Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
27 - شوال - 1439 هـ
11 - 07 - 2018 مـ
01:16 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ili kufwatilia cha bayana asili]
https://=https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=290507


ــــــــــــــــــــــــ

من المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني إلى كافة الأنصار في مختلف الأقطار في البوادي والحضر ..
Kutoka kwa Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammd Al’Yamani Kwa Wote Ma Anssar Katika Sehemu Tafauti Ulimwenguni Ubeduwini Na Mijin..


Bisimullah Al’Rahman Al’Rahim, Na Sala Na Salamu Juu Ya Wote Ma Nabi Na Mitume Kutoka Wakwanza Wao Mpaka Khatimu Wao Muhammad Mtume Wa Allah, Enye Ambae Muliamini Msalieni Ju Yake Na Ju Yao Na Mtoe Salamu Kusalimu, Hatutafautishi Baina Ya Yoyote Kati Yao Na Sisi Kwake Waislamu, Na Sala Za Mola Mlezi Wangu Na Salamu Zake Ju Ya Walio Wafwata Kwa Ihsan Wema Mpaka Siku Ya Dini, Ama Baada Ya Hapo..

Salam Za Allah Ju Yenu Na Rahma Zake Na Baraka Zake Wapendwa Wangu ma Anssar na wote watafiti wa haki kwenye meza ya mazungumzo ya Ulimwengu, Basi hakika kiasi gani na kiasi gani nimewahadharisha wanazuoni wa falaki ya Anga katika waislamu na makafiri kwakutambua na kukiri kwa ishara ya kusadikisha Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani kabla hajaiondosha Allah Ukweli wao wa ki ilimu ya kifiziki ya ulimwengu kwamba jua limefikiliea Mwezi ndio ikazaliwa mwandamo kabla ya kusuf eclipse ikakutana nae nayo ni mwandamo,

Na ukumbusho na Onyo haswa Kwa wanazuoni wa falaki ya Anga kwamba wakiri na watambuwe kwa ishara ya kufikilia kusadikisha sharti katika masharti ya saa Kuu kabla haijapotea ukweli wao ya ki’ilimu ndio Awakheze Allah kwakua wengi wa wanazuoni wa falaki hakika wanajua kwamba jua kweli limefikilia mwezi ikafwata katika kupambazuka kwake na kuzama kwake, Na hawakujua kwa ilimu ya yakini nini sababu ya tokeo hili ambalo ni ajabu ambalo lakhalifu Namus sharia ya kifiziki ya falaki nayo ni sababu ya kuzama mwandamo wa mwezi kabla kuzama jua, pamoja ya ilimu yao kwamba kulingana na mahisabu ya kifalaki ya kifiziki ambao sawa sawa kwamba imeingia wakati wa kushikana na kuzaliwa mwandamo ya mwezi mpya pamoja na hayo wanaiona yazama kabla kuzama jua kulingana na tarehe ya kituo cha Ardhi na ulimwengu Maka Al’Mukarama, Na kwa hali yoyote, hawo hapo wanajua kwa kusuf Eclipse inaonekana Sehemu ndogo kusini Australia.

