الموضوع: Bayana Ya Al'Imam Al'Mahdi Kuhusu Pahala ilio Wazi Sahihi Ya Dhati Ya Allah Subhanahu Al'Akbar Ambae Ni Mkubwa Kuliko Malakut Ufalme Wote, Na Jibu Ju Ya Waulizaji Katika Ulimwengu..

النتائج 1 إلى 2 من 2
  1. افتراضي Bayana Ya Al'Imam Al'Mahdi Kuhusu Pahala ilio Wazi Sahihi Ya Dhati Ya Allah Subhanahu Al'Akbar Ambae Ni Mkubwa Kuliko Malakut Ufalme Wote, Na Jibu Ju Ya Waulizaji Katika Ulimwengu..

    Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
    الإمام ناصر محمد اليماني
    19 - ذو الحجة - 1435 هـ
    14 - 09 - 2014 مـ
    01:37 صباحاً
    ( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
    https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=19522

    ـــــــــــــــــــ


    بيان الإمام المهديّ للموقع المطلق لذات الله سبحانه الأكبر من ملكوته أجمعين، ورداً على السائلين في العالمين ..
    Bayana Ya Al'Imam Al'Mahdi Kuhusu Pahala ilio Wazi Sahihi Ya Dhati Ya Allah Subhanahu Al'Akbar Ambae Ni Mkubwa Kuliko Malakut Ufalme Wote, Na Jibu Ju Ya Waulizaji Katika Ulimwengu..


    Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Sala Na Salam Ju Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Kutokana na Majini Na Binadamu Wote Kutoka Wakwanza Wao Mpaka Wa Mwisho Wao Muhammad Mtume Wa Allah Kwa Al'Quran Al3adhim Ujumbe Wa Allah Ulio Kusanya Na Uliotimia Kwa Makundi Mawili Na Ju Ya Wale Walio Amini Miongoni Mwao Katika Kila Zama Na Pahali Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..


    Na Ewe Ambae Unae uliza kuhusu Sehemu Alipo Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Basi Hakika Yeye Yuko Kwenye mbingu ya malakut ufalme wa juu, Eee hakika ya mbingu ya ufalme Malakut ya juu ni mbingu ya malakut ufalme ya pepo ambae upana wake ni upana wa mbingu na ardhi. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {أَأَمِنْتُمْ مَنْ فِي السَّمَاءِ أَنْ يَخْسِفَ بِكُمُ الأَرْضَ فَإِذَا هِيَ تَمُورُ ( 16 ) أَمْ أَمِنْتُمْ مَنْ فِي السَّمَاءِ أَنْ يُرْسِلَ عَلَيْكُمْ حَاصِبًا فَسَتَعْلَمُونَ كَيْفَ نَذِيرِ ( 17 )} صدق الله العظيم [الملك].
    Allah Ta3ala Asema:{ Mnadhani mko salama kwa alioko juu kuwa hatakudidimizeni kwenye ardhi, na tahamaki hiyo inatikisika (16) Au mnadhani mko salama kwa alioko juu ya kuwa Yeye hakupelekeeni kimbunga chenye changarawe? Mtajua vipi maonyo yangu (17)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].


    Na tunachunguza kutokana na hayo pahala Alipo Allah Sahihi inje ya malakut ufalme, Na inafinika ufalme malakut wa ulimwengu ni kitu kikubwa kabisa Amekiumba Allah Nayo ni sidratu'lmuntaha ambao inafinika malakut ufalme wote, Basi ilio chini yake ni viumbe va Allah na nyuma Yake Ni Mumba Wa Ufalme malakut Subhana Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu.


