Al'Imam Nasser Muhammad Al'Yamani
*الإمام ناصر محمد اليماني*
02 - ربيع الثاني - 1440 هـ
09 - 12 - 2018 مـ
12:18 مساءً
( بحسب التقويم الرسمي لأمّ القرى )
https://nasser-alyamani.org/showthread.php?t=36399

ــــــــــــــــــــــــ


*تذكيرٌ ببيانٍ قصيرٍ لمن كان من أولي الأبصار في مختلف الأقطار ..*
Kukumbusha Kwa Bayana Fupi Kwa Yule Ambae Ni Katika Wanao Ona walioko Katika Sehemu Tafauti Katika Ulimwengu ..


Bismillah Al'Wahid Al'Qahar, Na Sala Na Salam Ju Ya A'Nabi Al'Umii Al'Mukhtar Khatim Al'Anmbiya Wa Al'Mursalin Muhammad Mtume Wa Allah Sala Allahu Aleyhi Na Manabi Wote Na Natoa Salam Kusalimu, Ama Baada Ya Hapo..


Basi Lakwanza Namuru Kufutwa yule ambae ameiba jina la Sultan Ahmad Al'Qadasi Baada kujitoa na kukiri Al'Qadasi kwenye ukurasa wake kwamba yeye sio alio jisajili wala hajandika kitu kwenye tuvoti yetu , Basi vipi tutoe jibu kwa mtu ameiba jina la mtu? Basi hivi si aji'sajili Sultan Ahmad Alqadasi katika tuvoti yangu ili itimu mazungumzo kuhawiri kwenye sehemu ambao tuliomkirimu nayo ili kupata umash'huri ambao ni mbaya kwake, Kwasababu yeye hataki ispokua umash'huri kwakua pindi yeye akizungumza na Al'Imam atakua mashuri, Na umash'huri muovu mno umash'huri wa kukanusha ukumbusho wa Allah, Nayo kama umash'huri wa iblisi katika Al'Quran kupitia zama zote, Basi yule ambae anaenda mbio kuzuwia haki Allah Hamongowi moyo wake katika haki na ataifanya ju yake ni kipofu kwasababu kusubutu ju ya Allah ili kupata dunia kwa jina la Dini. Basi hana udhuru kwa yule anae itwa Sultan Ahmad Al'Qadasi kwa kujisajili kwenye tuvoti yetu ili itimu hiwar mazungumzo ya utawala wa nguvu ya ilimu na kubomoa hoja kwa hoja kwa utawala wa ilimu ulio wazo, Na la na wala hapana hatutokubali mtu ameiba jina la Sultan Ahmad Alqadasi baada kutangaza kwake katika ukurasa wake kwamba sio yeye alio jisajili wala hajandika herufu moja katika tuvoti yetu bado na bado anazali ajikimbiza, Kwahivo vipi tutamjibu mwanamume ameiba jina la mwanamume na ametangaza hayo kwenye ukurasa wake? Basi hivo sio mantiq.


Kwa hivo namuru kufuta uwanachama wa yule alio iba jina la Sultan Ahmad Alqadasi na hivo hivo kufuta kila alicho shiriki huyu alio iba na kubainisha sababu ya kufuta uwanachama wake kwa wengine ili iwe ni funzo kwa wale wanao iba majina ya urongo na kuzawiri, Basi haturuhusu hayo kabisa bali hapana budi kuhakikisha kutokana na jina la mwanachuoni ambae mash'huri katika wanazuoni wa waislamu ama mufti wa moja katika miji ya kislamu kwa kumtumia ujumbe kupitia ukurasa wake na kukiri na kukubali kwamba yeye ndio shekhe fulani khatibu wa msikiti fulani pamoja ya kutaja taifa lake na mkowa wake na kijiji chake ama mji wake, Kutoka hapo itatimu kuhakikisha halikuibwa jina lake, lakini kuendelea kuzungumza na majina hayajulikani alafu tusmamishe hoja ju yake na wala hawajuwi wanafunzi wake kwamba mwalimu wao imesmamishwa hoja ju yake ndio wafwate haki kutoka kwa Mola wao Mlezi basi hio ni siyasa ya udangayifu tumesubiri ju yake sana kwa miyaka mingi, Lakini ilitoka uwamuzi kutoka kwangu kabla; Uwamuzi wa kutoendelea kuzungumza na watu wasio julikana majina yao na wenye majina ya kuazima katika wanao jadili, Na hikima yake ni kwamba ili wajuwe wanafunzi wao ama wanao hudhuria khutba zao kwenye minmbari yao kwamba sisi tumesmamisha ju ya mwalimu wao hoja ilio wazi basi ndio wamwache alafu wamfwate mwenye ushuhuda ulio wazi yule ambae anabainisha Al'Quran Kwa Al'Quran kwa ma Aya zinazo bainisha na ma aya baini na tunafafanua ufafanuzi mkubwa wala sio mujarad kutafsiri.