Na anacho taka kusema Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamani Kwa Watu wote ubeduini na mijini mwislamu wao na kafiri: Na jee mwajua kwamba mwandamo wa dhi alqaida ya mwaka wenu hu 1439 itazaliwa kabla kushikana ndio ikutane na jua usiku wa juma nayo ni mwandamo wa nyumba ya kwanza? Yani siku ya kwanza ya mwezi dhi alqaida ni usiku wa juma wakati wa kuzama jua la siku ya alkhamisi usiku wa juma lakini hato’ona yoyote katika watu kwakua mwandamo wa dhi alqaida utazama wakati likizama jua la siku ya alkhamisi usiku wa juma nayo iko katika hali ya kufikiliwa; Yani litazama na jua kwa mashariki nae na mwezi Inafwata nae upande wa magharibi ya jua ndio ifwate, Kama Vile wanavo jua wanazuoni wa falaki kama mfano wa Abdallah Bin Suleman almanii ikamtatiza tokeo hili la kushangaza kwa kanuni ya falaki ya kifiziki na karibu atangaze kukiri kwake kwa haki katika mwaka 1427 baada kutangaza Al’Imam Al’Mahdi kwa ishara ya kufikilia jua mwezi Kusadikisha sharti katika masharti maku ya saa, Na inatokea sababu ya hio kufura miyezi baada kuzama jua la siku yake ya kwanza kulingana na siku ya kwanza kisharia, Basi ndio anaiona kila mwenye kuzama jua kwake imefura kama ilivo Kariri katika miyezi mingi na wala Hai kupatikana kwa watu ukumbusho, Na haikua kauli ya waislamu wa kawaida ispokua wasema: “ Tumefunga Kuchelewa”, Na inawashangaza hilo jambo zaidi kuliko Alama kubwa ya jua na mwezi! Na wala haikupatikana Kwao ukumbusho.

Na imekurubia adhabu ya Allah Al’Wahid Al’Qahar mwenye Kuendesha mbingu na ardhi na viliomo baina yao na jua na mwezi, Na “Al’Rajifa” Mtingisho Ni Alfajiri ya siku fulani, Na Sayari Ya Saqar, Na Tete Kama Kasri, Na hawatopata wakanushaji kwa Aya ya Allah Mwenye kuwanusuru na kuwasaidia pasi na Mola Mlezi Wao,


Fa Wallah Thuma Wallah hakika mutaona katika Alama na kudra za Allah yale ambao hamukufikiria, Wala Nyinyi sio wenye kuendesha, Subhana Mola Mlezi wangu Ta3ala 3uluwan Kabiran.

Na imekurubia adhabu enyi ma3ashara ya ma hizbu na nyinyi bado hamujaitikia mwito wa ulinganizi wa kuhukumu kwa kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim Na Sunna anabawia za haki ambazo hazikhalifu muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran Al3adhim.

Na labda huwenda moja katika watafiti kutaka kusema:” Ewe Imam Nasser Muhammd Al’Yamani, Wallah Thuma Wallah hakika mimi nilikua karibu kutoa beyaa na Kusadikisha Kwa kufwata kwa ilivo bainika kwangu kutokana na Bayana ya haki ya Al’Quran Al3adhim kwa kalamu ya Al’Imam Nasser Muhammd Al’Yamani kwakua wewe wabainisha Al’Quran kwa Al’Quran na unafafanua Al’Quran Kwa Al’Quran ufafanuzi mkubwa, Lakini mimi nimeakhirisha beyaa yangu kwasababu tangazo la Kuliwa Kiongozi Ali Abdallah Swaleh kwakua wewe umemfanya ni katika alama za kusadikisha pamoja yakwamba haijatajwa Ali Abdallah Swaleh kwenye Al’Quran Al’3adhim”. Na alafu ansmamisha hoja Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammd Al’Yamani kwa wale hwayakinishi Na nasema: Kuhusu kuona ndoto basi nayo inanihusu na kusadikisha kwake Vile Atakavo Allah wakati Atakapo, Na najua kwamba mimi sijasema urongo ju ya Allah, Na hivo hivo Ali Abdallah Swaleh Afash alie jificha kama popo nyundo hakika anajua kwamba mimi sijasema urongo ju ya Allah na kwamba kweli yuko hai anaruzukiwa katika dunia na namwambia yeye:
Ewe ambae ni kiongozi Ali Abdallah Swaleh, Nini sababu ya vipele hasasia ambao Alinionesha Allah kwenye uso wako kabla masiku ya ku hisabu na haswa kwenye mashavu yako na uso wako, Je imeisha matibabu kwako na wewe umejificha? Na ewe Mwanamume Mche Allah Mola Wangu Mlezi na Mola wako na kua katika wanao shukru, Hakika Allah Amekufanya ni katika ma Alama ya kumsadikisha Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

