Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
28 - جمادى الآخرة - 1440 هـ
05 - 03 - 2019 مـ
09:20 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=304845
ــــــــــــــــــــــــ

المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني يشهد أن المهندس ماهر لمن الصادقين في حواره الخاص مع إمامه ..
Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Anashuhudia Kwamba Mahndisi Mahir Ni katika Wakweli Kwenye Mazungumzo Yake Hususi Na Al'Imam ..

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Wote Ma Nabi Na Watu Wema Walio Tubu Hakika Allah Anapenda Wanao Tubu Na Anapenda Wanao Jitakasa, Basi Msadikini Enyi Ma3ashara Ya Na Anssar Toba Ya Anssari Mahandisi Maher, Na Amekua Mkweli Katika Mazungumzo Yake kwa Simu Na Al'Imam Al'Mahdi Na Labda Amiendelea zaidi ya Saa moja, Na yeye ndio alie nipigia na nikamjibu kwa haki Akamhidisha Allah Kwenye haki kwajili yeye ni miongoni mwa wakweli katika toba yake, Na ni funzo kwake kutoka kwa Mola Mlezi Wake kwamba wajuwe Allah huingia baina ya mja na moyo wake basi wamulize kukitisha, Na Awakitishe Allah katik njia ilio nyoka,

Na imetangulia fatwa yangu awali kwenye bayana ya zamani kuhusu fitna ya shaka na kua itafanyika kwa yule anae itakidi katika nafsi yake kwamba yeye hapana wala hatotia shaka kuhusu jambo la Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani na amesahau kwamba Allah Huingia baina mtu na moyo wake, Na Akataka Allah Kwamba Ampe Funzo kwenye ilimu ya uongofu nayo ni musiamini nafsi zenu kwamba hamuto ondoka katika haki baada mulio jua njia ya haki; Bali Mumbeni Allah Awathibitishe nafsi zenu wala musiamini nafsi zenu, Na mujuwe kwamba Allah Huingia Baina ya Mja Na Moyo Wake kusadikisha kauli ya Allah Ta3al:
{وَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ يَحُولُ بَيْنَ الْمَرْءِ وَقَلْبِهِ وَأَنَّهُ إِلَيْهِ تُحْشَرُونَ ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم [الأنفال]،
Allah Ta3ala Asema: { Na jueni kuwa Mwenyezi Mungu huingia kati ya mtu na moyo wake, na kwamba hakika kwake Yeye tu mtakusanywa (24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanfal],
Kaajili Ya hivo Amewafundisha Allah Museme:
{رَبَّنَا لَا تُزِغْ قُلُوبَنَا بَعْدَ إِذْ هَدَيْتَنَا وَهَبْ لَنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً ۚ إِنَّكَ أَنتَ الْوَهَّابُ ﴿٨﴾} صدق الله العظيم [آل عمران].
Allah Ta3ala Asema:
{ Mola wetu Mlezi! Usizipotoe nyoyo zetu baada ya kwisha tuongoa, na utupe rehema itokayo kwako. Hakika Wewe ndiye Mpaji (8)} Sadaqa Allah Al:adhim [Alimran].

Na Naumuru iondoshwe kufungwa kwa mwanamume mkwelj mhandisi Maher, Na wala sikuamuru afumgiwe, Na nampenda kwajila ya Allah na wote ma Anssar Al'Mukaramin, Basi ni wangapi katika walio kirimiwa hamuwajuwi na bado haijatimu kuwatangaza bado, Na Nusra Kutoka Kwa Allah Na Ukombozi Karibu.


Na salam Ju Ya Mitume na Al'Hamdulillah Rabil3alamin.
Dalili Kwa Waumini Al'Imam Al'Mahdi Nasse Muhammad Al'Yamanj.
وسلامٌ على المرسلين والحمد لله ربّ العالمين ..
الذليل على المؤمنين الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .