Kuendelea Na Altanaush



Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني

10 - ربيع الأول - 1438 هـ
09 - 12 - 2016 مـ
02:17 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
(Kulingana Na Kalenda Rasmi Ya Mama Wa Vijiji)
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=29355
ــــــــــــــــــــ

عاجــــــل..
المهديّ المنتظَر يعلن استمرار التناوش وكثرة الزلزال في البحر والبرّ بسبب اقتراب كوكب سقر النار
فاتقوا الله الواحد القهار يا معشر الكفار والمسلمين المعرضين عن اتّباع ذكر القرآن العظيم ..


Hivi Punde ..

Al'Mahdi Al'Muntadhar Ana'Tangaza Kuendelea Altanawush Mvutano Na Uwingi Wa Ma'Zilzala Kwenye Bahari Na Bara Kwa sababu Kukurubia Sayari Ya Saqar Ya Moto Basi Mcheni'Mungu Al'Wahid Al'Qahar Enyi Ma3ashara Ya Makafiri Na Waislamu Wanaokata Kufwata Ukumbusho Wa Al'Quran Al3adhim..


Bismillah Al'Wahid Al'Qahar, Na Sala Na Salsmu Juu Ya Muhammad Mtume Wa Allah Alio Chaguliwa Al'Mukhtar ili Awe Ni Khatimu Wa Ma'Nabi Katika Wana Wa Adam Kwa Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Kwa Ulimwengu Yule Atakae Katika Wao Kuwa Na Istikama, Na Basi Hakuna Kulazimisha Katika Dini Basi Yule Atakae Amini Na Yule Atakae Basi Akufuru, Na Atakae Kuikufuru Hi Basi Ame'Mukufuru Allah Al3adhim, Ispokua Juu Yetu Ni Kubalighisha Kufikisha Na Juu Ya Allah Hisabu Na Adhabu Katika Dunia Na Akhera,
Ama Ba'Ada Ya Hapo..

Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Wanao Amini Al'Quran Al3adhim Na Wao Juu Yake Waniakanusha, Maovu Mno Yanao Amuru Imani Yenu, Na Mfano Wenu Kwa Allah Ni Kama Mfano Wa Makafiri Kwa Al'Quran Al3adhim Madamu Mumekata Kuingia Kwenye Amani Nyote Kuhukumiwa Kwa Al'Quran Al3adhim ili Niwahukumu Baina Yenu Kwa Hukmu Ya Allah Kwa Yale Muliokua Muna'ikhtalifiana Ndani Yake Na Niondoshe Kuondosha Uwingi Wa Ma'hizbu Wa Kimadhehebu Na ZaKisiyasa Katika Dini Ya Allah Ambae ilikua Ni Sababu Ya KUtengana Kwenu Mukawa Mau'Jama Na Mahizbu Kumwaga Badhi Yenu Damu Juu Ya Badhi, Na. imezidi KwaWingi Ufisadi Katika Bara Na Bahari Na Imejawa Na Dhulma Na Maonevu, Na Imekuja Bayana Ya Kauli Ya Allah Ta3ala:
قول الله تعالى:
{ظَهَرَ الْفَسَادُ فِي الْبَرِّ وَالْبَحْرِ بِمَا كَسَبَتْ أَيْدِي النَّاسِ لِيُذِيقَهُم بَعْضَ الَّذِي عَمِلُوا لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ (41)}
صدق الله العظيم [الروم].
Allah Ta3ala Asema:
{Imedhihirika Ufisadi Katika Bara Na Bahari Kwa Yale Vitndo Walio Yafanya Watu ili Awaonjeshe Badhi Ambao Wameyafanya Huwenda Wakarudi}
Sadaqa Allah Al3adhim[Alrum:41].


Na Lana Ya Allah Kwa Wale"Almulhidin"Atheists Ambao Wanasema Kuendelea Kwa Kughadhibika Na Nature: Bali Inawndelea Ghadhabu Za Allah Al'Wahid Al'Qahar Juu Ya Watu Wanao Kanusha Kuhusu Kufwata Al'Quran Al'3adhim Na Kuhukumu Kwake Kwa Yale Muliokua Ndani Yake Munaikhtalifiana. Na Nani Atawaokoa Na Adhabu Ya Allah ikiwa Nyinyi Ni Wakweli?Bali Hata Wale Wanadai Kua Wao Ni Waislamu Wanafwata"Almulhidin"AtheistsKwa Kawuli Yao Kua"Natural disasers" ,Kama Msemo Wa"Mulhidin"Atheists, Awauwe Allah Watowaji ifki, Na Nawabashiria Kwa Adhabu Ya Kuendelea Kwa Sababu Ya Kukurubia Sayari Ya Adhabu Saqar Mpaka Awachukuwe Allah Ma katili Kutokana Na Pahali Karibu Na Je kuna Mwenye Kuitikia Mlinganizi Wa Allah Nawenye Kuzingatia Kwa Adhabu Ya Mvutano Kwa Sababu Ya Kukurubia Sayari Ya Saqar Katika Mbingu Ya Ardhi Ya Watu? Na Itawa'Pambazukia Juu Yao Kutoka Upande Wa Kusini Mwa Ardhi, Na Narudia Na Nasema: Na Itapambazuka Juu Ya Watu Kwa Kutoka Upande Wa Kusini Mwa Ardhi, Na Narudia Na Nasema: Na Itawa'Pambazukia Watu Kutoka Upande Wa Kusini Mwa Ardhi Wala Sio Upande Wa Mashariki Wala Upande Wa Magjaribi, Kwakua Hai Zunguki'ii Ardhi Kwa Mashariki Wala Magharibi; Bali Yazungukia Ardhi Kwa Pembezoni Kutoka Kazkazini Mpaka Kusini Na Itapambazuka Kwa Ardhi Juu Ya Watu Upande Wa Kusini,
Na Lana Ya Allah Juu Ya Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa Ni Mrongo Mwenye Shari, Na Amepata Udhuru Mwenye Kuonya, Na Wala Hamtopata Kutoka Kwa Allah Al'Wahid Al'Qahar Wali Wala Mwenye Wa Kuwanusuru, Na Wala Haitowafa Imani Yenu Pekeyake Wakati Mukiona Adhabu; Bali Lazima Mutubu Kwa Mola Mlezi Wenu Na Munyenyeke Kwake Kwa Duaa ili Awaondoshe Juu Yenu Adhabu Kwa Duaa Na Kwa Kumnyenyekea Kwa Allah Kua Awaondshe Juu Yenu Adhabu.

Na Mujuwe Kua Sayari Ya Moto Sakar Ambao Inawazungukia Watu Itaenda Kupunguza Kwnye Ardhi Kutokana Na Watu Basi Atngamiza Kwenye Asili Miya Hamsini 50% Kutokana Na Walimwengu Na Atawadhibu Walobaki; Ispokua Alio Rehemewa Na Mola Wangu Mlezi ! Basi Mcheni'Mungu Na Munit'ii Na Murudi Kwa Mola Wenu Kwa Sababu Ya Kuendelea Adhabu Ambao Ni Ndogo Katkia Kila Kipembe Kabla Kukurubia Sayari Ya Adhabu Basi Iwachukuwe Kutoka Pahala Karibu Katika Mbingu Ya Ardhi Ya Watu, Bssi Zingatieni Adhabu Chini Ya Migu Yenu Kwa Zilzala Bara Na Bahari, Basi Kuweni Na Hadhari Ya Bahari Inao Fura Na Sakafu Ilio inuliwa Kwenye Manyumba Yenu Kuanguka Juu Ya Vichwa Venu, Na Hio Sio Ila Ni Adhabu Ya Mvutano, Na Anawaongezea Allah Adhabu.