Na labda anataka kusema Ali Abdallah Swaleh:” Ewe Imam Nasser Muhammd Al’Yamani, Mimi hakika sija Peleleza Bayana zako haki ya Kupeleleza ispokua kwenye internet ya ulimwengu baada kupotea kwangu, Na ndio moyo wangu waniuma pindi nikiona wale ambao hawajuwi wanakadhibisha fatwa yako kwamba Hakika Ali Abdallah Swaleh hajauliwa, Eee hakika Ali Abdallah Swala anajua kwamba hakika ya fatwa yako ni haki na yakini yako kwa kuona ndoto yako kutoka Mola Mlezi wako ni kweli lakini mimi naogopa ju ya nafsi yangu na kidogo Walioko na Mm hivo hivo wanaogopa”.

Na alafu anasmamisha Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammd Al’Yamani hoja ju ya Kiongozi Ali Abdallah Swaleh Na nasema: Mche Allah ewe mwanamume, Na Wala usiogope ispokua Mola wako Mlezi, Na kua pamoja na haki itakua na wewe, Na imetangulia kukuhadharisha kwamba wewe utafika kwenye hali hi ambao wewe uko, Lakini kwasababu ya kupuza kwako kwa nasaha za Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammd Al’Yamani wakakugaeuka ma hizbu na zikafungika mbele yako milango ya kutatua na zikakatika kwako Ma sababu, Na bado inazali mlango wa Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammd Al’Yamani uko wazi kwako kwa Amri ya Allah.

Na labda anataka bwana Abdulmalik Alawuthi kusema:” Ajabu Jambo lako ewe Nasser Muhammad Al’Yamani! Na vipi utamhutubia mwanamume wamepata maaskari wetu ameuliwa Kwene Nyumba yake?”.
Alafu nasema: Ewe bwana Abdulmalik Al’Hawthi, Nini itakuwa msimamo wako lau atazungumza Ali Abdallah Swaleh kwa ulimwengu kwenye entarent ya ulimwengu basi akawaeleza kwamba yuko hai anaruzukiwa? Hakika utapoteza ukweli wako wote, Na nasaha yangu Kwako hakikisha kwenye ule mwili ambao Uko nao utaenda kujua kwamba kweli sio Ali Abdallah Saleh na kwamba Nasser Muhammad Al’Yamani Ni katika wakweli, Na laana ya Allah ju ya Nasser Muhammad Al’Yamani ikiwa ni katika warongo, Basi mche Allah; Na nani dhalimu zaidi kuliko alie ficha ushuhuda kwake kutoka kwa Allah.
Na nasaha yangu Kwako kwa haki kwamba utambue na ukiri kwamba Ali Abdallah Swaleh Aliwandaganya mwanzo wa jambo Ndio akamvisha mwanamume Ameuliwa mu’undo wa Uso Mask ya Ali Abdallah Swaleh mukamdhania ni yeye mwanzo wa jambo na mukatangaza Kuliwa kwake kwa ulimwengu, Na hamuna lawama ju yenu ikiwa hamukumjua Ramiz Ali Abdallah Swaleh na je wame weza kumjua wale wanao chezesha vipindi va kuchekesha wa ki Misri na wingine kumjua ( Ramiz Jalal ) pamoja yakwamba ni rafiki ya wengi miongoni mwao? Pamoja ya hivo hawakujua tone la chungu kwamba yule mwanamume ambae ana zungumza na wao ni rafiki yao Ramiz Jalal Wa Misri, Na kwajili ya hivo hatuwezi kusema kwamba nyinyi ni warongo katika kutangaza mauwaji yake mwanzo wa jambo kwa sababu ya ku’undwa Uso ulio fanana na yeye Mask; Bali dhambi kubwa ju yenu ni baada kubainika kwenu kwamba sio yeye; Basi mukaficha Ushuhuda Wa Haki.

