Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
*الإمام ناصر محمد اليماني*
09 - ربيع الثاني - 1440 هـ
16 - 12 - 2018 مـ
12:50 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=36451

ــــــــــــــــــــــــ


*بيانٌ هامٌ وعامٌ للمسلمين والعالمين أجمعين وموعظةٌ فقط للذين يتفكّرون بعقولهم فيرجحون العقل على النقل..*
Bayana Muhimu Na Kwa Waislamu Wa Kawaida Na Walimwengu Wote Na Mawaidha Peke Kwa Wale Watafakari Kwa Akili Yao Basi Wanfwata Akili Kuliko ju Kupita Nukulu mafundisho..


Bismillah Al'Rahman Al'Rahim, Na Sala Na Salam Ju Ya Aliokhitimisha Ma Nabi Na Mitume Nabi Ambae Sio Msomi Muhammad Mtume Wa Allah, Enyi Mulio Amini Mswalieni Ju Yake Na Mutowe Salamu Kusalimu, Ama Baada Ya Hapo..


قال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وعلى آله الطيبين وعلى جميع المؤمنين وأسلّم تسليماً: [[ أبشركم بالمهديّ يبعث على اختلاف من الناس وزلازل فيملأ الأرض قسطاً وعدلاً كما ملئت جوراً وظلماً ]] صدق عليه الصلاة والسلام،
Amisema Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Walio Wazuri Na Waumini Wote Na Toa Salam Kusalimu:[[Nawabashiria Kwa Al'Mahdi Atatumilizwa na Watu wako kwenye kukhitilifiana na zilzala basi ataeneza Ardhi Usawa na Uwadilifu kama vile kulivojawa maonevu na udhalimu]]


Alafu Tunasmama kuipitisha hi hadithi katika Muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim je hio hadithi ya kweli.


Wanakhitilifiana waumini baina yao na wanafwata khatua za shetani TRAMP za kuendelea kuwana baina yao ili kudhufisha nguvu yao kuanda kutangaza mapinduzi ya rabii wakati wa upepo mzuri ya kiabrania ili kugeuza mashariki ya kati mpya, Ndio Atamtumiza Allah Al'Imam Al'Mahdi ili aondoshe khitilafu zao na madhehebu yao na akanushe viyama vyao ispokua chama kimeona ili kulinda Ardhi yao na irdhi yao na kheri yao, Basi ikiwa hi hadithi ni ya kweli basi hatimai tutampata Allah Anawahutubia wale ambao walio amini na kuwaonya kwamba wasifwate ramani ya njia y shetani maluni TRAMP na marafiki zake, Alafu mutapata jibu kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَمِنَ النَّاسِ مَن يُعْجِبُكَ قَوْلُهُ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَيُشْهِدُ اللَّـهَ عَلَىٰ مَا فِي قَلْبِهِ وَهُوَ أَلَدُّ الْخِصَامِ﴿٢٠٤﴾ وَإِذَا تَوَلَّىٰ سَعَىٰ فِي الْأَرْضِ لِيُفْسِدَ فِيهَا وَيُهْلِكَ الْحَرْثَ وَالنَّسْلَ ۗ وَاللَّـهُ لَا يُحِبُّ الْفَسَادَ ﴿٢٠٥﴾ وَإِذَا قِيلَ لَهُ اتَّقِ اللَّـهَ أَخَذَتْهُ الْعِزَّةُ بِالْإِثْمِ ۚ فَحَسْبُهُ جَهَنَّمُ ۚ وَلَبِئْسَ الْمِهَادُ ﴿٢٠٦﴾ وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْرِي نَفْسَهُ ابْتِغَاءَ مَرْضَاتِ اللَّـهِ ۗ وَاللَّـهُ رَءُوفٌ بِالْعِبَادِ ﴿٢٠٧﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿٢٠٨﴾ فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴿٢٠٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].
Allah Ta3ala Asema:{ Na katika watu yupo yule ambaye maneno yake kwa maisha ya kidunia hukufurahisha; naye humshuhudisha Mwenyezi Mungu kwa yaliyomo moyoni mwake, na hali yeye ndiye mkubwa wa ukhasimu (204) Na anapo tawala hufanya juhudi katika nchi kwa kufisidi humo na kuteketeza mimea na viumbe. Na Mwenyezi Mungu hapendi ufisadi (205) Na akiambiwa: Mwogope Mwenyezi Mungu, hupandwa na mori wa kutenda madhambi. Basi huyo inamtosha Jahannam. Paovu mno hapo kwa mapumziko (206) Na katika watu yupo ambaye huiuza nafsi yake kwa kutaka radhi za Mwenyezi Mungu; na Mwenyezi Mungu ni Mpole kwa waja wake (207) Enyi mlio amini! Ingieni katika Uislamu kwa ukamilifu, wala msifuate nyayo za She'tani; hakika yeye kwenu ni adui aliye wazi (208) Na ikiwa mkateleza baada ya kukufikieni hoja zilizo wazi, basi jueni kuwa Mwenyezi Mungu ni Mwenye nguvu na Mwenye hikima (209)} Sadaqa Allah Al3adhim [Albaqara].


Kwahivo kutokana na Aya na Hadithi ya kweli inabainika kwa watu wote kua waumini pindi wakikanusha kuhusu kuingia katika uwislamu wote ili ahukumu baina yao kwa yale wanao khitilifiana ndani yake basi hatimai Anamdhihirisha Allah Khalifa Wake ju ya waumini na ma kafiri kwa ma ishara ya adhabu chungu, Na hivo kwakua yeye ni "Al'Mahdi Al'Muntadhar" Muongozi Anae'ngoj


ewa Khalifa Wa Allah katika Ardhi, Na Mutapata jibu kwenye muhakam ya ukumubusho kwenye kauli yake Allah Ta3ala:
{وَإِن مِّن قَرْيَةٍ إِلَّا نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا ۚ كَانَ ذَٰلِكَ فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا ﴿٥٨﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3ala Asema: { Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza kabla ya Siku ya Kiyama, au tutaupa adhabu kali. Haya yamekwisha andikwa katika Kitabu (58)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa]


Alafu suali lajiweka lenyewe ju ya Al'Quran Al3adhim: Basi hapana budi kua mji ya watu wa Ardhi na vijiji vake imejawa na maonevu na udhalimu inatafautiana? Na tunawacha jibu kutoka Kwa Mola Mlezi Wa Walimwengu Kutoka Kwa Muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran Al3adhim, Amesema Allah Ta3ala:
{وَمَا كَانَ رَبُّكَ مُهْلِكَ الْقُرَىٰ حَتَّىٰ يَبْعَثَ فِي أُمِّهَا رَسُولًا يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِنَا ۚ وَمَا كُنَّا مُهْلِكِي الْقُرَىٰ إِلَّا وَأَهْلُهَا ظَالِمُونَ ﴿٥٩﴾} صدق الله العظيم [القصص].
Allah Ta3ala Asema: { Na Mola wako Mlezi haangamizi miji mpaka ampeleke Mtume katika miji yake mikuu awasomee Ishara zetu. Wala hatuiangamizi miji mpaka watu wake wawe madhaalimu (59)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas].


Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَمَا كَانَ رَبُّكَ لِيُهْلِكَ الْقُرَىٰ بِظُلْمٍ وَأَهْلُهَا مُصْلِحُونَ ﴿١١٧﴾} صدق الله العظيم [هود].
{ Wala hakuwa Mola wako Mlezi wa kuihiliki miji kwa dhulma tu na hali watu wake ni watenda mema (117)} Sadaqa Allah Al3adhim [Hud].



Basi mcheni Allah enyi ma3ashara ya miji ya waislamu na makafiri basi hakika imekurubia kwenu adhabu ya siku kuu kwa sababu kua vijiji venu kumejawa na maonevu na dhulma inatafautiana. Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَمَا كُنَّا مُهْلِكِي الْقُرَىٰ إِلَّا وَأَهْلُهَا ظَالِمُونَ ﴿٥٩﴾} صدق الله العظيم [القصص].
Allah Ta3ala Asema: {Wala hatuiangamizi miji mpaka watu wake wawe madhaalimu (59)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alqasas].


Na ndio sio dhulma ya wahalifu ju ya nafsi zao ni sawa kwajili adhabu ni katika kuangamiza na adhabu kwa roho na kinacho milikiwa kwajili Al'Quran Al3adhim ni ujumbe wa watu wote kusadikisha kwa kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِن مِّن قَرْيَةٍ إِلَّا نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا ۚ كَانَ ذَٰلِكَ فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا ﴿٥٨﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].
Allah Ta3ala Asema: { Na hapana mji wowote ila Sisi tutauteketeza kabla ya Siku ya Kiyama, au tutaupa adhabu kali. Haya yamekwisha andikwa katika Kitabu (58)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alisraa]


Na nacho taka kuwaidhia nayo enye ma3ashara ya wanazuoni wa waislamu ni musmane kwajili ya Allah wawili wawili na moja moja alafu mutafakari kwa kutumia akili zenu, Natoa Qasam kiapo Kwa Allah hakika mutapata akili zenu zinawapa fatwa kwa haki kwamba hakika nyinyi ndio madhalimu, Na nawahadharisha baina mikono ya adhabu kali imekuja kadara yake katika kitabu kilio andikwa kusadikisha kauli ya Allah Ta3ala:
{قُلْ إِنَّمَا أَعِظُكُم بِوَاحِدَةٍ ۖ أَن تَقُومُوا لِلَّـهِ مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ ثُمَّ تَتَفَكَّرُوا ۚ مَا بِصَاحِبِكُم مِّن جِنَّةٍ ۚإِنْ هُوَ إِلَّا نَذِيرٌ لَّكُم بَيْنَ يَدَيْ عَذَابٍ شَدِيدٍ ﴿٤٦﴾} صدق الله العظيم [سبأ].
Allah Ta3ala Asema: { Sema: Mimi nakunasihini kwa jambo moja tu - ya kwamba msimame kwa ajili ya Mwenyezi Mungu, wawili-wawili na mmoja-mmoja; kisha mfikiri. Mwenzenu huyu hana wazimu. Yeye si chochote ila ni Mwonyaji kwenu kabla ya kufika adhabu kali (46)}


Na enyi ma3ashara ya waumini jiokoweni nafsi zenu kutokana na adhabu ya siku adhimu itawajieni ghafla itapiga kila mahali kwasababu ya kuaasi kwenu na kukanusha kuhusu hukmu ya Allah Al'Quran Al3adhim na kuitikia hukumu ya twaghut na Akaondosha Allah Rahma kwa nyoyo zenu baadhi yenu ju ya baadhi, Na kumbukeni kauli ya Allah Ta3ala:
{إِن نَّشَأْ نُنَزِّلْ عَلَيْهِم مِّنَ السَّمَاءِ آيَةً فَظَلَّتْ أَعْنَاقُهُمْ لَهَا خَاضِعِينَ ﴿٤﴾} صدق الله العظيم [الشعراء].
Allah Ta3ala Asema: { Tunge penda tungeli wateremshia kutoka mbinguni Ishara zikanyenyekea shingo zao(4)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alshuaraa].


Na labda wanataka wanazuoni wa waislamu kusema:" Sisi hatusubiri "Mahdiyan Muntadharan" Mon


gozi anae ngojewa jina lake Nasser Muhammad". Alafu anarudisha jibu kwao Al'Mahdi Al'Muntadhar: Hatimai nitawalazimisha kwa utawala wa ilimu baini kwamba mutambuwe nyote kua Allah Anamtumiliza Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad, Basi hivi ndio yatakiwa iwe akida ya kila mwislamu kwamba Allah Hatatumiliza Al'Mahdi Al'Muntadhar Mtume mpya kwa kitabu kipya, Basi atakae kuitakidi kwamba Allah Atatumiliza Al'Mahdi Al'Muntadhar Nabi Mpya kwa kitabu kipya basi amekufuru kwa kauli Ya Allah Ta3ala:
{مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا ﴿٤٠﴾} صدق الله العظيم [الأحزاب].
Allah Ta3ala Asema: { Muhammad si baba wa yeyote katika wanaume wenu, bali ni Mtume wa Mwenyezi Mungu na Mwisho wa Manabii, na Mwenyezi Mungu ni Mjuzi wa kila kitu(40)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahzab].


Kwahivo enye ma3ashara ya waislamu je munaitakidi kwamba Allah Anamtumiliza Al'Mahdi Al'Muntadhar ni Nabi kwa kitabu kipya? Basi mcheni Allah( Bali Anamtumiliza Allah Mja Wake na Khalifa Wake Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad yani anawahoji kwa namna ile ile ya kujua basira ambao amewahoji nayo Muhammad Mtume wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam Kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{قُلْ هَـٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّـهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَسُبْحَانَ اللَّـهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿١٠٨﴾} صدق الله العظيم [يوسف]،
Allah Ta3ala Asema: { Sema hi ndio njia yangu nalingania kwa Allah kwa kujua mimi na alie nifwata na Subhana Ametukuka Allah wala mimi sio katika washirikina (108)} Sadaqa Allah Al3adhim [Yusuf],
Ama mwataka Atumilize Allah Al'Mahdi Al'Muntadhar mzushi wala sio mfwataji wa Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam?