Basi Mcheni'Mungu Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Katika Ulimwengu, Na Muzingatie Kutokana Na Adhabu Ya Mvutano Kabla Haija'Wachukuwa Pamoja Na Makafiri Kutoka Pahali Karibu, Na Mukumbuke Kauli Ya Allah Ta3ala:
قول الله تعالى:
{قُلْ جَاءَ الحقّ وَمَا يُبْدِئُ الْبَاطِلُ وَمَا يُعِيدُ (49) قُلْ إِن ضَلَلْتُ فَإِنَّمَا أَضِلُّ عَلَىٰ نَفْسِي ۖ وَإِنِ اهْتَدَيْتُ فَبِمَا يُوحِي إِلَيَّ رَبِّي ۚ إِنَّهُ سَمِيعٌ قَرِيبٌ (50) وَلَوْ تَرَىٰ إِذْ فَزِعُوا فَلَا فَوْتَ وَأُخِذُوا مِن مَّكَانٍ قَرِيبٍ (51) وَقَالُوا آمَنَّا بِهِ وَأَنَّىٰ لَهُمُ التَّنَاوُشُ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ (52) وَقَدْ كَفَرُوا بِهِ مِن قَبْلُ ۖ وَيَقْذِفُونَ بِالْغَيْبِ مِن مَّكَانٍ بَعِيدٍ (53) وَحِيلَ بَيْنَهُمْ وَبَيْنَ مَا يَشْتَهُونَ كَمَا فُعِلَ بِأَشْيَاعِهِم مِّن قَبْلُ ۚ إِنَّهُمْ كَانُوا فِي شَكٍّ مُّرِيبٍ (54)} صدق الله العظيم [سبأ].
Allah Ta3ala Asema:
{Sema: Kweli imefika, na uwongo haujitokezi, wala haurudi(49)Sema: Ikiwa mimi nimepotea, basi nimepotea kwa kudhuru nafsi yangu mwenyewe. Na ikiwa nimeongoka, basi ni kwa sababu ya kunifunulia Mola wangu Mlezi. Hakika Yeye ni Mwenye kusikia, Aliye karibu(50)Na lau ungeli ona watapo babaika, basi hapana pa kukimbilia! Na itawapitia mahala pa karibu(51)Na watasema: Tunaiamini! Lakini Wapi Kwao Ulipo Kua Mvutano kutoka huko mahala mbali(52)Na hapo kabla yake waliikataa, na wakiyatupilia mbali maneno ya ghaibu kutoka mahali mbali(53)Na watatiliwa kizuizi baina yao na hayo wanayo yatamani, kama walivyo fanyiwa wenzao zamani. Hakika hao walikuwa na shaka ya kutia wasiwasi(54)}Sadaqa Allah Al3adhim[Sabaa].


Basi Muwe Na Hadhari Enyi Ma3ashara Ya Waislamu Na Mu'Okowe Nafsi Zenu Na Ahli Zenu Kwa kufwata Al'Quran Al3adhim Na Sunna Nabawia Za Haki Ila inao Khalifu Katika Ilimu Ya Hadithi ilimu Ya Muhakama Al'Quran Al3adhim, Basi Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Nam'Shuhudisha Allah Al'Wahid Al'Qahar Na Tosha Kwa Allah Shahidi Kua Inao'Kuja Inakhalifu Muhakam Alkitab Al'Quran Al3adhim Katika Ma'Hadithi Ya Kisunna Basi Hio Hadithi imezushwa Juu Ya Allah Na Mtume Wake Muhammad Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Jami Al'Nbia Wa Al'Mursalin Wa Usalim Tasliman.


Na Mujuwe Enye Wenye Taurati Na Injili Kua Allah Ameifanya Al'Quran Al3adhim Nayo Inalinda juu Yaoo, Basi Muhukumu Kwa Kitabu Allah Al'Quran Al3adhim Na Yale Mutakayo Yapata Kwenye Tawurat Na injili inakhalifu Kitbu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Basi Hio Ni Batili Na Ni Uzushi Juu Ya Mtume Wa Allah Mussa Na Mtume Wa Allah issa Sala Za Allah Juu Yao Wote Na Wasalimu Kusalimu.


Na Nakariri Uwonyaji Kutoka Kwa Allah Al'Wahid Al'Qahar Kuwa Yeye Ameifanya Al'Quran Al3adhim Ndio Inao Linda Na Ndio Maregeo Kwa Yale Wanao Ikhtalifiana Ndani Yake Katika Taurati Na Injili, Kusadikisha Kauli Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَقَفَّيْنَا عَلَىٰ آثَارِهِم بِعِيسَى ابن مريم مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ التَّوْرَاةِ ۖ وَآتَيْنَاهُ الْإِنجِيلَ فِيهِ هُدًى وَنُورٌ وَمُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ التَّوْرَاةِ وَهُدًى وَمَوْعِظَةً لِّلْمُتَّقِينَ (46) وَلْيَحْكُمْ أَهْلُ الْإِنجِيلِ بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ فِيهِ ۚ وَمَن لَّمْ يَحْكُم بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ فَأُولَٰئِكَ هُمُ الْفَاسِقُونَ (47) وَأَنزَلْنَا إِلَيْكَ الْكِتَابَ بِالْحَقِّ مُصَدِّقًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهِ مِنَ الْكِتَابِ وَمُهَيْمِنًا عَلَيْهِ ۖ فَاحْكُم بَيْنَهُم بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ ۖ وَلَا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَهُمْ عَمَّا جَاءَكَ مِنَ الحقّ ۚ لِكُلٍّ جَعَلْنَا مِنكُمْ شِرْعَةً وَمِنْهَاجًا ۚ وَلَوْ شَاءَ اللَّهُ لَجَعَلَكُمْ أُمَّةً وَاحِدَةً وَلَٰكِن لِّيَبْلُوَكُمْ فِي مَا آتَاكُمْ ۖ فَاسْتَبِقُوا الْخَيْرَاتِ ۚ إِلَى اللَّهِ مَرْجِعُكُمْ جَمِيعًا فَيُنَبِّئُكُم بِمَا كُنتُمْ فِيهِ تَخْتَلِفُونَ (48) وَأَنِ احْكُم بَيْنَهُم بِمَا أَنزَلَ اللَّهُ وَلَا تَتَّبِعْ أَهْوَاءَهُمْ وَاحْذَرْهُمْ أَن يَفْتِنُوكَ عَن بَعْضِ مَا أَنزَلَ اللَّهُ إِلَيْكَ ۖ فَإِن تَوَلَّوْا فَاعْلَمْ أَنَّمَا يُرِيدُ اللَّهُ أَن يُصِيبَهُم بِبَعْضِ ذُنُوبِهِمْ ۗ وَإِنَّ كَثِيرًا مِّنَ النَّاسِ لَفَاسِقُونَ (49) أَفَحُكْمَ الْجَاهِلِيَّةِ يَبْغُونَ ۚ وَمَنْ أَحْسَنُ مِنَ اللَّهِ حُكْمًا لِّقَوْمٍ يُوقِنُونَ (50)} صدق الله العظيم [المائدة].
Allah Ta3ala Asema:
{Na tukawafuatishia hao Isa bin Maryamu kuyahakikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na tukampa Injili iliyomo ndani yake uwongofu, na nuru na inayo sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Taurati, na uwongofu na mawaidha kwa wachamngu(46)Na wahukumu Watu wa Injili kwa yale aliyo teremsha Mwenyezi Mungu ndani yake. Na wasio hukumu kwa yale aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu basi hao ndio wapotofu(47)Na tumekuteremshia wewe, kwa haki, Kitabu hichi kinacho sadikisha yaliyo kuwa kabla yake katika Vitabu na kuyalinda. Basi hukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao ukaacha Haki iliyo kujia. Kila mmoja katika nyinyi tumemwekea sharia yake na njia yake. Na lau kuwa Mwenyezi Mungu angeli taka ange kufanyeni nyote umma mmoja, lakini ni kukujaribuni kwa aliyo kupeni. Basi shindaneni kwa mambo ya kheri. Kwa Mwenyezi Mungu ndio marejeo yenu nyote, na atakuja kuwaambieni yale mliyo kuwa mkikhitalifiana(48)Na wahukumu baina yao kwa aliyo yateremsha Mwenyezi Mungu, wala usifuate matamanio yao. Nawe tahadhari nao wasije kukufitini ukaacha baadhi ya aliyo kuteremshia Mwenyezi Mungu. Na wakigeuka, basi jua kwamba hakika Mwenyezi Mungu anataka kuwasibu kwa baadhi ya dhambi zao. Na hakika wengi wa watu ni wapotofu(49)Je, wao wanataka hukumu za Kijahiliya? Na nani aliye mwema zaidi katika kuhukumu kuliko Mwenyezi Mungu kwa watu wenye yakini(50)} Sadaqa Allah Al3adhim[Almaida].