Na ewe mwanamume, Hakika ya Raia wa yemen wako kwenye ukingo la shimo, Na mungano wa fedha ya kiarabu wamebomoa Miundombinu ya Yemen kubomoa sawa za kijeshi ama za serekali ya miji basi hakujabaki kitu kwasababu ya maoni yenu ambao ni fupi,

Na ewe mwanamume, lau kwamba nyinyi wakati mulipo sikia waziri wa mambo ya inje wa iran anasema;” Imeanguka Sanaa mji mku wa kiarabu Wa inne chini ya hukmu ya ki farisi” Alafu linakua jibu lenu kwa ulimi moja kwa huyo mwanamume wa iran;” Umedanganya, Na Yemen ni makaburi ya wale wanao vamia, Basi hakika sisi sio wafwasi wa ma farsi wanye tama ya kuenea ya kifarisi chini ya jina wanao ita kuenea kishia “; Kwahivo hamungwapa mungano wa fedha za kiarabu hoja ya kubomoa miundobinu ya Yemen, Lakini ufupi wa kuona na katika siyasa na ikawadanganya iran na chanel ya Mayadin ambayo ilieneza uvumi wa vita ju ya Yemen kwa siyasa ya vita va kimatangazo mpaka itimu kuwakinaisha inchi za Gulf kwamba hapana budi ispokua ni kuwamaliza ma shia Yemen, Pamoja ya kwamba wanao jita Anssar Allah ni mchanganyiko wa madhehebu tafauti; Yani Kama Chama Chochote cha ki siyasa, Na wala haijuzu kumaliza Kafiri kwa hoja ya ukafiri Wake, Basi jee itakuwaje kwa waislamu? Basi hakuna kheri kwenu wala kwa ma islahiyin wale ambao wameuza dini yao kwa dunia na wakauza Taifa lao.

Ala Wallah Ambae Hapana Mungu ispokua Yeye lau mungekua Enyi Ma3ashara ya wanao ji’ita wenye sharia mungesema;” Ewe Ambae ni ufalme wa kiarabu Saudia, Hakika mumeondosha ndege za Yemen kuanzia usiku wa kwanza basi mpaka hapo tosha; Bali tunatosheka kwa usaidizi wenu wa kivita va chini ki fedha, Na myemeni kwa myemeni, Ama kubomoa Yemen basi hatutoridhika kwa hayo, Na jee munaridhika kubomoa ilio jengwa kwetu kwa muda wa miyaka thalathini na tatu na murudishe Yemen kwenye sufuri?”.
Na lau mungesema hivo hakika mungeonekana Wakubwa mbele ya macho ya mungano wa fedha ya kiarabu na hata kama mungekua muko kwenye upotevu wa ma islahiyin na mahawuthi enyi ambao mulio kataa mwito wa ulinganizi wa kuhuhukumiwa kwenye kitabu cha Allah Al’Quran Al3adhim Na sharia ya Allah ambao njia ya peke kuwa’okoa nyinyi na kuwa’okoa waislamu wote, Na Nawapa Changa moto kwamba hamutopata mbali na hio, Na bado Allah Anazali kuwaonjesha baadhi yenu nguvu juu ya baadhi na hivo kwenu ni adhabu ya Allah.

Na enyi ma3ashara ya mungano wa naqd ya warabu nawamuru musmamishe vita ju ya Yemen, Na tumetangulia awali kuipa jina Kimbunga chenu kwamba kimbunga cha kubomoa wala sio kimbunga cha ukombozi, Na hizo hapo maofisi Za serekali uharibifu mkubwa unapeperushwa na upepo sawa ni zaki jeshi ama za miji basi ukombozi ulio muwovu kabisa ni ukombozi wenu, Na kama alivo sema Muhammad bin Suleiman:” Wakati uko na sisi”! Yani kurefusha miyaka ya vita, Natoa Qasam Billah Al3adhim hakika mimi najua unacho kusudia haswa sawa sawa bila ya dhulma, Yani wakati iko na nyinyi katika kurefusha miyaka ya vita mpaka itimu kubomolewa zote Majengo ya makao ya Kuishi kwenye miji yote ya Yemen, Na Ushuhuda ju ya hayo kufungua jabha ingine (Qania) ya kivita, Na eee ajabu enyi ma3ashara ya ma islahiyin! Na kwani Jee munataka kukomboa Sanaa kutoka mwisho wa kusini mashariki nayo iko kwa kaskazini magharibi? Na Jee mwataka kubomoa vijiji na miji kwenye njia ya ( Albeydha ) mpaka mufike ( Naqil yasleh ) Kusini Sanaa? Basi siyasa ya nani mwafata mubomowe miundombinu ya yemen kwa miji ya kuishi.