Na mwisho wa bayana yangu hi nasema yale Alio Niamirisha Allah niwambie nyinyi
{وَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّـهِ سَيُرِيكُمْ آيَاتِهِ فَتَعْرِفُونَهَا ۚ وَمَا رَبُّكَ بِغَافِلٍ عَمَّا تَعْمَلُونَ ﴿٩٣﴾} صدق الله العظيم [النمل]
{ Na Sema Alhamdulillah Atawaonesha ishara zake na mutazijua na Hakua Mola Mlezi wako ni mwenye kughafilika kwa yale munao yafanya(93)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alnaml].



Na utaona je hio ni maafa ya asili kama munavozua! Na mutaona kutokana adhabu inaoangamiza ambao Atawaletea Allah Ghafla nayo kutoka pahala hamutojua, Na Ama Adhabu ya chini basi huwenda Akawaonya nayo kutoka sehemu munajua, Na haitowazidishia ispokua rijsi ju ya rijsi yenu, Basi mutasema ni maafa ya asili na munafanya kiburi kusema adhabu ya Allah Al'Wahid Al'Qahar kwa sababu ya kukanusha kwa mlinganizi wa Allah Khalifa Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani.


Basi ifikisheni Bayana yangu hi enyi ma3ashara ya ma Anssar Al'Sabiqin Al'Akhyar kupitia tekniko ya ulimwengu kwa kila mwanachuoni, Na kuweni mashahidi na mungoje na mimi nagoja pamoja na nyinyi, Na ama wale ambao wanaficha ma ishara za kusadikisha basi Allah Atazionesha, Ama wanataka kuzima Nur ya Allah? Lakini Allah Atafikisha Jambo Lake lakini wengi wa watu hawajuwi, Basi musiwe na unyonge enyi jeshi la kielektroniki ya ulimwengu adhimu wala musiskitike ili muwe na udhru kwa Mola Mlezi wenu na huwenda wakawa wacha Mungu, Basi kiasi gani nimewanasihi waislamu na makafiri walio potea lakini wao hawapendi mwenye kuwanasihi, Na kwa kila moja daraja tafauti kwa yale walio yatenda Wala Hadhulumu Mola Mlezi Wako Yoyote, Basi ikiwa munao vitimbi basi nifanyieni vitimbi kutoka kwa ju au kwa bahari awu kwa bara, Mumfanyie vitimbi Khalifa Wa Allah ikiwa Nyinyi munaweza mpaka tuone nani mwepesi kufanya vitimbi, Na Mutapata Jibu Katika Kitabu kwenye Kauli Ya Allah Ta3ala:
{وَإِذَا أَذَقْنَا النَّاسَ رَحْمَةً مِّن بَعْدِ ضَرَّاءَ مَسَّتْهُمْ إِذَا لَهُم مَّكْرٌ فِي آيَاتِنَا ۚ قُلِ اللَّـهُ أَسْرَعُ مَكْرًا ۚ إِنَّ رُسُلَنَا يَكْتُبُونَ مَا تَمْكُرُونَ ﴿٢١﴾} صدق الله العظيم [يونس].
Allah Ta3ala Asema: { Na tunapo waonjesha watu rehema baada ya shida waliyo ipata, utawaona wana vitimbi kuzipangia Ishara zetu. Sema: Mwenyezi Mungu ni Mwepesi zaidi wa kupanga. Hakika wajumbe wetu wanayaandika mnayo yapanga (21)} Sadaqa Al


lah Al3adhim [Yunus].


Na kusadikisha Kauli Ya Allah Ta3ala:
{أَمْ يُرِيدُونَ كَيْدًا ۖ فَالَّذِينَ كَفَرُوا هُمُ الْمَكِيدُونَ ﴿٤٢﴾} صدق الله العظيم [الطور].
Allah Ta3ala Asema: { Au wanataka kufanya vitimbi tu? Lakini hao walio kufuru ndio watakao tegeka } Sadaqa Allah Al3adhim [Altur].


