Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
29 - صفر - 1438 هـ
29 - 11 - 2016 مـ
11:18 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
ــــــــــــــــــــ

بيان تصديق الله لبيان التحليل السياسيّ الخطير الذي كتبناه قبل سنتين أو أكثر من قبل الحدث، فهل يُحدث لكم ذكراً ؟

Bayana Ya Kusadikisha Allah Kwa Bayana Ya Ufafanuzi Wa Siyasa" Ya Hatari Ambao Tuliandika Kabla Ya Miyaka Miwili Ama Zaidi Kabla Haijatokea Tokeo, Na Je Imepatikana Kwenu Ukumbusho?"


Bismillah Alo Teremsha Kitabu Anao'Washinda Ma'Hizbu Mwenye Nguvu Wa Kuadhibu, Na Natowa Qasam Kwa Al3aziz Al'Wahab Enye Wenye Akili Hakika Sayari Ya Adhabu Imekurubia Kupamabazuka Juu Ya Watu Kutoka Kusini Mwa Ulimwengu, Basi Mcheni Allah Enye Wenye Akili Na Muitikie Mwito Wa Kuhukumiwa Katika Kitabu Ili Kukanusha Madhehebu Na Ma'Hizbu Na Kusmamisha Vita Baina Ya Waumini Kwa Kuwahukumu Baina Yenu Kutoka Muhakama Ya Al'Quran Al3adhim Katika Yote Ambao Nyinyi Munaikhtalifiana Ndani Yake, Basi Itaisha Ma'Madhebu Na Fitna Yake Inao Bomoa.

Na Ametumia Khilaf ya Ma'Hizbu Ya Waumini Al'Shetan Al'Rajim Iblisi Yeye Mwenyewe Na Akachora Kwa Ma'Wali Wake Ramani Ya Njiya Kuanda Kutimu Taifa La Ma'Yahudi Kuu Kutoka Pembe Mpaka Mpembe Yani Kutoka Amerika Mpaka Urusi Na Kuanda Kwa Kutokeza Kwake Kwa Fitna Kuu, Na Yule Ambae Anatekeleza Ramani Ya Njiya Ili Atokeze Kwenu Ma'Wali Wake Ma'Yahudi Wa Amerika Na Ma'Yahudi Wa Urusi Na Wafwasi Wao, Na Hivo Kwa Kumsaidia Kutokeza Kwake Kwenu Ba'Ada Kuwa Mwa Uwana Wenyewe Kwa Wemyewe Na Kuvunja Manyumba Yenu Na Kuharibu Uchumi Wenu.

Na Ana'Wahadharisha Al'Imam Al'Mahdi Kutofwata Hatuwa Za Shetan, Basi Muwe Mbali Na Kufwata Hatuwa Zake Na Ingieni Katika Uwislamu Nyote Na Muitikie Amri Ya Allah Enye Viongozi Wa Ma'Hizbu Kwa Amri Ya Kusmamisha Vita Vote Baina Ya Ma'Hizbu Ya Waumini Kama Kugeuza Ashindwe Mbinu Ya Al'Shetan Al'Rajim Na Ma'Wali Wake Katika Ma'Shetani Watu Ma'Wali Wa Al'Shetan Mkuu Na Mjumbe Wa Mjumbe Wa Al'Sheta Waldi Al'Shekh Ama Kwa Usawa Wald Alshik Anae Enda Mbio Ili Ifaulu Ramani Ya Njiya Ametuma Nayo Al'Shetan Mkuu Kuzidi Fitna Kwa Ma'Hizbu Ya Waumini Wanaoteta Ndani Ya Yaman Nayo Ni Ipatikane Kutimu Ramani Ya Njiya Ili Atokeze Al'Shetan Al'Kadhab Kwenu Na Nyinyi Ma'Dhaifu, Na Ramani Ya Njia Ni Kuanzia Kuanda Ili Atokeze Al'Dajal Basi Nae Anataka Kudhufisha Waislamu Kwa Kutia Fitna Yaki Matangamano Itimu Kumaliza Waislamu Kwa Mikono Badhi Yao Kwa Badhi.