Na Ama Kabila la Murad Basi nawambia wao: Allah Al’Mustaan Mwenye Kutegemewa, Sio katika Sifa yenu kuvunja Ahdi, Eee hakika ya kupatana suluhu ni Ahdi kwa Allah na magano mazito, Hivi hamujawafikiana na mahawuthi baada Alipo wanusuru Allah Juyao kabla haijajingiza mungano wa naqd ya warabu ikatimu kuweka sahihi kusain ma’agano Ya njia Ya ( Qania albeydha Radaa Sanaa ) hio itakua njia ya amani na salama kwa Raia wote, Mbona munageuka Ahdi Ya Allah Na magano ya mapatano ya suluhu Al’Shekh Marhemu Ahmad Al3aji Twalib Al’Twalibi?

Na labda wanataka baadhi ya watetanishi kutaka kusema:” Ispokua unataka wakutunuku mahawuthiyin kwa upinzani wako hu ili kufungua jabha ya Qania ya vita”.
Na Alafu anarudisha kwenu jibu Al’Imam Al’Mahdi Na nasema: Mumedamganya Warabi Al’Kaaba, Na je mwaniona nawapendelea Ma Hawuthiyin Kwa kitu? Hakiak Wao Wanajua kwamba Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani haogopi kwa Allah lawama ya mwenye kulaumu na mimi naishi Sanaa baina Yao, Lakini Mimi nawambia wao na nyinyi neno la haki na napinga kwa haki wala siogopi kwa Allah lawama ya wenye kulaumu, Pamoja ya ushadidi wa matamko ya kupinga Kwangu kwa haki ju yao tunapata vifua vao vimepanuka kupongeza kipingio,

Na ama wale ambao wanatukadibu kutoka kwa ma3ashara ya ma salafiyin kwanza Nasser Muhammad Al’Yamani anadai Unabi Basi nasema: Leteni ushuhuda wenu ikiwa nyinyi ni wakweli; Hata Kama neno moja katika Bayana Moja kwamba mimi nimisema Ni Nabi AMA Mtume Katika Muda wa miyaka kumina’inne, Ama kwamba nyinyi Munamkusudia Muhammad Nasser Al’Yamani ( Mwandazimu wa Sarwah )? Basi hio ni katika mbinu ya Shetani dhidi ya Al’Mahdi Al’Muntadhar wa kweli Nasser Muhammad Al’Yamani, Na mbinu ya shetani ambao dhidi ya haki nayo ni mpaka watu watie shaka kuhusu Jambo la Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani na Jambo la mwandazimu amepata upeopo Muhammad Nasser Al’Yamani yule ambae anasema Al’Kaaba iko mbinguni wala sio katika Masjid Alharam! Wallah Al’Mustaan Mwenye Kutegemewa, Na hakika ni katika warongo madajali wale ambao inawashika upepo wa ma shetani, Hivi hamutafautishi baina Tamko la akili kwa utawala wa ilimu kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake Al’Quran Al3adhim na tamko la mwandazimu alie shikwa na upepo wa shetani rajim, ? Basi mcheni Allah kutokana na urongo Na nyinyi munajua, Na mcheni Allah kwa kuherufisha kubadilisha jina langu na nyinyi munajuwa kwamba jina langu ni ( Nasser Muhammad Al’Yamani ) AMA mwandazimu wa Sarwah ni ( Muhammad Nasser Al’Yamani ), Basi hakika wangapi Kama mfano wake katika ulimwengu.

