- 2 -

Al’Imam Nasser Muhammd Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
22 - 12 - 1429 هـ
21 - 12 - 2008 مـ
09:34 مساءً
ــــــــــــــــــ
الردُّ بالحقّ حقيقٌ لا أقول على الله غير الحّق، ونزيدكم عِلماً بإذن الله مُعلّم الإمام المهديّ ..
{الْخَبِيثَاتُ لِلْخَبِيثِينَ وَالْخَبِيثُونَ لِلْخَبِيثَاتِ ۖ وَالطَّيِّبَاتُ لِلطَّيِّبِينَ وَالطَّيِّبُونَ لِلطَّيِّبَاتِ} ..
Kurudisha Jibu kwa Haki Hakika Sisemi Ju Ya Allah ispokua Haki, Na Nawazidishia ilimu Kwa Idhini Ya Allah Mwalimu Wa Al’Imam Al’Mahdi..
{Wanawake waovu ni wa wanaume waovu, na wanaume waovu ni wa wanawake waovu. Na wanawake wema ni wa wanaume wema, na wanaume wema ni wa wanawake wema } ..


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Mtume Wa Allah Na Alihi Yake Walio Wazuri Na Walio Fwata Haki Mpaka Siku Ya Malipo, Ama Baada Ya Hapo..

Hakika Inaeleza Al’Quran Kufafanua kuhusu maudhui hi sinfu aina tatu Nawo Ni: Watu Wa Mkono Wa Kulia Na Watu Wa Mkono wa Kushoto Na Waliotangulia Waliokurubishwa, Alafu Akawaeleza Kwamba waliokurubishwa ni thuluthi katika wa mwanzo na hao wao ni katika wafwasi wa Mitume katika mwanzo wa ulinganizi wao wakasadiki na wakanusuru na wakatowa kwa njia ya Allah na wakatekeleza yale Allah Aliwafaridhia ju yao, Alafu wakazidisha kwa vitendo va Nafli ambazo hazikufaradhishwa wakakimbilia kufanya kheri na wakashindana wakataka Kwa Mola Mlezi wao Alwasila Yupi Katika wao yuko karibu zaidi Kwa Allah Akawapenda Allah Na akawakaribisha, Na miongoni mwao alie uliwa katika njiaa ya Allah, Na miongoni mwao alie kufa ju ya tandiko lake la kulalia Akawaingiza Allah bustani la Neema hapo hapo wanapo kufa bila ya hisabu kabla siku ya hisabu, Basi hawa’gawanyiwi vitabu wao siku ya kiyama na wao ni thuluthi katika wa mwanzo katika wafwasi wa Mitume na kidogo katika wa mwisho katika Wa mwisho wanaofwata katika wale walienda mwendo wa walio tangulia walio bora wakatenda vitendo vao Akawaingiza Allah Janna Yake bila ya hisabu hapo hapo wanapo kufa kwao, Hawo ndio wale waliotekeleza faradhi ya Zaka ya lazima na wtalipwa malipo yake watapata mara kumi na alafu wakatowa kwa njia ya Allah kujitolea kutoka kwao kuthibitisha kutoka kwa nafsi zao Na Hakika Allah Ni Karimu Kuliko wao basi akawaongeza mardufu wao kutowa kwa kujitolea kwao kwa mara miasaba, Basi hivo hivo Allah Anamongezea Mardufu ju ya hayo kwa yule anae taka.

