- 4 -

Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
20 - ربيع الأول - 1440 هـ
28 - 11 - 2018 مـ
10:36 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=298882
___________________________

دعوة الإمام المهديّ لكافة علماء المسلمين ومفتي كلّ الديّار الإسلاميّة ولكلّ عالِمٍ مشهورٍ بين المسلمين في الدول الإسلاميّة أن يتقدموا لحوار الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ..
Mwaliko Wa Al'imam Al'Mahdi Kwa Wanazuoni Wote Na Watowaji Fatwa Katika Miji Yote Ya Kislamu Na Kwa Kila Mwanachuoni Mash'huri Baina Ya Waislamu Katika Ma Taifa Za Kislamu Kwamba Waje Kwajili Ya Mazungumzo Na Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Mitume Wote Wa Allah Kutoka Wakwanza Wao Mpaka Wa Mwisho Wao Muhammad Mtume Wa Allah, Enyi ambao Mulio'amini msalalieni yeye na muwasalie wao wote na mutoe salamu ju yao kusalimu, Hatutafautishi baina ya yoyote katika Mitume Wake na sisi kwake tumejisalimu, Ama Baada Ya Hapo..


Hakika Ametangaza kwenye ukurasa wake Ambao ni rassmi Mwenyewe Shekhe Sultan Alqadasi kwamba yeye haja'jisajili kwenye tuvoti yangu na wala hajandika bayana yoyote pamoja ya kwamba hio bayana imefanana na bayana yake! Kama kwamba kalamu ameitupa na ametaka kutafuta kukimbia kwakua amejua kwamba Nasser Muhammad Al'Yamani hatimai atambomoa kumbomoa kwa utawala wa ilimu ambao muhakam iko wazi maana yake, Lakini sisi hatutaki kumdhulumu Mwanamume, Wala haipendezi kwetu wala haijuzu kwamba kuzungumza na mtu hajulikani ameiba jina la shekhe alqadasi ambae ametangaza Shekhe Sultan Ahmad Alqadasi kupitia ukurasa wake kwamba sio yeye na kwamba huyu mtu ameiba jina lake, Na amefanya vizuri sana alqadasi kwamba amefanya kumfadhehesha huyo mtu kwa haraka ambae ameiba jina lake kwenye sehemu ilio hususishwa yake katika tuvoti yetu kabla halijaja jibu La Al'Imam Al'Mahdi linao tingisha kwa Haki basi haongemfa kukanusha kwake wakati huo, Lakini yeye haraka yametermka kwenye ukurasa wake kwamba huyu mtu amejisajili kwa jina langu ili aibe jina langu basi akajitoa kujibarisha nafsi yake na kheri alivo fanya; Kwasababu baada ya jibu hainge'mfaidisha kukanusha kwake.


Na ala kuli hali, Hakika Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi nasema kwa wanazuoni wote na wenye kutoa fatwa katika miji ya kislamu na kwa kila mwanachuoni ambae anaejulikana mash'huri baina ya waislamu katika ma taifa ya kislamu kwamba wajitokeze kuja kwa mazungumzo na Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na nawaruhusia wao wawe wanasaidiana badhi yao kwa baadhi na kunusuriana; Wote wanazuoni wa ki sunni na ma shia na kwa tafauti ya makundi yao, Kwa sharti apambane na mimi mwanamume katika ma sunni mash'huri kwajili ya mazungumzo na mwanamume mwengine kutoka kwa ma shia kwenye tuvoti hi, Na huwenda ambae tutabadilisha jina la moja wao kwa jina la alqadasi ambae alio toroka kwa mazungumzo wala yeye sio kwamba ni mwanachuoni asilani wala sio yeye kwamba anahisabiwa katika wanazuoni wa waislamu; Bali ispokua yeye ni mwanahabari mropokaji wakuropokwa ropokwa mfano wake ni mfano wa mwenzake Saleh albukhiti ambae hana ukabaila na shahama na tabia njema zilio simama kuonekana, Wala hakuna moja wao anaejua wala hawana kwao ispokua maneno ya kihuni,


Na kwa hali zote, Ni haki kwake huyu mwanachuoni kwamba atume jibu letu kupitia inwani ya maregeo ya waislamu katika ulimwengu, Basi na muwe baadhi yenu ju ya baadhi wenye kuinuwana migongo na kunusuriana ili waone je wanaweza kumshinda Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani hata kama katika masaala moja pekeyake, Ama kwamba Al'Imam Al'Mahdi Hakika yeye ndio Al'Imam Al'Mahdi Alio teuliwa na Mola Mlezi Wa Ulimwengu? Basi na iwe baadhi yenu ju ya baadhi ni wenye kusaidiana na kunusiriana, Na mzungumzaji ni moja ispokua kila moja ajibu ju ya bayana ama jibu latoka kwetu na yule ambae yuko katika uso amejitokeza anawazungumzia wote na hivo nasema hivi kwa kila mwenye kujiona yeye yuko sawa hodari kwa mazungumzo na Al'Imam Al'Mahdi kwenye sehemu tafauti katika mataifa ya kislamu ya kiarabu na yakiajami, Na uzungumze na sisi kupitia tuvoti hi ilio barikiwa bila ghoshi wala udanganyifu ili ibainike kwa wafatiliaji katika ulimwengu mazungumzo kutoka kote ulimwenguni basi hakika jambo hili ni kuu; Kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi.


Wala Mimi sina sharti ju yenu ispokua kwamba mukubali Allah ndio Hakimu baina yenu kwa yale muliokua munakhitilifiana ndani yake basi hakuna kwa Al'Imam Al'Mahdi ila awachunguzie kwenu hukumu ya Allah kwa Haki kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake Basi hakuna wa7hi mpya wala hakuna Nabi Mpya; Bali imekuja kadara ya kutumilizwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad ikiwa muna'amini kutumilizwa kwake, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin.


Hatomjadili Mwanachuoni kwa Al'Quran ispokua Atamshinda Khalifa Wa Allah Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani kwa idhini Ya Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Na Mumche Allah Na Wala Musiseme Ju Ya Allah Yale Musio Yajua Na Atawafundisha Allah, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..


Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______________