- 1 -
Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
15 - 05 - 1433 هـ
07 - 04 - 2012 مـ
04:49 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=6284
ــــــــــــــــــــــ


ردّ الإمام المهدي إلى الأحمديّين الذين ضلّ سعيهم في الحياة الدنيا ويحسبون أنّهم مهتدون ..
Amerudisha Jibu Al'Imam Al'Mahdi Kwa Ma Ahmadiyin Wale Ambao Mbio Zao Zilipotea Katika Maisha Ya Dunia Na Wanaona Wao Wameongoka ..

Bismillah Al'Rahamn Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah Na Alihi Walio Tahirika Na Ma Nabi Wote Wa Allah Na Mitume Wake Na Ahli Zao Walio Tahirika Na Wote Ma Anssar Wa Allah Katika Waja Wake Katika Wa Kwanza Na Katiak Wa Mwisho Na Katika Anga Ju Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Hapo ..


Na Mimi Ni Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Natangaza Mapokezi Makuu Kwa Wageni ambao ni wa'pia Wa Meza Ya Mazungumzo Ma Aahmadiyin Wale Ambao Wamekuja Kwa Meza Ya Mazungumzo Ya Ulimwengu Na Wakatangaza Matokeo Kabla Ya Mazungumzo Kwamba Wao Ndio Watakae shinda Na Wakatarajia kwamba Kutubia Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Kudai Kwake Yeye ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar kwakua wao wanaitakidi watasmamisha ju ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Hoja mpaka ajisalimu kwa haki Kujisalimu, Alafu Anarudisha Jibu ju yao Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nasema: Kwahivo Tumesikizana kwamba nyinyi mukismamisha hoja kwa utawala wa ilimu baini iko wazi kutoka kwa Al'Quran Al3adhim ju ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani hata kama pekeyake katika suali moja tu peke basi mukiweza na wala hamutoweza basi mumesmamisha hoja ju ya Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani, Na itabainika kwa Ma Anssar na wote wageni wa meza ya mazungumzo kwamba Nasser Muhammad Al'Yamani sio Al'Mahdi Al'Muntadhar alafu itawajibibika ju yetu kutubia kwamba ni Al'Mahdi Al'Muntadhar mpaka watakapo samama watu kwa Allah Al'Wahid Al'Qahar, Na Haihat Haihat Natoa Qasam Billah Al3aliyu Al'Qadir Hawawezi Wote Wanazuoni Wa Ma Jini Na Binadamu kwamba Wasmamishe ju ya Al'Mahdi Al'Muntadhar hoja Kutoka kwa Muhakam ya ukumbusho hata lau kwenye suali Moja pekeyake hata kama watasaidiana na kuinuana migongo na kunusuriana, Lakini Enye Ma3ashara ya Ma Ahmadiyin pindi akismamisha Al'Imam Al'Mahdi hoja ju yenu kutoka kwa muhakam kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim nithibitishe kwamba mwisho wa Mitumd Wa Allah kwa Ma jini na Binadamu ni Babu Yangu Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam - Basi nikiwabomoa Kwa Nguvu ya utawala wa ilimu ilio baini wazi kwa mwanachuoni Wa Umma na watu wa kawaida waislamu je mutatubia kwa Allah Kutubia muamini kwamba alio khitimisha Ma Nabi Na Mitume ni Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam? Na nataraji kutoka kwa Allah kwamba isiwachukuwe utukufu kwa dhambi Muwe miongoni mwa watu wa motoni, Basi kuweni na hadhari kutokana na adhabu Ya Allah hakika mimi kwenu ni mwenye kuwanasihi mwaminifu.


Na tutanza mazungumzo kwa kufwatilia moja moja mpaka pindi akiwabomoa Al'Imam Al'Mahdi kwa nguvu ya utawala wa ilimu ilio wasi baini mpaka awafanye baina ya hiyari mbili ama mufwate muhakam ilio wazi maana yake kitabu cha Allah na wala musimshirikishe Allah na kitu ama mukanushe muhakam ilio wazi maana yake kitabu cha Allah alafu musipate kwenu pasi na Allah wali wala mnusura, Ysye Ajua ukhaini wa macho na kinacho ficha vifua.

Na tutaanza na nukta ya mazungumzo ya kwanza ambao walio anza nayo ma Ahmadiyun wageni wa meza ya mazungumzo nayo ni kwamba wao wanaitakidi kuendelea kwa kutumilizwa Ma Nabi Na Mitume na wao wakanusha fatwa Ya Allah Katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيماً} صدق الله العظيم [الأحزاب:40].

Allah Ta3ala Asema:
{ Hakuwa Muhammad ni baba wa yoyote katika wanaume wenu lakini ni Mtume Wa Allah Na mwisho wa ma Nabi Na Hakika Allah Kwa kila kitu Anajuwa } Sadaqa Allah Al3adhim [ Alahzab:40].

Na enyi ma3ashara ya ma Ahamdiyin na waislamu wote, Mcheni Allah na munitii na muniskize yale nayo wapa fatwa kwa haki, Natoa Qasam Kwa Allah Al3adhim Mwenye Kuhuyisha mifupa ikiwa ememumunyuka hakika nyinyi hamuto'ona na hapana hamuto'ona haki kutoka Kwa Mola Mlezi Wenu mpaka mutumie akili zenu Alizo Wannemesha Allah nazo kwenu, Na kwajili ya hivo hapana wala hamutojua kwamba Nasser Muhammad Al'Yamani yeyw ndio Al'Mahdi Al'Muntadhar Hapana shaka wala utetanishi ispokua nyinyi mukiwa munafkiria, Na ikiwa mumekata kutumia akili na mukafwata ma imamu wenu na wanazuoni wenu na salafu wenu kufwata ufwato upofu bila kutumia akili zenu kutafakari na kupeleleza kabla kufwata basi jueni kwamba Allah Atawauliza kuhusu akili zenu siku watakapo simama watu kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu kwa sababu ya kufwata ufwato upofu bila kutumia akili zenu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلاَ تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْؤُولاً} صدق الله العظيم [الإسراء:36].
Allah Ta3ala Asema:
{ Na usiwepo pahala huna ilimu nayo hakika ya masikio na macho na moyo yote hayo ju yake hakika utasailiwa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa:36].