Na Ama watu wa mkono wa kulia basi hakika wao ni wale wanao tekeleza vitendo ambazo zime’faradhishwa na wala hawa kuzidisha ju ya hayo, na Akaridhika Allah ju yao lakini wao hawakujikurubisha kwa Mola Mlezi Wao kwa vitendo Vema va nafli kujikurubisha kwa Allah ili wapate mapenzi Yake ju ya Ridha Yake kama walivo fanya walio’kurubishwa, Kwajili ya hivo hawakupata watu wa mkono wa kulia ispokua Radhi za Allah Ju Yao kulingna wao wametekeleza yale Alio Faradhisha Allah ju yao kama mfano wa faradhi ya zaka ya lazima; Wametoa Akawandikia Allah ju yao ujira mara kumi mfano wake, Lakini wao hawakujikurubisha kwa Allah kwa kutowa kwa njia ya Allah na sadaka kutaka ukuruba kwa Allah kwajili ya hivo hawakupata ispokua Radhi Zake Akawandika wao Allah ni katika watu wa Mkono wa kulia, Lakini wao hawatoingia janna ispokua baada kupewa wao vitabu vao kwajili ya hivo wanaitwa watu wa mkono wa kulia kwajili hupewa wao vitabu vao kwa mikono yao ya kulia, Na wao ni thuluthi wa mwanzo waumini katika wale walio amini katika zama za mitume na thuluthi katika wa mwisho katika wale walio wafwata kwa iman ya haki baada yao na hawakufanya ispokua kama vitendo va wale ambao kabla yao katika watu wa Mokono wa kulia basi hawakutowa ila vitendo va Lazima ju yao na hawa’kujikurubisha kwa vitendo va kheri va nafli wakamfanyia Allah hisabu Akawahisabia Kwa Vitendo Vao.

Na Ama Watu wa mkono wa kushoto basi wao ndio wanagawanyiwa wao vitabu vao kwa mikono Yao ya kushoto na hao ndio hawakumtii Allah wala Mitume Wake, Na Wote Watafanyiwa Hisabu; Watu Wa Mkono Wa Kulia Na Watu Wa Mkono Wa Kushoto pamoja na tafauti ya Matokeo. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{فَأَمَّا مَنْ أُوتِيَ كِتَابَهُ بِيَمِينِهِ ﴿٧﴾ فَسَوْفَ يُحَاسَبُ حِسَابًا يَسِيرًا ﴿٨﴾ وَيَنقَلِبُ إِلَىٰ أَهْلِهِ مَسْرُورًا ﴿٩﴾ وَأَمَّا مَنْ أُوتِيَ كِتَابَهُ وَرَاءَ ظَهْرِهِ ﴿١٠﴾ فَسَوْفَ يَدْعُو ثُبُورًا ﴿١١﴾ وَيَصْلَىٰ سَعِيرًا ﴿١٢﴾} صدق الله العظيم [الإنشقاق].

Allah Ta3ala Asema:
{
Ama atakaye pewa kitabu chake kwa mkono wa kulia (7) Basi huyo atahisabiwa hisabu nyepesi (8) Na arudi kwa ahali zake na furaha (9) Na ama atakaye pewa kitabu chake kwa nyuma ya mgongo wake (10) Basi huyo ataomba kuteketea (11) Na ataingia Motoni (12)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alinshiqaq].

Na Akabainisha Allah hi aina kutafautisha ili achaguwe mwislamu ni katika aina gani atakua, Basi ikiwa hataki kua ila awe ni katika watu wa mkono wa kulia na hakutekeleza ispokua Aliofaradhisha Allah ju yake na ikamtosha hayo basi Amemahidi Allah Janna Akachelewesha kuingia kwake mpaka siku watakapo smama watu kwa Mola Mlezi wa Ulimwengu.


