Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
الإمام ناصر محمد اليماني
28 - 05 - 2009 مـ
12:13 صباحاً
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?1206

ـــــــــــــــــــــ


البيان الحقّ من صاحب علم الكتاب عن أرض المحشر..
Bayana Ya Haki Kutoka Kwa Mwenye ilimu Ya Kitabu Kuhusu Ardhi Ya Ma7hshar ..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..


Amesema Allah Ta3ala:
{ كُلُّ نَفْسٍ ذَائِقَةُ الْمَوْتِ وَإنّما تُوَفَّوْنَ أُجُورَكُمْ يَوْمَ القيامة فَمَن زُحْزِحَ عَنِ النّار وَأُدْخِلَ الجنّة فَقَدْ فَازَ وَمَا الْحَيَاةُ الدُّنْيَا إِلَّا مَتَاعُ الْغُرُورِ ﴿١٨٥﴾ } صدق الله العظيم [آل عمران]
Allah Ta3ala Asema: { Kila nafsi itaonja mauti. Na bila ya shaka mtapewa ujira wenu kaamili Siku ya Kiyama. Na atakaye epushwa na Moto na akatiwa Peponi basi huyo amefuzu. Na maisha ya dunia si kitu ila ni starehe ya udanganyifu (185} Sadaqa Allah Al3adhim [Alimram].


Basi hi Aya inazungumza kuhusu siku ya kiyama na hisabu kwa wale wataingia peponi baada ya hisabu waruzuukiwe ndani yake bila hisabu, Na ama kuhusu uwanja wa ma7hshar basi watakua wote katika ardhi ya ma7hshar watu wa motoni na watu wa peponi na itatimu kuletwa moto na pepo kwenye uwanja wa kiulimwengu, Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ فَإِذَا جَاءَتِ الطَّامَّةُ الْكُبْرَىٰ ﴿٣٤﴾ يَوْمَ يَتَذَكَّرُ الْإِنسَانُ مَا سَعَىٰ ﴿٣٥﴾ وَبُرِّزَتِ الْجَحِيمُ لِمَن يَرَىٰ ﴿٣٦﴾ } صدق الله العظيم [النازعات]
Allah Ta3ala Asema: { Basi itakapo fika hiyo balaa kubwa (34) Siku ambayo mtu atakumbuka aliyo yafanya (35) Na Jahannamu itadhihirishwa kwa mwenye kuona (36)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaziaat].


Basi inatimu kuletwa Jahim kwenye Ardhi ya ma7hshar; Na Moto ina milango misaba kwa kila mlango wako na sehemu imegawanywa na hivo hivo inatimu kuletwa pepo kwenye nafsi ya ardhi ya ma7hshar kuu nayo ni ulimwengu wote Anauponda kuponda Sayari zote na nyota zake, Na wala hakuiumba bure kucheza! Basi Ataifanya Ardhi moja imestawi huoni ndani yake imekwenda kombo ama mabonde, Na inatimu kuletwa moto na pepo kwake basi inakua pepo kwenye pahala sio mbali na moto, Na Akasema Allah Ta3ala:
{ وَلَقَدْ خَلَقْنَا الْإِنسَانَ وَنَعْلَمُ مَا تُوَسْوِسُ بِهِ نَفْسُهُ وَنَحْنُ أَقْرَبُ إِلَيْهِ مِنْ حَبْلِ الْوَرِيدِ ﴿١٦﴾ إِذْ يَتَلَقَّى الْمُتَلَقِّيَانِ عَنِ الْيَمِينِ وَعَنِ الشِّمَالِ قَعِيدٌ ﴿١٧﴾ مَّا يَلْفِظُ مِن قَوْلٍ إِلَّا لَدَيْهِ رَقِيبٌ عَتِيدٌ ﴿١٨﴾ وَجَاءَتْ سَكْرَةُ الْمَوْتِ بالحقّ ذَٰلِكَ مَا كُنتَ مِنْهُ تَحِيدُ ﴿١٩﴾ وَنُفِخَ فِي الصُّورِ ذَٰلِكَ يَوْمُ الْوَعِيدِ ﴿٢٠﴾ وَجَاءَتْ كُلُّ نَفْسٍ مَّعَهَا سَائِقٌ وَشَهِيدٌ ﴿٢١﴾ لَّقَدْ كُنتَ فِي غَفْلَةٍ مِّنْ هَٰذَا فَكَشَفْنَا عَنكَ غِطَاءَكَ فَبَصَرُكَ الْيَوْمَ حَدِيدٌ ﴿٢٢﴾ وَقَالَ قَرِينُهُ هَٰذَا مَا لَدَيَّ عَتِيدٌ ﴿٢٣﴾ أَلْقِيَا فِي جهنّم كُلَّ كَفَّارٍ عَنِيدٍ ﴿٢٤﴾ مَّنَّاعٍ لِّلْخَيْرِ مُعْتَدٍ مُّرِيبٍ ﴿٢٥﴾ الَّذِي جَعَلَ مَعَ اللَّهِ إِلَٰهًا آخَرَ فَأَلْقِيَاهُ فِي الْعَذَابِ الشَّدِيدِ ﴿٢٦﴾ قَالَ قَرِينُهُ ربّنا مَا أَطْغَيْتُهُ وَلَٰكِن كَانَ فِي ضَلَالٍ بَعِيدٍ ﴿٢٧﴾ قَالَ لَا تَخْتَصِمُوا لَدَيَّ وَقَدْ قَدَّمْتُ إِلَيْكُم بِالْوَعِيدِ ﴿٢٨﴾ مَا يُبَدَّلُ الْقَوْلُ لَدَيَّ وَمَا أَنَا بِظَلَّامٍ لِّلْعَبِيدِ ﴿٢٩﴾ يَوْمَ نَقُولُ لِجهنّم هَلِ امْتَلَأْتِ وَتَقُولُ هَلْ مِن مَّزِيدٍ ﴿٣٠﴾ وَأُزْلِفَتِ الجنّة لِلْمُتَّقِينَ غَيْرَ بَعِيدٍ ﴿٣١﴾ هَٰذَا مَا تُوعَدُونَ لِكُلِّ أَوَّابٍ حَفِيظٍ ﴿٣٢﴾ مَّنْ خَشِيَ الرَّحْمَٰنَ بِالْغَيْبِ وَجَاءَ بِقَلْبٍ مُّنِيبٍ ﴿٣٣﴾ ادْخُلُوهَا بِسَلَامٍ ذَٰلِكَ يَوْمُ الْخُلُودِ ﴿٣٤﴾ لَهُم مَّا يَشَاءُونَ فِيهَا وَلَدَيْنَا مَزِيدٌ ﴿٣٥﴾ } صدق الله العظيم [ق]
Allah Ta3ala Asema: { Na hakika tumemuumba mtu, nasi tunayajua yanayo mpitikia katika nafsi yake. Na Sisi tuko karibu naye kuliko mshipa wa shingoni mwake (16) Wanapo pokea wapokeaji wawili, wanao kaa kuliani na kushotoni (17) Hatamki neno ila karibu yake yupo Raqib na 3atid (18) Na uchungu wa kutoka roho utamjia kwa haki. Hayo ndiyo uliyo kuwa ukiyakimbia (19) Na litapulizwa baragumu. Hiyo ndiyo Siku ya Miadi (20) Na kila nafsi itakuja na pamoja nayo mchungaji na shahidi (21) (Aambiwe): Kwa hakika ulikuwa umeghafilika na haya; basi leo tumekuondolea pazia lako, na kwa hivyo kuona kwako leo ni kukali (22) Na mwenzake atasema: Huyu niliye naye mimi kesha tay


arishwa (23) Mtupeni katika Jahannamu kila kafiri mwenye inda (24)Akatazaye kheri, arukaye mipaka, mwenye kutia shaka (25) Aliye weka mungu mwengine pamoja na Mwenyezi Mungu. Basi mtupeni katika adhabu kali (26) Mwenzake aseme: Ee Mola wetu Mlezi! Sikumpoteza mimi, bali yeye mwenyewe alikuwa katika upotovu wa mbali (27) (Mwenyezi Mungu) aseme: Msigombane mbele yangu. Nilikuleteeni mbele onyo langu (28) Mbele yangu haibadilishwi kauli, wala Mimi siwadhulumu waja wangu (29) Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada (30) Na Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu, haitakuwa mbali (31) Haya ndiyo mnayo ahidiwa kwa kila mwenye kurejea kwa Mwenyezi Mungu na akajilinda (32) Mwenye kumwogopa Mwingi wa Rehema hali kuwa hamwoni, na akaja kwa moyo ulio elekea (33)(Ataambiwa) ingieni kwa salama. Hiyo ndiyo siku ya daima dawamu (34) Humo watapata wakitakacho, na kwetu yako ya ziada (35)} Sadaqa Allah Al3adhim [Qaf].


Na inakua pepo kwenye ardhi ya ma7hshar haiko mbali na moto yani iko karibu nae, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ يَوْمَ نَقُولُ لِجهنّم هَلِ امْتَلَأْتِ وَتَقُولُ هَلْ مِن مَّزِيدٍ ﴿٣٠﴾ وَأُزْلِفَتِ الجنّة لِلْمُتَّقِينَ غَيْرَ بَعِيدٍ ﴿٣١﴾ } صدق الله العظيم [ق]
Allah Ta3ala Asema: { Siku tutapo iambia Jahannamu: Je! Umejaa? Nayo itasema: Je! Kuna ziada (30) Na Pepo italetwa karibu kwa ajili ya wachamngu, haitakuwa mbali (31)} Sadaqa Allah Al3adhim [Qaf].


Ispokua pepo haiwi nyuma ya moto; Bali karibu kwa baadhi yao kwa baadhi; Zinalekeana, Basi moto iko upande wa kushoto na pepo iko upande wa kulia na wacha Mungu wote na makafiri wanangalia pepo na moto na wao wako kwenye uwanja wa ma7hshar na baada ya hisabu na kufafanua kwa haki alafu inakuja kutengana, Kusadilisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَيَوْمَ تَقُومُ السَّاعَةُ يَوْمَئِذٍ يَتَفَرَّقُونَ ﴿١٤﴾ } صدق الله العظيم [الروم]
Allah Ta3ala Asema: { Na siku itakapo simama kiyama sikuhio watatengana (41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alrom].