Na Enye Ma3ashara Ya Ma'Ahzab Ya Waislamu Ambao Muna'Uwana Wale Ambao Wanamwaga Ma'Damu Ya Badhi Yao Juu Ya Badhi, Na Bado Nazali Nawakubusha Kwa Amri Ya Allah Kwenu Katika Zama Kutumilizwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
بقول الله تعالى:
{وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْرِي نَفْسَهُ ابْتِغَاءَ مَرْضَاتِ اللَّهِ ۗ وَاللَّهُ رَءُوفٌ بِالْعِبَادِ (207) يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ (208) فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ (209)} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema:
{Na katika watu yupo ambaye huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake(207)Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi(208)Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima(209)} Sasaqa Allah Al3adhim[Albaqara].

Basi Muingie Kwenye Uwislamu Nyote Enye Ma3ashara Ya Waislamu kwa Yale Yalioko Baina Yenu Na Musmamishe Vita Katika Kila Taifa Yenye Vita Va Kimadhebu Kwa Jina La Dini Na Wao Wanataka Uwongozi, Na Je Pindi Mukikutana Na Waldi'Alshekh Mjumbe Wa Mjube Wa Shetani Basi Je Munajikuta Munazungumza Kwenye Dini Kitu? Bali Mwazungumzia Kuhusu Kugawanya Uwongozi Kama Kawamba Dini Ya Allah Haikuwa Ni Kitu Kinao'Kumbukwa! Kama Ambao Sio Sababu Ya Fitna Zenu Katika Vita Venu Hivi Sasa Kwa Sababu Ya Uwingi Wa Ma'Viyama Va'Kimadhebu Katik Dini Ya Allah Baina Ya Ma'Shia Na Ma'Sunni! Basi Kwanini Mwaji'Danganya Nafsi Zenu Na Umma Wenu? lakini Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Bado Nazali Natangaza Challenge Kwa Viongozi Wa Ma Viyama Venu Wanao Pigana Kua Awatilie Tawufiki Allah Kwenye Nyoyo Zenu Na Masir Yenu Ni Kuitikia Mwito Wa Mlinganizi Wa Allah Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Nyinyi Ni Wanyonge, Na Wala Siwatishi Kwa Majeshi Yangu Katika Pembe Tafauti; Bali Kwa Adhabu Ya Allah Al'Wahid Al'Qahar ikiwa Nyinyi Kwake Waumini, Basi Mcheni'Mungu Na Mumti Khalifa Aliochaguliwa"Al'Mustafa" Juu Yenu Yule Ambae Amemzidisha Allah Basta Zaidi Katika ilmu Juu Ya Wanazuoni Wote, Basi Hatomjadili Mwanachuoni Katika Al'Quran Al3adhim Ispokua Atamshinda.

Na imekurubia Sayari Ya Adhabu, Na Inaongezeka Vita Va'Al'Tanawush" Mvutano Kwa Adhabu Ndogo Pasi Na Adhabu Kuu Huwenda Mukarudi Kwa Kuhukumiwa Kwa Allah ili Ahukumu Baina Yenu Kwa Yale Munao ikhtalifiana Ndani Yake, Na Je Juu Ya Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Ispokua Awa'istanbatie Kwenu Kwa Undani Hukmu Ya Allah Kwa Yale Munao ikhtalifiana Ndani Yake? Na Pindi Mukikata Hukmu Ya Allah Basi Mimi Na'Mshuhudisha Allah Na Wote Warabu Na Ma'Ajami Na Wote Walo Potea Na Ma'Shetani Binadamu Hakika Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ikiwa Munao Mbinu Basi Nifanyieni Mbinu Yenu Ndipo Mutajua Kua Allah Ndio Anae'Mtetea Khalifa Wake Ndio Alani Allah Mwenye Kuridhika Na Alio Tenda Basi Ndio Atakapo Wageuza Kuwa Manguruwe Ndio Awalani Lana Kuu ili Iwe Ni Zingatio Kwa Watu, Na Mujuwe Kua Haijatendeka Bado Kugeuzwa ispokua Kugeuzwa Matumbiri Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَلَقَدْ عَلِمْتُمُ الَّذِينَ اعْتَدَوْا مِنكُمْ فِي السَّبْتِ فَقُلْنَا لَهُمْ كُونُوا قِرَدَةً خَاسِئِينَ (65) فَجَعَلْنَاهَا نَكَالًا لِّمَا بَيْنَ يَدَيْهَا وَمَا خَلْفَهَا وَمَوْعِظَةً لِّلْمُتَّقِينَ (66)} صدق الله العظيم [البقرة].

Allah Ta3ala Asema:{Na hakika mlikwisha yajua ya wale miongoni mwenu walio ivunja Sabato,(siku ya mapumziko, Jumaa Mosi) na tukawaambia: Kuweni manyani wadhalilifu(65)Kwa hivyo tukayafanya hayo kuwa onyo kwa wale walio kuwa katika zama zao na walio kuja baada yao, na mawaidha kwa wachamngu(66)} Sadaqa Allah Al3adhim[Albaqara].