    Eee hakika Ya Sidrat ni sakafu ya malakut ufalme wa jannat al'naim, Nayo ni nukta ya ju hapo ndio mwisho wa kupanda, Nayo inawafinika viumbe kutomona Mola Mlezi Anae Abudiwa, Nayo ndio kitu kikubwa zaidi kabisa baina ya Alivoviumba Allah, Nayo hio yenyewe ndio Arshi Ya Mola Mlezi Subhanahu, Nayo ni kubwa kuliko ufalme wa malakut ya Janna ambae upana wake kama upana wa mbingu na ardhi kwakua Allah Amefanya Sidrat'almuntaha ni alama kuweko janna hapo kwake pamoja ya kwamba Janna upana wake ni upana wa mbingu na ardhi lakini janna iko kwa Sidrat'almuntaha kwajili ya sidat ni kubwa kuliko janna. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَالنَّجْمِ إِذَا هَوَىٰ (1) مَا ضَلَّ صَاحِبُكُمْ وَمَا غَوَىٰ (2) وَمَا يَنطِقُ عَنِ الْهَوَىٰ (3) إِنْ هُوَ إِلَّا وَحْيٌ يُوحَىٰ (4) عَلَّمَهُ شَدِيدُ الْقُوَىٰ (5) ذُو مِرَّةٍ فَاسْتَوَىٰ (6) وَهُوَ بِالْأُفُقِ الْأَعْلَىٰ (7) ثُمَّ دَنَا فَتَدَلَّىٰ (8) فَكَانَ قَابَ قَوْسَيْنِ أَوْ أَدْنَىٰ (9) فَأَوْحَىٰ إِلَىٰ عَبْدِهِ مَا أَوْحَىٰ (10) مَا كَذَبَ الْفُؤَادُ مَا رَأَىٰ (11) أَفَتُمَارُونَهُ عَلَىٰ مَا يَرَىٰ (12) وَلَقَدْ رَآهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ (13) عِندَ سِدْرَةِ الْمُنتَهَىٰ (14) عِندَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ (15) إِذْ يَغْشَى السِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ (16) مَا زَاغَ الْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ (17) لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ آيَاتِ رَبِّهِ الْكُبْرَىٰ (18)} صدق الله العظيم [النجم].
    Allah Ta3ala Asema: { Naapa kwa nyota inapo tua (1) Mwenzenu huyu hakupotea, wala hakukosea (2) Wala hatamki kwa matamanio (3) Hayakuwa haya ila ni ufunuo ulio funuliwa (4) Amemfundisha aliye mwingi wa nguvu (5) Mwenye kutua, akatulia (6) Naye yuko juu kabisa upeo wa macho (7) Kisha akakaribia na akateremka (8) Akawa ni kama baina ya mipinde miwili, au karibu zaidi (9) Akamfunulia mja wake (Mwenyezi Mungu) alicho mfunulia (10) Moyo haukusema uwongo alio yaona (11) Je! Mnabishana naye kwa aliyo yaona (12) Na akamwona mara nyingine (13) kwenye Sidrat'almuntaha (14) Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa (15) palipo finika sidrat'almuntaha hicho kilicho ufunuika (16) Jicho halikuhanga
    ika wala halikuruka mpaka (17) Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi (18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnajm].


    Basi ama kauli ya Allah Ta3ala:
    {وَلَقَدْ رَآهُ نَزْلَةً أُخْرَىٰ (13)}
    { Na akamwona mara nyingine (13)
    Anakusudia Kwamba Muhammad Mtume Wa Allah -Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Amemona Jibril Ju Yake Sala Na Salam mara nyingine lakini kwa sura zake za kimalaika kama alvo mumba Allah wala sio kama alivo mona kabla Mtu kabisa.


    Na ama kauli ya Allah Ta3ala:
    {عِندَ سِدْرَةِ الْمُنتَهَىٰ (14) عِندَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ (15)}
    kwenye Sidrat'almuntaha (14) Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa (15)}
    Na hivo wakati walipo fika mwisho wa kupanda Sidrat'almuntaha basi jibril alistawi ju yake sala na salam kurudi kwa sura zake za kimalaika akajibwaga kwa Mola Mlezi Wake Kumsujudia, Na hapo pahala alimona Muhammad Mtume Wa Allah ndugu yake jibril anageuka kustawi kua malaika mkubwaa Sana mwenye mbawa anajibwaga kwa Mola Mlezi Wake Kumsujudia, Basi maana ya kauli yake
    {نَزْلَةً أُخْرَىٰ}
    { mara nyingine }
    Yani kwa sura zake za kimalaika wala sio mtu kabisa kama alivo kua akimona kabla.


    Na Ama Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {عِندَ سِدْرَةِ الْمُنتَهَىٰ}
    { kwenye Sidrat'almuntaha }
    Na hio Sidrat ni hijabu ya Mola Mlezi kwakua nayo inawafinika viumbe kutomona Mola Mlezi Anae Abudiwa Wazi Wazi.