Na Enyi watu, Natoa shahada kwa Allah kwamba kitabu cha Allah Al'Quran Al3adhim ispokua imekuja kusadikisha akili na mantik, Basi njoni tujaribu kuchabuwe uchambuzi wa akili na mantik katika suali la kwanza katika mazungumzo kuhusu kutumilizwa Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Basi tulize akili na mantik kuhusu Bayana ya haki katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيماً} صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema:
{ Hakuwa Muhammad ni baba wa yoyote katika wanaume wenu lakini ni Mtume Wa Allah Na mwisho wa ma Nabi Na Hakika Allah Kwa kila kitu Anajuwa } Sadaqa Allah Al3adhim,
Basi njoni ili tubaini jawabu ya akili na mantik wala sio akili ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani bali na akili ya Binadamu wote, Basi itakua jibu la akili ya kila Mtu ana akili anachambua ifwatavo; ikiwa hi Aya ni muhakama ilio wazi maana yaken ni katika msingi wa kitabu baini inatoa fatwa kwamba Muhammad Mtume Wa Allah Yeye ni mwisho wa ma Nabi na Mitume kwa watu na ma jini basi hapana budi katika yafwatayo:

1- Lakwanza kwamba yatakiwa Awe Muhammad Mtume Wa Allah sio Mtume wa kaumu yake peke bali anamtumiliza Allah kwa watu wote na Anawkalifisha Allah kaumu yake kubalighisha ujumbe wa Nabi wao kwa walimwengu ikiwa ujumbe ambao amekuja nao Nabi wao ni wa watu wote, Basi hi ndio inasema akili na mantik ikiwa Muhammad Mtume Wa Allah -Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Yeye ni mwisho wa ma Nabi na Mitume basi hapana budi kwamba Afanye Allah Ujumbe Wake kwa watu wote, Alafu tuangalie kwenye Fatwa Ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake katika kitabu chake alafu tunapata kwamba imekuja kusadikisha uchambuzi wa akili na mantik. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي رَسُولُ اللهِ إِلَيْكُمْ جَمِيعًا الَّذِي لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ يُحْيِي وَيُمِيتُ فَآَمِنُوا بِاللهِ وَرَسُولِهِ النَّبِيِّ الأُمِّيِّ الَّذِي يُؤْمِنُ بِاللهِ وَكَلِمَاتِهِ وَاتَّبِعُوهُ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ} صدق الله العظيم [الأعراف:158].
Allah Ta3ala Asema: { Sema: Enyi watu! Hakika mimi ni Mtume kwenu nyinyi nyote, niliye tumwa na Mwenyezi Mungu Mwenye ufalme wa mbingu na ardhi. Hapana mungu ila Yeye anaye huisha na anaye fisha. Basi muaminini Mwenyezi Mungu na Mtume wake asiyejua kusoma na kuandika, ambaye anamuamini Mwenyezi Mungu na maneno yake. Na mfuateni yeye ili mpate kuongoka } Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:158].

Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلَّا كَافَّةً لِلنَّاسِ بَشِيرًا وَنَذِيرًا وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [سبأ:28].

Allah Ta3ala Asema:
{ Na hatukukutuma ila kwa watu wote, uwe mbashiri, na mwonyaji. Lakini watu wengi hawajui } Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa:28].


2- Na hivo hivo inasema akili na mantik kwamba ikiwa Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ni Mtume kwa watu wote basi hapana budi iwe ujumbe wake uwe ni ujumbe peke ulio hifadhiwa kutokana na kuherufishwa na kufanywa bandia kuzaifishwa kwa zama zote zinao pita kwa Binadamu kwakua hatokuja Mtume na kitabu kipya baada yake mapaka Asahihishe ile walio zaifisha bandia wazushi katika kitabu kile kabla yake, Na hi ndio inasema akili na mantik, Alafu tuangalie fatwa Ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake basi tunakipata kimekuja kusadikisha fatwa ya akilo na mantik kwa kauli ya Allah Ta3ala:
{إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا الذِّكْرَ وَإِنَّا لَهُ لَحَافِظُونَ} صدق الله العظيم [الحجر:9].
Allah Ta3ala Asema:
{ Hakika sisi tumeteremsha ukumbusho hu na hakika sisi ndio tutao ulinda } Sadaqa Allah Al3adhim [Hijiri:9].


3- Na hivo hivo inasema akili na mantik kwamba akiwa Muhammad Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- yeye ni mwisho wa ma Nabi na Mitume katika Binadamu na Majini basi hapana budi iwe ujumbe wake ambao amekuja nao inawakhutubia thukuli mbili nawo ni Binadamu na ma Jini Basi hi ndio inasema akili na mantik, Alafu tuangalie katika fatwa Ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake je Al'Quran Al3adhim Anakhutubia Allah Nayo Binadamu na ma Jini? Alafu tunapata fatwa kutoka kwa Allah imekuja yasadikisha fatwa ya akili na mantik kwamba Al'Quran kweli ni ujumbe wa Allah kwa thikuli mbili kwajili hivo inawkhutubia Binadamu na ma jini kwa wawili, Basi inasema:
{فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ} [الرحمن:13
{
Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman:13].

Na Akasema Allah Ta3ala:

بِسْمِ اللَّـهِ الرَّ‌حْمَـٰنِ الرَّ‌حِيمِ

{الرَّ‌حْمَـٰنُ ﴿١﴾ عَلَّمَ الْقُرْ‌آنَ ﴿٢﴾ خَلَقَ الْإِنسَانَ ﴿٣﴾ عَلَّمَهُ الْبَيَانَ ﴿٤﴾ الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ‌ بِحُسبانٍ ﴿٥﴾ وَالنَّجْمُ وَالشَّجَرُ‌ يَسْجُدَانِ ﴿٦﴾ وَالسَّمَاءَ رَ‌فَعَهَا وَوَضَعَ الْمِيزَانَ ﴿٧﴾ أَلَّا تَطْغَوْا فِي الْمِيزَانِ ﴿٨﴾ وَأَقِيمُوا الْوَزْنَ بِالْقِسْطِ وَلَا تُخْسِرُ‌وا الْمِيزَانَ ﴿٩﴾ وَالْأَرْ‌ضَ وَضَعَهَا لِلْأَنَامِ ﴿١٠﴾ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَالنَّخْلُ ذَاتُ الْأَكْمَامِ ﴿١١﴾ وَالْحَبُّ ذُو الْعَصْفِ وَالرَّ‌يْحَانُ ﴿١٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٣﴾ خَلَقَ الْإِنسَانَ مِن صَلْصَالٍ كَالْفَخَّارِ‌ ﴿١٤﴾ وَخَلَقَ الْجَانَّ مِن مَّارِ‌جٍ مِّن نَّارٍ‌ ﴿١٥﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٦﴾رَ‌بُّ الْمَشْرِ‌قَيْنِ وَرَ‌بُّ الْمَغْرِ‌بَيْنِ ﴿١٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٨﴾ مَرَ‌جَ الْبَحْرَ‌يْنِ يَلْتَقِيَانِ ﴿١٩﴾ بَيْنَهُمَا بَرْ‌زَخٌ لَّا يَبْغِيَانِ ﴿٢٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢١﴾ يَخْرُ‌جُ مِنْهُمَا اللُّؤْلُؤُ وَالْمَرْ‌جَانُ ﴿٢٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٣﴾ وَلَهُ الْجَوَارِ‌ الْمُنشَآتُ فِي الْبَحْرِ‌ كَالْأَعْلَامِ ﴿٢٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٥﴾ كُلُّ مَنْ عَلَيْهَا فَانٍ ﴿٢٦﴾ وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَ‌بِّكَ ذُو الْجَلَالِ وَالْإِكْرَ‌امِ ﴿٢٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٨﴾ يَسْأَلُهُ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضِ كُلَّ يَوْمٍ هُوَ فِي شَأْنٍ ﴿٢٩﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٠﴾ سَنَفْرُ‌غُ لَكُمْ أَيُّهَ الثَّقَلَانِ ﴿٣١﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٢﴾ يَا مَعْشَرَ‌ الْجِنِّ وَالْإِنسِ إِنِ اسْتَطَعْتُمْ أَن تَنفُذُوا مِنْ أَقْطَارِ‌ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضِ فَانفُذُوا لَا تَنفُذُونَ إِلَّا بِسُلْطَانٍ ﴿٣٣﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٤﴾ يُرْ‌سَلُ عَلَيْكُمَا شُوَاظٌ مِّن نَّارٍ‌ وَنُحَاسٌ فَلَا تَنتَصِرَ‌انِ ﴿٣٥﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٦﴾ فَإِذَا انشَقَّتِ السَّمَاءُ فَكَانَتْ وَرْ‌دَةً كَالدِّهَانِ ﴿٣٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٨﴾ فَيَوْمَئِذٍ لَّا يُسْأَلُ عَن ذَنبِهِ إِنسٌ وَلَا جَانٌّ ﴿٣٩﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٠﴾ يُعْرَ‌فُ الْمُجْرِ‌مُونَ بِسِيمَاهُمْ فَيُؤْخَذُ بِالنَّوَاصِي وَالْأَقْدَامِ ﴿٤١﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٢﴾ هَـٰذِهِ جَهَنَّمُ الَّتِي يُكَذِّبُ بِهَا الْمُجْرِ‌مُونَ ﴿٤٣﴾ يَطُوفُونَ بَيْنَهَا وَبَيْنَ حَمِيمٍ آنٍ ﴿٤٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٥﴾ وَلِمَنْ خَافَ مَقَامَ رَ‌بِّهِ جَنَّتَانِ ﴿٤٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٧﴾ ذَوَاتَا أَفْنَانٍ ﴿٤٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٩﴾ فِيهِمَا عَيْنَانِ تَجْرِ‌يَانِ ﴿٥٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥١﴾ فِيهِمَا مِن كُلِّ فَاكِهَةٍ زَوْجَانِ ﴿٥٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٣﴾ مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ فُرُ‌شٍ بَطَائِنُهَا مِنْ إِسْتَبْرَ‌قٍ وَجَنَى الْجَنَّتَيْنِ دَانٍ ﴿٥٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٥﴾ فِيهِنَّ قَاصِرَ‌اتُ الطَّرْ‌فِ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ ﴿٥٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٧﴾ كَأَنَّهُنَّ الْيَاقُوتُ وَالْمَرْ‌جَانُ ﴿٥٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٩﴾ هَلْ جَزَاءُ الْإِحْسَانِ إِلَّا الْإِحْسَانُ ﴿٦٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦١﴾ وَمِن دُونِهِمَا جَنَّتَانِ ﴿٦٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٣﴾ مُدْهَامَّتَانِ ﴿٦٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٥﴾ فِيهِمَا عَيْنَانِ نَضَّاخَتَانِ ﴿٦٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٧﴾فِيهِمَا فَاكِهَةٌ وَنَخْلٌ وَرُ‌مَّانٌ ﴿٦٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٩﴾ فِيهِنَّ خَيْرَ‌اتٌ حِسَانٌ ﴿٧٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧١﴾ حُورٌ‌ مَّقْصُورَ‌اتٌ فِي الْخِيَامِ ﴿٧٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٣﴾ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ ﴿٧٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٥﴾ مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ رَ‌فْرَ‌فٍ خُضْرٍ‌ وَعَبْقَرِ‌يٍّ حِسَانٍ ﴿٧٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٧﴾ تَبَارَ‌كَ اسْمُ رَ‌بِّكَ ذِي الْجَلَالِ وَالْإِكْرَ‌امِ ﴿٧٨﴾}صدق الله العظيم [الرحمن].

Na Akasema Allah Ta3ala:
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
{ Arrah'man, Mwingi wa Rehema (1) Amefundisha Qur'ani (2) Amemuumba mtu (3) Akamfundisha kubaini (4) Jua na mwezi huenda kwa hisabu (5) Na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea (6) Na mbingu ameziinua, na ameweka mizani (7) Ili msidhulumu katika mizani (8) Na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani (9) Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe (10)
Humo yamo matunda na mitende yenye mafumba (11) Na nafaka zenye makapi, na rehani (12) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (13) Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo (14) Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto (15) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (16) Mola Mlezi wa mashariki mbili na wa magharibi mbili (17) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (18) Anaziendesha bahari mbili zikutane (19) Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane (20) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (21) Katika hizo bahari mbili zinatoka lulu na marijani (22) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (23) Na ni vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima (24) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (25) Kila kilioko juu yake kitatoweka (26) Na atabakia Mwenyewe Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu (27) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (28) Vinamwomba Yeye vilivyomo katika mbingu na ardhi. Kila siku Yeye yumo katika mambo (29) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (30) Tutakuhisabuni enyi makundi mawili (31) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (32) Enyi makundi ya majini na watu! Mkiweza kupenya kwenye mbingu na ardhi, basi penyeni! Hamtapenya ila kwa kupewa madaraka (33) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (34) Mtapelekewa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda (35) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (36) Itakapo pasuka mbingu ikawa nyekundu kama mafuta (37) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (38) Siku hiyo hataulizwa dhambi zake mtu wala jini (39) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (40) Watajuulikana wakosefu kwa alama zao, basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu (41) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (42) Hii ndiyo Jahannamu ambayo wakosefu wakiikanusha (43) Watakuwa wakizunguka baina ya hiyo na maji ya moto yanayo chemka (44) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (45) Na mwenye kuogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi atapata Bustani mbili (46) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (47) Bustani zenye matawi yaliyo tanda (48) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (49) Ndani yake zimo chemchem mbili zinazo pita (50) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (51) Humo katika kila matunda zimo namna mbili (52) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (53) Wawe wameegemea matandiko yenye bit'ana ya hariri nzito; na matunda ya Bustani hizo yapo karibu (54) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (55) Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini (56) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (57) Kama kwamba wao ni yakuti na marijani (58) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (59) Ati yaweza kuwa malipo ya ihsani ila ihsani (60) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (61) Na zaidi ya hizo zipo Bustani nyengine mbili (62) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (63) Za kijani kibivu (64) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (66) Na chemchem mbili zinazo furika (67) Imo humo miti ya matunda, na mitende na mikomamanga (68) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (69) Humo wamo wanawake wema wazuri (70) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (71) Wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema (72) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (73) Hajawagusa mtu wala jini kabla yao (74) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (75) Wameegemea juu ya matakia ya kijani na mazulia mazuri (76) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (77) Limetukuka jina la Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu (78)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman].