Na Lakini imebaki Kugeuzwa Kua Manguruwe Basi Muwe Na Hadhari Na Mbinu Ya Allah Al'Wahid Al'Qahar, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{قُلْ هَلْ أُنَبِّئُكُم بِشَرٍّ مِّن ذَٰلِكَ مَثُوبَةً عِندَ اللَّهِ ۚ مَن لَّعَنَهُ اللَّهُ وَغَضِبَ عَلَيْهِ وَجَعَلَ مِنْهُمُ الْقِرَدَةَ وَالْخَنَازِيرَ وَعَبَدَ الطَّاغُوتَ ۚ أُولَٰئِكَ شَرٌّ مَّكَانًا وَأَضَلُّ عَن سَوَاءِ السَّبِيلِ (60) وَإِذَا جَاءُوكُمْ قَالُوا آمَنَّا وَقَد دَّخَلُوا بِالْكُفْرِ وَهُمْ قَدْ خَرَجُوا بِهِ ۚ وَاللَّهُ أَعْلَمُ بِمَا كَانُوا يَكْتُمُونَ (61) وَتَرَىٰ كَثِيرًا مِّنْهُمْ يُسَارِعُونَ فِي الْإِثْمِ وَالْعُدْوَانِ وَأَكْلِهِمُ السُّحْتَ ۚ لَبِئْسَ مَا كَانُوا يَعْمَلُونَ (62) لَوْلَا يَنْهَاهُمُ الرَّبَّانِيُّونَ وَالْأَحْبَارُ عَن قَوْلِهِمُ الْإِثْمَ وَأَكْلِهِمُ السُّحْتَ ۚ لَبِئْسَ مَا كَانُوا يَصْنَعُونَ (63) وَقَالَتِ الْيَهُودُ يَدُ اللَّهِ مَغْلُولَةٌ ۚ غُلَّتْ أَيْدِيهِمْ وَلُعِنُوا بِمَا قَالُوا ۘ بَلْ يَدَاهُ مَبْسُوطَتَانِ يُنفِقُ كَيْفَ يَشَاءُ ۚ وَلَيَزِيدَنَّ كَثِيرًا مِّنْهُم مَّا أُنزِلَ إِلَيْكَ مِن رَّبِّكَ طُغْيَانًا وَكُفْرًا ۚ وَأَلْقَيْنَا بَيْنَهُمُ الْعَدَاوَةَ وَالْبَغْضَاءَ إِلَىٰ يَوْمِ الْقِيَامَةِ ۚ كُلَّمَا أَوْقَدُوا نَارًا لِّلْحَرْبِ أَطْفَأَهَا اللَّهُ ۚ وَيَسْعَوْنَ فِي الْأَرْضِ فَسَادًا ۚ وَاللَّهُ لَا يُحِبُّ الْمُفْسِدِينَ (64)} صدق الله العظيم [المائدة].
Allah Ta3ala Asema:
{Sema: Je! Nikwambieni yule ambaye ni mwenye malipo mabaya zaidi kuliko hayo mbele ya Mwenyezi Mungu? Ni yule ambaye Mwenyezi Mungu amemlaani na amemkasirikia, na amewafanya miongoni mwao manyani na nguruwe, na wakamuabudu Shet'ani. Hao ndio wenye mahali pabaya na wamepotea zaidi njia iliyo sawa.(60)Na wanapo kujieni husema: Tumeamini. Lakini hakika wao wameingia na ukafiri wao, na wametoka nao pia. Na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi kabisa wa yote wanayo yaficha(61)Na utawaona wengi katika wao wanakimbilia kwenye dhambi, na uadui, na ulaji wao vya haramu. Ni maovu mno hayo wayatendayo(62)Mbona hao wanazuoni na makohani wao hawawakatazi maneno yao ya dhambi, na ulaji wao vya haramu? Ni maovu mno hayo wayafanyayo(63)Na Mayahudi walisema: Mkono wa Mwenyezi Mungu umefumba. Mikono yao ndiyo iliyo fumba, na wamelaaniwa kwa sababu ya waliyo yasema. Bali mikono yake iwazi. Hutoa apendavyo. Kwa yakini yaliyo teremshwa kwako kutoka kwa Mola wako Mlezi yatawazidisha wengi katika wao uasi na kufuru. Na Sisi tumewatilia uadui na chuki baina yao mpaka Siku ya Kiyama. Kila mara wanapo washa moto wa vita, Mwenyezi Mungu anauzima. Na wanajitahidi kuleta uharibifu katika ardhi. Na Mwenyezi Mungu hawapendi waharibifu(64)} Sadaqa Allah Al3adhim[Almaida].

Na Niwaonye Wale Ambao Wamesema Amekua Allah Na Mtoto,Ametukuka Mwenye'Enzi! Bali Ni Mja Wa Allah Na Mtumi Wake Na Yuko Katika Ardhi Yenu Na Yeye Ndio "Al'Raqim"(Nabari) Ambao ili Ongezwa Kwa(Wwenye Pango)(Ass'Hab Al'K'Hfi)
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{الْحَمْدُ لِلَّهِ الَّذِي أَنزَلَ عَلَىٰ عَبْدِهِ الْكِتَابَ وَلَمْ يَجْعَل لَّهُ عِوَجًا ۜ (1) قَيِّمًا لِّيُنذِرَ بَأْسًا شَدِيدًا مِّن لَّدُنْهُ وَيُبَشِّرَ الْمُؤْمِنِينَ الَّذِينَ يَعْمَلُونَ الصَّالِحَاتِ أَنَّ لَهُمْ أَجْرًا حَسَنًا (2) مَّاكِثِينَ فِيهِ أَبَدًا (3) وَيُنذِرَ الَّذِينَ قَالُوا اتَّخَذَ اللَّهُ وَلَدًا (4) مَّا لَهُم بِهِ مِنْ عِلْمٍ وَلَا لِآبَائِهِمْ ۚ كَبُرَتْ كَلِمَةً تَخْرُجُ مِنْ أَفْوَاهِهِمْ ۚ إِن يَقُولُونَ إِلَّا كَذِبًا (5) فَلَعَلَّكَ بَاخِعٌ نَّفْسَكَ عَلَىٰ آثَارِهِمْ إِن لَّمْ يُؤْمِنُوا بِهَٰذَا الْحَدِيثِ أَسَفًا (6) إِنَّا جَعَلْنَا مَا عَلَى الْأَرْضِ زِينَةً لَّهَا لِنَبْلُوَهُمْ أَيُّهُمْ أَحْسَنُ عَمَلًا (7) وَإِنَّا لَجَاعِلُونَ مَا عَلَيْهَا صَعِيدًا جُرُزًا (8) أَمْ حَسِبْتَ أَنَّ أَصْحَابَ الْكَهْفِ وَالرَّقِيمِ كَانُوا مِنْ آيَاتِنَا عَجَبًا (9) إِذْ أَوَى الْفِتْيَةُ إِلَى الْكَهْفِ فَقَالُوا رَبَّنَا آتِنَا مِن لَّدُنكَ رَحْمَةً وَهَيِّئْ لَنَا مِنْ أَمْرِنَا رَشَدًا (10) فَضَرَبْنَا عَلَىٰ آذَانِهِمْ فِي الْكَهْفِ سِنِينَ عَدَدًا (11) ثُمَّ بَعَثْنَاهُمْ لِنَعْلَمَ أَيُّ الْحِزْبَيْنِ أَحْصَىٰ لِمَا لَبِثُوا أَمَدًا (12)} صدق الله العظيم [الكهف].
Allah Ta3ala Asema:
{Kuhimidiwa ni kwa Mwenyezi Mungu, ambaye amemteremshia mja wake Kitabu, wala hakukifanya kina upogo(1)Kimenyooka sawa, ili kitoe onyo kali kutoka kwake, na kiwabashirie Waumini watendao mema kwamba watapata ujira mzuri(2)Wakae humo milele(3)Na kiwaonye wanao nena: Mwenyezi Mungu ana mwana(4)Wao hawana ujuzi wa jambo hili, wala baba zao. Ni neno kuu hilo litokalo vinywani mwao. Hawasemi ila uwongo tu(5)Huenda ukajihiliki nafsi yako kwa ajili yao, kuwasikitikia kwa kuwa hawayaamini mazungumzo haya(6)Kwa hakika tumevifanya vilioko juu ya ardhi kuwa ni pambo lake ili tuwafanyie mtihani, ni nani kati yao wenye vitendo vizuri zaidi(7)Na hakika Sisi tutavifanya vyote vilio juu ya ardhi kuwa kama nchi ilio pigwa na ukame(8)Bali unadhani ya kwamba wale Watu wa Pangoni na"Alraqim"(Nabari ilio Ongezwa) walikuwa ni ajabu miongoni mwa ishara zetu(9)Vijana hao walipo kimbilia kwenye pango walisema: Mola wetu Mlezi! Tupe rehema itokayo kwako, na tutengezee uwongofu katika jambo letu(10)Tukayaziba masikio yao kuwalaza humo pangoni kwa muda wa miaka kadhaa wa kadhaa(11)Kisha tukawazindua ili tujue ni lipi katika makundi mawili lilio hisabu sawa muda walio kaa(12)}Sadaqa Allah Al3adh[Alkahf].


