Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني
11 - ربيع الأوّل - 1445 هـ
26 - 09 - 2023 مـ
04:04 مساءً
(Kulingana Na Taqwimu Rasmi Ya Umul Qura)
(بحسب التّقويم الرّسمي لأُمّ القُرى)
___________



الفَتوَى الحَقّ لتَمييز علامةِ المُصابِ بكورونا ..
Fatwa ya kweli ya kutofautisha dalili za mtu aliyoambukizwa na Corona..




Bismillah Arahman Arahim Na Sala Na Salam Ju Ya Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Walio Wema Na Wote Waumini Wa Usalimu Tasliman..

Na hii hapa ni fatwa ya kweli kutoka kwa Mola wa walimwengu katika
Maono ya kweli kuhusu wagonjwa wa Corona, kwamba yeyote anayepoteza baraka ya hisia ya kunusa na kuonja asilimia mia (ya kudumu) ameambukizwa Corona. Na Hio kwenu kuna shifaa uponyaji wa bure bila chanjo au dawa; Hiyo ndiyo dua tuliyoiandika katika tarehe ya: (Ramadhan Ishirini na sita ya mwaka 1441 Hijria) yenye jina:



(Virusi Va Corona Na Bayana Ya Uwamuzi Wala Sio Mchezo ..
فيروس كورونا والبيان الفصل وما هو بالهزل
..)

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=329951



Basi musikate tamaa juu ya Rehema ya Mungu, kwani ninachelea kwamba jambo katika fatwa hii ni kwamba Mungu ataondoa baraka ya harufu na ladha mara moja na kwa wote kabisa bila kurudi tena; Na wala si kama alikua akifanya kwa watu kama alivyokuwa akifanya hapo kabla, na ninawakhofieni baada ya hayo kwamba neema za kusikia na kuona zitatoweka.
Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَلَوْ شَاءَ اللَّهُ لَذَهَبَ بِسَمْعِهِمْ وَأَبْصَارِهِمْ ۚ إِنَّ اللَّهَ عَلَىٰ كُلِّ شَيْءٍ قَدِيرٌ ‎﴿٢٠﴾‏ يَا أَيُّهَا النَّاسُ اعْبُدُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُمْ وَالَّذِينَ مِن قَبْلِكُمْ لَعَلَّكُمْ تَتَّقُونَ ‎﴿٢١﴾‏ الَّذِي جَعَلَ لَكُمُ الْأَرْضَ فِرَاشًا وَالسَّمَاءَ بِنَاءً وَأَنزَلَ مِنَ السَّمَاءِ مَاءً فَأَخْرَجَ بِهِ مِنَ الثَّمَرَاتِ رِزْقًا لَّكُمْ ۖ فَلَا تَجْعَلُوا لِلَّهِ أَندَادًا وَأَنتُمْ تَعْلَمُونَ ‎﴿٢٢﴾‏}
Sadaqa Allah Al’3adhim: Sura:[Al’Baqara:20/21/22].

Allahuma Nimebalighisha Allahuma Shuhudia..

Na Salam Ju Ya Mitume Na Alhamdulillah Rabil3alamin.
Khalifa Wa Allah Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
خليفةُ الله الإمام المهديّ؛ ناصِر مُحَمَّد اليمانيّ.
____________