4- Na hivo hivo inasema akili na mantik; Basi kama Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Yeye Ni Mwisho wa ma Nabi na Mitume kwa Binadamu na Majini basi hapana budi akalifishe Allah kundi moja katika ma Jini watasmamia jambo la kufikisha ujumbe hu kwa kaumu yao ma Jini, Basi hi ndio inasema akili na mantik ikiwa ujumbe hu ambao amekuja nao Muhammad Mtume Wa Allah nayo ni kwa Binadamu na ma Jini, Alafu tunapata fatwa ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake imekuja kusadikisha fatwa ya akili na mantik, Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِذْ صَرَفْنَا إِلَيْكَ نَفَرًا مِّنَ الْجِنِّ يَسْتَمِعُونَ الْقُرْآنَ فَلَمَّا حَضَرُوهُ قَالُوا أَنصِتُوا فَلَمَّا قُضِيَ وَلَّوْا إِلَى قَوْمِهِم مُّنذِرِينَ} صدق الله العظيم [الأحقاف:29].

Allah Ta3ala Asema: { Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahkaf:29].

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّ‌حْمَـٰنِ الرَّ‌حِيمِ

{قُلْ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ‌ مِّنَ الْجِنِّ فَقَالُوا إِنَّا سَمِعْنَا قُرْ‌آنًا عَجَبًا ﴿١﴾ يَهْدِي إِلَى الرُّ‌شْدِ فَآمَنَّا بِهِ وَلَن نُّشْرِ‌كَ بِرَ‌بِّنَا أَحَدًا ﴿٢﴾ وَأَنَّهُ تَعَالَىٰ جَدُّ رَ‌بِّنَا مَا اتَّخَذَ صَاحِبَةً وَلَا وَلَدًا ﴿٣﴾ وَأَنَّهُ كَانَ يَقُولُ سَفِيهُنَا عَلَى اللَّـهِ شَطَطًا ﴿٤﴾ وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن تَقُولَ الإنس والجنّ عَلَى اللَّـهِ كَذِبًا ﴿٥﴾ وَأَنَّهُ كَانَ رِ‌جَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِ‌جَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَ‌هَقًا ﴿٦﴾ وَأَنَّهُمْ ظَنُّوا كَمَا ظَنَنتُمْ أَن لَّن يَبْعَثَ اللَّـهُ أَحَدًا ﴿٧﴾ وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَ‌سًا شَدِيدًا وَشُهُبًا ﴿٨﴾ وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّ‌صَدًا ﴿٩﴾ وَأَنَّا لَا نَدْرِ‌ي أَشَرٌّ‌ أُرِ‌يدَ بِمَن فِي الْأَرْ‌ضِ أَمْ أَرَ‌ادَ بِهِمْ رَ‌بُّهُمْ رَ‌شَدًا ﴿١٠﴾ وَأَنَّا مِنَّا الصَّالِحُونَ وَمِنَّا دُونَ ذَٰلِكَ ۖ كُنَّا طَرَ‌ائِقَ قِدَدًا ﴿١١﴾ وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن نُّعْجِزَ اللَّـهَ فِي الْأَرْ‌ضِ وَلَن نُّعْجِزَهُ هَرَ‌بًا ﴿١٢﴾ وَأَنَّا لَمَّا سَمِعْنَا الْهُدَىٰ آمَنَّا بِهِ ۖ فَمَن يُؤْمِن بِرَ‌بِّهِ فَلَا يَخَافُ بَخْسًا وَلَا رَ‌هَقًا ﴿١٣﴾وَأَنَّا مِنَّا الْمُسْلِمُونَ وَمِنَّا الْقَاسِطُونَ فَمَنْ أَسْلَمَ فَأُولَـٰئِكَ تَحَرَّ‌وْا رَ‌شَدًا ﴿١٤﴾ وَأَمَّا الْقَاسِطُونَ فَكَانُوا لِجَهَنَّمَ حَطَبًا ﴿١٥﴾ وَأَن لَّوِ اسْتَقَامُوا عَلَى الطَّرِ‌يقَةِ لَأَسْقَيْنَاهُم مَّاءً غَدَقًا ﴿١٦﴾ لِّنَفْتِنَهُمْ فِيهِ وَمَن يُعْرِ‌ضْ عَن ذِكْرِ‌ رَ‌بِّهِ يَسْلُكْهُ عَذَابًا صَعَدًا ﴿١٧﴾ وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّـهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّـهِ أَحَدًا ﴿١٨﴾ وَأَنَّهُ لَمَّا قَامَ عَبْدُ اللَّـهِ يَدْعُوهُ كَادُوا يَكُونُونَ عَلَيْهِ لِبَدًا ﴿١٩﴾ قُلْ إِنَّمَا أَدْعُو رَ‌بِّي وَلَا أُشْرِ‌كُ بِهِ أَحَدًا ﴿٢٠﴾ قُلْ إِنِّي لَا أَمْلِكُ لَكُمْ ضَرًّ‌ا وَلَا رَ‌شَدًا ﴿٢١﴾ قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَ‌نِي مِنَ اللَّـهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ مُلْتَحَدًا ﴿٢٢﴾ إِلَّا بَلَاغًا مِّنَ اللَّـهِ وَرِ‌سَالَاتِهِ ۚ وَمَن يَعْصِ اللَّـهَ وَرَ‌سُولَهُ فَإِنَّ لَهُ نَارَ‌ جَهَنَّمَ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا ﴿٢٣﴾ حَتَّىٰ إِذَا رَ‌أَوْا مَا يُوعَدُونَ فَسَيَعْلَمُونَ مَنْ أَضْعَفُ نَاصِرً‌ا وَأَقَلُّ عَدَدًا ﴿٢٤﴾ قُلْ إِنْ أَدْرِ‌ي أَقَرِ‌يبٌ مَّا تُوعَدُونَ أَمْ يَجْعَلُ لَهُ رَ‌بِّي أَمَدًا ﴿٢٥﴾ عَالِمُ الْغَيْبِ فَلَا يُظْهِرُ‌ عَلَىٰ غَيْبِهِ أَحَدًا ﴿٢٦﴾ إِلَّا مَنِ ارْ‌تَضَىٰ مِن رَّ‌سُولٍ فَإِنَّهُ يَسْلُكُ مِن بَيْنِ يَدَيْهِ وَمِنْ خَلْفِهِ رَ‌صَدًا ﴿٢٧﴾ لِّيَعْلَمَ أَن قَدْ أَبْلَغُوا رِ‌سَالَاتِ رَ‌بِّهِمْ وَأَحَاطَ بِمَا لَدَيْهِمْ وَأَحْصَىٰ كُلَّ شَيْءٍ عَدَدًا ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [الجن].

Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
{ Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu (1) Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi (2) Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana (3) Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu (4) Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu (5) Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi (6) Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume (7) Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo (8) Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia (9) Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhi au Mola wao Mlezi anawatakia uwongofu (10) Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali (11) Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia (12)
Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa (13) Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu (14) Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu (15) Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi (16) Ili tuwajaribu kwa hayo. Na anaye puuza kumkumbuka Mola wake Mlezi atamsukuma kwenye adhabu ngumu (17) Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu (18) Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga (19) Sema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishi Yeye na yeyote (20) Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni (21) Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu (22) Ila nifikishe Ujumbe utokao kwa Mwenyezi Mungu na risala zake. Na wenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi hakika hao watapata Moto wa Jahannamu wadumu humo milele (23) Hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nani mwenye msaidizi dhaifu, na mchache wa idadi (24) Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au Mola wangu Mlezi atayawekea muda mrefu (25) Yeye ndiye Mwenye kujua ya siri, wala hamdhihirishii yeyote siri yake (26) Isipo kuwa Mtume wake aliye mridhia. Naye huyo humwekea walinzi mbele yake na nyuma yake (27) Ili Yeye ajue kwamba wao wamefikisha ujumbe wa Mola wao Mlezi, na Yeye anayajua vyema yote walio nayo, na amedhibiti idadi ya kila kitu (28)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin].

Na tunatosheka kwa kiwango hiki kwa fatwa Ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake katika kitabu chake kwamba Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allah Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Yeye ni mwisho wa ma Nabi na Mitume anabeba ujumbe kwa Binadamu na ma Jini na Hato tumiliza Allah baada yake Mtume katika Binadamu wala katika ma Jini.

Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin, Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____________

اقتباس المشاركة 38623 من موضوع ردّ الإمام المهدي إلى الأحمديين الذين ضلّ سعيهم في الحياة الدنيا ويحسبون أنهم مهتدون..

- 1 -
[ لمتابعة رابط المشاركــــــــــــة الأصليّة للبيــــــــــــان ]
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=38602

الإمام ناصر محمد اليماني
15 - 05 - 1433 هـ
07 - 04 - 2012 مـ
04:49 صباحاً
ــــــــــــــــــــــ




ردّ الإمام المهدي إلى الأحمديّين الذين ضلّ سعيهم في الحياة الدنيا ويحسبون أنّهم مهتدون ..


بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على جدي محمد رسول الله وآله الأطهار وجميع أنبياء الله ورسله وآلهم الأطهار وكافة أنصار الله في عباده في الأولين وفي الآخرين وفي الملأ الأعلى إلى يوم الدين، وبعد..

وأنا الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني أعلن الترحيب الكبير بضيوف طاولة الحوار الجدد الأحمديّين الذين وفدوا إلى طاولة الحوار العالميّة وأعلنوا النتيجة من قبل الحوار أنّهم هم الغالبون وتوقّعوا توبة الإمام ناصر محمد اليماني عن ادِّعائه أنّه المهديّ المنتظَر كونهم يعتقدون أنّهم سوف يُقيمون على الإمام ناصر محمد اليماني الحُجّة حتى يُسلِّم للحقِّ تسليماً، ومن ثم يردّ عليهم الإمام ناصر محمد اليماني وأقول: إذاً اتّفقنا على أنّكم إذا أقمتم الحُجّة بسلطان العلم المبين من القرآن العظيم على الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني ولو فقط في مسألةٍ واحدةٍ فقط فإن فعلتم ولن تفعلوا فقد أقمتم الحُجّة على ناصر محمد اليماني، ويتبيّن للأنصار وكافة ضيوف طاولة الحوار أنّ ناصر محمد اليماني ليس المهديّ المنتظَر ومن ثم وجبت علينا التّوبة إلى عدم ادّعاء شخصية المهديّ المنتظَر إلى يوم يقوم الناس لله الواحد القهار، وهيهات هيهات.. وأقسم بالله العليّ القدير لا يستطيع كافّة علماء الجنِّ والإنس أن يقيموا على المهديّ المنتظَر الحُجّة من مُحكم الذِّكر ولو في مسألةٍ واحدةٍ ولو كان بعضهم لبعضٍ ظهيراً ونصيراً، ولكن يا معشر الأحمديّين لئِن أقام الإمام المهديّ الحُجّة عليكم من محكم كتاب الله القرآن العظيم فأُثبِتُ أنَّ خاتم رسل الله إلى الجنّ والإنس هو جدي محمد رسول الله - صلى الله عليه وآله وسلم- فإن ألجمناكم بسلطان العلم المبين لعالم الأمّة وعامّة المسلمين فهل سوف تتوبون إلى الله متاباً فتؤمنون أنّ خاتم الأنبياء والمرسلين هو محمدٌ رسول الله صلى الله عليه وآله وسلم؟ وأرجو من الله أن لا تأخذكم العزّة بالإثم فتكونوا من أصحاب السعير، فاحذروا عذاب الله إنّي لكم ناصحٌ أمينٌ.

ولسوف نبدأ الحوار بالتّسلسل نقطةً نقطةً حتى إذا ألجمكم الإمام المهديّ بسلطان العلم المبين حتى يجعلكم بين خَيارين إمّا أن تتّبعوا محكمَ كتاب الله ولا تشركوا بالله شيئاً أو تُعرضوا عن محكم كتاب الله ثم لا تجدوا لكم من دون الله ولياً ولا نصيراً، هو يعلم خائنة الأعين وما تخفي الصدور.