Basi Hawana ilmu Nayo Wala Babazao Kwakua Wanadhani Kua Ma'Yahudi Wamemua Al'Masi7h isa Ibnu Maryam Wakamsulubu! Bali Amefananishwa Kwao Na Wakambeba Malaika Basi Wakamwengeza Nambari idadi Ya Kuongezeka Pamoja Na Watu Wa pango, Na imekuja Kadara Ya Kutokezea Kwao Ba'AdaYa Kupita Sayari Ya Adhabu siku Itakapo Kua Nyeupe Nywele Na itafika Nyonyo Kutokana Na Utisho Wake Itafika Koni, Siku Itakapo kutangulia Usiku Mchana Kusadikisha Sharti ingine Katika Masharti Ya Saa Kuu Kabla Siku Ya Kiyama, Lakini Nyinyi Kaumu Hamujuwi Enyi Ma3ashara Ya Waislamu , Basi Nyinyi Hamu'Tafautishi Baina Ya Mapunda Na Ngamia Dume Pamoja Ya Kua Tafauti Yao Ni Tafauti kubwa Sana! Na Hawo Ndio Nyinyi Hamu'Kutafautisha Baina Ya Mamahdi Warongo Na Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Mustafa Kutoka Allah Mola Mlezi Wa Ulimwengu.

Na Enye Ma3ashara Ya Ma'Shia Mimi Nawaonya Kutokana Na Duaa Yenu Kwa Babu Yangu Al'imam Ali Bin Abi Talib Pasi Na Allah, Na Kadhalika Duaa Ya Babazangu Al'imam Al'Husein ibnu Ali Yule Ambae Mumeifanya Mchanga Kwa Jina Lake Mukaita Mchanga Wa Al'Husein, Basi Munaiangukia Kuisujudia! Na Kati Yenu Mwenye Kusema: "Ya Husein" Yani Tushufaie Sisi Kwa Allah, Na Miongoni Mwenu Wanao Sema: "Ya Ali" Ama "Ya Aba Alhasan", Na Ewe Subhana Allah Kwa Munao'Shirikisha! Basi Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
قول الله تعالى: {وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا (18) وَأَنَّهُ لَمَّا قَامَ عَبْدُ اللَّهِ يَدْعُوهُ كَادُوا يَكُونُونَ عَلَيْهِ لِبَدًا (19) قُلْ إِنَّمَا أَدْعُو رَبِّي وَلَا أُشْرِكُ بِهِ أَحَدًا (20) قُلْ إِنِّي لَا أَمْلِكُ لَكُمْ ضَرًّا وَلَا رَشَدًا (21) قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَنِي مِنَ اللَّهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ مُلْتَحَدًا (22) إِلَّا بَلَاغًا مِّنَ اللَّهِ وَرِسَالَاتِهِ ۚ وَمَن يَعْصِ اللَّهَ وَرَسُولَهُ فَإِنَّ لَهُ نَارَ جَهَنَّمَ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا (23) حَتَّىٰ إِذَا رَأَوْا مَا يُوعَدُونَ فَسَيَعْلَمُونَ مَنْ أَضْعَفُ نَاصِرًا وَأَقَلُّ عَدَدًا (24)} صدق الله العظيم [الجن].
Allah Ta3ala Asema:{Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu(18) Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga!(19) Sema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishi Yeye na yeyote(20) Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni(21) Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu(22) Ila nifikishe Ujumbe utokao kwa Mwenyezi Mungu na risala zake. Na wenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi hakika hao watapata Moto wa Jahannamu wadumu humo milele(23) Hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nani mwenye msaidizi dhaifu, na mchache wa idadi(24)}Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin].

Basi Kumbukeni Kauli Ya Allah Ta3ala:
فتذكروا قول الله تعالى:
{وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّهِ أَحَدًا (18)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:
{Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu(18)}Sadaqa Allah Al3adhim.