Na kutengana ni baada ya hisabu ndio inatimu kukusanywa watu wa motoni kutoka kwa ardhi ya ma7hshar basi wanaendeshwa watu wa motoni kwenye njia ya kwenda motoni. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ احْشُرُوا الَّذِينَ ظَلَمُوا وَأَزْوَاجَهُمْ وَمَا كَانُوا يَعْبُدُونَ ﴿٢٢﴾ مِن دُونِ اللَّهِ فَاهْدُوهُمْ إِلَىٰ صِرَاطِ الْجَحِيمِ ﴿٢٣﴾ } صدق الله العظيم [الصافات]
Allah Ta3ala Asema: { Wakusanyeni walio dhulumu, na wake zao, na hao walio kuwa wakiwaabudu (22) Badala ya Mwenyezi Mungu. Waongozeni njia ya Jahannamu (23)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsafat].


Lakini itatimu kugawanywa mapoti saba kwa idadi ya milango ya moto saba. Kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{ وَإِنَّ جهنّم لَمَوْعِدُهُمْ أَجْمَعِينَ ﴿٤٣﴾ لَهَا سَبْعَةُ أَبْوَابٍ لِّكُلِّ بَابٍ مِّنْهُمْ جُزْءٌ مَّقْسُومٌ ﴿٤٤﴾ } صدق الله العظيم [الحجر]
Allah Ta3ala Asema: { Na bila shaka Jahannamu ndipo pahali pao walipo ahidiwa wote (43) Ina milango saba; na kwa kila mlango iko sehemu walio tengewa (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhijr].


Kwajili ya hivo wanakusanywa watu wa motoni na kugawanywa kwa makundi saba alafu wanaendeshwa upande wa milango ya jahanam yote saba kwa kila mlango sehemu yao malum, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَسِيقَ الَّذِينَ كَفَرُوا إِلَىٰ جهنّم زُمَرًا حَتَّىٰ إِذَا جَاءُوهَا فُتِحَتْ أَبْوَابُهَا } صدق الله العظيم [الزمر:71]
Allah Ta3ala Asema: { Na walio kufuru wataongozwa kuendea Jahannamu kwa makundi. Mpaka watakapo ifikia itafunguliwa milango yake} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur71].


Na ama watu wa peponi basi baada ya hisabu wanagawanywa mapoti kwa idadi ya milango ya pepo, Na "Ataza7hzu7h" manake ni kua mbali na moto hapo hapo kwenye uwanja wa ma7hshar basi hawaendeshwi katika njia ya Jahim: Bali wataendeshwa katika njia ya pepo ya neema ya kudumu. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَسِيقَ الَّذِينَ اتقوا ربّهم إِلَى الجنّة زُمَرًا حَتَّىٰ إِذَا جَاءُوهَا وَفُتِحَتْ أَبْوَابُهَا وَقَالَ لَهُمْ خَزَنَتُهَا سَلَامٌ عَلَيْكُمْ طِبْتُمْ فَادْخُلُوهَا خَالِدِينَ (٧٣﴾ } صدق الله العظيم [الزمر]
Allah Ta3ala Asema: { Na walio mcha Mola wao Mlezi wataongozwa kuendea Peponi kwa makundi, mpaka watakapo fikilia, nayo


milango yake imekwisha funguliwa. Walinzi wake watawaambia: Salaam Alaikum, Amani iwe juu yenu! Mmet'ahirika. Basi ingieni humu mkae milele (73)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alzumur].


Na wanajaribu watu wa motoni kuikimbia moto kulekea upande wa peponi na wanatawasuli kwa wacha Mungu miongoni mwa watu wa peponi kwamba wawangoje na wapate mwangaza wao, Lakini Malaika wana'warudisha kwa nguvu na wanaongozwa kuendeshwa kwa lazima kulekea moto wa jahanam basi wanataka msaada kwa wacha Mungu ili wapate mwangaza wao na hivo ni kwajili wao bado wnazali washurikina kwa Mola Mlezi wao kwa waja Wake waliokurubishwa, Na Nur Mwangaza ni kutoka kwa Allah, Na yule Hakumjalia Allah yeye Nur Mwangaza basi hana yeye pakupata Nur, Lakini yule ambae kwa hili ni kipofu kutokana na haki basi yeye katika akher ni kipofu na amepotea njia, Na kwavile wao hawajui Haki na Haki Ni Mola Mlezi wao na kwajili ya hivo wanatawasuli kwa waja wa Allah wacha Mungu na wanawambia wao:
{ انظُرُونَا نَقْتَبِسْ مِن نُّورِكُمْ قِيلَ ارْجِعُوا وَرَاءَكُمْ فَالْتَمِسُوا نُورًا فَضُرِبَ بَيْنَهُم بِسُورٍ لَّهُ بَابٌ بَاطِنُهُ فِيهِ الرَّحْمَةُ وَظَاهِرُهُ مِن قِبَلِهِ الْعَذَابُ ﴿١٣﴾ } صدق الله العظيم [الحديد]
Allah Ta3ala Asema:{ Tungojeni ili tupate mwangaza katika nuru yenu. Waambiwe: Rejeeni nyuma yenu mkaitafute nuru! Utiwe baina yao ukuta wenye mlango - ndani yake mna rehema, na nje upande wake wa mbele kuna adhabu (13)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alhadid].