Basi Musikize na mutii, Ala Wallah lau ingekua Al’Imam Nasser Muhammad Al’Yamani Anatumia Mazingira kama nyinyi nigeruka kwenye utawala katika mchana ama alasiri yake kwa sababu ya maendeleo ya Raia wa yemen ambao ni ya kuskitisha ambao wanaumia kwa naja, Na nyinyi kaumu hamuna huruma basi walipeni mishahara yao ili wapate kuishi, Basi kutoka wapi mwataka wale?

Na ewe Abid Raboh Mwenye Sharia ya urongo ambae ametangaza kuhamisha kituo cha banki kuweka Aden kwa urongo mpaka ikapatikana fursa kwa Anssar Allah mahawuthyin kukata mishahara ya raia wa Yemen, Na wamhada nani? Na kiasi gani nimekunasihi kabla ukafanya kiburi akakuangusha Allah kwa yale nilio’kutahadharisha nayo Kuangukia? Na jee unamhada nani na sisi twajua kwamba ma banki sio ukuta; Bali ni mashini za ma hisabu iko ndani ya nyumba ya ukuta ya banki ambao imeja na mamia ya mamilioni kwa ma hisabu za ma banki na ma shirika ya ma banki,


Na Ama ma islahiyun basi wanameza mafuta ya yemen ju ya wanao’pewa na mungano wa anaqd ya warabu, Na mizani imeanguka kwa wote, Ala Wallah lau sio kwamba mimi nimeamirishwa kwamba nisipigane na yoyote ju ya utawala hakika nigepigana na madhalimu kwa ushadidi yale nayo yaona ya dhulma katika Ma’arib na Sanaa. Na madhalimu katika ma hizbu katika kote mikowani mwa jumhuria basi hakika siswali ju ya yoyote miongoni mwenu enyi ma3ashara ya ma hizbu wahalifu, Basi mcheni Allah wala iswachukuwe utukufu kwa dhambi, Na mumfwate mlinganizi kwa njia ilio nyoka, Na mumche Allah huwenda mukafaulu, Na Adhabu Ya Allah imekua karibu kuliko kabla, Na kila siku karibu na karibu, Basi wapi mutakimbia kutokana na adhabu ya Allah ikiwa nyinyi ni wakweli?

Na nakhitimisha Bayana yangu hi kwa mubahala kuapizana na nasema:
Allahuma ikuwa Wajua kwamba Wewe ikiwa Hukunichagua Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Khalifa wa Allah katika Ardhi basi lana ya Allah ju ya warongo, Na ameangamia mwenye kumzulia Allah urongo, AMA Lana ya Allah ju ya yule imebainika Kwake mlinganizi wa haki na asimfwate mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola wake Mlezi, Ama anaenda mbio kuleta ajizi ili isisadikiwe Alama za Allah, Na Hukumu ni ya Allah na Yeye ni Mwepesi wa kufanya hisabu.

An enyi ma3ashara ya ma Ansar wetu katika Yemen, Basi muwe tayari na silaha zenu kama vile tuliwamuru kabla kwamba muwe tayari kwa yule atakae kupamba kwa uharibifu maisha Yake basi hakika sisi tunaweza, Natoa Qasam Kwa Allah Al3adhim na awe shahidi kwa kiapo changu hichi wanao’angalia jambo letu ulimwenguni:

Hakika pindi akijaribu kumfanyia uchokozi Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani na akanilazimu kutangaza kutoka wote ma Ansar Wangu hakika mimi sitomwita kwajili ya amani, Kwakua anae anza kufanya uwaduwi pindi ikitimu kumwita kwajili ya amani basi haitomzidisha ispokua kiburi na kujizatiti, Kwakua yeye ni mwenye kufanya uwaduwi wala sio mwenye kutaka Amani; Bali mwenye kutaka kumpiga vita Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Katika ma hizbu zote basi hakika sisi tuko tayari, Na hatutapigana ila na Yule atakae kutupiga vita sisi mpaka atake usalama na yeye ni katika wanyonge.

Na Salam Ju ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabil3alamin..
Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.

وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_______________