Na enyi wanazuoni wa waislamu, Hivi Siwapi waadhi kwa jambo Moja? Nayo ni muangalie Bayana Yangu kwa ma Aya nyengi ya Al'Quran kwa Al'Quran, Alafu muzipime na matafsiri ya wanao tafsiri kutoka kwa nafsi zao, Basi hapo hatimai mutaona tafauti baina ya bayana yangu ya Al'Quran kwa Al'Quran na matafsiri ya ma imamu wenu walio tangulia kama tafauti baina ya kiza na mwangaza, Basi tabikisheni utafiti hu ndio itabainika kwenu haki kutokana na batili na vipi walivo wapoteza kwa porojo zao kwa ma tafsiri kutoka kwa nafsi zao, Na wakakhitilifiana na wala hakuna alio mzidi mwenzake, Na miong


oni mwao ndio walikua sababu ya kutengana kwenu kua madhehebu tafauti na ma hizbu ya fitna mpaka mukafikilia mulipo fikilia sasa sio ikhitilafu ya kifiqhi ya kutafsiri peke; Bali jambo limekua kubwa mpaka kumwaga damu ya badhi yenu ju ya baadhi, Na eee hio ni uhalifu mku kwamba waseme ju ya Allah yale hawayajuwi! Bali wanafwata tafsiri ya dhana kutoka kwa nafsi zao nayo imeharamishwa ju yao kwamba waseme ju ya Allah yale wasio yajua kwamba ndio haki inao kusudiwa kutoka kwa Mola Mlezi wao, Basi ikiwa hawakutubia basi hi inahisabiwa ni kuzua kuherufisha maneno ya Allah kutokana na pahala pake palipo kusudiwa na kupoteza walimwengu.


Hivi hamuoni Bayana Ya Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani Ya Al'Quran Kwa Al'Quran Na Tunatupa Kwa Al'Quran Kwa Haki hadithi ilio zushwa basi inaichanganya mara hio imeondoka ndio ibainike kwa watafiti kua hio ni hadithi ya kisunni imekadibishwa ju ya Allah na Mtume Wake? Na hivo hivo tunahakikisha hadithi ya haki ambazo ni kutoka kwa Allah na Mtume Wake kwenye Sunna ya ki Nabawi na tunaleta ushuhuda wake kutoka kwa muhakam ilio wazi maana yake Al'Quran, ispokua tunabomoa ma hadithi ya uzushi ju ya Allah Na Mtume Wake ambazo zilio shindiliwa baina ya ma hadithi na ma riwaya zile ambazo zinakuja zimekhalifu maneno ya Allah ilio hifadhiwa kutokana na kuherufisha katika muhakam ilio wazo maana yake Al'Quran Al3adhim kwa kiwango ya asili mia kwa mia.


Basi olewenu kutokana na adhabu ya siku ya karibu enyi wakanushaji wa mlinganizi wa uongofu kutoka kwa Mola Wao Mlezi kwa ushuhuda ulio baini kwa watu wote, Na olewao wanao nyamaza kutambua haki kutoka kwa Mola Mlezi wao baada ilipo kubali akili zao basi anae nyamaza kwa haki ni shetani bubu, Basi wapi pakukimbilia enyi ma3ashara ya wakanushaji kutokana na ukumbusho hukumu ya Allah Al'Wahid Al'Qahar? Na wanaenda kwa taghut ili ahukumu baina yao na wao wanauwana kwa jina la dini! Na je ju ya Allah wanasubutu? Basi tutaona nini Atawafanya nyinyi Mola Mlezi Wa Ulimwengu, Ama mutasema ni kawarith tabi3ia Maafa ya asili kama mfano wa kauli ya wale hawamini kuna mungu mulhidina? Awauweni Allah Munao zuwa! Na wakati munajua anae endesha ardhi na mbingu Mola Mlezi wa Ulimwengu, Na Yeye Ndio anasusumulia bara na Bahari yale wanayo yafanya kwa amri kutoka kwake, Na wanazuoni wa waislamu hakika wanajua hayo, Pamoja ya hayo wanafwata wengi miongoni kwao kauli ya mulhidina kwa msemo wao kwamba ni maafa ya asili, Kwahivo vipi Allah Alikua AkiWadhibu ma kafiri kabla, Je si ni kwa ma zilzala na ma bahari na vimbunga na naizaki na kuzama na mifuriko? Basi kumbukeni kauli ya Allah Ta3ala:
{ظَهَرَ الْفَسَادُ فِي الْبَرِّ وَالْبَحْرِ بِمَا كَسَبَتْ أَيْدِي النَّاسِ لِيُذِيقَهُم بَعْضَ الَّذِي عَمِلُوا لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ ﴿٤١﴾} صدق الله العظيم [الروم].
Allah Ta3ala Asema: { imedhihirika ufisadi katika bara na bahari kwa yale walio tuma mikono ya watu ili Awaonjeshe baadhi ya yale walioyatenda huwenda wakarudi (41)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alrum].