Alafu Anapiga baina yao ukuta unatenganisha baina ya pepo na moto, Basi ndani yake kulekea pepo na moto upande wapili kwajili moto na pepo Amezifanya Allah siku ya kiyama zinalekeana, Moto kushoto na pepo kulia na briji ya alaaraf baina yao, Alafu wataongozwa poti lingine kutoka kwa ardhi ya ma7hshar haijatimu kufanyiwa hisabu na wala Hajawauliza Allah kuhusu kitu chochote na wala Hakuwafanyia hisabu Allah kuhusu kitu chochote kwajili wao wana hoja ju ya Mola wao Mlezi ndio Akawaweka Allah ju ya briji ya Alaaraf wangalie watu wa motoni na watu wa peponi, Lakini nani hawo katika hilo poti? Na jibu kwa haki wao ni kaumu wamekufa katika watu wa miji kabla kutumilizwa Mitume wa Allah kwo, Basi hawo wanao hoja ju ya Mola Mlezi wao, Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ رُّسُلًا مُّبَشِّرِينَ وَمُنذِرِينَ لِئَلَّا يَكُونَ للنّاس عَلَى اللَّهِ حجّة بَعْدَ الرُّسُلِ وَكَانَ اللَّهُ عَزِيزًا حَكِيمًا ﴿١٦٥﴾ } صدق الله العظيم [النساء]
Allah Ta3ala Asema: { Mitume wanabashiri na wanaonya ili isiwe watu wana ju ya Allah hoja baada ya mitume na hakika Allah ni Menye Nguvu Mwenye Hikima (165)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnisaa].


Kama Mfano wa Abdallah bin Abdulmutwalib babake Muhammad Mtume wa Allah -Sala Allahu Aleyhi wa Ali wa Salam- Na wote wale walio kufa katika miji kabla kutumilizwa Mitume wa Allah kwao, Basi hawo hawa'adhibu Allah. Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ وَمَا كُنَّا مُعَذِّبِينَ حَتَّىٰ نَبْعَثَ رَسُولًا ﴿١٥﴾ } صدق الله العظيم [الإسراء]
Allah Ta:ala Asema: { Na hatukuwa ni wenye kuadhibu mpaka tutume Mtume (15)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa].


Basi hawo ndio watu wa alaaraf Hakuwafanya Allah ni watu wa peponi na wala Hakuwafanya Alah ni watu wa motoni, Wakaona vipi Allah Amewafanyia hisabu waja Wake na vipi alivo fasilisha baina yao kwa haki na baina ya ma Nabi wao, Na Akawauliza Allah ma Nabi wake je mumebalighisha? Wakajibu Ndio wakashuhudia kwa kubalighisha kwao wale walio wasadiki kwa jambo lao, ikawa wanayo ufahamu kuhusu visa va Mitume na kaumu zao na wale walio kadhibisha Mitume wa Mola Mlezi wao na wale walio sadikisha Mitume wa Mola Mlezi wao ikawa jambo liko wazi kwao kamili kutoka mwanzo mpaka mwisho kuhusu kaumu yao baada yao, Na miongoni mwao mwenye kujuwa wanaume katika watu wa motoni mfano wa abilahab na alwalid ibnu almughira, Mfano Babake Nabi Abdallah bin Abdulmutwalib anamjua abalahab na alwalid ibnu almughira na wingineo kabla kufa kwake, Na hivo hivo watu wa alaaraf wale walio kufa kabla kutumilizwa Mitume wanawajua watu wale walikua katika zama zao ispokua wao wamekufa kabla kutumilizwa Mitume wa Allah kwa Miji, Basi baadhi yao kabla kutumilizwa Mitume wa Mola Mlezi wao kwa


miji yao kwa mwezi awu zaidi kwa miyaka ama kidogo ya hapo, Lakini wao wamejua hawa wakanushaji wale ambao wanawajua kwamba Ametumiliza Allah Mtume baada yao na wakakadhibisha kwa Mitume wa Allah walio tumiwa kwao baada kufa kwao na haswa wale wanao kufa katika watu wa miji kabla kutumilizwa Mtume kwa kidogo basi wao hatimai wanawajua wale wakanushaji katika zama zao na wakapata khabari zao kwamba Allah Ametumiliza kwao Mtume wakamkadhibisha na ilikua wawajua kwamba hawo ni matajiri kwajili ya hivo waliwambia wao:
{ وَنَادَىٰ أَصْحَابُ الْأَعْرَافِ رِجَالًا يَعْرِفُونَهُم بِسِيمَاهُمْ قَالُوا مَا أَغْنَىٰ عَنكُمْ جَمْعُكُمْ وَمَا كُنتُمْ تَسْتَكْبِرُونَ ﴿٤٨﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: { Na hao watu wa Mnyanyukoni watawaita watu wanao wajua kwa alama zao. Watasema: Kujumuika kwenu hakukufaini kitu, wala hicho mlicho kuwa mnafanyia kiburi (41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Kwajil ya hivo wawaita kutoka ju ya Alaaraf kwajili wao wanawajua kwa sura zao katika dunia.


