Juwa Kupata wezi
Al'Imam Nasser Muhamad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني

10 – جمادى الآخرة - 1438 هـ
09 – 03 – 2017 مـ
10:08 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
______
ألا ترون أنّه ولد الهلال من قبل الكسوف فاجتمعت به الشمس وقد هو هلال في أوّل شهر جمادى الثانية لعامكم هذا 1438 ؟
Hivi hamuoni kuwa imezaliwa hilal kabla ya kupatwa basi ikakutana nae juwa nayo ni hilal katika mwanzo wa mwezi Jamadi Al'thania ya mwaka wenu Huu 1438?

Bismi'Allha Al'Wahid Al'Qahar Ambae Ameteremsha Ukumbusho Al'Quran Al3dhim, Atakae Kuitenga Basi Amijibebesha Dhambi Kubwa, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala,
{كَذَلِكَ نَقُصُّ عَلَيْكَ مِنْ أَنبَاء مَا قَدْ سَبَقَ وَقَدْ آتَيْنَاكَ مِن لَّدُنَّا ذِكْرًا (99) مَنْ أَعْرَضَ عَنْهُ فَإِنَّهُ يَحْمِلُ يَوْمَ الْقِيَامَةِ وِزْرًا (100) خَالِدِينَ فِيهِ وَسَاء لَهُمْ يَوْمَ الْقِيَامَةِ حِمْلا (101)} صدق الله العظيم [طه].
Allah Ta3ala Asema:{Namna hivi tunakuhadithia katika khabari za yaliyo tangulia. Na hakika tumekuletea kutoka kwetu mawaidha ya kukumbukwa (99) Atakaye jitenga nayo, basi kwa yakini Siku ya Kiyama atabeba mzigo (100) Wadumu humo. Na ni mzigo muovu kwao kuubeba Siku ya Kiyama! (101)} Sadaqa Allahu Al3adhim [Al3adhim].


Na Nacho Taka Kusema Kwa Ufupi Kabisa: Hakika Limepata Juwa Mwezi Na Imizaliwa Hilal Kabla Ya Kupatwa Juwa Ikakutana Nae Juwa Na Ikiwa hilal, Na Kuwa Kamili Mwezi inaanza Kutoka Al'Fajiri Ya Jumamosi Mpaka Alfajiri Ya Jumapili Mpaka Alfajiri Ya Jumatatu Kiasi Yakua Nyinyi Hamuja'Anza ghura Ya Jamadi Althania ispokua Usiku Wa jumainne.

Na kwa zaidi katika ufafanuzi basi usiku wa jumamosi inachukuliwa Kuwa ghura Jamadi Althania, lakini isiwafitini kwa kuto'Ona mwezi kukamilika kamili kwa kiwango cha asili mia kwa mia ba'ada kuzama juwa la juma usiku wa jumamosi kwakua mwezi hawutofika kuwa kamili badr ispokua katika wakati wa sala ya fajri ya jumamosi mwezi kamili kabla kuzama kwake juu magharibi alfajiri ya jumamosi katika wakati wa sala ya fajri, kwakuwa siku hio ndio siku ya kuzaliwa imizaliwa hilal ya jamad althani kwajili ya hivo itawafikiana kuzama kwa mwezi kua kamili wakati wa sala ya alfajiri, na ama siku ya kuminasita basi ni siku ya jumapili na hivo mutakuta mwezi kamili wa pili inazama wakati wa kivuli kwa upande wa kupambazuka juwa, na kwa kujuza; Bali wanajua wote kuwa kila tukilekea kwa upande wa magharibi inachelewa mwezi kwa kuzama kwake kwa'kua mwezi unatembea mashariki, almuhim kua kuzama siku ya mwezi kua kamili siku ya kuminasita ya mwezi jamad ingine usiku wa jumapili mutaipata inazama wakati wa kivuli na itasongea mpaka kupambazuke juwa kwa inchi zingine kila tukilekea upande wa magharibi kwa'kua mwezi unalekea mashariki kwa mana unalekea mashariki, na hatimai inachelewa katika kuzama kwake kwa'kua inawachana na magharibi upande wa mashariki, na wanajua hayo wenye ilimu ya falaki ambao wanao kiburi basi olewao siku ya adhabu ya moshi.

Na enyi ma3ashara ya mama wa vijiji na walio karibu nawo, basi mcheni Allah Al'Wahid Al'Qahar na mutambuwe haki kuwa kweli limipata juwa mwezi na imizaliwa hilal kabla ya kupatwa na ikakutana nae juwa nayo ni hilal, kwa mana kuwa hilal ya jamadi althani ya mwaka wenu hu 1438 imizaliwa wakati wa usiku wa jumamosi wala sio mwanzo wake bali katikati yake, basi anagalieni mwezi wa jamad althani mutaipata inafika kua mduwara wa kuwa kamili kabla kuzama kwake alfajiri ya jumamosi kwakua imizaliwa usiku wa jumamosi, Na naam hamutoiona imikamilika kamili kutoka kupambazuke kwake siku ya jumamosi bali itafika badr kamili fajiri ya jumamosi na inazama katika wakati wa sala ya alfajiri ya jumamosi, na ama siku ya kuwa kamili ya pili usiku wa jumapili basi ndio itapambazuka badri kamili kutoka kupambazuke kwake bada Kuzama juwa la jumamosi usiku wa jumapili na itazama wakati wa kivuli kutoka mwanzo wa kivuli kido kidogo kila tukilekea upande wa magharibi mpaka kupambazuke juwa.