Na Miongoni Mwenu Mwenye Kuwaomba Waliomo Ma'Kaburini Pamoja Ya kua Hawa'Waski Duaa Yenu Kitu, Na Siku Ya Kiyama Watakufuru Kwa Shirki Yenu, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{يُولِجُ اللَّيْلَ فِي النَّهَارِ وَيُولِجُ النَّهَارَ فِي اللَّيْلِ وَسَخَّرَ الشَّمْسَ وَالْقَمَرَ كُلٌّ يَجْرِي لِأَجَلٍ مُّسَمًّى ۚ ذَٰلِكُمُ اللَّهُ رَبُّكُمْ لَهُ الْمُلْكُ ۚ وَالَّذِينَ تَدْعُونَ مِن دُونِهِ مَا يَمْلِكُونَ مِن قِطْمِيرٍ (13) إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ ۚ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ (14) ۞ يَا أَيُّهَا النَّاسُ أَنتُمُ الْفُقَرَاءُ إِلَى اللَّهِ ۖ وَاللَّهُ هُوَ الْغَنِيُّ الْحَمِيدُ (15) إِن يَشَأْ يُذْهِبْكُمْ وَيَأْتِ بِخَلْقٍ جَدِيدٍ (16) وَمَا ذَٰلِكَ عَلَى اللَّهِ بِعَزِيزٍ (17) وَلَا تَزِرُ وَازِرَةٌ وِزْرَ أُخْرَىٰ ۚ وَإِن تَدْعُ مُثْقَلَةٌ إِلَىٰ حِمْلِهَا لَا يُحْمَلْ مِنْهُ شَيْءٌ وَلَوْ كَانَ ذَا قُرْبَىٰ ۗ إِنَّمَا تُنذِرُ الَّذِينَ يَخْشَوْنَ رَبَّهُم بِالْغَيْبِ وَأَقَامُوا الصَّلَاةَ ۚ وَمَن تَزَكَّىٰ فَإِنَّمَا يَتَزَكَّىٰ لِنَفْسِهِ ۚ وَإِلَى اللَّهِ الْمَصِيرُ (18)} صدق الله العظيم [فاطر].
Allah Ta3ala Asema:
{Anauingiza usiku katika mchana, na anauingiza mchana katika usiku. Na amelifanya jua na mwezi kutumikia. Kila kimojapo kinakwenda kwa muda maalumu. Huyo ndiye Mwenyezi Mungu Mola wenu Mlezi. Ufalme ni wake. Na hao mnao waomba badala yake hawamiliki hata ugozi wa kokwa ya tende(13) Mkiwaomba hawasikii maombi yenu; na hata wakisikia hawakujibuni. Na Siku ya Kiyama watakataa ushirikina wenu. Na hapana atakaye kupa khabari vilivyo kama Yeye Mwenye khabari(14) Enyi watu! Nyinyi ndio wenye haja kwa Mwenyezi Mungu, na Mwenyezi Mungu ndiye Mwenye kujitosha, Msifiwa(15) Akitaka atakuondoeni na alete viumbe vipya(16) Na hilo si gumu kwa Mwenyezi Mungu(17) Na mbebaji habebi mzigo wa mwingine. Na aliye topewa na mzigo wake akiomba uchukuliwe hautachukuliwa hata kidogo, na angamwomba jamaa yake. Hakika wewe unawaonya wale wanao mcha Mola wao Mlezi kwa ghaibu, na wanashika Sala. Na anaye jitakasa, basi anajitakasa kwa ajili ya nafsi yake. Na marejeo ni kwa Mwenyezi Mungu(18)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fatir].

Basi Mcheni Allah Enyi Ma3ashara Ya Ma'Shia Al'Ithnei Ashara, Na Mukumbuke Kauli Ya Allah Ta3ala:
وتذكّروا قول الله تعالى:
{ذَٰلِكُمُ اللَّهُ رَبُّكُمْ لَهُ الْمُلْكُ ۚ وَالَّذِينَ تَدْعُونَ مِن دُونِهِ مَا يَمْلِكُونَ مِن قِطْمِيرٍ (13) إِن تَدْعُوهُمْ لَا يَسْمَعُوا دُعَاءَكُمْ وَلَوْ سَمِعُوا مَا اسْتَجَابُوا لَكُمْ ۖ وَيَوْمَ الْقِيَامَةِ يَكْفُرُونَ بِشِرْكِكُمْ ۚ وَلَا يُنَبِّئُكَ مِثْلُ خَبِيرٍ (14) ۞} صدق الله العظيم
Allah Ta3ala Asema:
{Huyo Kwenu Ndio Mola Wenu Mlezi Ni Wake Ufalme Na Wale Munao Wabudu Pasi Na Yeye Hawamiliki Katmiri (13) Na Hakika Ukiwaomba Hawasiki Duaa Yenu Na Lau Watasikia Basi Hawange'Wajibu Maumbi Yenu Na Siku Ya Kiyama Watakufuru Kwa Shirki Yenu Na Wala Hatokueleza Mfano Wake Mjuzi(14)} Sadaqa Allah Al3adhim, Basi Wao Ni Maiti Kwenye Makaburi Yao Wala Hawahisi Lini Watafufuliwa, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَالَّذِينَ يَدْعُونَ مِن دُونِ اللَّهِ لَا يَخْلُقُونَ شَيْئًا وَهُمْ يُخْلَقُونَ (20) أَمْوَاتٌ غَيْرُ أَحْيَاءٍ ۖ وَمَا يَشْعُرُونَ أَيَّانَ يُبْعَثُونَ (21)} صدق الله العظيم [النحل].
Allah Ta3ala Asema:
{Na Wale Wanaomba Pasi Na Allah Hawaumbi Kitu Na Wao Waumbwa(20) Maiti Sio Hai Wala Hawahisi Lini Watafufuliwa(21)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alnahl].


Na Mshuhudisha Allah Al'Wahid Al'Qahar Hakika Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar imamu Wa Kumi Na Mbili Kutoka Al AlBit Walio Tahirika Nasser Muhammad Al'Yamani, Lakini Enyi Ma3ashara Ya Ma'Shia Al'ithnei Ashara Haitakiwi Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli Kutoka Mola Wenu Mlezi Kua Atamtumiliza Allah Awe Mfwataji Wa Hawa Zenu Na Matakwa Yenu, Na Je Munamtaka Yeye Awazidishe Shirki Juu Ya Shirki Yenu? Na Najilinda Kwa Allah Nisiwe Katika Washirikina Kwa Mola Mlezi Wa Ulimwengu Katika Wale Ambao Wanao Omba Waja Wake Walio Karibu Pasi Na Yeye ili Wawakurubishe Kwa Allah Karibu, Najilinda Kwa Allah Mola Wangu Na Mola Wenu Mlezi Niwe Katika Washirikina Mpaka Nikutane Na Mola Wangu Mlezi Kwa Moyo Ulo'Salimika Na Mshuhudisha Allah Kua Mimi Nakanusha Uwingi Wa Ujama Katika Dini Ya Allah Na Hakika Ya Ujama Ni Viyama Mahizbu Na Mimi Simo Katika Hayo Kitu Chochote, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{هَلْ يَنظُرُونَ إِلَّا أَن تَأْتِيَهُمُ الْمَلَائِكَةُ أَوْ يَأْتِيَ رَبُّكَ أَوْ يَأْتِيَ بَعْضُ آيَاتِ رَبِّكَ ۗ يَوْمَ يَأْتِي بَعْضُ آيَاتِ رَبِّكَ لَا يَنفَعُ نَفْسًا إِيمَانُهَا لَمْ تَكُنْ آمَنَتْ مِن قَبْلُ أَوْ كَسَبَتْ فِي إِيمَانِهَا خَيْرًا ۗ قُلِ انتَظِرُوا إِنَّا مُنتَظِرُونَ (158) إِنَّ الَّذِينَ فَرَّقُوا دِينَهُمْ وَكَانُوا شِيَعًا لَّسْتَ مِنْهُمْ فِي شَيْءٍ ۚ إِنَّمَا أَمْرُهُمْ إِلَى اللَّهِ ثُمَّ يُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَفْعَلُونَ (159)} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema:
{Wanangoja jengine ila wawafikie Malaika, au awafikie Mola wako Mlezi, au zifike baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi? Siku zitakapo fika baadhi ya Ishara za Mola wako Mlezi, kuamini hapo hakutomfaa mtu kitu, ikiwa hakuwa ameamini kabla yake, au amefanya kheri katika Imani yake. Sema: Ngojeni, nasi pia tunangoja(158)Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote. Bila ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia yale waliyo kuwa wakiyatenda(159)}Sadaqa Allah Al3adhim[Alanaam].