    Na kuhusu Alivo Sifu Allah kwa Sidrat kwamba ni muntaha kwakua ni mwisho wa kupanda kwa waja na nyuma yake ni Mola Anae Abudiwa.


    Na ama Kusifu Allah Kwenye Kauli yake Ta3ala:
    {عِندَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ (15)}
    { Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa (15)}
    Na hivo ili mujuwe uwadhimu wa ukubwa wake na kwamba ni kubwa kuliko malakut ufalme wa pepo ambao upana wake ni upana wa mbingu na ardhi,
    Na kwajili ya hivo Amesema Allah Ta3ala:
    {عِندَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ (15)}
    { Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa (15)}
    Na hivo kwajili ni kubwa kuliko Janna kwajili ya hivo Amesifu Allah pahala pa janna kwa Alama kubwa zaidi kuliko Janna nayo ni sidrat Akasema Allah Ta3ala:
    {عِندَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ (15)}
    صدق الله العظيم.
    { Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa (15)} Sadaqa Allah Al3adhim,
    Yani iko kwa Sidrat Kwakua nayo ndio alama kubwa zaidi, Na je inasihi kwamba isemekane jabali fulani iko kwa nyumba fulani? Bali usawa sahihi ni tuseme nyumba fulani iko kwa jabali fulani kwakua jabali ni kubwa kuliko nyumba kwajili ya hivo jabali hatimai itakua alama yakulekeza kukujulisha sehemu ya nyumba, Na hivo hivo sidrat almuntaha mmea ambao ni mkubwa zaidi Ameifanya Allah ni alama kujulisha sehemu ilipo Janna ambao upana wake upana wa mbingu na ardhi, Pamoja ya upana wa Janna. Amesema Allah Ta3ala:
    {عِندَهَا جَنَّةُ الْمَأْوَىٰ (15)}
    صدق الله العظيم،
    { Karibu yake ndiyo ipo Bustani inayo kaliwa (15)} Sadaqa Allah Al3adhim,
    Kwajili Sidrat ilio barikiaa ni Kubwa Kuliko Janna.

    Na ama kauli Ya Allah Ta3ala:
    {إِذْ يَغْشَى السِّدْرَةَ مَا يَغْشَىٰ (16)}
    { palipo finika sidrat'almuntaha hicho kilicho ufunuika (16)}
    Yani Kilicho ufunuika kutokana na Nur Ya Dhati Ya Allah Subhanahu Ametukuka Nur Ya Mbingu na Ardhi.


    Na ama kauli Ya Allah Ta3ala:
    {مَا زَاغَ الْبَصَرُ وَمَا طَغَىٰ (17) لَقَدْ رَأَىٰ مِنْ آيَاتِ رَبِّهِ الْكُبْرَىٰ (18)}
    صدق الله العظيم.
    { Jicho halikuhangaika wala halikuruka mpaka (17) Kwa yakini aliona katika Ishara kubwa kabisa za Mola wake Mlezi (18)} Sadaqa Allah Al3adhim,
    Yani Macho ya Muhammad Mtume Wa Allah -Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- halikuhangaika wala halikuruka mipaka kwa kauli sio ya haki ambao ameona katika ma ishara za Mola Mlezi Wake Kuu kwenye ufalme wa ju, Na ile kitu kubwa kiliona macho yake ni sidrat almuntaha ni katika ishara za Mola Mlezi Wake Kuu, Eee hakika ya sidrat almuntaha ni hijab ya Mola Mlezi Asili yake imekita na viongo vage viko mbinguni inatoa matunda yake kila wakati kwa idhini ya Mola Mlezi wake, Eee hakika nayo haiko mashariki wala magharibi kwakua inafinika mashariki ya ufalme wote na magharibi yake, Na hivo hivo Dhati Ya Allah Subhanahu Ametukuka Haiko Mashariki Wala Magharibi Kwakua Anafinika Ufalme Wote, Kus


    adikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَلِلَّهِ الْمَشْرِقُ وَالْمَغْرِبُ ۚ فَأَيْنَمَا تُوَلُّوا فَثَمَّ وَجْهُ اللَّهِ ۚ إِنَّ اللَّهَ وَاسِعٌ عَلِيمٌ (115)} صدق الله العظيم [البقرة].
    Allah Ta3ala Asema: { Na mashariki na magharibi ni za Mwenyezi Mungu. Basi kokote mnako elekea, huko Mwenyezi Mungu yupo. Hakika Mwenyezi Mungu ni mwenye wasaa na Mjuzi (115)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].