Na Kwa Maskitiko Kua Serekali Za Waislamu Zinafwata Hatua Za Al'Shetan Al'Rajim Ili Ipatikane Fitna Ya Vita Baina Ya Waumini, Na Hio Ramani Ya Njia Ili Ipatikane Ramani Ya Alshetan Na Wao Hawajuwi Kuwa Ni Trick Kufanyiwa Waumini Ili Itimu Kupatikane Taifa La Ki Yahudi Kuu Kutoka Pembe Mpaka Mpembe, Na Wanataka Kupigana Na Allah Na Kuzima Nuuru Yake Al'Quran Al3adhim Na Kumaliza Waislamu Na Kuwangamiza, Basi Kama Vile Anavo Fanya Urusi Katika Inchi Ya Suria Na Kadhalika Watafanya Kote Mataifa Ya Kiarabu Na Wala Hawana Huruma Wala Dhima Kwa Ma'Sunna Wala Kwa Ma'Shia Basi Hakuna Tafauti Kwao Sunna Wala Shia, Ispokuwa Wanawapiga Kwa Mikono Yao Wenyewe Badhi Yao Juu Ya Badhi Na Kwa Mikono Yao Pamoja Na Mikono Yenu Wakati Wa Vita Va Baina Yenu Badhi Yenu Juu Ya Badhi Kwa Njia Hamuhisi Kama Anavo Fanya Amerika Katika Yaman Wakati Wa Uwaduwi Wa Mungano Wa Warabu Na Juu Ya Mgongo Wa Uwaduwi Wa Mungano Wa Warabu Ili Izidishe Vita Baina Ya Taifa Mbili Ya Yaman Na Sudia Pamoja Yakuwa Hamna Katika Mungano Wanao Piga Sehemu Za Huduma Za Raiya Na Masoko Na Masiptali; Bali Wanapiga Sehemu Za Jeshi Ya Swaleh Na Mahuthi Kulingana Na Chuki Ambao Ya Kuchukiana Baina Yao, Lakini Mimi Najuwa Kwa Yakini Kua Yule Alio Piga Holi Kuu Ya Maombelezi Ya Kifo Ni Amerika Na Walikuwa Wanataka Kujaribu Kumaliza Ali Abdallah Swaleh, Na Wakati Huwo Niliwambia Yamefanana Ya Leo Na Ya Jana, Na Ametambuwa Hayo Bwana Abdulmalik Al'Huthi Akasema: Sio Yule Alio Ipiga Holi Kuu Ya Maombelezi Ya Kifo Kutoka Mungano Wa Warabu Wala Yoyote Katika Ma'Hizbu Ya Ndani Ya Yaman; Bali Amepiga Holi Kuu Ya Maombelezi Ya Kifo Ni Amerika, Lakini Kwa Maskitiko Ame'Mlazimisha Amerika Sudia Kuwa Wakiri Kwa Wasio Kifanya.

Na Kadhalika uzushi Wa Ma'Taifa Za Mungano Wa Kiyarabu Kua Ma'Huthi Hawakukusudia Kupiga Lengo Katika Mjii Wa Jida Walikuwa Wanataka Kupiga Msikiti Wa Haram Kwa Roket, Na NaToa Hukmu Kuwa Hio Ni Urongo Na Uzushi Juu Ya Ma'Huthi Kwa Kuwa Hio Haikubali Akili Wala Mantik, Na Je Yaingia Akilini Kua Wapige Kibla Yao Basi Watandamana Wote Mataifa Ya Waislamu?! Bali Mume Fanya Kwa Huo Uzushi Nafasi Kwa Ma'Yahudi Wa Amerika Ili Wapige Msikiti Wa Haram Kutoka Bab Al'Mandab Ndio Waseme:" Mahuthi Wamepiga Msikiti Wa Haram", Na Lau Sio Kuhofia Mbinu Za Ma'Yahudi Wa Amerika Kupiga Msikiti Wa Haram Alafu Wawabebeshe Mahurhi Hayo Kwa Urongo Na Uzushi Ni Singe Ingia Kwa Siyasa Za Ma'Hizbu Kwa Kuwa Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Hayuko Kwa Ma'Hizbu Wote Kwa Kitu Lakini Kuhofia Kwangu Juu Ya Msikiti Wa Haram Kutokana Na Mbinu Za Ma'Yahudi Wa Amerika Kurusha Roket Kutoka Bab Al'Mandab Kulekea Msikiti Wa Haram Katika Makka Al'Mukarama Alafu Watangaze Kwa Ulimwengu Kuwa Mahuthi Ndio Walio Fanya Hivo.

