Allah Ta3ala Asema: { Na hatukukutuma ila kwa watu wote, uwe mbashiri, na mwonyaji. Lakini watu wengi hawajui } Sadaqa Allah Al3adhim [Sabaa:28].
2- Na hivo hivo inasema akili na mantik kwamba ikiwa Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Ni Mtume kwa watu wote basi hapana budi iwe ujumbe wake uwe ni ujumbe peke ulio hifadhiwa kutokana na kuherufishwa na kufanywa bandia kuzaifishwa kwa zama zote zinao pita kwa Binadamu kwakua hatokuja Mtume na kitabu kipya baada yake mapaka Asahihishe ile walio zaifisha bandia wazushi katika kitabu kile kabla yake, Na hi ndio inasema akili na mantik, Alafu tuangalie fatwa Ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake basi tunakipata kimekuja kusadikisha fatwa ya akilo na mantik kwa kauli ya Allah Ta3ala:
{إِنَّا نَحْنُ نَزَّلْنَا الذِّكْرَ وَإِنَّا لَهُ لَحَافِظُونَ} صدق الله العظيم [الحجر:9].
Allah Ta3ala Asema: { Hakika sisi tumeteremsha ukumbusho hu na hakika sisi ndio tutao ulinda } Sadaqa Allah Al3adhim [Hijiri:9].
3- Na hivo hivo inasema akili na mantik kwamba akiwa Muhammad Mtume Wa Allah - Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- yeye ni mwisho wa ma Nabi na Mitume katika Binadamu na Majini basi hapana budi iwe ujumbe wake ambao amekuja nao inawakhutubia thukuli mbili nawo ni Binadamu na ma Jini Basi hi ndio inasema akili na mantik, Alafu tuangalie katika fatwa Ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake kitabu chake je Al'Quran Al3adhim Anakhutubia Allah Nayo Binadamu na ma Jini? Alafu tunapata fatwa kutoka kwa Allah imekuja yasadikisha fatwa ya akili na mantik kwamba Al'Quran kweli ni ujumbe wa Allah kwa thikuli mbili kwajili hivo inawkhutubia Binadamu na ma jini kwa wawili, Basi inasema:
{فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ} [الرحمن:13
{ Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman:13].
Na Akasema Allah Ta3ala:
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
{الرَّحْمَـٰنُ ﴿١﴾ عَلَّمَ الْقُرْآنَ ﴿٢﴾ خَلَقَ الْإِنسَانَ ﴿٣﴾ عَلَّمَهُ الْبَيَانَ ﴿٤﴾ الشَّمْسُ وَالْقَمَرُ بِحُسبانٍ ﴿٥﴾ وَالنَّجْمُ وَالشَّجَرُ يَسْجُدَانِ ﴿٦﴾ وَالسَّمَاءَ رَفَعَهَا وَوَضَعَ الْمِيزَانَ ﴿٧﴾ أَلَّا تَطْغَوْا فِي الْمِيزَانِ ﴿٨﴾ وَأَقِيمُوا الْوَزْنَ بِالْقِسْطِ وَلَا تُخْسِرُوا الْمِيزَانَ ﴿٩﴾ وَالْأَرْضَ وَضَعَهَا لِلْأَنَامِ ﴿١٠﴾ فِيهَا فَاكِهَةٌ وَالنَّخْلُ ذَاتُ الْأَكْمَامِ ﴿١١﴾ وَالْحَبُّ ذُو الْعَصْفِ وَالرَّيْحَانُ ﴿١٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٣﴾ خَلَقَ الْإِنسَانَ مِن صَلْصَالٍ كَالْفَخَّارِ ﴿١٤﴾ وَخَلَقَ الْجَانَّ مِن مَّارِجٍ مِّن نَّارٍ ﴿١٥﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٦﴾رَبُّ الْمَشْرِقَيْنِ وَرَبُّ الْمَغْرِبَيْنِ ﴿١٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿١٨﴾ مَرَجَ الْبَحْرَيْنِ يَلْتَقِيَانِ ﴿١٩﴾ بَيْنَهُمَا بَرْزَخٌ لَّا يَبْغِيَانِ ﴿٢٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢١﴾ يَخْرُجُ مِنْهُمَا اللُّؤْلُؤُ وَالْمَرْجَانُ ﴿٢٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٣﴾ وَلَهُ الْجَوَارِ الْمُنشَآتُ فِي الْبَحْرِ كَالْأَعْلَامِ ﴿٢٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٥﴾ كُلُّ مَنْ عَلَيْهَا فَانٍ ﴿٢٦﴾ وَيَبْقَىٰ وَجْهُ رَبِّكَ ذُو الْجَلَالِ وَالْإِكْرَامِ ﴿٢٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٢٨﴾ يَسْأَلُهُ مَن فِي السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ كُلَّ يَوْمٍ هُوَ فِي شَأْنٍ ﴿٢٩﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٠﴾ سَنَفْرُغُ لَكُمْ أَيُّهَ الثَّقَلَانِ ﴿٣١﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٢﴾ يَا مَعْشَرَ الْجِنِّ وَالْإِنسِ إِنِ اسْتَطَعْتُمْ أَن تَنفُذُوا مِنْ أَقْطَارِ السَّمَاوَاتِ وَالْأَرْضِ فَانفُذُوا لَا تَنفُذُونَ إِلَّا بِسُلْطَانٍ ﴿٣٣﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٤﴾ يُرْسَلُ عَلَيْكُمَا شُوَاظٌ مِّن نَّارٍ وَنُحَاسٌ فَلَا تَنتَصِرَانِ ﴿٣٥﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٦﴾ فَإِذَا انشَقَّتِ السَّمَاءُ فَكَانَتْ وَرْدَةً كَالدِّهَانِ ﴿٣٧﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٣٨﴾ فَيَوْمَئِذٍ لَّا يُسْأَلُ عَن ذَنبِهِ إِنسٌ وَلَا جَانٌّ ﴿٣٩﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٠﴾ يُعْرَفُ الْمُجْرِمُونَ بِسِيمَاهُمْ فَيُؤْخَذُ بِالنَّوَاصِي وَالْأَقْدَامِ ﴿٤١﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٢﴾ هَـٰذِهِ جَهَنَّمُ الَّتِي يُكَذِّبُ بِهَا الْمُجْرِمُونَ ﴿٤٣﴾ يَطُوفُونَ بَيْنَهَا وَبَيْنَ حَمِيمٍ آنٍ ﴿٤٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٥﴾ وَلِمَنْ خَافَ مَقَامَ رَبِّهِ جَنَّتَانِ ﴿٤٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٧﴾ ذَوَاتَا أَفْنَانٍ ﴿٤٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٤٩﴾ فِيهِمَا عَيْنَانِ تَجْرِيَانِ ﴿٥٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥١﴾ فِيهِمَا مِن كُلِّ فَاكِهَةٍ زَوْجَانِ ﴿٥٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٣﴾ مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ فُرُشٍ بَطَائِنُهَا مِنْ إِسْتَبْرَقٍ وَجَنَى الْجَنَّتَيْنِ دَانٍ ﴿٥٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٥﴾ فِيهِنَّ قَاصِرَاتُ الطَّرْفِ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ ﴿٥٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٧﴾ كَأَنَّهُنَّ الْيَاقُوتُ وَالْمَرْجَانُ ﴿٥٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٥٩﴾ هَلْ جَزَاءُ الْإِحْسَانِ إِلَّا الْإِحْسَانُ ﴿٦٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦١﴾ وَمِن دُونِهِمَا جَنَّتَانِ ﴿٦٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٣﴾ مُدْهَامَّتَانِ ﴿٦٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٥﴾ فِيهِمَا عَيْنَانِ نَضَّاخَتَانِ ﴿٦٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٧﴾فِيهِمَا فَاكِهَةٌ وَنَخْلٌ وَرُمَّانٌ ﴿٦٨﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٦٩﴾ فِيهِنَّ خَيْرَاتٌ حِسَانٌ ﴿٧٠﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧١﴾ حُورٌ مَّقْصُورَاتٌ فِي الْخِيَامِ ﴿٧٢﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٣﴾ لَمْ يَطْمِثْهُنَّ إِنسٌ قَبْلَهُمْ وَلَا جَانٌّ ﴿٧٤﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٥﴾ مُتَّكِئِينَ عَلَىٰ رَفْرَفٍ خُضْرٍ وَعَبْقَرِيٍّ حِسَانٍ ﴿٧٦﴾ فَبِأَيِّ آلَاءِ رَبِّكُمَا تُكَذِّبَانِ ﴿٧٧﴾ تَبَارَكَ اسْمُ رَبِّكَ ذِي الْجَلَالِ وَالْإِكْرَامِ ﴿٧٨﴾}صدق الله العظيم [الرحمن].