Na mwisho ya Bayana Yangu Hi Nawakumbusha Mashetani Wakuu Wa Kibinadamu Kwa Kauli Ya Allah Ta3ala:
{ اقْتَرَبَتِ السَّاعَةُ وَانشَقَّ الْقَمَرُ ﴿١﴾ وَإِن يَرَوْا آيَةً يُعْرِضُوا وَيَقُولُوا سِحْرٌ مُّسْتَمِرٌّ ﴿٢﴾ وَكَذَّبُوا وَاتَّبَعُوا أَهْوَاءَهُمْ ۚ وَكُلُّ أَمْرٍ مُّسْتَقِرٌّ﴿٣﴾ وَلَقَدْ جَاءَهُم مِّنَ الْأَنبَاءِ مَا فِيهِ مُزْدَجَرٌ ﴿٤﴾ حِكْمَةٌ بَالِغَةٌ ۖفَمَا تُغْنِ النُّذُرُ ﴿٥﴾ فَتَوَلَّ عَنْهُمْ ۘ يَوْمَ يَدْعُ الدَّاعِ إِلَىٰ شَيْءٍ نُّكُرٍ﴿٦﴾ خُشَّعًا أَبْصَارُهُمْ يَخْرُجُونَ مِنَ الْأَجْدَاثِ كَأَنَّهُمْ جَرَادٌ مُّنتَشِرٌ﴿٧﴾ مُّهْطِعِينَ إِلَى الدَّاعِ ۖ يَقُولُ الْكَافِرُونَ هَـٰذَا يَوْمٌ عَسِرٌ ﴿٨﴾ كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ فَكَذَّبُوا عَبْدَنَا وَقَالُوا مَجْنُونٌ وَازْدُجِرَ﴿٩﴾ فَدَعَا رَبَّهُ أَنِّي مَغْلُوبٌ فَانتَصِرْ ﴿١٠﴾ فَفَتَحْنَا أَبْوَابَ السَّمَاءِ بِمَاءٍ مُّنْهَمِرٍ ﴿١١﴾ وَفَجَّرْنَا الْأَرْضَ عُيُونًا فَالْتَقَى الْمَاءُ عَلَىٰ أَمْرٍ قَدْ قُدِرَ ﴿١٢﴾ وَحَمَلْنَاهُ عَلَىٰ ذَاتِ أَلْوَاحٍ وَدُسُرٍ ﴿١٣﴾ تَجْرِي بِأَعْيُنِنَا جَزَاءً لِّمَن كَانَ كُفِرَ ﴿١٤﴾ وَلَقَد تَّرَكْنَاهَا آيَةً فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ﴿١٥﴾ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴿١٦﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿١٧﴾ كَذَّبَتْ عَادٌ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ﴿١٨﴾ إِنَّا أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ رِيحًا صَرْصَرًا فِي يَوْمِ نَحْسٍ مُّسْتَمِرٍّ﴿١٩﴾ تَنزِعُ النَّاسَ كَأَنَّهُمْ أَعْجَازُ نَخْلٍ مُّنقَعِرٍ ﴿٢٠﴾ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴿٢١﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ﴿٢٢﴾ كَذَّبَتْ ثَمُودُ بِالنُّذُرِ ﴿٢٣﴾ فَقَالُوا أَبَشَرًا مِّنَّا وَاحِدًا نَّتَّبِعُهُ إِنَّا إِذًا لَّفِي ضَلَالٍ وَسُعُرٍ ﴿٢٤﴾ أَأُلْقِيَ الذِّكْرُ عَلَيْهِ مِن بَيْنِنَا بَلْ هُوَ كَذَّابٌ أَشِرٌ ﴿٢٥﴾ سَيَعْلَمُونَ غَدًا مَّنِ الْكَذَّابُ الْأَشِرُ ﴿٢٦﴾ إِنَّا مُرْسِلُو النَّاقَةِ فِتْنَةً لَّهُمْ فَارْتَقِبْهُمْ وَاصْطَبِرْ ﴿٢٧﴾ وَنَبِّئْهُمْ أَنَّ الْمَاءَ قِسْمَةٌ بَيْنَهُمْ ۖ كُلُّ شِرْبٍ مُّحْتَضَرٌ ﴿٢٨﴾ فَنَادَوْا صَاحِبَهُمْ فَتَعَاطَىٰ فَعَقَرَ ﴿٢٩﴾ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴿٣٠﴾ إِنَّا أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ صَيْحَةً وَاحِدَةً فَكَانُوا كَهَشِيمِ الْمُحْتَظِرِ ﴿٣١﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿٣٢﴾ كَذَّبَتْ قَوْمُ لُوطٍ بِالنُّذُرِ ﴿٣٣﴾ إِنَّا أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ حَاصِبًا إِلَّا آلَ لُوطٍ ۖ نَّجَّيْنَاهُم بِسَحَرٍ ﴿٣٤﴾ نِّعْمَةً مِّنْ عِندِنَا ۚ كَذَٰلِكَ نَجْزِي مَن شَكَرَ ﴿٣٥﴾ وَلَقَدْ أَنذَرَهُم بَطْشَتَنَا فَتَمَارَوْا بِالنُّذُرِ ﴿٣٦﴾ وَلَقَدْ رَاوَدُوهُ عَن ضَيْفِهِ فَطَمَسْنَا أَعْيُنَهُمْ فَذُوقُوا عَذَابِي وَنُذُرِ ﴿٣٧﴾ وَلَقَدْ صَبَّحَهُم بُكْرَةً عَذَابٌ مُّسْتَقِرٌّ ﴿٣٨﴾ فَذُوقُوا عَذَابِي وَنُذُرِ﴿٣٩﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿٤٠﴾ وَلَقَدْ جَاءَ آلَ فِرْعَوْنَ النُّذُرُ ﴿٤١﴾ كَذَّبُوا بِآيَاتِنَا كُلِّهَا فَأَخَذْنَاهُمْ أَخْذَ عَزِيزٍ مُّقْتَدِرٍ ﴿٤٢﴾ أَكُفَّارُكُمْ خَيْرٌ مِّنْ أُولَـٰئِكُمْ أَمْ لَكُم بَرَاءَةٌ فِي الزُّبُرِ ﴿٤٣﴾ أَمْ يَقُولُونَ نَحْنُ جَمِيعٌ مُّنتَصِرٌ ﴿٤٤﴾ سَيُهْزَمُ الْجَمْعُ وَيُوَلُّونَ الدُّبُرَ ﴿٤٥﴾ بَلِ السَّاعَةُ مَوْعِدُهُمْ وَالسَّاعَةُ أَدْهَىٰ وَأَمَرُّ ﴿٤٦﴾ إِنَّ الْمُجْرِمِينَ فِي ضَلَالٍ وَسُعُرٍ ﴿٤٧﴾ يَوْمَ يُسْحَبُونَ فِي النَّارِ عَلَىٰ وُجُوهِهِمْ ذُوقُوا مَسَّ سَقَرَ ﴿٤٨﴾ إِنَّا كُلَّ شَيْءٍ خَلَقْنَاهُ بِقَدَرٍ ﴿٤٩﴾ وَمَا أَمْرُنَا إِلَّا وَاحِدَةٌ كَلَمْحٍ بِالْبَصَرِ ﴿٥٠﴾ وَلَقَدْ أَهْلَكْنَا أَشْيَاعَكُمْ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿٥١﴾ وَكُلُّ شَيْءٍ فَعَلُوهُ فِي الزُّبُرِ﴿٥٢﴾ وَكُلُّ صَغِيرٍ وَكَبِيرٍ مُّسْتَطَرٌ ﴿٥٣﴾ إِنَّ الْمُتَّقِينَ فِي جَنَّاتٍ وَنَهَرٍ ﴿٥٤﴾ فِي مَقْعَدِ صِدْقٍ عِندَ مَلِيكٍ مُّقْتَدِرٍ ﴿٥٥﴾ }
صدق الله العظيم [القمر].
Allah Ta3ala Asema: { Saa imekaribia, na mwezi umepasuka (1) Na wakiona Ishara hugeuka upande na husema: Huu uchawi tu unazidi kuendelea (2) Na wamekanusha na wamefuata matamanio yao. Na kila jambo ni lenye kuthibiti (3) Na bila ya shaka zimewajia khabari zenye makaripio (4) Hikima kaamili; laki