ولسوف نبدأ بنقطة الحوار الأولى التي بدأ بها الأحمديّون ضيوف طاولة الحوار وهو أنّهم يعتقدون الاستمرار ببعث الأنبياء والمرسلين وهم معْرِضون عن فتوى الله في محكم كتابه في قول الله تعالى:
{مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيماً} صدق الله العظيم [الأحزاب:40].

ويا معشر الأحمديّين وكافة المسلمين، اتّقوا الله وأطيعوني واسمعوا لما أفتيكم به بالحقّ، أقسمُ بالله العظيم من يُحيي العظامَ وهي رميمٌ أنّكم لا ولن تبصروا الحقّ من ربِّكم حتى تستخدموا عقولَكم التي أنعم الله بها عليكم، ولذلك لا ولن تعلموا أنّ ناصر محمد اليماني هو المهديّ المنتظَر لا شك ولا ريب إلا إذا كنتم تعقلون، وإذا أبيتُم استخدام العقل واتّبعتم أئِمّتَكم وعلماءكم وأسلافكم اتّباعَ الأعمى دون أن تستخدموا عقولكم للتفكّر والتدبّر من قبل الاتّباع فاعلموا أنّ الله سوف يسألُكم عن عقولكم يوم يقوم الناس لربّ العالمين بسبب الاتّباع الأعمى دون أن تستخدموا عقولكم. وذلك تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَلاَ تَقْفُ مَا لَيْسَ لَكَ بِهِ عِلْمٌ إِنَّ السَّمْعَ وَالْبَصَرَ وَالْفُؤَادَ كُلُّ أُولئِكَ كَانَ عَنْهُ مَسْؤُولاً} صدق الله العظيم [الإسراء:36].

ويا أيها الناس، أشهد لله أنّ كتاب الله القرآن العظيم إنّما جاء مُّصدقاً للعقل والمنطق، فتعالوا لنُجرِّب تحليل العقل والمنطق في المسألة الأولى في الحوار حول بعث محمد رسول الله -صلى الله عليه وآله وسلم- فنسأل العقل والمنطق عن البيان الحقّ لقول الله تعالى:
{مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَكِن رَّسُولَ اللَّهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ وَكَانَ اللَّهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيماً} صدق الله العظيم، فتعالوا لنتبيّن جواب العقل والمنطق وليس عقل المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني بل وكافة عقول البشر، فسوف يكون ردّ عقل كلّ إنسانٍ عاقلٍ يحلل بما يلي: إذا كانت هذه الآية محكمةٌ بيّنةٌ من آيات أمّ الكتاب البيّنات تفتي أنّ محمداَ رسول الله هو خاتم الأنبياء والمرسلين إلى الإنس والجنّ فلا بدّ من الآتي:

1- أولاً أن يكون محمدٌ رسولُ الله ليس رسولاً فقط إلى قومه بل يبعثه الله إلى الناس كافةً ويكلف الله قومه بتبليغ رسالة نبيّهم للعالمين إذا كانت الرسالة التي جاء بهم نبيّهم إلى الناس كافةً، فهذا ما يقوله العقل والمنطق إذا كان محمدٌ رسول الله -صلى الله عليه وآله وسلم- هو خاتم الأنبياء والمرسلين فلا بدّ أن يجعل الله رسالته إلى الناس كافةً، ومن ثم ننظر إلى فتوى الله في محكم كتابه ثم نجد أنه جاء مُصدِّقاً للتحليل العقلي والمنطقي. تصديقاً لقول الله تعالى: {قُلْ يَا أَيُّهَا النَّاسُ إِنِّي رَسُولُ اللهِ إِلَيْكُمْ جَمِيعًا الَّذِي لَهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالأَرْضِ لَا إِلَهَ إِلَّا هُوَ يُحْيِي وَيُمِيتُ فَآَمِنُوا بِاللهِ وَرَسُولِهِ النَّبِيِّ الأُمِّيِّ الَّذِي يُؤْمِنُ بِاللهِ وَكَلِمَاتِهِ وَاتَّبِعُوهُ لَعَلَّكُمْ تَهْتَدُونَ} صدق الله العظيم [الأعراف:158].
وقال الله تعالى:
{وَمَا أَرْسَلْنَاكَ إِلَّا كَافَّةً لِلنَّاسِ بَشِيرًا وَنَذِيرًا وَلَكِنَّ أَكْثَرَ النَّاسِ لَا يَعْلَمُونَ} صدق الله العظيم [سبأ:28].

2- وكذلك يقول العقل والمنطق أنّه إذا كان محمدٌ رسولُ الله -صلى الله عليه وآله وسلم- رسولٌ إلى الناس كافّةً فلا بدّ أنّ رسالته تكون الرسالة الوحيدة المحفوظة من التحريف والتزييف على مرّ عصور البشر كونه لن يأتي رسولٌ بكتابٍ جديدٍ من بعده حتى يقوم بتصحيح ما زيّفه المفترون في الكتاب الذي من قبله، وهذا ما يقوله العقل والمنطق. ومن ثمّ ننظر إلى فتوى الله في محكم كتابه فنجدها جاءت مُصدِّقةً لفتوى العقل والمنطق بقول الله تعالى: {إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا الذِّكْرَ وَإِنَّا لَهُ لَحَافِظُونَ} صدق الله العظيم [الحجر:9].

3- وكذلك يقول العقل والمنطق إنّه إذا كان محمدٌ رسول الله -صلى الله عليه وآله وسلم- هو خاتم الأنبياء والمرسلين من الإنس والجنّ فلا بدّ أن تكون الرسالة التي جاء بها تخاطب الثقلين وهما الإنس والجنّ فهذا ما يقوله العقل والمنطق، ومن ثم ننظر إلى فتوى الله في محكم كتابه هل القرآن العظيم يخاطب الله به الإنس والجنّ؟ ومن ثمّ نجد الفتوى من الله جاءت مصدقة لفتوى العقل والمنطق أنّ القرآن فعلاً رسالة الله الى الثقلين لذلك يخاطب الإنس والجنّ بالمثنى، فيقول: {فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ} [الرحمن:13].