Na hakika tafauti ni adhimu kuu baina ya watu wa mkono wa kulia na walio’kurubishwa walio tangulia kwa janna kabla Yao, Na hivo ni kwajili walio’kurubishwa wanaingia Janna mbele yao bila ya hisabu kabla siku ya hisabu wakati wanapo kufa kwao hapo hapo, Hawo ndio wale waliuza kwa Allah nafsi zao na malizao na wakajahidi katika njia ya Allah ili kuinuwa Neno La Allah hawo watageuka kwa uwezo wa Allah Malaika katika binadamu baada kufa kwao wako hai kwa Mola Mlezi Wao wanaruzukiwa hapo papo wanapo kufa kwao ama kuliwa kwao kwa njia ya Allah ndio anawaozesha wao ma hurulaini kama Kwamba ni yakuti na marjan, Na Anaumba kutokana na wao mahurulen ambao ni hirimu moja kama lulu zilio hifadhiwa Basi Anawaozesha Allah kwa Wanaume Katika watu wa mkono wa kulia, Na hivo hivo Anaumba Allah kutokana nawo wavlana wenye ujana wa mliele na hawo vijana watoto wao kama mfano wa lulu zilizomo katika chaza. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَيَطُوفُ عَلَيْهِمْ غِلْمَانٌ لَّهُمْ كَأَنَّهُمْ لُؤْلُؤٌ مَّكْنُونٌ ﴿٢٤﴾} صدق الله العظيم [الطور].
Allah Ta3ala Assam: {we wanawapitia wavlana kama kwamba ni lulu zilizomo katika chaza(24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Altur].

Basi wanawake wema na hawo ni huruleini ni katika kizazi cha walio tangulia basi wao Anawaozesha Wanaume wema katika watu wa mkono wa kulia, Na Ama wavlana wa milele wao ni hawo hawo vijana wa milele kutoka kwa kizazi cha waliotangulia basi hakika Yeye Anawaozesha Katika wanawake wema katika watu wa mkono wa Kulia. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{وَالطَّيِّبَاتُ لِلطَّيِّبِينَ وَالطَّيِّبُونَ لِلطَّيِّبَاتِ} صدق الله العظيم [النور:26].
Allah Ta3ala Asema: {Na wanawake wema ni wa wanaume wema, na wanaume wema ni wa wanawake wema} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur:26].


Na huruleini ambao kama mfano wa lulu zilio hifadhiwa na hivo hivo vijana wale ambao kama lulu zilizo katika chaza wote ni kizazi Cha binadamu walio tangulia walio’Kurubishwa walio bora na mamazao ni kutoka huruleini wale ambao Allah Amewaumba kwa kun fayakun kua na linakua yakuti na marjani Akawaozesha waliotangulia walio’kurubishwa, Na hamutoweza kuwaza kiasi gani uzuri wao na Vile Alivo Waumba Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah:
{فَلَا تَعْلَمُ نَفْسٌ مَّا أُخْفِيَ لَهُم مِّن قُرَّةِ أَعْيُنٍ جَزَاءً بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ ﴿١٧﴾} صدق الله العظيم [السجدة].
Allah Ta3ala Asema: {Na wala haijuwi nafsi yalio fichwa kutokana na burudisho la macho malipo kwa yale walikua wakiyatenda (17)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsajida].

Alafu Anaumba Allah kutoka migongo ya waliotangulia kizazi hirima moja ili Awaozeshe watu wa mkono wa kulia. Na hivo hivo Anatowa kutoka kwa migongo ya walio tangulia vijana wao kama mfano wa lulu ilio hifadhiwa ili Awaozeshe wanawake wema katika watu wa mkono wa kulia. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَفَرَأَيْتُم مَّا تُمْنُونَ ﴿٥٨﴾ أَأَنتُمْ تَخْلُقُونَهُ أَمْ نَحْنُ الْخَالِقُونَ ﴿٥٩﴾ نَحْنُ قَدَّرْنَا بَيْنَكُمُ الْمَوْتَ وَمَا نَحْنُ بِمَسْبُوقِينَ ﴿٦٠﴾ عَلَىٰ أَن نُّبَدِّلَ أَمْثَالَكُمْ وَنُنشِئَكُمْ فِي مَا لَا تَعْلَمُونَ ﴿٦١﴾} صدق الله العظيم [الواقعة].
Allah Ta3ala Asema:
{ Je! Mnaiona mbegu ya uzazi mnayo idondokeza (58) Je! Mnaiumba nyinyi, au ni Sisi ndio Waumbaji (58) Sisi tumekuwekeeni mauti; na wala Sisi hatushindwi (60) Kuwaleta wengine badala yenu na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilo lijua (61)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alwaqia].