Na Akasema Allah Ta3ala:
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
{ Arrah'man, Mwingi wa Rehema (1) Amefundisha Qur'ani (2) Amemuumba mtu (3) Akamfundisha kubaini (4) Jua na mwezi huenda kwa hisabu (5) Na mimea yenye kutambaa, na miti, inanyenyekea (6) Na mbingu ameziinua, na ameweka mizani (7) Ili msidhulumu katika mizani (8) Na wekeni mizani kwa haki, wala msipunje katika mizani (9) Na ardhi ameiweka kwa ajili ya viumbe (10)
Humo yamo matunda na mitende yenye mafumba (11) Na nafaka zenye makapi, na rehani (12) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (13) Amemuumba mtu kwa udongo wa kinamo (14) Na akawaumba majini kwa ulimi wa moto (15) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (16) Mola Mlezi wa mashariki mbili na wa magharibi mbili (17) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (18) Anaziendesha bahari mbili zikutane (19) Baina yao kipo kizuizi, zisiingiliane (20) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (21) Katika hizo bahari mbili zinatoka lulu na marijani (22) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (23) Na ni vyake Yeye hivi viendavyo baharini vilivyo undwa kama vilima (24) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (25) Kila kilioko juu yake kitatoweka (26) Na atabakia Mwenyewe Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu (27) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (28) Vinamwomba Yeye vilivyomo katika mbingu na ardhi. Kila siku Yeye yumo katika mambo (29) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (30) Tutakuhisabuni enyi makundi mawili (31) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (32) Enyi makundi ya majini na watu! Mkiweza kupenya kwenye mbingu na ardhi, basi penyeni! Hamtapenya ila kwa kupewa madaraka (33) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (34) Mtapelekewa muwako wa moto na shaba; wala hamtashinda (35) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (36) Itakapo pasuka mbingu ikawa nyekundu kama mafuta (37) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (38) Siku hiyo hataulizwa dhambi zake mtu wala jini (39) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (40) Watajuulikana wakosefu kwa alama zao, basi watashikwa kwa nywele zao za utosini na kwa miguu (41) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (42) Hii ndiyo Jahannamu ambayo wakosefu wakiikanusha (43) Watakuwa wakizunguka baina ya hiyo na maji ya moto yanayo chemka (44) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (45) Na mwenye kuogopa kusimamishwa mbele ya Mola wake Mlezi atapata Bustani mbili (46) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (47) Bustani zenye matawi yaliyo tanda (48) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (49) Ndani yake zimo chemchem mbili zinazo pita (50) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (51) Humo katika kila matunda zimo namna mbili (52) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (53) Wawe wameegemea matandiko yenye bit'ana ya hariri nzito; na matunda ya Bustani hizo yapo karibu (54) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (55) Humo watakuwamo wanawake watulizao macho yao; hajawagusa mtu kabla yao wala jini (56) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (57) Kama kwamba wao ni yakuti na marijani (58) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (59) Ati yaweza kuwa malipo ya ihsani ila ihsani (60) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (61) Na zaidi ya hizo zipo Bustani nyengine mbili (62) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (63) Za kijani kibivu (64) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (66) Na chemchem mbili zinazo furika (67) Imo humo miti ya matunda, na mitende na mikomamanga (68) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (69) Humo wamo wanawake wema wazuri (70) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (71) Wanawake wazuri wanao tawishwa katika makhema (72) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (73) Hajawagusa mtu wala jini kabla yao (74) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (75) Wameegemea juu ya matakia ya kijani na mazulia mazuri (76) Basi ni ipi katika neema za Mola wenu Mlezi mnayo ikanusha (77) Limetukuka jina la Mola wako Mlezi Mwenye utukufu na ukarimu (78)} Sadaqa Allah Al3adhim [Al'Rahman].