وقال الله تعالى: بِسْمِ اللَّـهِ الرَّ‌حْمَـٰنِ الرَّ‌حِيمِ
{الرَّ‌حْمَـٰنُ ﴿١﴾ عَلَّمَ الْقُرْ‌آنَ ﴿٢﴾ خَلَقَ الْإِنسَانَ ﴿٣﴾ عَلَّمَهُ الْبَيَانَ ﴿٤﴾ الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ‌ بِحُسبانٍ ﴿٥﴾ وَالنَّجْمُ وَالشَّجَرُ‌ يَسْجُدَانِ ﴿٦﴾ وَالسَّمَاءَ رَ‌فَعَهَا وَوَضَعَ الْمِيزَانَ ﴿٧﴾ أَلَّا تَطْغَوْا فِي الْمِيزَانِ ﴿٨﴾ وَأَقِيمُوا الْوَزْنَ بِالْقِسْطِ وَلَا تُخْسِرُ‌وا الْمِيزَانَ ﴿٩﴾ وَالْأَرْ‌ضَ وَضَعَهَا لِلْأَنَامِ ﴿١٠﴾ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَالنَّخْلُ ذَاتُ الْأَكْمَامِ ﴿١١﴾ وَالْحَبُّ ذُو الْعَصْفِ وَالرَّ‌يْحَانُ ﴿١٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٣﴾ خَلَقَ الْإِنسَانَ مِن صَلْصَالٍ كَالْفَخَّارِ‌ ﴿١٤﴾ وَخَلَقَ الْجَانَّ مِن مَّارِ‌جٍ مِّن نَّارٍ‌ ﴿١٥﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٦﴾رَ‌بُّ الْمَشْرِ‌قَيْنِ وَرَ‌بُّ الْمَغْرِ‌بَيْنِ ﴿١٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٨﴾ مَرَ‌جَ الْبَحْرَ‌يْنِ يَلْتَقِيَانِ ﴿١٩﴾ بَيْنَهُمَا بَرْ‌زَخٌ لَّا يَبْغِيَانِ ﴿٢٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢١﴾ يَخْرُ‌جُ مِنْهُمَا اللُّؤْلُؤُ وَالْمَرْ‌جَانُ ﴿٢٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٣﴾ وَلَهُ الْجَوَارِ‌ الْمُنشَآتُ فِي الْبَحْرِ‌ كَالْأَعْلَامِ ﴿٢٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٥﴾ كُلُّ مَنْ عَلَيْهَا فَانٍ ﴿٢٦﴾ وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَ‌بِّكَ ذُو الْجَلَالِ وَالْإِكْرَ‌امِ ﴿٢٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٨﴾ يَسْأَلُهُ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضِ كُلَّ يَوْمٍ هُوَ فِي شَأْنٍ ﴿٢٩﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٠﴾ سَنَفْرُ‌غُ لَكُمْ أَيُّهَ الثَّقَلَانِ ﴿٣١﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٢﴾ يَا مَعْشَرَ‌ الْجِنِّ وَالْإِنسِ إِنِ اسْتَطَعْتُمْ أَن تَنفُذُوا مِنْ أَقْطَارِ‌ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْ‌ضِ فَانفُذُوا لَا تَنفُذُونَ إِلَّا بِسُلْطَانٍ ﴿٣٣﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٤﴾ يُرْ‌سَلُ عَلَيْكُمَا شُوَاظٌ مِّن نَّارٍ‌ وَنُحَاسٌ فَلَا تَنتَصِرَ‌انِ ﴿٣٥﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٦﴾ فَإِذَا انشَقَّتِ السَّمَاءُ فَكَانَتْ وَرْ‌دَةً كَالدِّهَانِ ﴿٣٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٨﴾ فَيَوْمَئِذٍ لَّا يُسْأَلُ عَن ذَنبِهِ إِنسٌ وَلَا جَانٌّ ﴿٣٩﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٠﴾ يُعْرَ‌فُ الْمُجْرِ‌مُونَ بِسِيمَاهُمْ فَيُؤْخَذُ بِالنَّوَاصِي وَالْأَقْدَامِ ﴿٤١﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٢﴾ هَـٰذِهِ جَهَنَّمُ الَّتِي يُكَذِّبُ بِهَا الْمُجْرِ‌مُونَ ﴿٤٣﴾ يَطُوفُونَ بَيْنَهَا وَبَيْنَ حَمِيمٍ آنٍ ﴿٤٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٥﴾ وَلِمَنْ خَافَ مَقَامَ رَ‌بِّهِ جَنَّتَانِ ﴿٤٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٧﴾ ذَوَاتَا أَفْنَانٍ ﴿٤٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٩﴾ فِيهِمَا عَيْنَانِ تَجْرِ‌يَانِ ﴿٥٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥١﴾ فِيهِمَا مِن كُلِّ فَاكِهَةٍ زَوْجَانِ ﴿٥٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٣﴾ مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ فُرُ‌شٍ بَطَائِنُهَا مِنْ إِسْتَبْرَ‌قٍ وَجَنَى الْجَنَّتَيْنِ دَانٍ ﴿٥٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٥﴾ فِيهِنَّ قَاصِرَ‌اتُ الطَّرْ‌فِ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ ﴿٥٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٧﴾ كَأَنَّهُنَّ الْيَاقُوتُ وَالْمَرْ‌جَانُ ﴿٥٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٩﴾ هَلْ جَزَاءُ الْإِحْسَانِ إِلَّا الْإِحْسَانُ ﴿٦٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦١﴾ وَمِن دُونِهِمَا جَنَّتَانِ ﴿٦٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٣﴾ مُدْهَامَّتَانِ ﴿٦٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٥﴾ فِيهِمَا عَيْنَانِ نَضَّاخَتَانِ ﴿٦٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٧﴾فِيهِمَا فَاكِهَةٌ وَنَخْلٌ وَرُ‌مَّانٌ ﴿٦٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٩﴾ فِيهِنَّ خَيْرَ‌اتٌ حِسَانٌ ﴿٧٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧١﴾ حُورٌ‌ مَّقْصُورَ‌اتٌ فِي الْخِيَامِ ﴿٧٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٣﴾ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ ﴿٧٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٥﴾ مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ رَ‌فْرَ‌فٍ خُضْرٍ‌ وَعَبْقَرِ‌يٍّ حِسَانٍ ﴿٧٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَ‌بِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٧﴾ تَبَارَ‌كَ اسْمُ رَ‌بِّكَ ذِي الْجَلَالِ وَالْإِكْرَ‌امِ ﴿٧٨﴾} صدق الله العظيم [الرحمن].