    Eee hakika ya dhati ya Allah Amestawi Ju Ya Arshi Yake Kuu Yeye Ni Mkubwa Kuliko Arshi Yake Kuu ispokua Arshi yenyewe ni hijab pazia ya Mola Mlezi, Na kwavile hijab pazia nayo ni kubwa kuliko ufalme wote kwajili ya hivo inafinika kila kilioko kwenye ufalme kutomona Mola Mlezi Wa Ufalme Subhanahu Wa Ta3ala 3uluwan Kabiran!


    Na ewe ambae unae'uliza, Usiende mbio kutaka kutatiza kwa suali basi hutoweza kumtatiza Al'Imam Al'Mahdi Kwa idhini Ya Allah utakavo uliza kuhusu ma Aya Ya Kitabu, Lakini Usiende mbio kutatiza kwa ma suali ili usifitini nafsi yako na ukafitini watu wengine, KwaKua Sababu ya kurtadi baadhi ya wafwasi wa ma Nabi kukufuru kwajili uwingi wa ma suali yao kwa ma Nabi wa Allah alafu wanawajibu ju yao kwa haki kutoka kwa Allah alafu wanakufuru ispokua walio rehemewa na Mola Mlezi Wangu, Kusadikisha Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا لَا تَسْأَلُوا عَنْ أَشْيَاءَ إِن تُبْدَ لَكُمْ تَسُؤْكُمْ وَإِن تَسْأَلُوا عَنْهَا حِينَ يُنَزَّلُ الْقُرْآنُ تُبْدَ لَكُمْ عَفَا اللَّـهُ عَنْهَا ۗ وَاللَّـهُ غَفُورٌ حَلِيمٌ ﴿١٠١﴾قَدْ سَأَلَهَا قَوْمٌ مِّن قَبْلِكُمْ ثُمَّ أَصْبَحُوا بِهَا كَافِرِينَ ﴿١٠٢﴾} صدق الله العظيم [المائدة].
    Allah Ta3ala Asema: { Enyi mlio amini! Msiulize mambo ambayo mkidhihirishiwa yatakuchukizeni. Na mkiyauliza inapo teremshwa Qur'ani mtabainishiwa. Mwenyezi Mungu amesamehe hayo. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye maghfira Mpole (101) Waliyauliza hayo watu wa kabla yenu, kisha wakawa wenye kuyakataa (102)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almaida].


    Basi kua katika miongoni mwa wanao shukuru ewe mpendwa wangu kwa Allah pindi Amekukadiria Allah kuweko kwako kwenye zama za kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Mwenye ilimu ya Kitabu ambae hamujuwi kadara yake wala hamuna habari kwa siri yake na munamkejeli jambo lake, Na wala haikua kwenu kwamba mumchaguwe khalifa wa Allah Al'Imam Al'Mahdi pasi na Yeye; Bali jambo ni la Allah Amteuwa Amtakae na Anachagua. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
    {وَرَبُّكَ يَخْلُقُ مَا يَشَاءُ وَيَخْتَارُ مَا كَانَ لَهُمُ الْخِيَرَةُ سُبْحَانَ اللَّهِ وَتَعَالَى عَمَّا يُشْرِكُونَ (68) وَرَبُّكَ يَعْلَمُ مَا تُكِنُّ صُدُورُهُمْ وَمَا يُعْلِنُونَ (69) وَهُوَ اللَّهُ لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ لَهُ الْحَمْدُ فِي الْأُولَى وَالْآخِرَةِ وَلَهُ الْحُكْمُ وَإِلَيْهِ تُرْجَعُونَ (70)} صدق الله العظيم [القصص].
    Allah Ta3ala Asema: { Na Mola wako Mlezi huumba na huteuwa atakavyo. Viumbe hawana khiari. Mwenyezi Mungu ametukuka na ametakasika na hao wanao washirikisha naye (68) Na Mola wako Mlezi anayajua yaliyo ficha vifua vyao, na wanayo yatangaza (69) Naye ni Mwenyezi Mungu ambaye hapana mungu isipo kuwa Yeye. Sifa zote njema ni zake Yeye, mwanzo na mwisho. Na hukumu ni yake Yeye. Na kwake Yeye mtarejeshwa (70)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Alqasas].