ni maonyo hayafai kitu (5) Basi jiepushe nao. Siku atakapo ita mwitaji kuliendea jambo linalo chusha (6) Macho yao yatainama; watatoka makaburini kama nzige walio tawanyika (7) Wanamkimbilia mwitaji, na makafiri wanasema: Hii ni siku ngumu (8) Kabla yao kaumu ya Nuhu walikanusha; wakamkanusha mja wetu, na wakasema ni mwendawazimu, na akakaripiwa (9) Basi akamwomba Mola wake Mlezi akasema: Kwa hakika mimi nimeshindwa, basi ninusuru (10) Basi tukaifungua milango ya mbingu kwa maji yanayo miminika (11) Na tukazipasua ardhi kwa chemchem, yakakutana maji kwa jambo lilio kadiriwa (12) Na tukamchukua kwenye safina ya mbao na kamba (13) Ikawa inakwenda kwa nadhari yetu, kuwa ni malipo kwa alivyo kuwa amekanushwa (14) Na bila ya shaka tuliiacha iwe ni Ishara. Lakini je, yupo anaye kumbuka (15) Basi ilikuwaje adhabu yangu, na maonyo yangu (16) Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kufahamika. Lakini yupo anaye kumbuka (17)Kina A'di walikanusha. Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu (18) Hakika Sisi tuliwapelekea upepo wa kimbunga katika siku korofi mfululizo (19) Ukiwang'oa watu kama vigogo vya mitende vilio ng'olewa (20) Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu (21) Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani nyepesi kufahamika; lakini yupo anaye kumbuka (22) Thamudi waliwakanusha Waonyaji (23) Wakasema: Ati tumfuate binaadamu mmoja katika sisi? Basi hivyo sisi tutakuwa katika upotofu na kichaa (24) Ni yeye tu aliye teremshiwa huo ukumbusho kati yetu sote? Bali huyu ni mwongo mwenye kiburi (25) Kesho watajua ni nani huyo mwongo mwenye kiburi (26) Hakika Sisi tutawapelekea ngamia jike ili kuwajaribu, basi watazame tu na ustahamili (27) Na waambie kwamba maji yatagawanywa baina yao; kila sehemu ya maji itahudhuriwa na aliye khusika (28) Basi wakamwita mtu wao akaja akamchinja (29) Basi ilikuwaje adhabu yangu na maonyo yangu (30) Hakika Sisi tuliwapelekea ukelele mmoja tu, wakawa kama mabuwa ya kujengea uwa (31) Na bila ya shaka Sisi tumeifanya Qur'ani iwe nyepesi kwa kukumbuka, lakini yupo akumbukaye (32) Kaumu Lut'i nao waliwakadhibisha Waonyaji (33) Hakika Sisi tukawapelekea kimbunga cha vijiwe, isipo kuwa wafuasi wa Lut'i. Hao tuliwaokoa karibu na alfajiri (34) Kwa neema inayo toka kwetu. Hivyo ndivyo tumlipavyo anaye shukuru (35) Na hakika yeye aliwaonya adhabu yetu; lakini wao waliyatilia shaka hayo maonyo (36) Na walimtaka awape wageni wake. Tukayapofua macho yao, na tukawaambia: Onjeni basi adhabu na maonyo yangu (37) Na iliwafikia wakati wa asubuhi adhabu yangu ya kuendelea (38) Basi onjeni adhabu na maonyo yangu (39) Na hakika tumeisahilisha Qur'ani kuikumbuka. Lakini yupo anaye kumbuka (40) Na Waonyaji waliwafikia watu wa Firauni (41) Walizikadhibisha Ishara zetu zote, nasi tukawashika kama anavyo shika Mwenye nguvu Mwenye uweza (42) Je! Makafiri wenu ni bora kuliko hao, au yameandikwa vitabuni kuwa nyinyi hamtiwi makosani (43) Au ndio wanasema: Sisi ni wengi tutashinda tu (44) Wingi wao huu utashindwa, na wao watasukumwa nyuma (45) Bali Saa ya Kiyama ndio miadi yao, na Saa hiyo ni nzito zaidi na chungu zaidi (46) Hakika wakosefu wamo katika upotofu na wazimu (47) Siku watakapo kokotwa Motoni kifudifudi waambiwe: Onjeni mguso wa Jahannamu (48) Kwa hakika Sisi tumekiumba kila kitu kwa kipimo (49) Na amri yetu haikuwa ila ni moja tu, kama kupepesa jicho (50) Na bila ya shaka tumekwisha waangamiza wenzenu. Lakini yupo anaye kumbuka (51) Na kila jambo walilo lifanya limo vitabuni (52) Na kila kidogo na kikubwa kimeandikwa (53) Hakika wachamngu watakuwa katika Mabustani na mito (54) Katika makalio ya haki kwa Mfalme Mwenye uweza (55)}
Sadaqa Allah Al3adhim [Alqamar].




Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Mahdi Al'Muntadhar Nasser Muhammad Al'Yamani.
خليفة الله وعبده المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني.
____________

اقتباس المشاركة 299609 من موضوع بيانٌ هامٌ وعامٌ للمسلمين والعالمين أجمعين وموعظةٌ فقط للذين يتفكّرون بعقولهم فيرجحون العقل على النقل ..


الإمام ناصر محمد اليماني
09 - ربيع الثاني - 1440 هـ
16 - 12 - 2018 مـ
12:50 صباحاً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )

[ لمتابعة رابط المشاركـة الأصليّة للبيان ]

https://nasser-alyamani.org/showthread.php?p=299600
ــــــــــــــــــــــــ


بيانٌ هامٌ وعامٌ للمسلمين والعالمين أجمعين وموعظةٌ فقط للذين يتفكّرون بعقولهم فيرجحون العقل على النقل ..

بسم الله الرحمن الرحيم، والصلاة والسلام على خاتم الأنبياء والمرسلين النبيّ الأميّ محمد رسول الله، يا أيها الذين آمنوا صلّوا عليه وسلّموا تسليماً، أمّا بعد..