4- وكذلك يقول العقل والمنطق؛ فإذا كان محمدٌ رسولُ الله -صلى الله عليه وآله وسلم- هو خاتمَ الأنبياء والمرسلين إلى الإنس والجنّ فلا بدّ أن يكلف الله نفراً من الجنّ يتولّون أمر توصيل هذه الرسالة إلى قومهم الجنّ، فهذا ما يقوله العقل والمنطق إذا كانت الرسالة التي جاء بها محمدٌ رسول الله هي إلى الإنس والجنّ، ومن ثمّ نجد فتوى الله في محكم كتابه جاءت مُصدِّقة لفتوى العقل والمنطق، وقال الله تعالى: {وَإِذْ صَرَفْنَا إِلَيْكَ نَفَرًا مِّنَ الْجِنِّ يَسْتَمِعُونَ الْقُرْآنَ فَلَمَّا حَضَرُوهُ قَالُوا أَنصِتُوا فَلَمَّا قُضِيَ وَلَّوْا إِلَى قَوْمِهِم مُّنذِرِينَ} صدق الله العظيم [الأحقاف:29].

بِسْمِ اللَّـهِ الرَّ‌حْمَـٰنِ الرَّ‌حِيمِ
{قُلْ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ‌ مِّنَ الْجِنِّ فَقَالُوا إِنَّا سَمِعْنَا قُرْ‌آنًا عَجَبًا ﴿١﴾ يَهْدِي إِلَى الرُّ‌شْدِ فَآمَنَّا بِهِ وَلَن نُّشْرِ‌كَ بِرَ‌بِّنَا أَحَدًا ﴿٢﴾ وَأَنَّهُ تَعَالَىٰ جَدُّ رَ‌بِّنَا مَا اتَّخَذَ صَاحِبَةً وَلَا وَلَدًا ﴿٣﴾ وَأَنَّهُ كَانَ يَقُولُ سَفِيهُنَا عَلَى اللَّـهِ شَطَطًا ﴿٤﴾ وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن تَقُولَ الإنس والجنّ عَلَى اللَّـهِ كَذِبًا ﴿٥﴾ وَأَنَّهُ كَانَ رِ‌جَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِ‌جَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَ‌هَقًا ﴿٦﴾ وَأَنَّهُمْ ظَنُّوا كَمَا ظَنَنتُمْ أَن لَّن يَبْعَثَ اللَّـهُ أَحَدًا ﴿٧﴾ وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَ‌سًا شَدِيدًا وَشُهُبًا ﴿٨﴾ وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّ‌صَدًا ﴿٩﴾ وَأَنَّا لَا نَدْرِ‌ي أَشَرٌّ‌ أُرِ‌يدَ بِمَن فِي الْأَرْ‌ضِ أَمْ أَرَ‌ادَ بِهِمْ رَ‌بُّهُمْ رَ‌شَدًا ﴿١٠﴾ وَأَنَّا مِنَّا الصَّالِحُونَ وَمِنَّا دُونَ ذَٰلِكَ ۖ كُنَّا طَرَ‌ائِقَ قِدَدًا ﴿١١﴾ وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن نُّعْجِزَ اللَّـهَ فِي الْأَرْ‌ضِ وَلَن نُّعْجِزَهُ هَرَ‌بًا ﴿١٢﴾ وَأَنَّا لَمَّا سَمِعْنَا الْهُدَىٰ آمَنَّا بِهِ ۖ فَمَن يُؤْمِن بِرَ‌بِّهِ فَلَا يَخَافُ بَخْسًا وَلَا رَ‌هَقًا ﴿١٣﴾وَأَنَّا مِنَّا الْمُسْلِمُونَ وَمِنَّا الْقَاسِطُونَ فَمَنْ أَسْلَمَ فَأُولَـٰئِكَ تَحَرَّ‌وْا رَ‌شَدًا ﴿١٤﴾ وَأَمَّا الْقَاسِطُونَ فَكَانُوا لِجَهَنَّمَ حَطَبًا ﴿١٥﴾ وَأَن لَّوِ اسْتَقَامُوا عَلَى الطَّرِ‌يقَةِ لَأَسْقَيْنَاهُم مَّاءً غَدَقًا ﴿١٦﴾ لِّنَفْتِنَهُمْ فِيهِ وَمَن يُعْرِ‌ضْ عَن ذِكْرِ‌ رَ‌بِّهِ يَسْلُكْهُ عَذَابًا صَعَدًا ﴿١٧﴾ وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّـهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّـهِ أَحَدًا ﴿١٨﴾ وَأَنَّهُ لَمَّا قَامَ عَبْدُ اللَّـهِ يَدْعُوهُ كَادُوا يَكُونُونَ عَلَيْهِ لِبَدًا ﴿١٩﴾ قُلْ إِنَّمَا أَدْعُو رَ‌بِّي وَلَا أُشْرِ‌كُ بِهِ أَحَدًا ﴿٢٠﴾ قُلْ إِنِّي لَا أَمْلِكُ لَكُمْ ضَرًّ‌ا وَلَا رَ‌شَدًا ﴿٢١﴾ قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَ‌نِي مِنَ اللَّـهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ مُلْتَحَدًا ﴿٢٢﴾ إِلَّا بَلَاغًا مِّنَ اللَّـهِ وَرِ‌سَالَاتِهِ ۚ وَمَن يَعْصِ اللَّـهَ وَرَ‌سُولَهُ فَإِنَّ لَهُ نَارَ‌ جَهَنَّمَ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا ﴿٢٣﴾ حَتَّىٰ إِذَا رَ‌أَوْا مَا يُوعَدُونَ فَسَيَعْلَمُونَ مَنْ أَضْعَفُ نَاصِرً‌ا وَأَقَلُّ عَدَدًا ﴿٢٤﴾ قُلْ إِنْ أَدْرِ‌ي أَقَرِ‌يبٌ مَّا تُوعَدُونَ أَمْ يَجْعَلُ لَهُ رَ‌بِّي أَمَدًا ﴿٢٥﴾ عَالِمُ الْغَيْبِ فَلَا يُظْهِرُ‌ عَلَىٰ غَيْبِهِ أَحَدًا ﴿٢٦﴾ إِلَّا مَنِ ارْ‌تَضَىٰ مِن رَّ‌سُولٍ فَإِنَّهُ يَسْلُكُ مِن بَيْنِ يَدَيْهِ وَمِنْ خَلْفِهِ رَ‌صَدًا ﴿٢٧﴾ لِّيَعْلَمَ أَن قَدْ أَبْلَغُوا رِ‌سَالَاتِ رَ‌بِّهِمْ وَأَحَاطَ بِمَا لَدَيْهِمْ وَأَحْصَىٰ كُلَّ شَيْءٍ عَدَدًا ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [الجن].

ونكتفي بهذا القدر لفتاوى الله في محكم كتابه أنّ محمداً رسول الله -صلى الله عليه وآله وسلم- هو خاتمُ الأنبياء والمُرسلين يحمل رسالةً إلى الإنس والجنّ ولن يبعث الله من بعده رسولاً من الإنس ولا من الجنّ.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..