Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
08 - صفر - 1440 هـ
17 - 10 - 2018 مـ
06:49 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
( Kulingana na Kalenda Rasmi Ya Mama Wa Miji )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=36066

ــــــــــــــــــــــــ

ردّ الإمام المهديّ إلى صاحب حرب الإعلام سلطان أحمد القدسي في قناة الشرعيّة ..
Amerudisha Jibu Al'Mam Al'Mahdi Kwa Mwenye Vita Va Matangazo Sultan Ahmad Al'Qudsi Katika Idhaa Ya Ki Sharia ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Wote Ma Nabi Wa Allah Na Mitume Wake Kutoka Wakwanza Mpaka Wa Mwisho Wao Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Ju Yake Na Ju Yao Na Waumini Wote Katika Kila Zama Na Mahali Hatutafautishi Baina Ya Yoyote Katika Mitume Wake Na Sisi Kwake Ni Waislamu, Ama Baada Ya Hapo..


Na tunasema Ahlan wa Sahlan Kwa Fadhilat Al'ashekh Muhishimiwa Ambae anajua kutusi na urongo kwa sababu ya kuondoka haya kutoka kwa nyoyo zenu yeye na mwenzake anae leta kipindi cha vita va matangazo dhidi ya Al'Imama Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na nacho taka kusema kwa Fadhilat Al'Shekh Sultan Ahmad Al'Qudsi Hakika umesubutu kwa vita va kimatangazo katika idhaa ya ki sharia dhidi ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhamamd Al'Yamani Na Umetusifu kwamba ni mrongo na ni mhadaifu dajali na unawapa fatw watu kwamba Nasser Muhammad Mngonjwa wa kinafsi kama mfano ya wanao dai umahdi, Na ukanisifu Kwa wazimu Ambao ni kuu, Na unasema ju yangu yale ambao sijasema katika mengi unao toa fatwa kwa ulimi wako katika idhaa ya dhirar dhidi ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani, Na Allah Al'Musta3an Ju Ya Yale Munao Yasifu.


Na pamoja ya kwamba wewe humshindi Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Basi popote utakuweko katika ulimwengu hakika tuko na ma Anssar katika pembe za ma taifa ya kiarabu na za kislamu, Na ama katika jumhuria ya Yemen basi Wallahi hakika wao ni wengi katika pembe tafauti ya mikoa ya jamhuri na katika sehemu tafauti katika vijiji, Na ma Anssar maqudsi katika Taiz kwenye jimbo la quds, Na Lau anataka ama lau atatoa amri Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Kumfanyia vitimbi Sultan Ahmad Al'Qudsi kwahivo hutopata pakukimbia, Basi popote utakapo kwenda katika mikoa ya Yemen na vijiji vake utapata ma Anssar wnakungoja, Alafu hutopata kwako pa kutoka ispokua ujikalie kwa nyumba yako kuka kwa kulazimishwa, Na wewe kwetu sio mwenye nguvu popote ulipo, Lakini mimi ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani sitaki kujikuza katika Ardhi wala ufisadi, Na mwisho ni ya wacha Mungu.


Na kwa hivo tuna'wamuru ma Anssar katika sehemu tafauti kwenye mikoa ya jamhuria ya Yemen kuto subutu kumgusa Sultan Ahmad Al'Qudsi Na Wala na hawatokhalifu ma Anssar wa Al'Imam Al'Mahdi Amri, Na Atakae Khalifu Amri Yangu sio katika ma Anssar wangu, Lakini mimi naogopa ju yako kutokana na hasira za kijahili pasi na ma Anssar wangu kutoka kwa Al Al'Qarda3i haswa na kutokana na Murad kwa jumla kwakua wewe umemhujumu Shekh Nasser Muhammad Al'Qarda3i kwamba yeye ni Mrongo dajali, Na wote wanaume wa kabila la Murad hakika wanajua kwamba shekh Nasser Muhammad Al'Qarda3i ni mbora wao na ni mkarimu wao na ni mkweli wao na ni katika wanao tangulia kwa mambo ya kheri ispokua yule ambae kama wewe miongoni mwao, Lakini asili 99 miongoni mwa kabila la Murad wanajua kwamba wewe umemzulia ju ya Shekh Nasser Muhammad Al'Qarda3i na ukamsifu kwa sifa wanajua kwa ilimu ya yakini kwamba ni urongo na uzushi ju ya Shekh Nasser Muhammad Al'Qarda3i.