4- Na hivo hivo inasema akili na mantik; Basi kama Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allahu Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Yeye Ni Mwisho wa ma Nabi na Mitume kwa Binadamu na Majini basi hapana budi akalifishe Allah kundi moja katika ma Jini watasmamia jambo la kufikisha ujumbe hu kwa kaumu yao ma Jini, Basi hi ndio inasema akili na mantik ikiwa ujumbe hu ambao amekuja nao Muhammad Mtume Wa Allah nayo ni kwa Binadamu na ma Jini, Alafu tunapata fatwa ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake imekuja kusadikisha fatwa ya akili na mantik, Na Akasema Allah Ta3ala:
{وَإِذْ صَرَفْنَا إِلَيْكَ نَفَرًا مِّنَ الْجِنِّ يَسْتَمِعُونَ الْقُرْآنَ فَلَمَّا حَضَرُوهُ قَالُوا أَنصِتُوا فَلَمَّا قُضِيَ وَلَّوْا إِلَى قَوْمِهِم مُّنذِرِينَ} صدق الله العظيم [الأحقاف:29].
Allah Ta3ala Asema: { Na wakati tulipo waleta kundi la majini kuja kwako kusikiliza Qur'ani. Basi walipo ihudhuria walisema: Sikilizeni! Na ilipo kwisha somwa, walirudi kwa kaumu yao kwenda kuwaonya} Sadaqa Allah Al3adhim [Alahkaf:29].
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
بِسْمِ اللَّـهِ الرَّحْمَـٰنِ الرَّحِيمِ
{قُلْ أُوحِيَ إِلَيَّ أَنَّهُ اسْتَمَعَ نَفَرٌ مِّنَ الْجِنِّ فَقَالُوا إِنَّا سَمِعْنَا قُرْآنًا عَجَبًا ﴿١﴾ يَهْدِي إِلَى الرُّشْدِ فَآمَنَّا بِهِ وَلَن نُّشْرِكَ بِرَبِّنَا أَحَدًا ﴿٢﴾ وَأَنَّهُ تَعَالَىٰ جَدُّ رَبِّنَا مَا اتَّخَذَ صَاحِبَةً وَلَا وَلَدًا ﴿٣﴾ وَأَنَّهُ كَانَ يَقُولُ سَفِيهُنَا عَلَى اللَّـهِ شَطَطًا ﴿٤﴾ وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن تَقُولَ الإنس والجنّ عَلَى اللَّـهِ كَذِبًا ﴿٥﴾ وَأَنَّهُ كَانَ رِجَالٌ مِّنَ الْإِنسِ يَعُوذُونَ بِرِجَالٍ مِّنَ الْجِنِّ فَزَادُوهُمْ رَهَقًا ﴿٦﴾ وَأَنَّهُمْ ظَنُّوا كَمَا ظَنَنتُمْ أَن لَّن يَبْعَثَ اللَّـهُ أَحَدًا ﴿٧﴾ وَأَنَّا لَمَسْنَا السَّمَاءَ فَوَجَدْنَاهَا مُلِئَتْ حَرَسًا شَدِيدًا وَشُهُبًا ﴿٨﴾ وَأَنَّا كُنَّا نَقْعُدُ مِنْهَا مَقَاعِدَ لِلسَّمْعِ فَمَن يَسْتَمِعِ الْآنَ يَجِدْ لَهُ شِهَابًا رَّصَدًا ﴿٩﴾ وَأَنَّا لَا نَدْرِي أَشَرٌّ أُرِيدَ بِمَن فِي الْأَرْضِ أَمْ أَرَادَ بِهِمْ رَبُّهُمْ رَشَدًا ﴿١٠﴾ وَأَنَّا مِنَّا الصَّالِحُونَ وَمِنَّا دُونَ ذَٰلِكَ ۖ كُنَّا طَرَائِقَ قِدَدًا ﴿١١﴾ وَأَنَّا ظَنَنَّا أَن لَّن نُّعْجِزَ اللَّـهَ فِي الْأَرْضِ وَلَن نُّعْجِزَهُ هَرَبًا ﴿١٢﴾ وَأَنَّا لَمَّا سَمِعْنَا الْهُدَىٰ آمَنَّا بِهِ ۖ فَمَن يُؤْمِن بِرَبِّهِ فَلَا يَخَافُ بَخْسًا وَلَا رَهَقًا ﴿١٣﴾وَأَنَّا مِنَّا الْمُسْلِمُونَ وَمِنَّا الْقَاسِطُونَ فَمَنْ أَسْلَمَ فَأُولَـٰئِكَ تَحَرَّوْا رَشَدًا ﴿١٤﴾ وَأَمَّا الْقَاسِطُونَ فَكَانُوا لِجَهَنَّمَ حَطَبًا ﴿١٥﴾ وَأَن لَّوِ اسْتَقَامُوا عَلَى الطَّرِيقَةِ لَأَسْقَيْنَاهُم مَّاءً غَدَقًا ﴿١٦﴾ لِّنَفْتِنَهُمْ فِيهِ وَمَن يُعْرِضْ عَن ذِكْرِ رَبِّهِ يَسْلُكْهُ عَذَابًا صَعَدًا ﴿١٧﴾ وَأَنَّ الْمَسَاجِدَ لِلَّـهِ فَلَا تَدْعُوا مَعَ اللَّـهِ أَحَدًا ﴿١٨﴾ وَأَنَّهُ لَمَّا قَامَ عَبْدُ اللَّـهِ يَدْعُوهُ كَادُوا يَكُونُونَ عَلَيْهِ لِبَدًا ﴿١٩﴾ قُلْ إِنَّمَا أَدْعُو رَبِّي وَلَا أُشْرِكُ بِهِ أَحَدًا ﴿٢٠﴾ قُلْ إِنِّي لَا أَمْلِكُ لَكُمْ ضَرًّا وَلَا رَشَدًا ﴿٢١﴾ قُلْ إِنِّي لَن يُجِيرَنِي مِنَ اللَّـهِ أَحَدٌ وَلَنْ أَجِدَ مِن دُونِهِ مُلْتَحَدًا ﴿٢٢﴾ إِلَّا بَلَاغًا مِّنَ اللَّـهِ وَرِسَالَاتِهِ ۚ وَمَن يَعْصِ اللَّـهَ وَرَسُولَهُ فَإِنَّ لَهُ نَارَ جَهَنَّمَ خَالِدِينَ فِيهَا أَبَدًا ﴿٢٣﴾ حَتَّىٰ إِذَا رَأَوْا مَا يُوعَدُونَ فَسَيَعْلَمُونَ مَنْ أَضْعَفُ نَاصِرًا وَأَقَلُّ عَدَدًا ﴿٢٤﴾ قُلْ إِنْ أَدْرِي أَقَرِيبٌ مَّا تُوعَدُونَ أَمْ يَجْعَلُ لَهُ رَبِّي أَمَدًا ﴿٢٥﴾ عَالِمُ الْغَيْبِ فَلَا يُظْهِرُ عَلَىٰ غَيْبِهِ أَحَدًا ﴿٢٦﴾ إِلَّا مَنِ ارْتَضَىٰ مِن رَّسُولٍ فَإِنَّهُ يَسْلُكُ مِن بَيْنِ يَدَيْهِ وَمِنْ خَلْفِهِ رَصَدًا ﴿٢٧﴾ لِّيَعْلَمَ أَن قَدْ أَبْلَغُوا رِسَالَاتِ رَبِّهِمْ وَأَحَاطَ بِمَا لَدَيْهِمْ وَأَحْصَىٰ كُلَّ شَيْءٍ عَدَدًا ﴿٢٨﴾} صدق الله العظيم [الجن].