    Basi haitakiwi kwenu kwamba muwateuwe ma Nabi na Ma Imamu wa Kitabu pasi na Allah; Bali Allah ndio Anawateua katika umma zao kwa kadara ilio kadiriwa katika kitabu kilio andikwa ndio Anawazidisha ma imamu wa kitabu ju yenu zaidi ukunjufu katika ilimu kwenye uhai wao na nguvu katika mwili baada mauti yao basi haiwi mwili yao baada kufa kwao uyusi unao nuka wala mifupa inayo mumunyika ili iwe hio ni ishara tena kwenu baada kufa kwao ili mushikilie kwa yale walio yawacha kwenu katika ilimu, Ama wadhani kwamba Al'Imam Al'Mahdi Anamtumiliza Allah Na yeye amejifunza kwa wanazuoni wenu? Haihat haihat! Kwahivo vipi ataweza kuhukumu baina yenu kwa yale mulikua munakhitilifiana lau ingekua kama munavo dai amejifunza kwenye mikono ya wanazuoni wenu! Hivi hamutafakari? Na nani huyu ambae anasema amesmamia mafunzo kumsomesha Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad kwa ilimu ya Dini? Wala maisha yangu hata siku moja nimekua mwanafunzi wa ilimu kwa moja katika ma shekhe wa wais


    lamu wala makasisi wa wakristo wala ma ruhbani wa ma yahudi; bali Allah ndio Alio nichagua kuniteuwa Na Akanifundisha Bayana Ya Haki Ya Al'Quran Al3adhim kwa wa7hi wa kufahamisha kwa utawala wa ilimu kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim wala sio waswasi wa shetani rajim; Bali ni kwa kufahamishwa kutoka kwa Mola Mlezi Mpaka Kwa Moyo Basi Ananikumbusha Kwa utawala wa ilimu katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu Cha Al'Quran Al3adhim, Wala Hajanitumiliza Allah Kwa Wa7hyu mpya; Bali niwafundishe Bayana Ya Haki ya Al'Quran Al'Majid na tuwaongoze watu na tuwaongoze watu nayo kwenye njia ya Al3aziz Al'Hamid.


    Na hio imefika umri wa ulinganizi wa kimahdia ya kilimwengu kwenye kuingia kumalizika mwaka wa kumi na wanazuoni wa waislamu hawajaitika ulinganizi wa kuhukumiwa kwenye kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim ili tuhukumu baina yao kwa yale wanakhitilifiana kwenye dini yao kwa hukmu ya Allah kwa mantik ya haki, Niwachunguzie wao kutoka kwa muhakam ya kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim hukumu ya Allah baina yao kwa yale wanao khitilifiana ndani yake kwenye dini yao wala sio kwa kauli ya dhana ambao haisaidi mbele ya haki kitu; Bali nawabomoa kwa utawala wa ilimu kuwabomoa ikiwa nyinyi muna'amini kwa Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Ambao mumeifanya ya kuhamwa kwa kutadabari katika aya zake,Na hawakumbuki ila wenye akili, Basi mcheni Allah na mwitikie ulinganizi wa kuhukumiwa kwa kitabu Cha Allah kilio hivadhiwa kutokana na kuherufishwa ujumbe wa Allah ilio kusanya vitabu vote ndani yake inao kumbukumbu yenu na kumbukumbu ya wale kabla yenu na habari zenu na habari ya wale watakao kua baada yenu ujumbe wa Allah kwa makundi mawili binadamu wenu na ma jini wenu, Basi mcheni Allah na munitii huwenda mukaongoka.