Na Ewe Mwanamume Mithali ya kiarabu yasema: ( uliza kuhusu kizuri robo yake na mji watu wake ) Na je wanajua kwamba mimi ni dajali ama mngonjwa wa nafsi kulingana na fatwa yako? Na ume'waghadibisha Kabila la Murad wale ambao sio kama wewe mfano wao, Na wala Siku'ogopei ma Anssar wangu kutokana na wao kwakua wao hawatokhalifu amri yangu lakini nakuogopea kutokana na wengi miongoni mwao kwasababu ya hasira na machungu yao ju ya mtu wao, Basi miongoni mwao mwenye kua anatafuta pahala ulipo wewe na mwenzako mwenye kuleta kipindi, Na miongoni mwao mwenye kutafuta nambari yako, Lakini


Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Nasema:
Enyi ma3ashara ya kabila la Murad kwa hasimu wako mbele yake; Hakika mimi nawa'apisha Kwa Allah Al3adhim kwamba isiwachukuwe hasira za kijahili sawa awe mtu wenu yuko ju ya haki ama ju ya batil basi haitafautiani jambo Kwenu; Bali hilo limeharamishwa katika kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim.


Na Najua kwamba ma Anssar wangu ni kidogo katika kabila la Murad lakini wao wako kwenye mshangao na jambo langu kwakua kudai shakhsia ya Al'Mahdi Al'Muntadhar ni jambo la kutukuza kubwa ju ya akili yao, Na wale wanao fwatilia Bayana za Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani inawaingia ajabu vipi ana'andika hizi ma Bayana Zilio pangana kwa utawala wa ilimu kutoka muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim! Na wao wanajua mwanzo kwamba mimi sio mwanachuoni wa Dini wala sijawa ni khatibu katika msikiti wowote katika kabila la Murad, ispokua wao wananipenda kwasababu ya sifa njema ambazo ni mzuri ambao Amenitunukia Allah nayo ju yangu; Basi sio mrongo wala dajali, Mkarimu Myamani, Na tabia njema, Na mnyenyekevu wala sio na kiburi wala sijighuri, Na wananipata mwezi ulio kua kamili wangara katika usiku wa giza katika misimamo mikubwa ambao najua kwamba wao wako katika haki nayo na nawainua vichwa vao, Na kwajili ya hivo wananipa zaidi hishima kwa shakhsi yangu ispokua wao wako katika kushanga kutokana na kauli yangu kwamba mimi ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad, Na hivo hivo wamejua kwa kujitenga kwangu kutokana na vita va ma hizbu na haikua kwangu msimamo wowote kuhusu msimamo wao wa kihizbu, Na nawambia wao wasishangae kwa kujitenga kwangu ispokua hivo ni kwajili ya kutekeleza Amri Ya Allah katika Muhakam ilio wazi maana yake Kitabu Chake Al'Quran Al3adhim kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ فَرَّقُوا دِينَهُمْ وَكَانُوا شِيَعًا لَّسْتَ مِنْهُمْ فِي شَيْءٍ ۚ إِنَّمَا أَمْرُهُمْ إِلَى اللَّـهِ ثُمَّ يُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَفْعَلُون ﴿١٥٩﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema: {Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote. Bila ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia yale waliyo kuwa wakiyatenda (159)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].


Basi Akanipa badali yao Allah kwa ma Anssar Wamejitenga vita baina ya ma hizbu ya Raia wa Yemen, Pamoja ya kwamba kabila la Murad Wenye nguvu kali sana lakini ma Anssar wangu ndani ya Yemen na inje ni zaidi nguvu kwa haki, Na zaidi ma Anssar wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani kati ya raia wa Yemen ni wale walikua wako katika poti la ma zeidi kwakua wao hawakua katika dhehebu la kufanya uwaduwi; Bali ilikua dhehebu lau ni la kati hawamfanyi mtu yoyote uwaduwi, Na wala sisemi wote ni ma Anssar wangu; Bali wengi katika ma Anssar wa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani walikua wanatokana katika dhehebu la kizeidi, Na hivo hivo katika ma sunni na ma shia na katika madhehebu tafauti yote ma inne na mapoti yao na kutokana na mashia alithnaasharia tafauti; Bali ma Anssar wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ni kutoka tafauti ya madhehebu za kislamu na mapoti yao wamewacha uwingi wa ma hizbu za ki madhehebu wakajiunga kwenye Kipandio cha ma Anssar wa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani, Lakini mimi sikuwasukuma kwenye ma vita va ma hizbu basi hio inakhalifu msingi wa ulinganizi wangu ambao ulio kita kukita kwa majabali inakanusha uwingi wa ma hizbu za kisiyasa na za kimadhehebu katika Dini ya Allah Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{إِنَّ الَّذِينَ فَرَّقُوا دِينَهُمْ وَكَانُوا شِيَعًا لَّسْتَ مِنْهُمْ فِي شَيْءٍ ۚ إِنَّمَا أَمْرُهُمْ إِلَى اللَّـهِ ثُمَّ يُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَفْعَلُونَ ﴿١٥٩﴾} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema: { Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote. Bila ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia yale waliyo kuwa wakiyatenda (159)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].