Na Maana Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَنُنشِئَكُمْ فِي مَا لَا تَعْلَمُونَ}
{na kukuumbeni nyinyi kwa umbo msilo lijua},
Yani hawo ni Wake wa waliotangulia walio bora wala hawo sio kutoka nafsi zao. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{سُبْحَانَ الَّذِي خَلَقَ الْأَزْوَاجَ كُلَّهَا مِمَّا تُنبِتُ الْأَرْضُ وَمِنْ أَنفُسِهِمْ وَمِمَّا لَا يَعْلَمُونَ ﴿٣٦﴾} صدق الله العظيم [يس].
Allah Ta3ala Asema: {Subhana, Ametakasika, aliye umba dume na jike vyote katika vinavyo mea katika ardhi na katika nafsi zao, na katika wasivyo vijua (36)} Sadaqa Allah Al3adhim [ Yasin ].
Hawo ni huruleini Amewaumba Allah katika musivo vijua kama kwamba ni yakuti na marjani. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:

{فَلَا تَعْلَمُ نَفْسٌ مَّا أُخْفِيَ لَهُم مِّن قُرَّةِ أَعْيُنٍ جَزَاءً بِمَا كَانُوا يَعْمَلُونَ ﴿١٧﴾}صدق الله العظيم.

Allah Ta3ala Asema: {Na wala haijuwi nafsi yalio fichwa kutokana na burudisho la macho malipo kwa yale walikua wakiyatenda (17)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsajida].

Na ama wanawake waovu ambao ni ma khabithi ambao wale wako katika janna ya Al’Masi7h Adajal basi mama zao ni wanawake wa mashetani na baba zao ni katika ma shetani binadamu, Na atakae mfwata Al’Masi7h adajal basi yeye ni muovu khabithi anamozesha khabithi muovu mwanamke hata kama ni mzuri wa sura basi yeye ni muovu khabithi hazai ispokua shetani rajim, Na hivo hivo wanaume katika waovu makhabithi mama zao katika wanawake mashetani na baba zao ni katika mashetani Binadamu, Na hawo wanawake wanagawanyika aina mbili kulingana na huruleini wanagawanyika aina mbili nawo ni: Huruleini kama mfano wa yakuti na marjani Na hivo hivo huruleini kama mfano wa lulu zilizomo katika chaza, Basi kama Vile wanatafautiana kwa uzuri katika janna ya milele basi hivo hivo kuiga katika janna ya fitna basi waovu makhabithi wanawake katika janna ya fitna wanatafautiana katika uzuri wao, Na wale wanawake wazuri katika wote katika makhabithi waovu ambao mama zao ni wanawake mashetani na babazo ni mashetani binadamu, Na walio chini yao kwa uzuri wanawake makhabithi wengine kizazi chao babazao na mamazao kutokana na Yajuj na Majuj na wote ni wanawake makhabithi waovu amewafanya Allah fitna ya makhabithi wanaume katika wafwasi wa Al’Masi7h adajal, Na ama wanaume waovu makhabithi basi wao babazao ni kutokana na binadamu na mama zao ni wanawake mashetani Aewafanya Allah Wa wanawake waovu makhabithi katika wafwasi wa Al’Masi7h adajal. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{الْخَبِيثَاتُ لِلْخَبِيثِينَ وَالْخَبِيثُونَ لِلْخَبِيثَاتِ} صدق الله العظيم [النور:26].
Allah Ta3ala Asema: {Wanawake waovu ni wa wanaume waovu, na wanaume waovu ni wa wanawake waovu } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur:26].