    Na enyi ma3ashara Al'anssar walio tangulia walio bora musivunjike moyo wala musiwe wanyonge kutokana na ulinganizi kwa Allah Na kumnusuru Khalifa Wake, Na mukumbuke neema Ya Allah juu yenu vipi Alivo Ameunganisha Baina ya nyoyo zenu mukawa kwa neema yake ndugu na haswa waja wa Neema Kuu Abid Al'Na3im Ala3dham Miongoni mwenu walio takasika zaidi kuliko binadamu wote na Wabora katika viumbe, Kaumu Anawapenda Allah Na Wanampenda, Na kuweni wenye kushukuru na mukumbuke lengo lenu ambalo mwenda mbio ili kulitimiza Neema Ya Ridhwan Allah ju ya waja wake ni neema kuu kuliko neema ya pepo Yake, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
    {وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِنْ تَحْتِهَا الأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ وَرِضْوَانٌ مِنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ذَلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (72)} صدق الله العظيم [التوبة].
    Allah Ta3ala Asema: { Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa (72)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altawuba].


    Na mujuwe kwamba Allah Haridhiki Ndani Ya Nafsi Yake Mpaka Awaingize waja Wake Ndani Ya Rahma Yake Ndio Aridhike, Na Wala Hatoridhika mpaka wawe waja Wake wawe ni wenye kushkuru kwakua Allah Anaridhika kwa waja Wake Kushkuru na Wala Haridhiki kwao wakukufuru, Na Sisi tunaenda mbio ili litimu kupatikane Ridhwan Ya Allah ju ya waja Wake tuwafanye watu umma moja ju ya njia ilio nyoka ispokua alio kata Rahma Ya Allah baada ilipo bainika kwao kua ni haki; Hawo katika kinacho tembe na kuruka ni Washari katika Kitabu kuni za jahanam ndio mashukio yao.


    Na muna jambo gani enye ma3ashara ya ma anssar ikisha tu Ramadhani ispokua mumefanya uvivu na kusikitika na kuto endele kulingania kwa Allah na kumnusuru Khalifa Wake ila walio rehemewa Na Mola Mlezi wangu katika waja wa Neema Kuu Abid'Alna3im Al'A3dham? Na je munawatakia haraka adhabu watu? Kwahivo ikowapi lengo lenu, Si mwataka Kwa Allah Awafanye watu umma moja ju ya njia ilio nyoka ili Aridhike? Kwahivo musiharakishe adhabu na mutamani kutoka kwa Allah Awape Fursa kwajili ya uwongofu wa umma wenu, Hivi hamuoni kua wao kila siku wanapungua, Na ma anssar wa Al'Imam Al'Mahdi Kila siku wanazidi? Mpaka Amt


    imizie Allah kwa mja Wake Nuru Yake hata kama watachukia wahalifu kudhihiri kwake.


    Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
    Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
    وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله رب العالمين..
    أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
    _______



    كُفيــتَ يا قلـــبُ بالنّعيـم تَقربــاً وما كانَ للقلب عن حبّه لَيحيدُ
    وَكلّما مالَت شغافُ القلبِ للدُّنيا كانَ الوريدُ إلى الحَبيب مُريدُ

  2. افتراضي

    جزاكم الله من نعيم رضوانه إخوتي الكرام
    وأسأل الله أن يبارك في أجر أخينا المترجم فوزي ويجزيه من نعيم رضوانه
    كُفيــتَ يا قلـــبُ بالنّعيـم تَقربــاً وما كانَ للقلب عن حبّه لَيحيدُ
    وَكلّما مالَت شغافُ القلبِ للدُّنيا كانَ الوريدُ إلى الحَبيب مُريدُ

المواضيع المتشابهه
  1. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 17-08-2020, 05:37 PM
  2. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 19-04-2020, 11:11 PM
  3. Kukumbusha Kwa Bayana Fupi Kwa Yule Ambae Ni Katika Wanao Ona walioko Katika Sehemu Tafauti Katika Ulimwengu ..
    بواسطة زينة الإسلام (فارسة الحق) في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 12-12-2018, 11:05 PM
  4. Bayana Ya Ushuhuda Kwa Kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Katika Muhakam ilio wazi Maana Yake Al'Quran ..
    بواسطة زينة الإسلام (فارسة الحق) في المنتدى Swahili
    مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 26-08-2018, 08:43 PM
  5. مشاركات: 0
    آخر مشاركة: 07-08-2018, 02:59 AM
ضوابط المشاركة
  • لا تستطيع إضافة مواضيع جديدة
  • لا تستطيع الرد على المواضيع
  • لا تستطيع إرفاق ملفات
  • لا تستطيع تعديل مشاركاتك
  •