Na kabla ya kufafanua kuhusu watu wa alaaraf twarudi kwa watu wa peponi na watu wa motoni baada kumalizika hisabu na kusmamisha hoja kwa haki basi wataingia watu wa motoni motoni na watu wa peponi peponi basi wataita watu wa peponi watu wa motoni, Akasema Allah Ta3ala:
{وَنَادَىٰ أَصْحَابُ الْجَنَّةِ أَصْحَابَ النَّارِ أَن قَدْ وَجَدْنَا مَا وَعَدَنَا رَبُّنَا حَقًّا فَهَلْ وَجَدتُّم مَّا وَعَدَ رَبُّكُمْ حَقًّا ۖ قَالُوا نَعَمْ ۚ فَأَذَّنَ مُؤَذِّنٌ بَيْنَهُمْ أَن لَّعْنَةُ اللَّـهِ عَلَى الظَّالِمِينَ ﴿٤٤﴾} صدق الله العظيم [الأعراف].
Allah Ta3ala Asema: { Na watu wa Peponi watawanadia watu wa Motoni: Sisi tumekuta aliyo tuahidi Mola wetu Mlezi kuwa ni kweli. Je, na nyinyi pia mmekuta aliyo kuahidini Mola wenu Mlezi kuwa ni kweli? Watasema: Ndiyo! Basi mtangazaji atawatangazia: Laana ya Mwenyezi Mungu iwapate walio dhulumu (44)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Basi nani mtagazaji baina yao? Yeye ni Abdallah bin Abdulmutwalib na walioko nae.


Na tunarudi sasa kwa wanaume wa alaaraf na Akasema Allah Ta3ala:
{ وَبَيْنَهُمَا حِجَابٌ وَعَلَى الْأَعْرَافِ رِجَالٌ يَعْرِفُونَ كُلًّا بِسِيمَاهُمْ وَنَادَوْا أَصْحَابَ الجنّة أَن سَلَامٌ عَلَيْكُمْ لَمْ يَدْخُلُوهَا وَهُمْ يَطْمَعُونَ ﴿٤٦﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: {Na baina ya makundi mawili hayo patakuwapo pazia. Na juu ya Mnyanyuko patakuwa watu watakao wajua wote kwa alama zao, na wao watawaita watu wa Peponi: Assalamu Alaykum, Amani juu yenu! Wao bado hawajaingia humo, lakini wanatumai (46)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Basi wao wana'wajua makafiri katika watu wa motoni na hivo hivo wana'wajua wanaume katika watu wa peponi, Watangalia watu wa alaaraf kwa watu wa peponi alafu watawambia watu wa peponi
{ سَلَامٌ عَلَيْكُمْ }
{Al'Salam Alekom}
Lakini wao hawako peponi; Bali wanaitazama na wanaona waliomo ndani yake kutoka ju ya briji sur ya Alaaraf na wanatamani kwamba Awaingize Allah pepo yake kwa Rahma Yake. Akasema Allah Ta3ala:
{ وَبَيْنَهُمَا حِجَابٌ وَعَلَى الْأَعْرَافِ رِجَالٌ يَعْرِفُونَ كُلًّا بِسِيمَاهُمْ وَنَادَوْا أَصْحَابَ الجنّة أَن سَلَامٌ عَلَيْكُمْ لَمْ يَدْخُلُوهَا وَهُمْ يَطْمَعُونَ ﴿٤٦﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: {Na baina ya makundi mawili hayo patakuwapo pazia. Na juu ya Mnyanyuko patakuwa watu watakao wajua wote kwa alama zao, na wao watawaita watu wa Peponi: Assalamu Alaykum, Amani juu yenu! Wao bado hawajaingia humo, lakini wanatumai (46)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Alafu watangalia kwa watu wa motoni basi watawaeleza watawambia wao:
{ أَهَٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَقْسَمْتُمْ لَا يَنَالُهُمُ اللَّهُ بِرَحْمَةٍ } صدق الله العظيم [الأعراف:49]
{ Je, hawa sio wale mlio kuwa mkiwaapia kuwa Mwenyezi Mungu hatawafikishia rehema.} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf:49].


Na wanakusudia je hawa; Watu wa peponi, Waka'ashiria kwao na wao wanawaeleza watu wa motoni wakawambia wao; Enyi watu wa motoni
أَهَٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَقْسَمْتُمْ لَا يَنَالُهُمُ اللَّهُ بِرَحْمَته؟
Je, hawa sio wale mlio kuwa mkiwaapia kuwa Mwenyezi Mungu hatawafikishia rehema? Alafu Anajibu Allah duaa ya watu wa alaaraf wakati walipo taja Rahma


Yake na watu wa alaaraf walimomba Allah baada walipo kusanywa ju ya briji sur ya alaaraf wakasema:
{ وَإِذَا صُرِفَتْ أَبْصَارُهُمْ تِلْقَاءَ أصحاب النّار قَالُوا ربّنا لَا تَجْعَلْنَا مَعَ الْقَوْمِ الظَّالِمِينَ ﴿٤٧﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: { Na yanapo geuzwa macho yao kuelekea watu wa Motoni, wanasema: Mola Mlezi wetu! Usitujaalie kuwa pamoja na watu walio dhulumu (47)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].