قال محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وعلى آله الطيبين وعلى جميع المؤمنين وأسلّم تسليماً: [[ أبشركم بالمهديّ يبعث على اختلاف من الناس وزلازل فيملأ الأرض قسطاً وعدلاً كما ملئت جوراً وظلماً ]] صدق عليه الصلاة والسلام، فمن ثمّ نقوم بعرض هذا الحديث على محكم القرآن العظيم هل حقّاً سيختلف المؤمنون فيما بينهم ويتّبعون خطوات الشيطان ترامب لاستمرار القتال بينهم لإضعاف شوكتهم تمهيداً لإعلان ثورة الربيع العبري لتغيير شرق أوسطي جديد، ويبعث الله الإمام المهديّ ليُذهب خلافهم ومذاهبهم وينفي أحزابهم إلا الحزب الواحد للدفاع عن أرضهم وعرضهم وخيراتهم؟ وإذا كان هذا الحديث حقّاً فحتماً سنجد الله يخاطب الذين آمنوا فينذرهم بعدم اتّباع خارطة طريق الشيطان الرجيم ترامب وأوليائه، فمن ثم تجدون الجواب في محكم الكتاب القرآن العظيم في قول الله تعالى: {وَمِنَ النَّاسِ مَن يُعْجِبُكَ قَوْلُهُ فِي الْحَيَاةِ الدُّنْيَا وَيُشْهِدُ اللَّـهَ عَلَىٰ مَا فِي قَلْبِهِ وَهُوَ أَلَدُّ الْخِصَامِ﴿٢٠٤﴾ وَإِذَا تَوَلَّىٰ سَعَىٰ فِي الْأَرْضِ لِيُفْسِدَ فِيهَا وَيُهْلِكَ الْحَرْثَ وَالنَّسْلَ ۗ وَاللَّـهُ لَا يُحِبُّ الْفَسَادَ ﴿٢٠٥﴾ وَإِذَا قِيلَ لَهُ اتَّقِ اللَّـهَ أَخَذَتْهُ الْعِزَّةُ بِالْإِثْمِ ۚ فَحَسْبُهُ جَهَنَّمُ ۚ وَلَبِئْسَ الْمِهَادُ ﴿٢٠٦﴾ وَمِنَ النَّاسِ مَن يَشْرِي نَفْسَهُ ابْتِغَاءَ مَرْضَاتِ اللَّـهِ ۗ وَاللَّـهُ رَءُوفٌ بِالْعِبَادِ ﴿٢٠٧﴾ يَا أَيُّهَا الَّذِينَ آمَنُوا ادْخُلُوا فِي السِّلْمِ كَافَّةً وَلَا تَتَّبِعُوا خُطُوَاتِ الشَّيْطَانِ ۚ إِنَّهُ لَكُمْ عَدُوٌّ مُّبِينٌ ﴿٢٠٨﴾ فَإِن زَلَلْتُم مِّن بَعْدِ مَا جَاءَتْكُمُ الْبَيِّنَاتُ فَاعْلَمُوا أَنَّ اللَّـهَ عَزِيزٌ حَكِيمٌ ﴿٢٠٩﴾} صدق الله العظيم [البقرة].

إذاً من خلال الآية والحديث الحقّ يتبيّن للناس كافةً أنّ المؤمنين إذا أعرضوا عن الدخول في السلام كافةً ليحكم بينهم فيما كانوا فيه يختلفون فحتماً يُظهر الله خليفته على المؤمنين والكافرين بآيات العذاب الأليم، وذلك كونه المهديّ المنتظَر خليفة الله في الأرض، وتجدون الجواب في محكم الذكر في قول الله تعالى: {وَإِن مِّن قَرْيَةٍ إِلَّا نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا ۚ كَانَ ذَٰلِكَ فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا ﴿٥٨﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].

فمن ثمّ سؤالٌ يطرح نفسه على القرآن العظيم: فلا بدّ أنّ مدن أهل الأرض وقراها قد ملئت جوراً وظلماً متفاوتاً؟ ونترك الجواب من ربّ العالمين من محكم القرآن العظيم، قال الله تعالى: {وَمَا كَانَ رَبُّكَ مُهْلِكَ الْقُرَىٰ حَتَّىٰ يَبْعَثَ فِي أُمِّهَا رَسُولًا يَتْلُو عَلَيْهِمْ آيَاتِنَا ۚ وَمَا كُنَّا مُهْلِكِي الْقُرَىٰ إِلَّا وَأَهْلُهَا ظَالِمُونَ ﴿٥٩﴾} صدق الله العظيم [القصص].

وقال الله تعالى: {وَمَا كَانَ رَبُّكَ لِيُهْلِكَ الْقُرَىٰ بِظُلْمٍ وَأَهْلُهَا مُصْلِحُونَ ﴿١١٧﴾} صدق الله العظيم [هود].

فاتقوا الله يا معشر قرى المسلمين والكافرين فقد اقترب عليكم عذابُ يومٍ عظيمٍ بسبب أنّ قراكم ملئت جوراً وظلماً متفاوتاً. وقال الله تعالى: {وَمَا كُنَّا مُهْلِكِي الْقُرَىٰ إِلَّا وَأَهْلُهَا ظَالِمُونَ ﴿٥٩﴾} صدق الله العظيم [القصص].

ونعم ليس ظلم المجرمين لأنفسهم سواء لأنّ العذاب ما بين هلاكٍ وعذابٍ في الأرواح والممتلكات كون القرآن العظيم رسالة إلى الناس كافةً تصديقاً لقول الله تعالى: {وَإِن مِّن قَرْيَةٍ إِلَّا نَحْنُ مُهْلِكُوهَا قَبْلَ يَوْمِ الْقِيَامَةِ أَوْ مُعَذِّبُوهَا عَذَابًا شَدِيدًا ۚ كَانَ ذَٰلِكَ فِي الْكِتَابِ مَسْطُورًا ﴿٥٨﴾} صدق الله العظيم [الإسراء].

وما أريد أن أعظكم به يا معشر علماء المسلمين هو أن تقوموا لله مثنى وفرادى ثم تتفكّروا مستخدمين عقولكم، وأقسم بالله لتجدون عقولكم تفتيكم بالحقّ إنكم أنتم الظالمون، وأحذّركم بين يدي عذابٍ شديدٍ جاء قدره المقدور في الكتاب المسطور تصديقاً لقول الله تعالى: {قُلْ إِنَّمَا أَعِظُكُم بِوَاحِدَةٍ ۖ أَن تَقُومُوا لِلَّـهِ مَثْنَىٰ وَفُرَادَىٰ ثُمَّ تَتَفَكَّرُوا ۚ مَا بِصَاحِبِكُم مِّن جِنَّةٍ ۚإِنْ هُوَ إِلَّا نَذِيرٌ لَّكُم بَيْنَ يَدَيْ عَذَابٍ شَدِيدٍ ﴿٤٦﴾} صدق الله العظيم [سبأ].

ويا معشر المؤمنين أنقذوا أنفسكم من عذاب يومٍ عظيمٍ سوف يأتيكم بغتةً من كلّ مكانٍ بسبب عصيانكم والإعراض عن حكم الله القرآن العظيم والاستجابة لحكم الطاغوت ونزعَ الله الرحمة من قلوب بعضكم لبعضٍ، وتذكّروا قول الله تعالى: {إِن نَّشَأْ نُنَزِّلْ عَلَيْهِم مِّنَ السَّمَاءِ آيَةً فَظَلَّتْ أَعْنَاقُهُمْ لَهَا خَاضِعِينَ ﴿٤﴾} صدق الله العظيم [الشعراء].

