَلْ مَنْ أَرْسَلْنَا مِن قَبْلِكَ مِن رُّسُلِنَا أَجَعَلْنَا مِن دُونِ الرَّحْمَنِ آلِهَةً يُعْبَدُونَ }
صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema: ( Na Waulize Wale Tulio Watumiliza Kabla Yako Katika Mitume Wetu Jee hivi Tumefanya Chini Ya Al’Rahman Miungu Wa’abudiwe } Sadaqa Allah Al3adhim

Na Salam Juu Ya Mitume Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin
Ndugu Yenu Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani

وسلامُ على المُرسلين والحمدُ لله رب العالمين
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني
____________________