Na Haitakiwi Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar Wa Kweli Nasser Muhammad Awe Atamtumiliza Allah Amejifunga Kwa Yoyote Ma'Hizbu Kati Yenu Sawa iwe Ni Shia Ama Ni Sunni, Kusadikisha Na Kut'ii Amri Ya Allah Kwa Mja Wake Katika Muhakam Ya Kitabu Chake:
{إِنَّ الَّذِينَ فَرَّقُوا دِينَهُمْ وَكَانُوا شِيَعًا لَّسْتَ مِنْهُمْ فِي شَيْءٍ ۚ إِنَّمَا أَمْرُهُمْ إِلَى اللَّهِ ثُمَّ يُنَبِّئُهُم بِمَا كَانُوا يَفْعَلُونَ (159)} صدق الله العظيم.
Allah Ta3ala Asema:
{Hakika walio igawa Dini yao na wakawa makundi makundi, huna ukhusiano nao wowote. Bila ya shaka shauri yao iko kwa Mwenyezi Mungu; kisha atawaambia yale waliyo kuwa wakiyatenda(159)} Sadaqa Allah Al3adhim[Alanaam].


Na Mimi Ni Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani Namshudisha Allah Al'Wahid Al'Qahar Na Tosha Kwa Allah Kuwa Shahidi Mimi Hakika Siko Katika Ma'Shia Kwa Kitu, Wala Siko Kwa Ma'Sunni Katika Kitu, Na Hakika Mimi Na'Kanusha Uwingi Wa Ma Hizbu Wa Ki'Madhehebu Katika Dini Ya Allah Na Hakika Nyote Muko Kwenye Upotevu Ulio Wazi ila Alio'itikia Ulinganizi Wa Kukanusha Uwingi Wa Ma'Viyama Za Ki'Madhehebu Katika Dini Ya Allah, Ama Mwakanusha Nyinyi Kua Vita Venu Leo Ni Vita Va Matengano Na Kuteketeza Kwa Pamoja Baina Ya Ma'Shia Na Ma'Sunni? Na Nawabashiria Kwa Adhabu inao Umiza Enyi Ma3ashara Ya Wakanushaji Kwa Ulinganizi Wa Kuhukumiwa Kwa Kitabu Cha Allah Na Kwa Sunna Za Mtumi Wake Za Haki, Basi Hakuna Kwa Al'Mahdi Al'Muntadhar ispokuwa Awalinganie Waislamu Wawe Wafwate Kitabu Cha Allah Al'Quran Al3adhim Na Sunna Za Ki'Nabawia Za Kweli Ambazo Hazikhalifu Muhakam Kitabu Allah Al'Quran Al3adhim, Na Nashuhudia Kua Al'Quran Ni Kutoka Kwa Allah Na Sunna Za Muhammad Mtumi Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Ni Kutoka Kwa Allah, Nashuhudia Kua Al'Quran imehifadhiwa Kutokana Na Tahrif Kuongezwa Maherufu Na Ma'Hadithi Za Kinabawia Hazijahifadhiwa Kutokana Na Tahrif, Basi Mutakayo Pata Katika Ma'Hadithi Yamekuja Yana Khalifu Muhakam Kitabu Cha Allah Basi Mujuwe Kua Hio Hadithi imekuja Sio Kutoka Kwa Allah, Kwa Kua Juu Ya Allah Qurani Yake Na Bayana Yake, Na Mshuhudisha Allah Mimi Ni Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Na Lingania Kwa Allah Kwa Kujuwa Kutoka Kwa Mola wangu Mlezi Basi Wala Mimi Si Mshia Wala Mimi Si Msunni Bali Ni Hanifan Musliman Wala Sio Katika Washirikina,


Na Enye Ma3ashara Ya Al'Sunna Waljama3a Wale Ambao Wanaitakidi Kwa Shafaa Ya Muhammad Mtumi Wa Allah Mbele Ya Mikono Ya Allah Siku Ya Kiyama, Basi Tayari Mumemshirikisha Allah Na Hakika Nyinyi Ni Warongo, Basi Wallahi Yule Ambae Hapna Mola Wakuabudiwa Ila Yeye Haitakiwi Kwa Allah Kumpa idhini Mja Wake Mbele Ya Mikono Yake Kua Aombe Kwa Allah Shafaa Kwa Moja Katika Waja Wa Allah; Bali Hakika Allah Amemtumiliza Muhammad Mtumi Wa Allah Kua Awaonye Watu Kwa Hi Al'Quran Al3adhim Basi Awaonye Kua Hawana Pasi Na Allah Nabi Wala Wali Atawashufaia Wao Mbele Ya Mikono Ya Mola Wao Mlezi Siku Ya Kukutana Nae, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَأَنذِرْ بِهِ الَّذِينَ يَخَافُونَ أَن يُحْشَرُوا إِلَىٰ رَبِّهِمْ ۙ لَيْسَ لَهُم مِّن دُونِهِ وَلِيٌّ وَلَا شَفِيعٌ لَّعَلَّهُمْ يَتَّقُونَ (51)} صدق الله العظيم [الأنعام].
Allah Ta3ala Asema:
{Na Uwaonye Kwa Hi Wale Ambao Wanao Ogopa Kufufuliwa Kwa Mola Wao Mlezi Hawana Pasi Na Yeye Wali Wala Shafi Huwenda Wakawa Wacha'Mungu} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanaam].

Na Mujuwe Kua Yule Ambae Atampa idhini Allah Kwake ili Itimu Kupatikane Shafaa Ataenda Kusema Sawaban Ukweli, Na Hapana Na Wala Hato'Omba Shafaa Kwa Yoyote Katika Waja Wa Allah Wote; Bali Ataomba Kwa Mola Wake Mlezi Kutimu Kupatikane Neema Kuu Al'Na3im Al'A3dham Kuliko Pepo Yake, Na Akiridhika Ndani Ya Nafsi Yake Itatimu Kupatikana Shafa Ndio itashufaia Waja Wake Walopotea Rahma Yake katika Nafsi Yake Kutokana Na Adhabu Yake. kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَكَم مِّن مَّلَكٍ فِي السَّمَاوَاتِ لَا تُغْنِي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئًا إِلَّا مِن بَعْدِ أَن يَأْذَنَ اللَّهُ لِمَن يَشَاءُ وَيَرْضَىٰ (26)} صدق الله العظيم [النجم].
Allah Ta3ala Asema:
{Na wako Malaika wangapi mbinguni, ambao uombezi wao hautafaa chochote isipo kuwa baada ya Mwenyezi Mungu kutoa idhini kwa amtakaye na kumridhia}Sadaqa Allah Al3adhim [Alnajm:26].


