AL'IMAM NASSER MUHAMMAD AL'YAMANI
الإمام ناصر محمد اليماني
27 – 12 – 2008 مـ
12:39 صباحاً
ـــــــــــــ


شهادة الحقّ اليقين إلى كافة الأنصار المُكرمين..


Shahada ya haki ya yakini kwa wote ma Anssar walio kirimiwa

Bismillah AL’Rahman AL’Rahim, Na Sala na Salam ju ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabilalamin, Ama baada ya hapo..

Hakika mimi Al’Mahdi Al’Muntadhar namshuhudisha Allah ushuhuda wa haki wa yakini hakika wewe ni wenye ikhlasi kwa Allah na Mtume wake na kwa Khalifa wake Al’mahdi Al’muntadhar hakika ulinichukua siku walipo nifukuza wenye ma tuvoti mwanzo wa jambo basi wakafuta jina langu kua mwanchama, Nnilikua nadika Bayana wakati huo kwa ugumu sana kulingana kutozowea kwangu kwa kuandika kwenye enarnet; Bali hata kuipata ma herufu kwenye sehemu ya kuandikia sipati, Na naiandika kwanzia sa Moja usiku mpaka sa sita mchana siku ya pili; Na sisimami ila wakati wa kutekeleza Swala, Mpaka nikija siku ya pili ili ni angalie wanao jibu, Basi sioni Bayana ilio kuweko, Na hivo hivo inatimu kufuta jina langu kwa chama, Alafu nadika Bayana kwenye Tuvoti ingine kwa masaa mengi alafu narudi siku ya pili sipati ispokua kidogo katika muntadayat wanatangaza baadhi ya ma Bayana zangu, Na alafu nikahama enarnet muda ya miyezi ya kuhusabu za kufwatana nimeakidika kutokana na wenye ma tuvoti wale amabo wanabomoa yale nilio yajinga katika masiku marefu wanibomoa kwa muda wa chini ya secunde ndio ikasababisha kuakidika ndio nikahama enarnet muda unao kurubia wa miyezi sita mpaka angalie Allah kuhusu jambo langu, Na siku moja nimefungua entarnet mara mimi naona niko na Tuvoti imehususishwa yangu, Na imekusanywa ndani yake Bayana zangu zile ambazo hazijafutwa bado kutoka tuvoti tafauti, Na ikanishangaza hilo jambo nani alie nifanyia mimi tuvoti kwa jina
(موقع البشرى الإسلامية Tuvoti Albushra Alislamia)
Na akakusanya Bayana zangu? Alafu nikajisajili mwana chama ndani yake na sikujuwa nani yeye ispokua kwamba mimi nimemomba Mola Mlezi Wangu amjazi kheri ya kumjazi na khri vile alivo wajazi waja wake wema, Na siku moja nimefungua mesenjar na mara ya kwanza kuifungua bada ya miyezi sita, MARA mtu anitumia masj na kuniambia kwamba yeye ndio alio nifanyia mimi tuvoti ili niwe huru na ewe zitaka Bayana za Haki za Al’Mahdi Al’Muntadhar ya ukumbusho kwa wanadamu wote, Basi yulle alio kua ni munusura kwa hili jambo ni wa kwanza katika ma alanssar katika entarnet ya ulimwengu nae ni
(RAJULON MIN AQSA ALMADINAA)
( mwanamume kutoka mwisho wa mji )

Anatafuta
(AL’HUSEIN IBNU OMAR), Basi bado anazali kutoka siku hio anasaidia na anainua mngongo basi anabalighisha Bayana ya haki ya ukumbusho kwa ulimwengu kiwango anacho weza kwa ma tuvoti tafauti ya Binadamu, Na kwa njia ya masnjaer na inwani za kielektroni na kwa viyumba va mazungumzo.

Hakika ya huyu mwanamume natoa shahada kwa Allah kua yeye ni Sef ALMASLUL MPANGA LILIO CHONGEKA katika mapanga ya Allah kiyasi ya kua yeye amepoza ameka kwa kiti amempa mtihani Allah basi akasubiri, ikawa ni kheri kwake, Basi Allah akamfanya ndio wakusmama na mimi na kunisaidia jambo langu, Basi akapokea kuileta kwke Ulinganizi wa Al’mahdi Al’muntadhar alie fukuzwa katika matuvoti, Na akatengeza kwa jili ya ulinganizi wetu zaidi ya tuvoti shirini na tano, Na akafanya kazi usiku na mchana anabalighisha utawala wa ilimu wala hapati kulala, Basi nikamfanya ni Khalil na tukamongoza kwa idhini ya Allah njia ilio sawa huyo kwenu ni Al’Husen ibnu Omar Khalil Rafiki wa Al’Mahdi Al’Muntadhar mwenye kumpenda atampenda Allah Na Mtume wake Na Khalifa wake Al’Mahdi Al’Muntadhar, Na atakae mfanyia uwaduwi katika ulimwengu basi mimi kwake ni hasimu alio wazi, Basi yeye ni katika walio tukuka katika wanadamu na katika walio bora katika waja, Basi nawausia wote ma Alanssar kwa khalili wangu kheri basi hakika ameninusuru kwajili ya uso wa Allah Al’Ghafur wala hataki kwangu jaza wala kushukuriwa, Biyashara yake kwa Mola Mlezi wake ni biyashara ambao haitoanguka.