Na mukumbuke kauli ya Allah Ta3ala:
{وَلَنُذِيقَنَّهُم مِّنَ الْعَذَابِ الْأَدْنَىٰ دُونَ الْعَذَابِ الْأَكْبَرِ لَعَلَّهُمْ يَرْجِعُونَ ﴿٢١﴾ وَمَنْ أَظْلَمُ مِمَّن ذُكِّرَ بِآيَاتِ رَبِّهِ ثُمَّ أَعْرَضَ عَنْهَا ۚ إِنَّا مِنَ الْمُجْرِمِينَ مُنتَقِمُونَ ﴿٢٢﴾} صدق الله العظيم [السجدة].
Allah Ta3ala Asema: { Na Tutawaonjesha kutokana na adhabu ya chini mbali na adhabu kubwa zaidi yake huwenda wakarudi (21) Na nani dhalimu kuliko alio kumbushwa kwa ma aya zitokazo kwa Mola Mlezi alafu akazikanusha nazo hakika sisi kwa wahalifu tutawlipiza (22)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alsajida].


Na Wallahi Thuma Wallahi hakika wale ambao wanaita adhabu ya Allah kwamba ni maafa ya asili basi hakika wao wamekufuru kwa yale yalio teremshwa ju ya ma Nabi wote wa Allah na Mitume Wake na wamekufuru maregeo ya vitabu va Allah "Al'Quran Al3adhim' Ukumbusho wa mwanzo na wamwisho, Na Akawafafanulia Allah kwenu vipi Alivo Wafanyia wao basi miongoni mwao mwenye kuwangamiza Allah kuwajia kutoka kwa msingi iwangukie sakafu ju yao, Na miongoni mwao walio zamishwa, Na miongoni mwao mwenye kududumishwa katila ardhi, Na miongoni mwao wenye kutumili


zwa upepo wa kimbunga, Na miongoni mwao wenye kutumiliziwa moshi wa adhabu siku ya kivuli na mawe ya moto, Na adhabu mbali na hizo kutokana na adhabu ya Allah huwenda ikawa ni wadhi na mfano kwa wacha mungu Wanao fikiria, Na ama mulhidina hatimai watasema maafa ya asili mpaka iwajie adhabu kubwa na kubwa zaidi mpaka awangamize Allah na wao wamekufuru ikiwa hawakutubu kwa Mola Mlezi Wao.


Mola Mlezi Wangu Hukumu kwa haki na Wewe ni Mbora wa kufafanua hakika Wewe kwa waja Wako ni Mwenye kujua Mwenye Kuona Basi sio Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani ispokua ni Mkumbushaji na muonyaji kutokana na hasira kali kutoka kwa Allah Mwenye Nguvu huwenda wale wanaofikiria watamfwata mlinganizi wa haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ama Atawazidishia Allah Adhabu, Basi mpaka lini kukanusha kwa Mlinganizi wa kuhukumu kwa Allah kwa hukumu ya kitabu chake Al'Quran Al3adhim na munaenda kuhukumiana kwa taghut ambae anawatakia shari wala hawataki kheri; Bali wanawafanyia mbinu nyinyi na kwa mikono yenu? Na kiasi gani nyinyi kaumu wahalifu enye wenye kutoa uwamuzi; Hakika mutaona adhabu ya Allah Al'Wahid Al'Qahar nyinyi na walio kufuru ukumbusho mku, Na Amri ni ya Allah kutoka kabla na baada.


Na Salam Ju Ya Mitume, Na Alhamdulillah Rabil3alamin Khalifa Wa Allah Na Mja Wake Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
خليفة الله وعبده الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني .

_________