وَنَادَىٰ أَصْحَابُ الْأَعْرَافِ رِجَالًا يَعْرِفُونَهُم بِسِيمَاهُمْ قَالُوا مَا أَغْنَىٰ عَنكُمْ جَمْعُكُمْ وَمَا كُنتُمْ تَسْتَكْبِرُونَ ﴿٤٨﴾ أَهَٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَقْسَمْتُمْ لَا يَنَالُهُمُ اللَّهُ بِرَحْمَةٍ ادْخُلُوا الجنّة لَا خَوْفٌ عَلَيْكُمْ وَلَا أَنتُمْ تَحْزَنُونَ ﴿٤٩﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: { Na hao watu wa Mnyanyukoni watawaita watu wanao wajua kwa alama zao. Watasema: Kujumuika kwenu hakukufaini kitu, wala hicho mlicho kuwa mnafanyia kiburi (48) Je, hawa sio wale mlio kuwa mkiwaapia kuwa Mwenyezi Mungu hatawafikishia rehema. Ingieni Peponi, hapana khofu kwenu, wala hamtahuzunika (49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Basi nani ambae amesema kwa watu wa alaaraf:
{ ادْخُلُوا الجنّة لَا خَوْفٌ عَلَيْكُمْ وَلَا أَنتُمْ تَحْزَنُونَ ﴿٤٩﴾ }
صدق الله العظيم
[الأعراف]
{ Ingieni Peponi, hapana khofu kwenu, wala hamtahuzunika (49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Hakika ni Yule Ambae walio Momba baada kukusanywa kwao ju ya alaaraf wakangalie kwenye moto wa jahanam na makafiri wanpiga kelele ndani yake. Akasema Allah Ta3ala:
{ وَإِذَا صُرِفَتْ أَبْصَارُهُمْ تِلْقَاءَ أصحاب النّار قَالُوا ربّنا لَا تَجْعَلْنَا مَعَ الْقَوْمِ الظَّالِمِينَ ﴿٤٧﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: { Na yanapo geuzwa macho yao kuelekea watu wa Motoni, wanasema: Mola Mlezi wetu! Usitujaalie kuwa pamoja na watu walio dhulumu (47)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Basi angalieni jibu La Allah kwa duaa yao wakati walipo taja Rahma Yake kwajili wao wamewachukia makafiri na wakawambia wao:
أهؤلاء
je hawa-
Alafu wakashiria kwa watu wa peponi- Wale mumeapa enyi watu wa motoni kwamba Allah Hatowafikishia kwao Rahma Yake? Alafu Linakuja Jibu La Allah kwa duaa ya watu wa alaaraf pindi walipo kiri na wakayakinisha kwa Rahma Ya Allah Wakasema:
{ أَهَٰؤُلَاءِ الَّذِينَ أَقْسَمْتُمْ لَا يَنَالُهُمُ اللَّهُ بِرَحْمَةٍ }
صدق الله العظيم،
{ Je, hawa sio wale mlio kuwa mkiwaapia kuwa Mwenyezi Mungu hatawafikishia rehema } Sadaqa Allah Al3adhim,
Na hapo hapo Anawaita Allah Kutoka Nyuma Ya Pazia Akajibu duaa yao kwa haki, Akasema Allah:
{ ادْخُلُوا الجنّة لَا خَوْفٌ عَلَيْكُمْ وَلَا أَنتُمْ تَحْزَنُونَ ﴿٤٩﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
{ Ingieni Peponi, hapana khofu kwenu, wala hamtahuzunika (49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Na hivo ni kwa jili wao wanamomba Mola Mlezi wao basi wanamuliza Rahma Yake wakati wanagalia watu wa motoni wanalia kwa sauti kubwa kwenye moto wa jahanam. Na Akasema Allah Ta3ala:
{ وَإِذَا صُرِفَتْ أَبْصَارُهُمْ تِلْقَاءَ أصحاب النّار قَالُوا ربّنا لَا تَجْعَلْنَا مَعَ الْقَوْمِ الظَّالِمِينَ ﴿٤٧﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: { Na yanapo geuzwa macho yao kuelekea watu wa Motoni, wanasema: Mola Mlezi wetu! Usitujaalie kuwa pamoja na watu walio dhulumu (47)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Basi angalieni jibu La Allah kwa duaa yao na Akawambia Wao:
{ ادْخُلُوا الجنّة لَا خَوْفٌ عَلَيْكُمْ وَلَا أَنتُمْ تَحْزَنُونَ ﴿٤٩﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: { Ingieni Peponi, hapana khofu kwenu, wala hamtahuzunika (49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Na enye umma wa kislamu, Mcheni Allah na mujuwe kwamba hamuna pasi na Allah wali wala mwenye kuomboleza, Na mombeni Allah Kwa Rahma Yake, Na nani huyo ambae ana huruma zaidi kwenu kuliko Allah mpaka muleke kwake pasi na Allah hivi hamuogopi? Hivi hamuoni kwamba Allah Ameitikia na kujibu duaa ya watu wa alaaraf na waadi Yake ni haki na Yeye ndio Mwenye huruma zaidi kuliko wenye huruma?