Basi nawausia kwa ndugu yenu enyi ma3ashara ya ma alanssar kheri basi ingekua sio yeye kwa idhni ya Allah hamunge sikia kuhusu mimi kitu katika entarnet ya ulimwengu, Na alikua yeye ibnu Omar sababu ya kadara kwamba muwe ni katika walio tangulia ma alanssar kwa Al’mahdi Al’muntadhar kutokana na watu wote, ili muwe ni katika walio kirimiwa katika ma waziri wangu kwenye ulimwengu.

Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rbilalamin..
Ndugu yenu Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.

اقتباس المشاركة 143012 من موضوع سلامُ الله ورحمته وبركاته ونعيم رضوانه على كافّة أحبابي في حُبِّ الله الأنصار السابقين الأخيار..

- 6 -
الإمام ناصر محمد اليماني
29 - 12 - 1429 هـ
27 - 12 - 2008 مـ
12:39 صباحاً
ــــــــــــــــــ



شهادة الحقّ اليقين إلى كافّة الأنصار المُكرمين ..

بسم الله الرحمن الرحيم، وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين، وبعد..
إنّني المهديّ المنتظَر أُشهدُ لله شهادة الحقّ اليقين إنّك من المٌخلصين لله ولرسوله ولخليفته المهديّ المنتظَر، فقد آويتني يوم زجرني أصحابُ المواقع بادئ الأمر فحجبوا عضويتي، وكنت أكتب البيان في تلك الأيام بصعوبةٍ بالغةٍ نظراً لعدم تعوِّدي على الكتابة في الإنترنت؛ بل لا أكاد أجد الحرف في لوحة الكتابة، وأكتبه من الساعة السابعة ليلاً إلى الساعة الثانية عشر ظُهراً اليوم الآخر، لا أتوقف إلا وقت أداء الصلاة، حتى إذا جئت اليوم الثاني لكي أنظر الردود، فإذا بي لا أجد بياني السابق، وكذلك يتمّ حجب العضوية، ومن ثم أكتب بياناً في موقع آخر ساعاتٍ عديدة ثم آتي اليوم الثاني فلا أجده إلا قليلاً من المُنتديات ينشرون بعض بياناتي، ومن ثم هجرت الإنترنت عدداً من الشهور تترى مُعقداً من أصحاب المواقع الذي يهدمون ما بنيته في ليالٍ طوال فيهدمونه في جُزءٍ من الثانية مما عقّدني وهجرت الإنترنت ما يقارب ستة أشهرٍ تقريباً حتى ينظر الله في أمري، وذات يوم فتحت الإنترنت فإذا بي أجد لي موقعاً قد خُصِّص لي، وجُمعت فيه بياناتي التي لم تُحذف بعد من مُختلف المواقع، وأدهشني الأمر! من الذي جعل لي موقع باسم
(موقع البشرى الإسلامية) وقام بجمع بياناتي! ومن ثم سجّلت فيه عضواً ولم أعلم من هو إلا إنّني كُنت أدعو ربي أن يجزيه عني بخير الجزاء وبخير ما جازى به عباده الصالحين.

وذات يومٍ فتحت الماسنجر وأوّل مرّة أفتحه منذ ستة أشهر، فإذا بشخص يُراسلني ويقول إنّه الذي صنع لي موقعاً لأكون فيه حراً طليقاً، وليأوي البيان الحقّ للمهديّ المنتظَر للذِّكر إلى كافة البشر، فإذا الناصر لهذا الأمر من أول الأنصار في الإنترنت العالميّة هو:
(رجُلٌ من أقصى المدينة يسعى/ الحسين بن عمر)، ولا يزال من يومها يشدُّ الأزر ويسند الظهر فيُبلّغ البيان الحقّ للذِّكر إلى العالمين بقدر ما يستطيع إلى مختلف مواقع البشر، وعن طريق الماسنجر والبريد الكتروني وغرف الحوار.

إنّ هذا الرُجل أشهد لله أنّه سيفٌ مسلولٌ من سيوف الله برغم أنّه مشلولٌ مُقعدٌ على كُرسيٍّ ابتلاه الله فصبر، وكان خيراً له، فشدّ الله به أزري ونصر به أمري، فآوى دعوة المهديّ المنتظَر المزجور من المواقع، وصمّم لدعوتنا أكثر من خمسة وعشرين موقعاً، واشتغل الليل والنهار يُبلّغ سلطان العلم ولا يكاد ينام، فاتّخذناه خليلاً وهديناه بإذن الله سواء السبيل؛ ذلك الحسين بن عمر خليل المهديّ المنتظَر، من أحبّه أحبّه الله ورسوله وخليفته المهديّ المنتظَر، ومن عاداه من العالمين فإنّي لهُ خصيمٌ مُبينٌ، فهو من صفوة البشريّة ومن خير البريّة، فأوصي كافة الأنصار بخليلي خيراً فلقد نصرني لوجه الله الغفور ولا يُريد مني جزاءً ولا شكوراً، تجارته مع ربه تجارة لن تبور.

وأستوصيكم يا معشر الأنصار في أخيكم خيراً، فلولاه (بإذن الله) لما سمعتم عنّي شيئاً في الإنترنت العالميّة، وكان ابن عمر هو سبب القدر أن تكونوا من السابقين الأنصار إلى المهديّ المنتظَر من كافة البشر، لتكونوا من المُكرّمين ومن وزرائي على العالمين.

وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____________
اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..