Kwajili ya hivo alikua anataka kuwafitini yule ambae ananijadili sana katika Kauli Ya Allah Ta3ala:
{يَا أَيُّهَا النَّاسُ اتَّقُوا رَبَّكُمُ الَّذِي خَلَقَكُم مِّن نَّفْسٍ وَاحِدَةٍ وَخَلَقَ مِنْهَا زَوْجَهَا وَبَثَّ مِنْهُمَا رِجَالًا كَثِيرًا وَنِسَاءً} صدق الله العظيم [النساء:1]
Allah Ta3ala Asema: {Enyi watu! Mcheni Mola wenu Mlezi aliye kuumbeni kutokana na nafsi moja, na akamuumba mkewe kutoka nafsi ile ile. Na akaeneza kutokana na wawili hao wanaume na wanawake wengi } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa:1].
Na anataka kufanya wanawake waovu makhabithi ambao hapatikani moja katika wao ni bikra wao ni ma huruleini na hata kama hajafika miyaka ya kubaleghi basi hatawatompata Ma khabithi ni bikra ila ikiwa bado ni mtoto mdogo ! Na anataka muwaze kwamba wao ni Wake wa watoto wa Adam wa kiume! Na anataka kusema kwamba wao ni ma huruleini wale ambao Amewahidi Allah nao Na hivo ili mukiwapata sio bikra anasema wali’inhiliwa kabla kutoka kwa kizazi cha Adam Alipo kua katika janna, Lakini Al’Imam Al’Mahdi Wa Kweli Kutoka Kwa Mola Mlezi Wenu tulikua kwa shetani ambae yuko ndani yake yule mwanamume tuko mbele yake namzuwia nikawambinishia nyinyi kwamba wao wanawake hawo sio Ma huruleini ambao Amewahidi Allah nao kwamba ni hirima Pima hawajaingiliwa wala kuguswa kabla yao na binadamu wala Ma jini, Na ama Ma huru wa adajal basi wameingiliwa kabla na walio fitinika na wao wengi katika ma jini na binadamu.

Na wa kando ni mke wa wote katika dini ya adajal ibilisi aliolaniwa na kizazi cha wanawake hao ni Yajuj na Majuj, Watoto wao wa kiume ni kutoka kwa kila mgongo kwajili ya hivo Yajuj na Majuj kutokaka kila pahala wanazana, Na Salam Ju Ya Mitume Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..

Na Ama kusmama siku ya kiyama miyaka alfu hamsini: Basi hio ni katika utungaji ya wale wanasema ju ya Allah yale wasoyajua haikubali akili wala mantik, Miyaka alfu hamsini na watu wema wamesimama hawaingi janna! Na je anasafiki hi mwenye akili? Bali hivo ni umri nitawabainishia katika wakati wake lakini watu wengi hawajuwi.

Na Salam Ju ya Ma Anssar Walio Tangulia Walio Bora walio chaguliwa katika binadamu katika wale walio Sadiki na wakanusuru Sala Allahu ju yao na Malaika Wake Akawatowa kutoka Ma giza kwenda kwa Nur na wakawa kwa ma Aya za Mola Mlezi Wao wameyakinisha wakasadiki kwa Bayana ya haki ya Al’Quran Al3adhim, Na kila tukiwajia na bayana ya haki inawazidisha imani ju ya imani yao na ju ya Mola Mlezi wao wana tegemea, Hawo ju yao Sala kutoka kwa Mola Mlezi wao na Rahma, Na hawo ndio walio Faulu, Hawo ndio wale ambao wamesadiki na wakanusuru kwa nguvu zao zote kwakila mbinu na njia, Na Hawawi Sawa Wao na walio sadiki na hawakufanya nashati yoyote kwajili ya kunusuru haki na kuitangaza kwa ulimwengu, Na hakika wote kwetu ni wenye kukirimiwa wala sio sawa katika kukirimu, Na kila moja wao atakirimiwa kulingana na tulio’ona nae kutokana na juhudi kunusuru haki basi tutamkirimu baada ya kudhirika ju ya ulimwengu kukirimu pakubwa, Na Sala Allahu ju yao wa Salam tasliman kathiran, Na kwa Allah yanarudi mambo yeye ajua imani yao na anajua ukhaini wa macho na kinacho ficha vifua na kwake maregeo, Na Salam Ju ya Waja Wake Wema Kutokana Na Waislamu Wote.
Ndugu Wa Waislamu Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani.


أخو المسلمين الإمام ناصر محمد اليماني.
_____________