Imeteremka kwa kalamu ya Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani Bayana kukumbusha Bayana Ya Zamani, Na ameiandika Al’Imam Al’Karim hu Ukumbusho Sasa Hivi Kwa Tarehe 20- Jamadi Al’Awal - 1439 Hijria Kulingana Na Wakati Rasmi wa Maka Al’Mukarama






( Ukubusho kwa bayana ya zamani kutoka Muhakam Al’Quran Al3adhim, Na Tahadharisho Na Onyo Kutoka kwa Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad kwa Donald Taramp Na Kwa Wote Wanadamu katika mashariki Na Magharibi )

الإمام ناصِر محمد اليماني
20 - 09 - 1437 هـ
25 - 06 - 2016 مـ
12:59 مساءً
ــــــــــــــــــــ


Bayana yale alio mwamuru nayo monyaji Al’Mahdi Al’Muntadbar Nasser Muhammad Al’Yamani Kwamba awaonye wakanushaji kwa adhabu kama mfano ya adhabu ya Aad na Thamud kabla haijapita Sayari Ya adhabu Kuu..



Ewe Mola Mlezi wa Al’Mahdi Al’Muntadhar Nasser Muhammad Al’Yamami Nini waniamuru kua niwabashiri wakanushaji kwa ulinganizi wa kuhukumiana kwa ukumbusho katika zama za mazungumzo kabla ya kudhihiri?
Na jibu kwa ufupi naliwacha kutoka kwa Allah Al’Wahid Al’Qahar Moja Kwa Moja kutoka kwa muhakam ya ukumbusho. Amesema Allah Ta3ala:
{فَإِنْ أَعْرَضُوا فَقُلْ أَنذَرْتُكُمْ صَاعِقَةً مِّثْلَ صَاعِقَةِ عَادٍ وَثَمُودَ (13)} صدق الله العظيم [فصّلت].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi wakipuuza wewe sema: Nakuhadharisheni adhabu mfano wa adhabu ya A'di na Thamudi (13)} Sadaqa Allah Al3adhim [Fusilat].


Na Hayo ndio nayo waogopea juu yenu kabla kupita Sayari ya adhabu ambao ni Kuu, Na kwa Allah jambo kabla na baada anatanguliza na anachelewesha, Na nini atafanya Allah kwa adhabu yao lau sio dua yenu?


Na eee maskitiko yangu juu ya nyoyo za umma hazijagundua akili zao kwa uongofu wao kwa lugha ya Al’Quran ya kiarabu iliowazi ambao ametuma Allah Rahma kwa Ulimwengu; Bali Amejua Allah kwamba wakuu wa umma hu na ma bwana zao na wafwasi wao hawatufahamu nyoyo zao haki kutoka kwa Mola Mlezi wao ila kwa Lugha ya Adhabu chungu.
Kusadikisha Kauli ya Allah Ta3ala:
{فَلَا أُقْسِمُ بِالشَّفَقِ (16) وَاللَّيْلِ وَمَا وَسَقَ (17) وَالْقَمَرِ إِذَا اتَّسَقَ (18) لَتَرْكَبُنَّ طَبَقًا عَن طَبَقٍ (19) فَمَا لَهُمْ لَا يُؤْمِنُونَ (20) وَإِذَا قُرِئَ عَلَيْهِمُ الْقُرْآنُ لَا يَسْجُدُونَ ۩ (21) بَلِ الَّذِينَ كَفَرُوا يُكَذِّبُونَ (22) وَاللَّهُ أَعْلَمُ بِمَا يُوعُونَ (23) فَبَشِّرْهُم بِعَذَابٍ أَلِيمٍ (24)} صدق الله العظيم [الانشقاق].
Allah Ta3ala Asema:{ Basi ninaapa kwa wekundu wa jua linapo kuchwa (16) Na kwa usiku na unavyo vikusanya (17) Na kwa mwezi unapo pevuka (18) Lazima mtapanda t'abaka kwa t'abaka (19) Basi wana nini hawaamini (20) Na wanapo somewa Qur'ani hawasujudu (21) Bali walio kufuru wanakanusha tu (22) Na Mwenyezi Mungu anajua wanayo yadhamiria (33) Basi wabashirie adhabu chungu (24)} Sadaqa Allah Al3adhim [Alinshiqaq].


Na tuna’wahadhirisha wote ma Al’Nassar katika pempezoni zote kuhadharisha kukubwa kwamba wasijifitini nafsi zao na umma wao kwa kuhadidisha wakati alio waidi nayo Allah wakanushaji kuhusu ulinganizi wa kuhukumiana kwa kitabu chake kwa wakati wa adhabu yake kwenye muhakam Al’Quran Al3adhim, Na hivo kujilazimisha kwa amri ya Allah kwenye kauli yake Ta3ala:
{وَيَقُولُونَ مَتَىٰ هَٰذَا الْوَعْدُ إِن كُنتُمْ صَادِقِينَ (25) قُلْ إِنَّمَا الْعِلْمُ عِندَ اللَّهِ وَإِنَّمَا أَنَا نَذِيرٌ مُّبِينٌ (26)} صدق الله العظيم [الملك].
Allah Ta3ala Asema:{ Na wanasema lini hio waadi ikiwa nyinyi ni wakweli (25) Sema hakika ujuzi uko kwa Allah ispokua mimi ni monyaji baini aliewazi (26)} Sadaqa Allah Al3adhim [Almulk].


Kiyasi Yakua imekua karibu sana pamoja ya hayo lakini Al’Imam Al’Mahdi bado anazali amejilazimu kwa amri kwamba asihadid nyakati za Adhabu kwa tarehe ambao imeweka nambari kulingana na siku zenu pamoja yakwamba mimi naogopa juu yenu adhabu mfano wa adhabu ya aad na thamud, Na Nyinyi munajua nini adhabu ya aad na thamud, hio kwenu ni adhabu ya upepo na mtetemeko.. Allahuma Salim Salim, Na Wewe Unae Jua kwa yale wanao dhamiria Nayo kwa ulinganizi wa Haki kutoka Kwa Mola Mlezi Wao, Allahuma nimewabalighisha Ma Al’Anssar ili wabalighishe, Allahuma Shuhudia Kama ulivo wafanya washuhudie pamoja na mimi Juu ya Walimwengu, Na Tosha Kwa Allah Kua Shahidi.


Ndugu Yenu Al’Imam Al’Mahdi Nasser Muhammad Al’Yamani.
أخوكم الإمام المهديّ ناصر محمد اليماني.
_____________