Kwakua kutengana kwa waislamu kua ma jama makundi na ma hizbu wana'chinjana basi hatimai watafeli waislamu na itaondoka nguvu yao na itavunjika m


ngongo wao baina ya ma aduwi wao waku; njama za ki sahyuni za ulimwengu ili itimu mapinduzi ya ki'ibria kubadilisha mashariki ya kati mpya baada kutangaza alquds tukufu ni mji mku wa ki yahudi wa milele kulingana na njama zao za kisahyuni ya ulimwengu ili itimu kupatikane Taifa la ki yahudi kuu, Basi kiasi gani nime'wahadharisha waislamu na kiasi gani nimewanasihi lakini hawapendi wenye kuwapa nasaha ispokua kidogo miongoni mwao.


Na kwa hali yote nasema Ahlan wa sahlan kwa fadhilat Ashekh muhishimiwa Sultan Ahmad Alqudsi kwa mazungumzo kwenye meza ya mazungumzo ya ulimwengu ya Al'Mahdi Al'Muntadhar kabla ya kudhihiri, Na kiasi gani wana'nipendeza wale ambao wanakuja na majina yao ya kweli ili watete dini yao, Na nawapa wao mapokezi na hishima kwakua yatakiwa kwa wanazuoni wote wa waislamu kwa ikhitilafu za madhehebu zao na makundi yao kwamba waje kuitetea dini yao ya kisalamu na wabomoe hoja kwa hoja ndio wamshinde Nasser Muhammad Al'Yamani katikati ya nyumba yake baina ya ma Anssar wake; Hi tuvoti ambao ni huru kwa Binadamu wote mwislamu kati yao na kafiri lakini sio kwa majina ya kuazima, Basi waogopa nini wala hadai yoyote kati yao kwamba yeye ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad?


Na Kabla hatujaanza mazungumzo na fadhilat ashekh Sultan Ahmad Alqudsi ju yake awe atawasiliana na maregeo zote ili wam'ahidi kwamba wao watasmama pamoja na Sultan Ahmad Alqudsi ndio wampe ilimu ili abomoe hoja kwa hoja katika mazungumzo na Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na imeharamishwa ju ya ma Anssar wote katika pembe tafauti ya viji inchi ya Binadamu kuingilia kwa mstari moja katika hi sehemu ambao imehususishwa kwa mazungumzo na fadhilat ashekh Sultan Ahmad alqudsi tumaini kwa Al'Imam Al'Mahdi kwamba yeye yuko sawa kwa mazungumzo na madhehebu zote za waislamu ma sunni na ma shia na wingineo, Basi mukiona moja katika wanazuoni wa waislamu amemshinda Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani hata kama kwenye suali moja basi wakifanya na wala hawatoweza kufanya basi nimekua ni mrongo mwenye shari wala sio Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad wa haki, Basi haijuzu kwa ma Anssar walio tangulia walio bora kwamba iwachukuwe utukufu kwa dhambi pindi wakipata wanazuoni wa waislamu wamemshinda Nasser Muhammad Al'Yamani kwenye suali moja pekeyake kutoka kwa kitabu cha Allah na sunna za Mtume Wake Za kweli ambazo hazikhalifu muhakam ilio wazi maana yake kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim, Kwakua Fatwa Kutoka Kwa Allah kwamba Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Khalifa Wa Allah Katika Ardhi Atanipa ilimu ya kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim na kwamba hatonijadili yoyote katika wanazuoni wa waislamu na watu wa kawaida wao katika Al'Quran Al3adhim ispokua nitamshinda kwa utawala wa ilimu ambao baini kwa wanazuoni wa waislamu na waislamu kwa jumla, Na haijuzu kwamba nijenge hukmu ya dini ya Allah katika ndoto kwenye usingizi pekeyake, Haihat haihat! Basi Wallahi Thuma Wallahi Thuma Wallahi hakika nitawafanya wanazuoni wa waislamu baina khiyari mbili ama wafwate kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim ama wakufuru kwa kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim Na Sunna za kinabawi za kweli basi wafwate sunna za shetani rajim kutoka kwa sio Allah na Mtume Wake.


Na nakariri Mapokezi kwa Sultan alghudhunfur mwenye mwili wa nguvu Sultan Ahmad Alqudsi, Na itabainika kwetu je Sultan ghudhunfur mwenye mweili wa nguvu ama ni panya ametoroka kutoka kwa meza ya mazungumzo ya ulimwengu tuvoti ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani, Na ukikata ewe Sultan na ukahepa kutoroka kutoka kwa meza ya mazungumzo ya ulimwengu basi niruhusu mimi niseme pamoja ya kukuhishimu wewe na walioko na wewe; Haikudhurika mwezi usiku wa nusu ya mwezi kwa kupiga kelele majibwa ispokua nilitaka kukutia hasira kwa kauli yangu hi ili ujizatiti usitoroke kwa mazungumzo na Nasser Muhammad Al'Yamani, Na bado nazali nakuita Sultan alghudhunfur mwenye mwili wa nguvu na nasema haya kwa sultan ghudhunfur kwa vitone va bahari kwa mazungumzo kabla ya kudhihiri, Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..


Ndugu Yenu Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani

أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.