ولربّما يودّ كافة علماء المسلمين أن يقولوا: "نحن لا ننتظر مهديّاً منتظراً اسمه ناصر محمد". فمن ثمّ يردّ عليهم المهديّ المنتظَر: حتماً سوف أُرغمكم بسلطان العلم المبين أن تعترفوا جميعاً أنّ الله يبعث المهديّ المنتظَر ناصرَ محمدٍ، فهكذا ينبغي أن تكون عقيدة كلّ مسلمٍ أنّ الله لن يبعث المهديّ المنتظَر رسولاً جديداً ولا بكتابٍ جديدٍ، فمن اعتقد أنّ الله يبعث المهديّ المنتظَر نبيّاً جديداً وبكتابٍ جديدٍ فقد كفر بقول الله تعالى: {مَّا كَانَ مُحَمَّدٌ أَبَا أَحَدٍ مِّن رِّجَالِكُمْ وَلَـٰكِن رَّسُولَ اللَّـهِ وَخَاتَمَ النَّبِيِّينَ ۗ وَكَانَ اللَّـهُ بِكُلِّ شَيْءٍ عَلِيمًا ﴿٤٠﴾} صدق الله العظيم [الأحزاب].

إذا يا معشر المسلمين هل تعتقدون أنّ الله يبعث المهديّ المنتظَر نبيّاً بكتابٍ جديدٍ؟ فاتقوا الله؛ بل يبعث الله عبده وخليفته المهديّ المنتظَر ناصرَ محمدٍ أي يحاجكم بذات البصيرة التي حاجكم بها محمدٌ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم تصديقاً لقول الله تعالى: {قُلْ هَـٰذِهِ سَبِيلِي أَدْعُو إِلَى اللَّـهِ ۚ عَلَىٰ بَصِيرَةٍ أَنَا وَمَنِ اتَّبَعَنِي ۖ وَسُبْحَانَ اللَّـهِ وَمَا أَنَا مِنَ الْمُشْرِكِينَ ﴿١٠٨﴾} صدق الله العظيم [يوسف]، أم تريدون أن يبعث الله المهديّ المنتظَر مُبتدعاً وليس مُتّبعاً لمحمدٍ رسول الله صلّى الله عليه وآله وسلّم؟

وختام بياني هذا أقول ما أمرنا الله أن نقوله لكم: {وَقُلِ الْحَمْدُ لِلَّـهِ سَيُرِيكُمْ آيَاتِهِ فَتَعْرِفُونَهَا ۚ وَمَا رَبُّكَ بِغَافِلٍ عَمَّا تَعْمَلُونَ ﴿٩٣﴾} صدق الله العظيم [النمل]، وسوف نرى هل هي مجرد كوارث طبيعيّة كما تفترون! وسوف ترون من العذاب المهلك الذي يباغتكم الله به من حيث لا تشعرون، وأمّا العذاب الأدنى فقد ينذركم به من حيث تشعرون، ولن يزيدكم إلا رجساً إلى رجسكم، فتقولون كوارث الطبيعة وتتكبرون أن تقولوا عذابُ الله الواحد القهّار بسبب الإعراض عن داعي الله الخليفة المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني.

فبلّغوا بياني هذا معشر الأنصار السابقين الأخيار عبر التقنيات العالميّة إلى كل عالِمٍ، وكونوا شاهدين فانتظروا إني معكم من المنتظرين، وأمّا الذين يُخفون من آيات التصديق فالله مبديها، أم يريدون أن يطفئوا نور الله؟ ولكن الله بالغ أمره ولكن أكثر الناس لا يعلمون، فلا تهنوا يا أيها الجيش الإلكتروني العالميّ العظيم ولا تستكينوا معذرةً إلى ربّكم ولعلهم يتقون، فلكم نصحت المسلمين والكافرين الضالين ولكنهم لا يحبّون الناصحين، ولكلٍ درجات مما عملوا ولا يظلم ربّك أحداً، وإن كان لكم كيدٌ فكيدون من الجوّ أو من البحر أو من البرّ، فلتكيدوا بخليفة الله إن كنتم قادرين حتى ننظر من أسرع مكراً، وتجدون الجواب في الكتاب في قول الله تعالى: {وَإِذَا أَذَقْنَا النَّاسَ رَحْمَةً مِّن بَعْدِ ضَرَّاءَ مَسَّتْهُمْ إِذَا لَهُم مَّكْرٌ فِي آيَاتِنَا ۚ قُلِ اللَّـهُ أَسْرَعُ مَكْرًا ۚ إِنَّ رُسُلَنَا يَكْتُبُونَ مَا تَمْكُرُونَ ﴿٢١﴾} صدق الله العظيم [يونس].

وتصديقاً لقول الله تعالى: {أَمْ يُرِيدُونَ كَيْدًا ۖ فَالَّذِينَ كَفَرُوا هُمُ الْمَكِيدُونَ ﴿٤٢﴾} صدق الله العظيم [الطور].