Na yale Tunao hadharisha watu ni kuwa wajuwe ishara ya kuwa idrak kupata mara kwa mara kuwa kupata juwa mwezi ndio izaliwe hilal kabla kupatwa ndio ikutane nae juwa nae ni hilal basi hio ni kusadikisha sharti katika masharti ya saa kuu na ishara ya kusadikisha Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa Wa Allah katika Ardhi Nasser Muhammad Al'Yamani, na je kunae mwenye kukumbuka kabla kutangulia usiku mchana kwa sababu ya kupita sayari ya adhabu saqar kutoka kusini mwa ardhi ya watu ghafla ndio iwavamie na hawatoweza kuizuwia wala wao hawatosubiriwa;wahalifu? siku hawatoweza kuzuwea moto kwenye uso zao na nyuma yao, hio ni siku ya ukombozi mkuu siku ya kupita munao ita sayari ya kumi nibro planet ten, hio kwenu ni sayari saqar ambao inawazungika watu katika kila zama mpaka ingine, Ama nyinyi hamuamini kwa ukombozi mkuu katika tarehe ya watu kabla siku ya kiyama, Siku Allah Atamdhihirisha mja wake na khalifa wake Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani ju ya watu wote? na mutaenda kujuwa kuwa Allah atafikisha jambo lake na hamtopata pasi na Allah wali wala mwenye kuwanusuru.


Na labda anataka moja katika wanao kanusha kudhihirika Al'Mahdi Al'Muntadhar Khalifa Wa Allah katika siku juu ya ulimwengu kutaka kusema:" Ewe Nasser Muhammad Al'Yamani, Hivi hutotuonesha katika Kitabu Kwa Aya Ya Ukombozi Mkuu Sio Ukombozi Wa Maka ?". Na Alafu Narudisha Jibu kwa Waulizaji Katika Ulimwengu Na Niseme: Haihitaji Aya Ya Bishara Kwa Ukombozi Mkuu Kufanyiwa Ta'Awil Na Kufafanuliwa; Bali ni aya muhakama imibainika Katika Muhakam Al'Quran Al3adhim Katika Kauli Yake Allah Ta3ala:
{خُلِقَ الْإِنسَانُ مِنْ عَجَلٍ ۚ سَأُرِيكُمْ آيَاتِي فَلَا تَسْتَعْجِلُونِ (37) وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (38) لَوْ يَعْلَمُ الَّذِينَ كَفَرُوا حِينَ لَا يَكُفُّونَ عَن وُجُوهِهِمُ النَّارَ وَلَا عَن ظُهُورِهِمْ وَلَا هُمْ يُنصَرُونَ (39) بَلْ تَأْتِيهِم بَغْتَةً فَتَبْهَتُهُمْ فَلَا يَسْتَطِيعُونَ رَدَّهَا وَلَا هُمْ يُنظَرُونَ (40) وَلَقَدِ اسْتُهْزِئَ بِرُسُلٍ مِّن قَبْلِكَ فَحَاقَ بِالَّذِينَ سَخِرُوا مِنْهُم مَّا كَانُوا بِهِ يَسْتَهْزِئُونَ (41)} صدق الله العظيم [الأنبياء].


Allah Ta3ala Asema:{ Mwanaadamu ameumbwa na haraka. Nitakuonyesheni Ishara zangu. Basi msinihimize (37) Na wanasema: Ahadi hii itatokea lini, ikiwa nyinyi mnasema kweli (38) Lau wangeli jua wale walio kufuru wakati ambao hawatauzuia Moto kwenye nyuso zao wala migongo yao, na wala hawatanusuriwa (39) Bali utawafikia kwa ghafla, na utawashitua na wala hawataweza kuurudisha, wala hawatapewa muhula (40) Na Mitume walio kabla yako walikwisha dhihakiwa. Kwa hivyo wale walio wafanyia maskhara yaliwafika yale waliyo kuwa wakiyafanyia dhihaka (41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbiya].

Na Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

وتصديقاً لقول الله تعالى: {وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْفَتْحُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (28) قُلْ يَوْمَ الْفَتْحِ لَا يَنفَعُ الَّذِينَ كَفَرُوا إِيمَانُهُمْ وَلَا هُمْ يُنظَرُونَ (29) فَأَعْرِضْ عَنْهُمْ وَانتَظِرْ إِنَّهُم مُّنتَظِرُونَ (30)} صدق الله العظيم [السجدة].
Allah Ta3ala Asema:{Wanasema: Ushindi huu ni lini, kama mnasema kweli (28) Sema: Siku ya Ushindi, wale walio kufuru imani yao haitawafaa kitu, wala wao hawatapewa muhula (29) Basi wapuuze, nawe ngonja; hakika wao wanangoja (30)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsajida].