Bismillah Al'Rahman Al'Rahim
{ Sema: Imefunuliwa kwangu ya kuwa kundi moja la majini lilisikiliza, na likasema: Hakika sisi tumeisikia Qur'ani ya ajabu (1) Inaongoza kwenye uwongofu, kwa hivyo tumeiamini, wala hatutamshirikisha yeyote na Mola wetu Mlezi (2) Na kwa hakika utukufu wa Mola wetu Mlezi umetukuka kabisa; hana mke wala mwana (3) Na kwa hakika wapumbavu miongoni mwetu walikuwa wakisema uwongo ulio pindukia mipaka juu ya Mwenyezi Mungu (4) Nasi tulidhani kuwa watu na majini hawamzulii uwongo Mwenyezi Mungu (5) Na hakika walikuwako wanaume katika watu walio kuwa wakitafuta kujikinga kwa wanaume wa kijini; kwa hivyo wakawazidisha madhambi (6) Na kwa hakika wao walidhani, kama mlivyo dhani nyinyi, ya kuwa Mwenyezi Mungu hatamleta Mtume (7) Nasi tulizigusa mbingu, na tukaziona zimejaa walinzi wenye nguvu na vimondo (8) Na hakika tulikuwa tukikaa humo katika baadhi ya makao ili kusikiliza; lakini sasa anaye taka kusikiliza atakuta kimondo kinamvizia (9) Nasi hatujui kama wanatakiwa shari wale wanao kaa kwenye ardhi au Mola wao Mlezi anawatakia uwongofu (10) Na hakika katika sisi wamo walio wema, na wengine wetu ni kinyume na hivyo. Tumekuwa njia mbali mbali (11) Nasi tulijua kuwa hatutomshinda Mwenyezi Mungu duniani, wala hatuwezi kumponyoka kwa kukimbia (12)
Nasi tulipo usikia uwongofu tuliuamini. Basi mwenye kumuamini Mola wake Mlezi basi haogopi kupunjwa wala kudhulumiwa (13) Na hakika wamo katika sisi Waislamu, na wamo kati yetu wanao acha haki. Basi walio silimu, hao ndio walio tafuta uwongofu (14) Na ama wanao acha haki, hao watakuwa kuni za Jahannamu (15) Na lau kama wangeli simama sawasawa juu ya njia tungeli wanywesha maji kwa wingi (16) Ili tuwajaribu kwa hayo. Na anaye puuza kumkumbuka Mola wake Mlezi atamsukuma kwenye adhabu ngumu (17) Na hakika misikiti ni ya Mwenyezi Mungu, basi msimuabudu yeyote pamoja na Mwenyezi Mungu (18) Na hakika Mja wa Mwenyezi Mungu alipo simama kumwomba, wao walikuwa karibu kumzonga (19) Sema: Hakika mimi namwomba Mola wangu Mlezi, wala simshirikishi Yeye na yeyote (20) Sema: Mimi sina mamlaka ya kukudhuruni wala kukuongozeni (21) Sema: Hakika hapana yeyote awezae kunilinda na Mwenyezi Mungu, wala sitapata pa kukimbilia isipo kuwa kwake Yeye tu (22) Ila nifikishe Ujumbe utokao kwa Mwenyezi Mungu na risala zake. Na wenye kumuasi Mwenyezi Mungu na Mtume wake, basi hakika hao watapata Moto wa Jahannamu wadumu humo milele (23) Hata watakapo yaona wanayo ahidiwa, ndipo watakapo jua ni nani mwenye msaidizi dhaifu, na mchache wa idadi (24) Sema: Sijui kama yapo karibu hayo mnayo ahidiwa, au Mola wangu Mlezi atayawekea muda mrefu (25) Yeye ndiye Mwenye kujua ya siri, wala hamdhihirishii yeyote siri yake (26) Isipo kuwa Mtume wake aliye mridhia. Naye huyo humwekea walinzi mbele yake na nyuma yake (27) Ili Yeye ajue kwamba wao wamefikisha ujumbe wa Mola wao Mlezi, na Yeye anayajua vyema yote walio nayo, na amedhibiti idadi ya kila kitu (28)} Sadaqa Allah Al3adhim [Aljin].
Na tunatosheka kwa kiwango hiki kwa fatwa Ya Allah katika muhakam ilio wazi maana yake katika kitabu chake kwamba Muhammad Mtume Wa Allah- Sala Allah Aleyhi Wa Alihi Wa Salam- Yeye ni mwisho wa ma Nabi na Mitume anabeba ujumbe kwa Binadamu na ma Jini na Hato tumiliza Allah baada yake Mtume katika Binadamu wala katika ma Jini.
Na Salam Ju Ya Mitume Na Al'Hamdulillah Rabil3alamin, Ndugu Yenu; Al'Imam Al'Mahdi Nasser Muhammad Al'Yamani.
وسلامٌ على المرسلين، والحمد لله ربّ العالمين..
أخوكم؛ الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____________