وختام بياني هذا أذكّر أكبر شياطين البشر بقول الله تعالى:
{ اقْتَرَبَتِ السَّاعَةُ وَانشَقَّ الْقَمَرُ ﴿١﴾ وَإِن يَرَوْا آيَةً يُعْرِضُوا وَيَقُولُوا سِحْرٌ مُّسْتَمِرٌّ ﴿٢﴾ وَكَذَّبُوا وَاتَّبَعُوا أَهْوَاءَهُمْ ۚ وَكُلُّ أَمْرٍ مُّسْتَقِرٌّ﴿٣﴾ وَلَقَدْ جَاءَهُم مِّنَ الْأَنبَاءِ مَا فِيهِ مُزْدَجَرٌ ﴿٤﴾ حِكْمَةٌ بَالِغَةٌ ۖفَمَا تُغْنِ النُّذُرُ ﴿٥﴾ فَتَوَلَّ عَنْهُمْ ۘ يَوْمَ يَدْعُ الدَّاعِ إِلَىٰ شَيْءٍ نُّكُرٍ﴿٦﴾ خُشَّعًا أَبْصَارُهُمْ يَخْرُجُونَ مِنَ الْأَجْدَاثِ كَأَنَّهُمْ جَرَادٌ مُّنتَشِرٌ﴿٧﴾ مُّهْطِعِينَ إِلَى الدَّاعِ ۖ يَقُولُ الْكَافِرُونَ هَـٰذَا يَوْمٌ عَسِرٌ ﴿٨﴾ كَذَّبَتْ قَبْلَهُمْ قَوْمُ نُوحٍ فَكَذَّبُوا عَبْدَنَا وَقَالُوا مَجْنُونٌ وَازْدُجِرَ﴿٩﴾ فَدَعَا رَبَّهُ أَنِّي مَغْلُوبٌ فَانتَصِرْ ﴿١٠﴾ فَفَتَحْنَا أَبْوَابَ السَّمَاءِ بِمَاءٍ مُّنْهَمِرٍ ﴿١١﴾ وَفَجَّرْنَا الْأَرْضَ عُيُونًا فَالْتَقَى الْمَاءُ عَلَىٰ أَمْرٍ قَدْ قُدِرَ ﴿١٢﴾ وَحَمَلْنَاهُ عَلَىٰ ذَاتِ أَلْوَاحٍ وَدُسُرٍ ﴿١٣﴾ تَجْرِي بِأَعْيُنِنَا جَزَاءً لِّمَن كَانَ كُفِرَ ﴿١٤﴾ وَلَقَد تَّرَكْنَاهَا آيَةً فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ﴿١٥﴾ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴿١٦﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿١٧﴾ كَذَّبَتْ عَادٌ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ﴿١٨﴾ إِنَّا أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ رِيحًا صَرْصَرًا فِي يَوْمِ نَحْسٍ مُّسْتَمِرٍّ﴿١٩﴾ تَنزِعُ النَّاسَ كَأَنَّهُمْ أَعْجَازُ نَخْلٍ مُّنقَعِرٍ ﴿٢٠﴾ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴿٢١﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ﴿٢٢﴾ كَذَّبَتْ ثَمُودُ بِالنُّذُرِ ﴿٢٣﴾ فَقَالُوا أَبَشَرًا مِّنَّا وَاحِدًا نَّتَّبِعُهُ إِنَّا إِذًا لَّفِي ضَلَالٍ وَسُعُرٍ ﴿٢٤﴾ أَأُلْقِيَ الذِّكْرُ عَلَيْهِ مِن بَيْنِنَا بَلْ هُوَ كَذَّابٌ أَشِرٌ ﴿٢٥﴾ سَيَعْلَمُونَ غَدًا مَّنِ الْكَذَّابُ الْأَشِرُ ﴿٢٦﴾ إِنَّا مُرْسِلُو النَّاقَةِ فِتْنَةً لَّهُمْ فَارْتَقِبْهُمْ وَاصْطَبِرْ ﴿٢٧﴾ وَنَبِّئْهُمْ أَنَّ الْمَاءَ قِسْمَةٌ بَيْنَهُمْ ۖ كُلُّ شِرْبٍ مُّحْتَضَرٌ ﴿٢٨﴾ فَنَادَوْا صَاحِبَهُمْ فَتَعَاطَىٰ فَعَقَرَ ﴿٢٩﴾ فَكَيْفَ كَانَ عَذَابِي وَنُذُرِ ﴿٣٠﴾ إِنَّا أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ صَيْحَةً وَاحِدَةً فَكَانُوا كَهَشِيمِ الْمُحْتَظِرِ ﴿٣١﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿٣٢﴾ كَذَّبَتْ قَوْمُ لُوطٍ بِالنُّذُرِ ﴿٣٣﴾ إِنَّا أَرْسَلْنَا عَلَيْهِمْ حَاصِبًا إِلَّا آلَ لُوطٍ ۖ نَّجَّيْنَاهُم بِسَحَرٍ ﴿٣٤﴾ نِّعْمَةً مِّنْ عِندِنَا ۚ كَذَٰلِكَ نَجْزِي مَن شَكَرَ ﴿٣٥﴾ وَلَقَدْ أَنذَرَهُم بَطْشَتَنَا فَتَمَارَوْا بِالنُّذُرِ ﴿٣٦﴾ وَلَقَدْ رَاوَدُوهُ عَن ضَيْفِهِ فَطَمَسْنَا أَعْيُنَهُمْ فَذُوقُوا عَذَابِي وَنُذُرِ ﴿٣٧﴾ وَلَقَدْ صَبَّحَهُم بُكْرَةً عَذَابٌ مُّسْتَقِرٌّ ﴿٣٨﴾ فَذُوقُوا عَذَابِي وَنُذُرِ﴿٣٩﴾ وَلَقَدْ يَسَّرْنَا الْقُرْآنَ لِلذِّكْرِ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿٤٠﴾ وَلَقَدْ جَاءَ آلَ فِرْعَوْنَ النُّذُرُ ﴿٤١﴾ كَذَّبُوا بِآيَاتِنَا كُلِّهَا فَأَخَذْنَاهُمْ أَخْذَ عَزِيزٍ مُّقْتَدِرٍ ﴿٤٢﴾ أَكُفَّارُكُمْ خَيْرٌ مِّنْ أُولَـٰئِكُمْ أَمْ لَكُم بَرَاءَةٌ فِي الزُّبُرِ ﴿٤٣﴾ أَمْ يَقُولُونَ نَحْنُ جَمِيعٌ مُّنتَصِرٌ ﴿٤٤﴾ سَيُهْزَمُ الْجَمْعُ وَيُوَلُّونَ الدُّبُرَ ﴿٤٥﴾ بَلِ السَّاعَةُ مَوْعِدُهُمْ وَالسَّاعَةُ أَدْهَىٰ وَأَمَرُّ ﴿٤٦﴾ إِنَّ الْمُجْرِمِينَ فِي ضَلَالٍ وَسُعُرٍ ﴿٤٧﴾ يَوْمَ يُسْحَبُونَ فِي النَّارِ عَلَىٰ وُجُوهِهِمْ ذُوقُوا مَسَّ سَقَرَ ﴿٤٨﴾ إِنَّا كُلَّ شَيْءٍ خَلَقْنَاهُ بِقَدَرٍ ﴿٤٩﴾ وَمَا أَمْرُنَا إِلَّا وَاحِدَةٌ كَلَمْحٍ بِالْبَصَرِ ﴿٥٠﴾ وَلَقَدْ أَهْلَكْنَا أَشْيَاعَكُمْ فَهَلْ مِن مُّدَّكِرٍ ﴿٥١﴾ وَكُلُّ شَيْءٍ فَعَلُوهُ فِي الزُّبُرِ﴿٥٢﴾ وَكُلُّ صَغِيرٍ وَكَبِيرٍ مُّسْتَطَرٌ ﴿٥٣﴾ إِنَّ الْمُتَّقِينَ فِي جَنَّاتٍ وَنَهَرٍ ﴿٥٤﴾ فِي مَقْعَدِ صِدْقٍ عِندَ مَلِيكٍ مُّقْتَدِرٍ ﴿٥٥﴾ }
صدق الله العظيم [القمر].

خليفة الله وعبده المهديّ المنتظَر ناصر محمد اليماني.
________________

اضغط هنا لقراءة البيان المقتبس..