Basi Nani Atawaondoshea Kutokana Na Adhabu Ya Siku Tasa? Na Mujuwe kuwa Hio Ni Kabla Ya kiyama, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى: {وَلَا يَزَالُ الَّذِينَ كَفَرُوا فِي مِرْيَةٍ مِّنْهُ حَتَّىٰ تَأْتِيَهُمُ السَّاعَةُ بَغْتَةً أَوْ يَأْتِيَهُمْ عَذَابُ يَوْمٍ عَقِيمٍ (55)} صدق الله العظيم [الحج].


Allah Ta3ala Asema:{Na walio kufuru hawatoacha kuwa katika wasiwasi kwa hilo mpaka Saa iwafikie ghafla, au iwafikie adhabu ya Siku Tasa} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhaj:55].

Na Mujuwe Kuwa Hio Adhabu Ni lazma Juu Ya wahalifu katika Mashetani Watu katika wale ambao wakiambiwa moja wao mche'Mungu inamchukua utukufu wa dhambi ! basi hisabu ni jahanam na maovu makalio na mujuwe kuwa adhabu ya siku tasa kabla ya siku ya kiama kwa ma'mia ya miyaka kulingana na siku zenu, kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:

تصديقاً لقول الله تعالى: {وَإِن مِّن قَرْيَةٍ إِلَّا نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا ۚ كَانَ ذَٰلِكَ فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا (58)} صدق الله العظيم [الإسراء].


Allah Ta3ala Asema:{Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza kabla ya Siku ya Kiyama, au tutaupa adhabu kali. Haya yamekwisha andikwa katika Kitabu} Sadaqa Allah Al3adhim[Alisra:58].

Na Pamoja ya kuwa adhabu ya siku tasa katika umma hu ambao amewatunuku Allah juu yao kwa kutumiliza Al'Mahdi Al'Muntadhar kati yao katika zama za khitilafu zao na fitna ya matengano ambayo imevamia waislamu wakaitenga waislamu na makafiri sawa ispokua kidogo katika waliokaribishwa wengine katika umma huu, Kwajili ya hivo nabashiria kila miji ya watu katika ubeduwini na katika mijini kwa mawe kutoka adhabu ya sayari ya saqar na moshi mkuu inawafinika watu; hi adhabu chungu, na lakini kwa dua na kumnyenyekea Allah ataondosha adhabu juu yenu bada kuwapata kutokana nayo yale alio waonjesha Allah bila dhulma, Basi musikate Tama Na Rahma Ya Allah, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
تصديقاً لقول الله تعالى:
{فَارْتَقِبْ يَوْمَ تَأْتِي السَّمَاءُ بِدُخَانٍ مُّبِينٍ (10) يَغْشَى النَّاسَ ۖ هَٰذَا عَذَابٌ أَلِيمٌ (11) رَّبَّنَا اكْشِفْ عَنَّا الْعَذَابَ إِنَّا مُؤْمِنُونَ (12) أَنَّىٰ لَهُمُ الذِّكْرَىٰ وَقَدْ جَاءَهُمْ رَسُولٌ مُّبِينٌ (13) ثُمَّ تَوَلَّوْا عَنْهُ وَقَالُوا مُعَلَّمٌ مَّجْنُونٌ (14) إِنَّا كَاشِفُو الْعَذَابِ قَلِيلًا ۚ إِنَّكُمْ عَائِدُونَ (15) يَوْمَ نَبْطِشُ الْبَطْشَةَ الْكُبْرَىٰ إِنَّا مُنتَقِمُونَ (16)} صدق الله العظيم [الدخان
Allah Ta3ala Asema:
{Basi ingoje siku ambayo mbingu zitakapo leta moshi ulio dhaahiri (10) Utakao wafunika watu: Hii ni adhabu chungu (11) Mola wetu Mlezi! Tuondolee adhabu hii. Hakika tutaamini (12) Nini faida ya kukumbuka kwao? Na alikwisha wafikia Mtume mwenye kubainisha (13) Na wao wakamgeuzia uso, na wakasema: Huyu amefunzwa, naye ni mwendawazimu (14) Hakika sisi tutaiondoa adhabu kidogo, lakini nyinyi kwa yakini mtarejea vile vile (15) Siku tutayo yashambulia mashambulio makubwa, bila ya shaka Sisi ni wenye kutesa (16)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aldukhan].

Basi Ngojeni Mimi nagoja pamoja na nyinyi, Mola mlezi ghufurie na urehemu, Na Ufunguwe Kwa Haki Baina Al'Mahdi Al'Muntadhar Na Ma'Shetani Watu, Na Al'Hamdulillah Rabi A3alamin..

Khakifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani.

فارتقبوا إني معكم رقيبٌ، ربّ اغفر وارحم، وافتح بالحقّ بين المهديّ المنتظَر وشياطين البشر، وأنت خير الفاتحين. وسلامٌ على المُرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..

خليفة الله وعبده المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني.
_____

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=30368