Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani
الإمام المهديّ ناصر محمّد اليمانيّ
02 - 04 - 1431 هـ
18 - 03 - 2010 مـ
01:28 صباحاً
(بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى)

[لمتابعة رابط المشاركة الأصلية للبيان]
Kifurushi Cha Bayana
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=1151

ـــــــــــــــــــــ

Tasbihi Ya Majabali Na Radi Na Ndege Kwajili Ya Allah Al’Wah7ed Al’Qahar..


Bismillah Al’Rahman Al’Rahim, Na Salam Juu Ya Mitume, Na Al’Hamdulillah Rabilalamin..
Lakini kusujudu Kwa Madini nayo ni Tasbihi wala sio kwamba sisi tutaona inainama kama tunavo inama kumsujudia Allah, Bali ni Tasbihi ya lafdhi kutamka hatuisiki na anamsikilizisha Allah kwa amtakae, Na kwa mfano ya majabali, Basi sisi hatusiki lakini Allah amemsikilizisha Nabi wake Daud Tasbihi yao, Na Akasema Allah Ta3ala
:
{ وَسَخَّرْنَا مَعَ دَاوُودَ الْجِبَالَ يُسَبِّحْنَ وَالطَّيْرَ وَكُنَّا فَاعِلِينَ } صدق الله العظيم [الأنبياء:79].
Allah Ta3ala Asema:{ Na tuliifanya milima na ndege kuwa pamoja na Daud imnyenyekee na imtakase Mwenyezi Mungu. Na Sisi ndio tulio fanya hayo } Sadaqa Allah Al3adhim [Alanbiya:79]

Lakini Sisi hatusiki tasbihi ya majabali lakini Allah Alimsikilizisha Daud ispokua binadamu wanasikia tasbihi ya Radi. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:

{ وَيُسَبِّحُ الرَّعْدُ بِحَمْدِهِ } صدق الله العظيم [الرعد:13].
Allah Ta3ala Asema:{ Na radi inamtakasa Mwenyezi Mungu kwa kumhimidi } Sadaqa Allah Al3adhim [Alraad:13]
.
Na Kadhalika tasbihi ya vitu vengi lakini na miongoni mwao hawasiki watu na kati yao wanasikia lakini hawaifahu. Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{تُسَبِّحُ له السَّمَوَاتُ السَّبْعُ وَالْأَرْضُ وَمَنْ فِيهِنَّ وَإِنْ مِنْ شَيْءٍ إِلَّا يُسَبِّحُ بِحَمْدِهِ وَلَكِنْ لَا تَفْقَهُونَ تَسْبِيحَهُمْ إِنَّهُ كَانَ حَلِيمًا غَفُورًا}صدق الله العظيم [الإسراء:44].
Allah Ta3ala Asema:{ Zinamtakasa zote mbingu saba na ardhi na vyote viliomo ndani yake. Na hapana kitu ila kinamtakasa kwa sifa zake. Lakini nyinyi hamfahamu kutakasa kwake. Hakika Yeye ni Mpole na Mwenye maghfira } Sadaqa Allah Al3adhim [Alisra:44].
Na Hivo hivo mimea miti zinamsabeh Allah lakini ni miongoni mwa vitu haziskiliki tasbihi yake, Na katika vitu watu wanasikia tasbihi yao lakini hawafahamu kama mfano ya sauti ya Radi, Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{وَيُسَبِّحُ الرَّعْدُ بِحَمْدِهِ وَالْمَلاَئِكَةُ مِنْ خِيفَتِهِ وَيُرْسِلُ الصَّوَاعِقَ فَيُصِيبُ بِهَا مَنْ يَشَاءُ} صدق الله العظيم [الرعد:13].
Allah Ta3ala Asema:{ Na radi inamtakasa Mwenyezi Mungu kwa kumhimidi, na Malaika pia, kwa kumkhofu. Naye hupeleka mapigo ya radi yakampata amtakaye } Sadaqa Allah Al3adhim [Alraad:13].

Ama vilio hai basi zina aina katika ibada yao kwa Mola Mlezi wao; Kila kinacho tembea na kuruka, Na Akasema Allah Ta3ala:

{أَلَمْ تَرَ أَنَّ اللَّهَ يُسَبِّحُ له مَنْ فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ وَالطَّيْرُ صَافَّاتٍ كلّ قَدْ عَلِمَ صَلَاتَهُ وَتَسْبِيحَهُ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ} صدق الله العظيم [النور:41].
Allah Ta3ala Asema:{ Je! Huoni kwamba Mwenyezi Mungu vinamtakasa vilivyomo katika mbingu na ardhi, na ndege wakikunjua mbawa zao? Kila mmoja amekwisha jua Sala yake na namna ya kumtakasa kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur:41].

Na muhimu ni fatwa kutoka kwa Allah kwa tasbihi ya kila kitu na miongoni mwao hamusiki na kati yao hamufahamu, Na ama vipi inakua basi hio inahusu zile vitu kama alivo zifundisha Allah vipi zitamsabeh yeye na vipi zitamwabudu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَالطَّيْرُ صَافَّاتٍ كلّ قَدْ عَلِمَ صَلَاتَهُ وَتَسْبِيحَهُ وَاللَّهُ عَلِيمٌ بِمَا يَفْعَلُونَ} صدق الله العظيم [النور:41].
Allah Ta3ala Asema:{ na ndege wakikunjua mbawa zao? Kila mmoja amekwisha jua Sala yake na namna ya kumtakasa kwake. Na Mwenyezi Mungu ni Mwenye kuyajua wayatendayo } Sadaqa Allah Al3adhim [Alnur:41]
.
Na Salam Juu Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام المهدي ناصر محمد اليماني.
ــــــــــــــــــــ