Na Awagauza Allah Kuwa Manguruwe Kwenye Meli Zao Za Kivita Hawo Ma'Yahudi Wa Amerika, Ama Awalani Kama Alivo Walani Watu Wa Sabato Na Wadi Ilikuwa Ni Yenye Kutendeka, Basi Wallah Yule Ambae Hapana Mola Pasi Na Yeye Kua Amerika Hataki Kupatikane Amani Baina Ya Waislamu Kwa Ujumla; Bali Itimu Kupatikane Ma'Vita Va Umwagaji Damu Na Kuangamiza Waislamu Kwa Mikono Yao Wenyewe Badhi Yao Juu Ya Ba'Adhi Alafu Kwa Mikono Ya Ma'Yahudi Ba'Ada Kutangaza Al'Quds Ni Mmji Mkuu Wa Taifa La Ki Yahudi Al'Abadia, Kiasi Ya Kua Ishaonekana Kwa Wote Mbinu Ya Amerika Na Wanao Munga Mkono Katika Kikao Cha Kimataifa Pamoja Na Hivo Wanataka Ma'Hizbu Yaman Kuhukumiwa Na Kikao Cha Al'Taghut Ambao Kwenu Ni Makatili ! Hio Kwenu Kikao Cha Mataifa Cha Amerika.


Na Sikanushi Kua Ma'Huthi Wameharibu Inchi Lakini Mungano Wa Uwaduwi Wa Kiarabu imezidisha Yaman Kubomoka Na Ufisadi Mkuu, Na Haitakiwi Kwa Al'Imam Awe Atanyamaza Kwa Haki, Na Wala Sikanushi Kua Sababu Kuu Ni Iran Na Briji Yake Ya Anga Ambao Ilimtisha Sudia Ndio Ikamlazimu Kwa Kufanya Uwadui Juu Ya Yaman Bila Ya Haki, Na Ilikuwa Kisawa Wasmamishe Iran Kuingilia Mambo Ya Yaman Kwa Nguvu Kwa Kuwa Yaman Ni Taifa La Kiarabu Basi Hana Iran Kuhusika Nayo, Lakini Kama Anavo Sema Wahenga Mbele Yangu Yaman Ni Sahali Kwangu, Na Je Hi Ni Kudharau Kua Ni Madhaifu Ewe Ndugu Yangu Suleman ibnu Abdulaziz? Hivi Sikukulingania Kwa Kuto Ka Kuangalia Mipango Ya Wamerika Na Urusi Na Iran Kabla Ya Miyaka Miwili Na Nikandika Hayo Kwa Inwani:
[ Ufafanuzi Wa Kisiyasa Wa Hatari Kwa Waislamu Wote]? Bali Nimesema Ifanye Kwenu Ni Fatwa , Na Nikakashifu Mbinu Ya Mipango Ya Ma'Yahudi Wa Amerika Na Urusi Na Wairani Kwa Haki Bila Dhulma Kabla Hawaja'Gunduwa Mbinu Zao Wote Wachunguzi Wa Mataifa Ya Kiyarabu, Na Hawo Nyinyi Munaona Bayana Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Imetimu Kupatikana Kwa Haki Kwenye Waki Ya Hakika Na Haikupatikana Kwenu Ukumbusho, Na Bado Nazali Na'Wamuru Musmamishe Vita Va Ma'Hizbu Baina Ya Waumini Kote Katika Mataifa Ya Kiarabu Na Kislamu, La Sivo Basi Muidhinishe Kwa Vita Kutoka Kwa Allah Nyinyi Na Makafiri Kwa Al'Quran Al3adhim Bara Na Bahari Na Angani, Na Towa Qasam Billah Al'Wahid Al'Qahar Hakika Atawalazimisha Mashingo Zenu Allah Pekeyake Kwa Khalifa Wake Na Nyinyi Ni Wanyonge Karibuni.

Na Bado Nazali Nasema Ikiwa Munao Njama Basi Nifanyieni Hio Njama Alafu Musingoje Ili Awafanye Allah Ni Mazingatio Kwa Watu Na Katika Ishara Za Kusadikisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani, Ala Wallah Yule Ambae Hakuna Ilah Pasi Na Yeye Lau La Kuwa Mimi Najuwa Kua Kujuwa Kwa Yakini Mimi Ni Imam Nilochaguliwa Kutoka Mola Mlezi Wa Ulimwengu Nisinge'Wa'Challenge Nyote Lakini Mimi Ni Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad AL'Yamani Khalifa Wa Allah Alochaguliwa Katika Ardhi Kutoka Mola Mlezi Wa Ulimwengu Na'Wamuru Kwa Yale Alio Wamuru Allah Nayo Katika Kauli Yake Ta3ala:
في قوله تعالى:
{ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ (208) فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ (209)} صدق الله العظيم [البقرة].

Allah Ta3ala Asema:{Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi(208)Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima(209)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].

Na Mutaenda Kujuwa Je Allah Atawezesha Jambo Lake Na Atatimiza Nuuru Yake Ama Ma'Aduwi Wa Dini Na Waislamu? Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabi Al3alamin.


عدوّ شياطين البشر المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني.
_______________

Aduwi Wa Ma'Shetani Watu Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani.
_______________

۞منتديات البشرى الإسلامية۞
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=244010