Na eeeee yule ambae anamngoja Muhammad Mtume Wa Allah -Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- kwamba amshufaie yeye mbele ya mikono ya Allah basi huyo hapo Babake pamoja na watu wa alaar


af na wala hakumshufaia yeye Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi wa Alihi wa Salam- Wala Hakutarajia kwa mtoto wake kwamba amshufaie yeye mbele ya mikono ya Mola Mlezi Wake; Bali Amemomba Mola Mlezi Wake Pamoja Na Watu Wa Alaaraf Na Wakasema:
{ وَإِذَا صُرِفَتْ أَبْصَارُهُمْ تِلْقَاءَ أصحاب النّار قَالُوا ربّنا لَا تَجْعَلْنَا مَعَ الْقَوْمِ الظَّالِمِينَ ﴿٤٧﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: { Na yanapo geuzwa macho yao kuelekea watu wa Motoni, wanasema: Mola Mlezi wetu! Usitujaalie kuwa pamoja na watu walio dhulumu (47)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Alafu Akajibu Allah duaa yao watu wa alaaraf na Akawambia wao:
{ ادْخُلُوا الجنّة لَا خَوْفٌ عَلَيْكُمْ وَلَا أَنتُمْ تَحْزَنُونَ ﴿٤٩﴾ } صدق الله العظيم [الأعراف]
Allah Ta3ala Asema: { Ingieni Peponi, hapana khofu kwenu, wala hamtahuzunika (49)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alaaraf].


Allahuma nimebalighisha, Allahuma Shuhudia .. Basi wale ambao wameamini kati yenu pindi nikiwakumbusha kwa ma Aya ya Mola Mlezi wenu na niwabainishie wao basi inawazidisha wao imani basi inalainika ngozi zao alafu ina pata khushu nyoyo zao ndio itowe machozi macho yao kwa yale walio yajua kutokana na haki, Na ama vipofu Basi Wallahi lau nitam"onya kwa ma Aya zote za kitabu na nikazifafanua ufafanuzi mku basi yeye atazitupa zote nyuma ya mngongo wake hata kama ziko wazi na baini kwenye Bayana ya haki, Na sababu kufitinika kwake ni kwamba yeye yuwajua hadithi ama riwaya imekhalifu hi aya ambao iko wazi muhakam basi anaona apendele kushika kwa ile hadithi amabo inakhalifu na anasma:" Hakika ya Al'Quran haijuwi taawil yake ispokua Allah na inatutosha kwa yale tulio yakuta kwa salafu wetu wema kwani je wewe wajua zaidi ewe Nasser Muhammad Al'Yamani ama wao? ". Alafu twarudisha jibu kwake: Lakini mimi nakuhoji kwa ma aya ambazo ni muhakam ziko wazi maana yake nazo ni msingi wa kitabu hakanushi kwa yale yalio kuja ndani yake ispokua yule kwenye moyo wake kuna zaigh ukanushaji kutokana na haki, Basi afwate fitna ilio wekwa katika ma hadithi na ma riwaya za fitna ambazo zinakuja zinakhalifu kwa ma aya ya kitabu ambazo ni muhakamat ziko wazi maana yake na mwisho wake jahanam na wale walio mfwata na mwisho muovu.


Lakini mimi natoa Qasam kiapo kwa Allah lau ile aya imekuja inatabikiana na hadithi ambao yeye ameishikilia nayo ingempendeza na angeishikilia na akeifanaya kama ushahidi ju ya ile hadithi, Lakini ikija imekhalifu kwa ile hadithi ambao ameishikilia basi hapo inamchukiza na anasema: "Hajuwi taawil yake ispokua Allah" Pamoja yakua ni muhakam iko wazi maana yake katika ma aya ya kitabu ambazo ni muhakam iko wazi maana yake ni katika msingi wa kitabu wala sio katika zilio fanana mifano! Tallahi hangali kwa Bayana za Nasser Muhammad Al'Yamani mwanachuoni ama jahili ispokua itabainika kwake haki, Lakini bala ni kwamba yeye pamoja ya kwamba imekubali akili yake ispokua wengi hana yakini kwa ma aya za Mola Mlezi wake pamoja ya uwazi wake sana!

Na enye kaumu enye wenye ulimi wa kiarabu baini hakika Al'Quran ni kiarabu Ameituma Allah kwa ulimi wa kiarabu baini ili iibaini kwenu yale munao ogopa, Na Akasma Allah Ta3ala:
{ وَمَا أَرْسَلْنَا مِن رَّسُولٍ إِلَّا بِلِسَانِ قَوْمِهِ لِيُبَيِّنَ لَهُمْ } صدق الله العظيم [إبراهيم:4]
Allah Ta3ala Asema: { Na hatukutuma Mtume ispokua kwa ulimi wa kaumu yake ili abainishe kwao} Sadaqa Allah Al3adhim [Ibrahim:4].