Hivo Kwakua Yule Ambae Amempa idhni Allah Kwake Allah Kupatikane Kutimu Shafaa Ndani Ya Nafsi Ya Mola Mlezi ili ishufaie Wao Rahma Yake Kutokana Na Adhabu Yake Amempa idhini Allah Akasema Ukweli Kwa Kutaka ipatikane Kutimu Neema Kuu Kuliko Pepo Yake Basi Ataridhika Allah Ndani Ya Nafsi Yake, Kwajili Ya Hivo Amesema Allah Ta3ala:
قال الله تعالى:
{وَكَم مِّن مَّلَكٍ فِي السَّمَاوَاتِ لَا تُغْنِي شَفَاعَتُهُمْ شَيْئًا إِلَّا مِن بَعْدِ أَن يَأْذَنَ اللَّهُ لِمَن يَشَاءُ وَيَرْضَىٰ (26)} صدق الله العظيم،
Allah Ta3ala Asema:
{Na wako Malaika wangapi mbinguni, ambao uombezi wao hautafaa chochote isipo kuwa baada ya Mwenyezi Mungu kutoa idhini kwa amtakaye na kumridhia(28)}Sadaqa Allah Al3adhim, Na ikitimu Kupatikana Ridhwan Nafsi Ya Allah Juu Ya Waja Wake Basi itapatikana Shafaa, Ndio itashufaia Kwa Waja Wake Rahma Yake Kutokana Na Adhabu Yake Kwakuwa Ni Ya Allah Shafa Yote Ndio iwa'Shufaie Kwenu Rahma Yake Kutokana Na Adhabu Yake Kwajili Yeye Ni Mwenye Rahma Zaidi Kwa Waja Wake Kuliko Waja Wake, Lakini Wengi Wao Hawamkadiri Allah Haki Ya Kadara Yake, Akasema Allah Ta3ala:
وقال الله تعالى:
{أَمِ اتَّخَذُوا مِن دُونِ اللَّهِ شُفَعَاءَ ۚ قُلْ أَوَلَوْ كَانُوا لَا يَمْلِكُونَ شَيْئًا وَلَا يَعْقِلُونَ (43) قُل لِّلَّهِ الشَّفَاعَةُ جَمِيعًا ۖ لَّهُ مُلْكُ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ ۖ ثُمَّ إِلَيْهِ تُرْجَعُونَ (44) وَإِذَا ذُكِرَ اللَّهُ وَحْدَهُ اشْمَأَزَّتْ قُلُوبُ الَّذِينَ لَا يُؤْمِنُونَ بِالْآخِرَةِ ۖ وَإِذَا ذُكِرَ الَّذِينَ مِن دُونِهِ إِذَا هُمْ يَسْتَبْشِرُونَ (45) قُلِ اللَّهُمَّ فَاطِرَ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ عَالِمَ الْغَيْبِ وَالشَّهَادَةِ أَنتَ تَحْكُمُ بَيْنَ عِبَادِكَ فِي مَا كَانُوا فِيهِ يَخْتَلِفُونَ (46) وَلَوْ أَنَّ لِلَّذِينَ ظَلَمُوا مَا فِي الْأَرْضِ جَمِيعًا وَمِثْلَهُ مَعَهُ لَافْتَدَوْا بِهِ مِن سُوءِ الْعَذَابِ يَوْمَ الْقِيَامَةِ ۚ وَبَدَا لَهُم مِّنَ اللَّهِ مَا لَمْ يَكُونُوا يَحْتَسِبُونَ (47)} صدق الله العظيم [الزمر].
Allah Ta3ala Asema:
{Au ndio wanachukua waombezi badala ya Mwenyezi Mungu? Sema: Ingawa hawana mamlaka juu ya kitu chochote, wala hawatambui lolote(43) Sema: Uombezi wote uko kwa Mwenyezi Mungu. Ni wake Yeye tu ufalme wa mbingu na ardhi. Kisha mtarejeshwa kwake(44) Na anapo tajwa Mwenyezi Mungu peke yake nyoyo za wasio iamini Akhera huchafuka. Na wanapo tajwa wenginewe asiye kuwa Yeye basi wao hufurahi(45) Sema: Ewe Mwenyezi Mungu! Muumba mbingu na ardhi! Mjuzi wa yasiyo onekana na yanayo onekana! Wewe utahukumu baina ya waja wako katika waliyo kuwa wakikhitalifiana(46) Na lau kuwa walio dhulumu wangeli kuwa na vyote viliomo duniani na pamoja navyo vingine kama hivyo, bila ya shaka wangeli vitoa kujikomboa katika adhabu mbaya hiyo Siku ya Kiyama. Na yatawadhihirikia kwa Mwenyezi Mungu wasiyo kuwa wakiyatarajia(47)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].

Hivi Hamu'juwi Kua Ridhwan Nafsi Ya Allah Juu Ya Waja Wake Ndio Neema Kuu Kuliko Pepo Yake? Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{وَعَدَ اللَّهُ الْمُؤْمِنِينَ وَالْمُؤْمِنَاتِ جَنَّاتٍ تَجْرِي مِن تَحْتِهَا الْأَنْهَارُ خَالِدِينَ فِيهَا وَمَسَاكِنَ طَيِّبَةً فِي جَنَّاتِ عَدْنٍ ۚ وَرِضْوَانٌ مِّنَ اللَّهِ أَكْبَرُ ۚ ذَٰلِكَ هُوَ الْفَوْزُ الْعَظِيمُ (72)} صدق الله العظيم [التوبة]،
Allah Ta3ala Asema:
{Mwenyezi Mungu amewaahidi Waumini wanaume na Waumini wanawake Bustani zipitazo mito kati yake, wadumu humo. Na makaazi mema katika Bustani za kudumu, na Radhi za Mwenyezi Mungu ndio kubwa kuliko yote. Huko ndiko kufuzu kukubwa(72)} Sadaqa Allah Al3adhim[Altauba:], Ama Nyinyi Munakanusha Kua Neema Ya Ridhwan Ya Allah Juu Ya Waja Wake Nayo Ni Kweli Neema Kuliko Pepo Yake?

Na Hakika Mimi Namshuhudisha Allah Kua Mvutano Wa Sayari Ya Adhabu Pamoja Na Ardhi Ya Watu inaendelea Basi itazidi Kwa Wingi Wa Ma Zilzala Na Bahari inaofura Na Sakafu Zitakazo inuliwa Kwa Sababu Ya Zilzala Ambae inajia Majengo Yenu Kutoka Kwa Msingi Ndipo iwangukie Juu Yenu Sakafu Zenu Kwa Sababu Ya Kukurubia Sayari Ya Adhabu, Mpaka iwachukuwe Makatili Kutokana Na Pahali Karibu, Mpaka ije Miadi Ya Allah Kwa Kudhihiri Khalifa Wake Katika Ardhi Juu Ya Ulimwengu, Na Je Watazingatia Waislamu Kutokana Na Adhabu Ya Mvutano Ndio Wa'Amini Kwa Mlinganizi Wa Haki Kutoka Kwa Mola Wao Mlezi Kabla Haijapita Sayari Ya Adhabu Kuu Na Kupita Kwake Kwenye Mbingi Ya Ardhi Yenu Basi itanyesha Juu Yake Mawe Ya Moto? Na Lana Ya Allah Kwa Warongo Juu Ya Mola Wao Mlezi Bila Ya Haki, Basi Ngojeni Na Mimi Pamoja Na Nyinyi Katika Wanao Ngoja, Basi Balighisheni Bayana Yangu Hi Enyi Ma3ashara Ya Ma Al'Anssar Kwa Waislamu Wote, Na Watu Wote Mutakavo Weza ili Muwe Na Udhuru Kwa Mola Wenu Mlezi Na Huwenda Wakawa Wacha'Mungu, Na Salam Juu Ya Mitumi, Na Al'Hamdulillah Rabi Al3alamin..

Ndugu Yenu Al'imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
______