Na hivo hivo Al'Quran Al3adhim kwanini hamufahamu muhakam yake basi nayo sio kiajemi; Bali ni kiarabu baini? Na Akasema Allah Ta3ala:
{ وَلَقَدْ نَعْلَمُ أنّهم يَقُولُونَ إنّما يُعَلِّمُهُ بَشَرٌ لِّسَانُ الَّذِي يُلْحِدُونَ إِلَيْهِ أَعْجَمِيٌّ وَهَٰذَا لِسَانٌ عربيّ مبين ﴿١٠٣﴾ } صدق الله العظيم [النحل]
Allah Ta3ala Asema: { Na Sisi hakika tunajua kwamba wanasema: Yuko mtu anaye mfundisha. Lugha ya huyo wanaye muelekezea ni ya kigeni, na hii ni lugha ya Kiarabu mbayana (103)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnahl].


Lakini nyinyi mumeifanya ni kiajami mukaikanusha na mukasema ju ya Allah zurr na buhtan kwamba haijuwi tafsiri ya Al'Quran ispokua Allah, Na wala hakusema Allah hivo na mukazua ju ya Allah urongo na nyinyi munajua kwamb


a Yeye Hajasema hivo; Bali Amesema Kuwambia nyinyi kwamba kunao ma aya ambazo ni muhakamat ziko wazi maana yake baini zaonekana nazo ni msingi wa kitabu anzijua na anazifahamu mwanachuoni na jahili kila mwenye ulimi wa kiarabu baini, Na hizo ndio aya nyingi katika kitabu kwa asili tisini kwa miamoja na zingine ni mifano nazo ni kidogo sio ispokua kukurubia kumi kwa miamoja awu kidogo kuliko kumi kwa miamoja basi hizo ndio aya ambazo ni mifano hajuwi taawil yake ispokua Allah nazo ni kidogo, Lakini nyinyi mumeifanya Al'Quran yote haijuwi tafsiri yake ispokua Allah, Lakini Al'Imam Al'Mahdi wa kweli kutoka kwa Mola Mlezi wenu hajawahoji ispokua kwa ma aya ambazo ni muhakamat ziko wazi maana yake baini anazijua na anazifahamu kila mwenye kutadabar kupeleleza yale yalio kuja ndani yake kutoka kwa Mola Mlezi wake hakanushi na yale yalio kuja ndani yake ispokua yule kwenye moyo wake zaigh ukanushaji kutokana na haki ilio baini.


Na enye ma3ashara ya ma anssar kuweni katika wanao yakinisha wala musiwe katika wale ambao wao kwa ma aya za Mola Mlezi wao hawayakinishi alafu hawayakinishi ila baada iyanguke ju yao kauli na kutokezea "Aldaba", Na hivo hivo Amesema Allah Ta3ala kwamba nyinyi hamujamkadhibu kwa yule anae wahoji kwa ma aya za Mola Mlezi wenu na wala hamukumsadiki na sababu ni kua hakuna yakini kwa ma aya za Allah ambazo nawahoji nazo katika kitabu, Na Akasema Allah Ta3ala:
{ وَإِنَّهُ لَهُدًى وَرَحْمَةٌ لِّلْمُؤْمِنِينَ ﴿٧٧﴾ إِنَّ ربّك يَقْضِي بَيْنَهُم بِحُكْمِهِ وَهُوَ الْعَزِيزُ الْعَلِيمُ ﴿٧٨﴾ فَتَوَكَّلْ عَلَى اللَّهِ إنّك عَلَى الحقّ الْمُبِينِ ﴿٧٩﴾ أنّك لَا تُسْمِعُ الْمَوْتَىٰ وَلَا تُسْمِعُ الصُّمَّ الدُّعَاءَ إِذَا وَلَّوْا مُدْبِرِينَ ﴿٨٠﴾ وَمَا أَنتَ بِهَادِي الْعُمْيِ عَن ضَلَالَتِهِمْ إِن تُسْمِعُ إِلَّا مَن يُؤْمِنُ بِآيَاتِنَا فَهُم مُّسْلِمُونَ ﴿٨١﴾ وَإِذَا وَقَعَ الْقَوْلُ عَلَيْهِمْ أَخْرَجْنَا لَهُمْ دَابَّةً مِّنَ الْأَرْضِ تُكَلِّمُهُمْ أَنَّ النّاس كَانُوا بِآيَاتِنَا لَا يُوقِنُونَ ﴿٨٢﴾ } صدق الله العظيم [النمل]
Allah Ta3ala Asema: { Nayo hakika ni Uwongofu na Rehema kwa Waumini (77) Hakika Mola wako Mlezi atawahukumu kwa hukumu yake, naye ni Mwenye nguvu Mjuzi (78) Basi mtegemee Mweneyezi Mungu; hakika wewe uko juu ya Haki iliyo wazi (79) Kwa hakika wewe huwezi kuwafanya maiti wasikie, wala kuwafanya viziwi wasikie wito, wanapo kwisha geuka kwenda zao (80) Wala huwezi kuwaongoa vipofu waache upotovu wao. Huwezi kuwafanya wasikie isipo kuwa wenye kuziamini Ishara zetu; na hao ndio wat'iifu (81) Na itapo waangukia kauli juu yao, tutawatolea mnyama katika ardhi atakaye wasemeza, ya kuwa watu walikuwa hawana na yakini na Ishara zetu (82)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].




Na Salam Ju Ya Mitume, Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin..
Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المُرسلين، والحمدُ لله ربّ العالمين..
أخوكم الإمام ناصر محمد اليماني.
________________________